KISOMO KIKALI MAJINI WAKO SASA WATATOLEWA MARA UKISIKILIZA KISOMO UMEPONA INSHALLAH!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 42

  • @ASHURAASHURA-jx2if
    @ASHURAASHURA-jx2if Рік тому +4

    Yaallah ninakuomba mola wangu mlezi kupitia dua hii yarabi ninakuomba utuondoshee kila jini masheitwan maradhi uchawi khusda kijicho fitna mimi na watotowangu yarabi kwauwezo wako tufunguliwe milango ya kher kwenye maisha yetu napia tushibishe subra imani uwakuze watoto wangu kwenye maadili yakupendezayo yakuisoma dini nakufanyia ibada inshaallah

  • @saumusulaiman4742
    @saumusulaiman4742 Рік тому +2

    Maashaalah.Shukuran jazira .Allah baariki shekhe🙏🙏🙏🥰

  • @ASHURAASHURA-jx2if
    @ASHURAASHURA-jx2if Рік тому +1

    Bismilah rahman rahim hakika nakushkulu allah allah kwakila jambo naamuni kila kibaya kilicho kuwa kwenye mwili wangu kimeondoka mana hali niliokuwa naiskia baada yakuskila hiki kisomo wewe allah ndie ujuwae inshaallah mpe maisha malefu shekhe OTHMAN MICHAELL azidi kutusomea dua amiina

  • @ASHURAASHURA-jx2if
    @ASHURAASHURA-jx2if Рік тому +3

    Yaallah ni nakushukuru mola wangu nilikuomba sana unijaalie nipate kazi nnje ya nchi NA inshaallah mungu hukuniacha ulinijaalia nikapata kazi ni kasafili alhamdulilah nikaaza kaz lkn kidog kaz hio inachangamoto vikwazo kwa bos wangu lkn inshaallah ninaamini yaallah iko siku zitakwisha NA nitasahau inshaallah kwan hakuna kisichowezekana mbele yako kikubwa subra NA imani tu nami ninaamini kupitia dua hii yarabi nitaondokewa NA hizi changamoto zote inshaallah🤲🤲🤲

  • @BintiAmina-kh9oh
    @BintiAmina-kh9oh Рік тому +2

    Asalamaleikum warahmatuhllai wabarakatuh,nauliza mtu akitaka kuja kupata kisomo uwaeza kuja.

  • @buhitexmohamed4785
    @buhitexmohamed4785 Рік тому +2

    Allahuma Amiin

  • @Maryamjuma-s8w
    @Maryamjuma-s8w Рік тому +1

    Allah aqbar tabaraqallh 🤲🤲🙏

  • @fistonRamazani-m1y
    @fistonRamazani-m1y Рік тому

    Amin cheikh wetu Osman Michael. Mwenyezi Mungu ukulinde uzidi tusomeya ili tupone..inshAllah.

  • @zubedaomary4289
    @zubedaomary4289 3 місяці тому

    Shehe namshukuru Sana nimesikiliza hizo dua namshukuru Allah nahisi nimepona nimetikisika Sana yalio kuewepo majini yatakua yameondoka Allah akujaze kila la heri,

  • @saudayahaya639
    @saudayahaya639 11 місяців тому

    A.alekum. Ahekh Othman allah azidi kukupa kheri zaid kwakuwa jisomo hiki jiwa kinanisaidia sana. Ktkmaradhi ya kishetwain

  • @ZainabuMwambashi
    @ZainabuMwambashi Рік тому +1

    Amiiin amiin🤲🤲

  • @WachajiWaForo
    @WachajiWaForo Рік тому

    Assalam alaykum sheikh. Alhamdulilah alhamdulilah alhamdulilah nina imani kwamba nimepona. Sheikh nilikuwa nakwenda nyayo sana inaashiria nini. Na alhamdulilah ametoa salaam. Allah akulipe kwa kila wema wako

  • @mwanajumamwajao1262
    @mwanajumamwajao1262 3 місяці тому

    Asalam alaikum Sheikh naitaji kisomo hila nko saudia arabia ntakufakiaje Sheikh nateseka wallah

  • @ChantalKamikazi-o3w
    @ChantalKamikazi-o3w 18 днів тому

    Chukrani

  • @ShufaaHamis-r2o
    @ShufaaHamis-r2o Рік тому

    Yarabi kwa kisomo hk ukanioshee matatizo yote ktk maisha yangu na umifungulie milango ya rizki

  • @Zanha582
    @Zanha582 4 місяці тому

    Shukurani sana ❤❤❤❤

  • @ZukraTwahili-e5r
    @ZukraTwahili-e5r 2 місяці тому

    Inshaala

  • @HamyarMohd-vb1qv
    @HamyarMohd-vb1qv Рік тому +2

    Asalam aleykum naomba kuiliza je ukomtaja allah kimoyoni na kumswalia mtume kimoyo moyo au kwa saut vip nzur zaidi

  • @halimakenya3632
    @halimakenya3632 Рік тому +1

    Amina

  • @sabahabdallah5791
    @sabahabdallah5791 Рік тому +1

    Kisomo kizuri saaana sheikh, MashaAllah 👏

  • @ElizabethLizzy-pk3zj
    @ElizabethLizzy-pk3zj Рік тому

    AMIIN 🤲

  • @Gamil-r9o
    @Gamil-r9o 6 місяців тому

    Asallam aleykum mm nipo oman kikazi nimesikuluza dua hii kupitia kuweka von masikion maajabu niliyoona shee nilianza kucheza mwili kicha tumbo kuvuluga nakaanza kupinga miayo sana uku mwili ukinicheza sana wakati unamalizia dua nikajikuta mmdomo uko wazi mate yanatoka kisha nikaona ulimi unatoka inje ukawa mlefu kabisa ulipokuwa unamalizaduwa ndio ulimi ukalundi ndani wenyewe mpaka ukawa unaniuma kweri shee nimeona miujiza asant shee laken namba za sim sikuziona nilikuwa nasikia vibaya nikajilaza chali nikawa najiyoisha tu viungi

  • @GoogleMakkah
    @GoogleMakkah Рік тому +1

    Yarab molla wangu niondoshee maradhi yanayonisumbua katk maisha yangu kupitia kisomo iki

  • @AsiaNassoroMpili
    @AsiaNassoroMpili Рік тому

    Amiiiiiin 🙏

  • @ElizabethLizzy-pk3zj
    @ElizabethLizzy-pk3zj Рік тому

    Assallam walky warakumatullah wabrakatullah Allahmdulillah,,mm naisikiliza lakini malaika ya simama🤲

  • @janetmutua4275
    @janetmutua4275 7 місяців тому

    mungu akubariki sana 🙏,pia nitume sadaka kwa number ngani pls,niko kenya njina ni Janet minoo mutua

  • @zawadi-mz2nr
    @zawadi-mz2nr Рік тому +1

    Assalam aleikum warahmatullah wabarakatuh ya shk. Shukran kwa kisomo hiki kizuri. Mm nauliza us who stays far from your country, can you pray for us through the phone? If yes ! On which exact number? BarakaAllahu fikum may Allah ta'ala continue to bless you for us In Sha Allah.

  • @Gamil-r9o
    @Gamil-r9o 6 місяців тому

    Sasa mm nipo mbali nifanyeje kuusu dawa

  • @wardagogodigo1111
    @wardagogodigo1111 Рік тому +1

    🙏

  • @ElizabethLizzy-pk3zj
    @ElizabethLizzy-pk3zj Рік тому

    Amiin yaraby 🤲 Allah muondolee kila ugonjwa 🙏🤲

  • @geradybahati3127
    @geradybahati3127 Рік тому

    Nimetoa hewa na mwili umesisimuka

  • @NajmaJomy
    @NajmaJomy Рік тому +1

    Waalekum salam sheikh. Kusema la ukweli nlipoanza kuskiza tokea mwanzo usingizi ghafla ulinijia japo nlijikaza nisisinzie mpaka mwisho wa kisomo ukatoweka

  • @ShufaaHamis-r2o
    @ShufaaHamis-r2o Рік тому

    Shehe mm nimetowa sn hewa mdomoni na nilijinyosha sn naomba unipe maelekezo nije

  • @ElizabethLizzy-pk3zj
    @ElizabethLizzy-pk3zj Рік тому

    Sheikh ukitaka dawa na uko kenya twazipata vipi