Ni nzuri, waalimu weken juhudi zaid kwenye thaman za noti na kuimba noti husika hasa hizo minor notes (Accidentals) saut ya kwanza kwenye wimbo wa Joseph mkomagu,,, pia mwisho wa video hii pamekua na vurugu nyingi ambazo kimsingi hazitakiwi... take a note please
Mungu azidi kuwabariki🙏... Kazi nzur
Nabarikiwa sana na Thomas more hongereni sana kwa uimbaji 🎉🎉🎉🎉 Mungu atajiinulia taifa kwenu
nice !!!sooo nice 🙌🏽
Hakika mnafanya vyema kwa nyimbo mnazo imba Wana Thomas More🎉🎉🎉
Kazi njema Sana kumsifu na kumtukuza Bwana
Mbarikiwe na Bwana
Hakika nyimbo ni nzuri Na wanakwaya wamezitendea haki kuanzia Na tabasamu
Mola akawaongeze vyema katika uinjilishaji
Asante sana, ubarikiwe
Mtiribuu kaziii nzuriii.wanakwaya piaa kazi nzur tuendelee kumtumikia Munguu Kwa kuimbaaa
Amina sanaaa na ubarikiwe daimaaa
Hongera sana my family KMTM
Amina sanaaaa, ubarikiwe sanaaaa
Mungu awabariki sanaaaaaaa wana STM
Amina sanaaa, ubarikiwe piaa
My Family keep it up! Mungu awabariki sana
Amina sana, ubarikiwe pia mkubwa tuko pamoja kama familia
Kazi nzuriiii❤❤❤
Amina sanaaa😍😍
Mungu azid kuwabariki,,,, na mzidi kumtumikia 🎉🎉🎉
Amina Sana utukumbuke pia kwenye sala
Hakika mungu ni mwemaaaa atawafanikishaaaaaa
H
Aminaa, barikiwa sanaaa
Mungu awabariki sana na aendelee kuwajalia afya njemaaaaaa mtimize malengo yenu .
Amina sana, Mungu aendelee kuwa nasi sote
❤❤❤❤❤❤❤❤
Ni nzuri, waalimu weken juhudi zaid kwenye thaman za noti na kuimba noti husika hasa hizo minor notes (Accidentals) saut ya kwanza kwenye wimbo wa Joseph mkomagu,,, pia mwisho wa video hii pamekua na vurugu nyingi ambazo kimsingi hazitakiwi... take a note please
Asante sana mkuu tunalifanyia kazi, ubarikiwe
Kazi njuri mno wanakwaya
Mmefanya vema mungu awabariki sanaaa kuinjilisha Kwa uimbaji🙏🙏🙏
Amina sanaaaaa