BWANA ATAWABARIKI WATU WAKE na F.E nyanza.
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- Kwaya:Mt.Thomas More Mzumbe Main
Wimbo:BWANA ATAWABARIKI WATU WAKE.
Mtunzi:F.NYANZA
Mtiribu: Mr.
Kinanda:Kitebo Jr.
Ngoma:
Kayamba:
Camera :Elisha Mhoro.
#mzumbeuniversity ##tmcstanzania
mawasiliano:0746782425.
Mmetisha sana wana KMTM..
Barikiwa sanaaaa
You nailed St Thomas more 🔥🔥🔥💯🎉🎉
Hongereni wapendw mbarikiw na bwana😊😊😊
God bless you 🙏🙏
Barikiwa Sana STM🙏❤️
Hongeren sanaa Thomas more....❤
Tumeupiga mwingi Safi sana Thomas more
Mna KITI chenu mbinguni wapendwa🙏🙏🙏🥰🥰🥰
hongereni Thomas more kwa utume wenu mungu awabariki
Hongereni kwa kazi nzuri. WANATHOMAS MORE popote mlipo MBARIKIWE KAMA wimbo wenu unavyotoa ujumbe 😂😂😂😂😂😂🎉
Nimefurahi saaana🎉🎉 kwa kazi nzuriii
Amina sana ❤❤
Hongereni Thomas more mungu awabariki
Hongereni sana ndugu zangu Thomas more mzumbe mmetisha sana Big up kwako Organist kitebo na mtiribu wako
Hongereni kwa kaz nzuri🙏🙏🙏🎉
Hongereniii sanaa nimebarikiwa na utume wenu mbarikiwe pia zaidii 🙏
Maua kwako Mwlm Kitebo organs zimepangiliwa na sijamsahau mtiribu Petro
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
mnajuia mpaka mnakera 🔥🔥
Thomos more 🔥🔥🔥
Hongereni kwa utume🎉🎉
❤❤❤❤ hongeraaaa sanaa wakuu
Hongereni Sana watumishi wa MUNGU
Hongereni sana Thomas more mzumbe
Amen 🙏❤. Mbarikiwe sana
Hongereni sana wakuuu
Unyamaaaaa mwingiiiii
Mpeni hai huyo mpigie Ngoma anajua😄😄
Hayo ndo mambo sasa 😂😂😂😂😂😂😂
Saprano na Bass safi ila alto na tenor ongezeni nguvu❤
Pafecto....
Waooh
🎉🎉🎉🎉
🎉🎉
Bwana awe nanyi
Sauti ya pili ongezeni nguvu