KIDOLE JUU (OFFICIAL VIDEO) - Kwaya Kuu Mt. Cesilia Arusha Tanzania - Sms SKIZA 7472325 to 811
Вставка
- Опубліковано 26 гру 2024
- Available on all Platforms: album.link/tnz...
Download or listen online: mdundo.com/son...
Performers: Kwaya Kuu Mt. Cesilia Arusha Tanzania
Producer: Verony Productions Ltd.
Composer: Bernard Mukasa
Copyright ©Verony Productions Ltd.
Hayo mliyofunuliwa, bila kuyalipia kitu,
Nayo ndiyo yale mliyotumwa,
Kwenda kwa walio wadogo
Mungu alowatunukia awe mkuu peke yake
{Jiulize} nani kwenu {aliyeomba} kuzaliwa!
{Jiulize tena} nani kwenu {anayejua} siku ya kufa!
Hakuna! Hakuna! ha!
Hakuna jambo mnalomiliki hapa duniani
Yote mliyo nayo yana mwenyewe mnamjua
Naye amewapa haya kusudi mtumikiane
Ili kusiwepo na matabaka miongoni mwenu
Hiyo ndiyo hekima - ee aa ee
Hiyo ndiyo hekima -
Ndugu hiyo ndiyo hekima ya kweli } x2
Kama mliyo nayo yote yangekuwa yenu
Hiyo pumzi mnayojivunia wapendwa,
Isingekuwa inakiogopa kichomi
Ingeendelea hata palipo kichomi!
Uzuri wa sura zenu zenye ngozi laini
Inakuwaje hamuwezi kuuelekeza,
Usiungue hata kwenye maji ya moto
Na usioze unapolala kaburini!
Elimu na vyeo vyenu na mamlaka yenu
Akili nyingi ufundi navyo vipaji vyenu,
Mbona hamvitumii nyi mkiwa usingizini
Na mnaota ndoto sawa na za watoto!
Basi mimi, ninahimizwa, kujiepusha, kujiinua
Nijishushe, mbele ya wote,
Wawe wakubwa, au wadogo
Nisijiinue kati ya watu hata siku moja,
Badala yake nijinyenyekeze ili nifikike,
Akihitajika atakayewatumikia watu
Niinue kidole juu kusudi wanitume mimi, daima
Kidole juu kusudi wanitume mimi
Kidole juu, kuitikia wito daima
Kidole juu, kusudi wanitume mimi
Na nikitumwa niwe mwaminifu daima
Kidole juu, kusudi wanitume mimi
Kidole juu wanitume na Mungu atukuzwe daima
Kidole juu, kusudi wanitume mimi
Kidole juu, kidole juu, leo
Kidole juu, kusudi wanitume mimi
Kidole juu, kidole juu, daima
Kidole juu, kusudi wanitumie mimi, milele!
Tarehe 16 mwezi wa 3 2023 gonga like hapa mungu ni mwema bado tunasonga na nyimbo yetu 💃💃💃🙋🙋🙏🙏
Ni kweli hakuna anacho miliki binadamu humu ulimwenguni
Sote tuwapitaji
Kenyan Cathos show love for this masterpiece😇
Hakuna Jambo tunalomiliki hapa duniani....kila kitu kina Mwenyewe nae twamjua....HIYO NDIO HEKIMA EEEHH AAHH EEHHH...HIYO NDIYO HEKIIMAAA NDUGU HIYO NDIO HEKIMA YA KWELI....❤️❤️❤️❤️NIINUE KIDOLE JUU KUSUDI WANITUME MIMI ☝️☝️☝️
Naaminia Tanzania kwa nyimbo zao nzuri za kikatholiki,,congrats kabisa
Nani yupo hapa ata leo 01/11/2024
2024 tunacomment kwa wapi
Nyimbo za kikatoliki yaburudisha,yapambaza mawazo na zaidi yachangamsha mno,nafurahi kuwa mkatoliki
Zina burudisha sanaa
Well done St. Cecilia. Proudly Catholic! Mungu juu
Nimeamka siku ya leo huu wimbo umekuwa kwenye kichwa changu, imebidi niutafute naupenda sana
Ukiwa mkatoliki niraha sana
Sana tu
Mimi naona kuwa na Yesu ni Bora zaidi
Ndg yng ukisema mkatoliki kdg unakosea ila smhn sema ukiwa mkristo maan mm mwenyew sio mkatoliki lkn nyimbo za katoliki nafuatilia san
Kwani Mungu wetu wa rehema nyingi.anitume Mimi!..mnatubariki kweli kwa nyimbo hizi.....kibocha
Raha kuujua ukweli ktk Kristo huku unasikiliza muziki mtakatifu kama nifavyo, jamani ! Asante Yesu
Shukrani kwahu nyimbo mina ipenda sana...nawa fata kutoka apa 🇨🇩 🇨🇩 DRC
Wapendwa Subscribers, video hii tumei upload upya ikiwa na marekebisho
kidogo kwa ajili ya uwiano na masharti ya hati miliki. Asante kwa
kutuunga mkono siku zote. furahieni utazamaji.
Verony Productions you are the best.. .all love to you guys..... great job
I love this song. Can I get the Lyrics please?
Please let's have the lyrics as well.
Kwakweli yote tulionayo yanamwenyewe túnamjua
Naipenda sana hii kwaya,, Mungu awabariki
Nabarikiwa sana na hii nyimbo,baraka kwa waimbaji.❤❤
Hakuna kabisa....we are just empty....kidole juu
Always nikiungalia huu wimbo nafarijika uchezaji uimbaji upigaji vyombo shooting vyote vimeendana Mungu awabariki wote mliofanikisha hii video
Hongeren sn nyimbo mzr sana
I proud to be catholic❤
Wimbo mtaamu sanaaa jaman hakika Mungu Yu juu yenu amen🙏🙏🇹🇿🙏💚💚
Wimbo mtamu sana
Ni kweli ukiwa mkatoliki ni raha Sana
Sio kidole tu,bali mkoje JUU
Wonderful song,i cant have enough of it.Blessed choir.keep it up.playing it over and over again !
Glad you enjoy it!
@@VeronyProductions l I'll l IP p op pop 9 po op
Mmeimba vizuri sana jamani
Yaniiiii hii nyimbo ni taaaammmmm May God bless the whole team from the one who constructed the song to the singers the ones who play the piano and everyone behind the scenes.....😘😘😘😘
Thank you Ikonko for your kind words.
Chemichemi ya moyo wangu, kutwa nzima huusikiliza na kutizama video, uimbaji wa hali ya juu kongole wanakwaya wa Mt Cesilia
Mpiga kinanda - Heko. Uwiano wa sauti wa hali ya juu. Mungu awanyunyizie baraka zake.
Jo London.
Asante sana Josephine. Sasa angalia hii hapa tumeongeza sasa hivi: ua-cam.com/video/vBvT97Jk73c/v-deo.html
Nice song
Yani huwa naumiss upako mliokua nao mwanzo !Mungu Roho mtkatifu awarudishe tena jmn
Wimbo mzuri sana wa kutafakari maisha yetu. Asante mtunzi na waimbaji. Naupenda sana wimbo huu una mafundisho makubwa.
mungu awabariki muendelee kutoa nyimbo zuri
nyimbo ilokuwa ya kwenye mirahabaa
2024 bado naangalia
2nd of November 2024 keep my comment who's here today❤
Wimbo mzuri unatafakarisha vizuri na kujua kwamba hapa duniani sisi ni wapitaji tu.
Wimbo nzuri kweli kweli,naipenda sana kongole nyie
I love being a Catholic
Asanteni kwa nyimbo tamu yanikumbusha mbali kdogo
Amen 🙏 barikiweni Sana waimbanji Tamu Sana 💖💖💖💖💖💖👌👊👊👊👊👋👋👋👏👏👏😂😂😂😁😁💟 injili isonge mbeleee haaaaaaaa 👍💖
Hamna chochote tunachokimiliki duniani, yote yanayo mwenyewe na tunamjua!!! Utunzi sheshe nakwambia. Itambe!!!
Surely what i like the keyboard played by leg. I watch this song 🎵 everyday
Kusema kweli watanzania mnaaimba vizuri sana kutuliko sisi wakenya nyimbo hii ni ya zamani lakini bado inachoma kama moto. Mungu awabariki nyote.
Very true. Wakatoliki watanzania wanaimba kuimba
Hakuna jambo mnalomiliki hapa duniani❤❤❤❤
Unitume mimi
Wow hizi nyumbo zinabariki kinomaaaaaa
I mean nyimbo
Mungu awabariki mamba vizuri.kuhusu sana
True I wish we agree on that.
Wimbo mutamu kweli mungu awabariki Wana Kwaya wa Mt cesilia Arusha
Yote mlio nayo yanamwenyewe..🙏
Hakika akuna Jambo tunalo miliki hapa duniani,,, naipenda hii nyimbo Sana hongera waimbaji🎹🥰
Mungu awe pamoja nasi...milele na milele Amina
Lyrics ya hii wimbo 🙏
I love this choir with all my heart.
Hakika hakuna jambo tunamiliki duniani, yote ni ya Mungu
Nice one touches my heart
Hiyo ndiyo hekima
Amen Video muzuri sana Mungu a mibarikie kazi muzuri Na mavazi ya Kiroho kabisa accenti wapendwa Amen SHALOM
Safisanaa Mt Cecilia kwaya nzuri mmeimbaa vizuri sanaaaa
shwari kabisa,mziki wenye baraka tele
Hongereni sana
Kweli hakuna jambo tunalolimiliki hapa duniani
Agust 2023…still a masterpiece ❤️
Nzuri sana I feel that
Jamani, hongereni kwa kulitangaza neno la Mungu kiukweli
❤❤❤❤❤ from Kenya
jaman roho imetakasika mbarikiwe
Hii ndio hekima ya kweli😢😢🙏🙏🙏🙏
Bernard Mukasa katika ubora wake wa utunzi... The guy is genius
He is bro
wimbo mzur xana mungu awabarik
Kidole juu kusudi wanitume mm nimebarikiwa sana watumishi was mungu
My favourite.
Very.nice song,naam kidole juu
très belle mélodie. puisse le bon Dieu vous bénir et vous combler de sa grâce. soyez tous béni d'une manière générale.
macte anima
hongera sana kaya mtakatifu ceselia
Mubarikiwe sana. Nimefurah sana kuona Padre nae akitumbuiza
Wimbo huu unaakisi uhalisia wa maisha
Ngoma tamu 🔥
Mnaimba vizuri Sana,
Kosh mbona 50 comments??this jam is lit!!been playing on repeat
Asanten kwa wimbo mzur mungu awabarik
Pianist doing his job perfectly ♥️
Kidole juu wanitume mimi
mangwangwi, ubarikiwe jamani, padri wangu, i love you so much.
My favorite song
Kiukweli mpo vzr sana na mungu awabariki
Hongeren sana watumishi wa mungu
I wish someone could visit St Augustine chaplaincy Egerton university and see how our dancers make mass lively using this song.
Let me visit
Welcome
They should come and learn from St Paul's Chapel of University of Nairobi, those have aPHD in mass entertainment
Eric, si wangetuma kakitu tumumunye..... hahaaaa. Hata hivyo tunashukuru wimbo huu umewabariki wengi.
Eric kindly type the lyrics.
Amazing song🙏
Kidole juu kusudi wanitume mimi
☝
Uwiiiii huu wimbo dash haya asa itakuwaje maana unaniingia mpaka nachanganyikiwa
Ah hongeren kw utume
Still feels good to see my moms there in 2021❤❤❤
hivi album ya mchanganyo mchanganyo inaitwa aje
Wimbo mtamu mno. naupenda kaya hii.
Wonderful song God blessed Amen
Kua Roma raha san
Nice song, full of preaching message
Nothing to say let God bless you in abundance
Kipawa ulichopewa na mungu utadaiwa usipokitumia
Mungu awabariki
Kwaya yang bora kbs
Wimbo unaoimba " ..ninainua mikono kukutuza ee Mungu wangu,mwema..." katika hii album ya kidole juu mkiuweka available nitashukuru.
Hallelujah Gloriainechelisis DEO Hosanna In The Highest Amen Mungu à mibariki kamue Kasi mzuri sana Shalom wa pendwa
Be blessed servant's of the most high God
Thank God for the blessings.
Wimbo mzuri mnooo,,,,barikiweni