Mora peke tosha kwako lisu na team yako nzima,, pige magoti muumba wenu,, awasimamie na kuwatangulia katika mikutano yenu yote,, yy ndo pamabanaji wa pambanaji, mpiganaji wa piganaji,na YESu ndo mshindi wa washindi,, akawashindie vita hii ngumu, akawalinde na kuwakinga na damu ya mwanae YESu Christ popote muendapo..
Chizi kakabidhiwa sime 😂
umeyamwaga utayazoa mwenyewe
Watanzania tunapenda amani we sio kabisa watanzania tuamuke sasa
Hii
😂😂😂
Akina Mdee wakaribishwa
Tunataka mabadiliko
Tumechoka bwana akuna anayekusifia mkenya
Mjomba punguza domo fanya vitendo tuone sio kila siku kuongeaa tuuuuu! Unachosha mjomba
Mora peke tosha kwako lisu na team yako nzima,, pige magoti muumba wenu,, awasimamie na kuwatangulia katika mikutano yenu yote,, yy ndo pamabanaji wa pambanaji, mpiganaji wa piganaji,na YESu ndo mshindi wa washindi,, akawashindie vita hii ngumu, akawalinde na kuwakinga na damu ya mwanae YESu Christ popote muendapo..
Mpigeni shaba kwani yy nani?
Ww usitutangazie vita ! Hatuna vita kwetu hapa ila ww hutufai
Unaliwa
@zawadimbwambo1091 hatuwashangai maana wafuasi wake ni kama ww walevi na wavuta bangi baraka ya matusi tu lkn hakuna kitu
@zawadimbwambo1091 chadema bye bye hiyo kelele tu zimebaki bwege mmoja ww
Wanasifia nn ? Hiki chama kimefanya makosa kumuondoa Mbowe...subilini kidogo
Mjinga kama wewe unajua nini?
Ni wajinga tu wanaompuuza Lissu,
Kichaa kapewa Rungu.chadema mtakoma