Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Endelea kupumzika mahali pema peponi Amina Ngaluma 🙏
Nakumbuka mbali Sana kipindi icho tunapanda coaster Moro to dar tunaenda kwa sista kwenye rikizo hizo nyimbo zinapigwa kuanzia pale mikese daah
Amina ngaluma a.k.a japanesse.....daaa rest in eternal peace and in Paradise
Huku ndio kuimba maana wimbo unafufua hisia ambazo watu wamepitia . Kama hujapitia haya wewe sio binadamu
Duu mungu akupe pumziko la milele
Jmn kumbe tumefaidi asante mwenyezi kwa zawadi ya uhai
Kama hamna kumbukumbu nzuri za historia za muziki muwe mnauliza bc,wimbo huu wa mapendo ni wa African revolution "tamtam" uliotungwa na Marehemu Amina Ngaluma"Japanese"na cyo wa Double M sound.
Qq11
Ndo haohao waimbaji
Nasikia ngaluma ndio alikuwa tajili wa hii bendi
Badbakule na muumin mwinjuka
Jmn amina ngaluma ashafariki??? 😢
Hizi ngoma huamsha hisia Kali Sana, jamaa walikuwa wanalalamika haswa
Beautiful voice
Enzi hiyoo Ukimwi ndo ilikuwa habari ya mjini, na jina maarufu miwaya au nyambizi
kweli kabisa
dunia tunapita pumzika kwa amani dada
wimbo mzuri sana nawala hauchuji sauti nzuri ya amina ngaluma
2021 nani anaitazama hii
Naupenda huu wimbo unanikumbusha mbali sna ndo nimeingia kwenye ndoa🙏🙏😍😍
Naupenda sana huwimbo nahasa nipeni alubam zote za mwijuma Nazi penda
Mungu alulaze mahala pema peponi na akupunguzie azabu zakabuli katika kuitumikia kazi ya kaburi umetuachia nyimbo yamafundisho mazuri xana
Dah, huu wimbo mtam wajemn hasa una kama dem anakupenda
Amina unaendelea kuishi. Japo hatupo nawe kimwili
Yaani natamanitu kuiangalia kila mda
Nakumbula nilikuwa bukoba nfuatilia lazi
Kali sana
Zamani raha naikimbuka sana hiingoma
pumzika kwa amani dada
Nyimbo hii inanikumbusha nikiwa kondoa mjini
safi.sana ngoma.kali sana.hii haichuji japanis ngaluma.amina
Nyimbo bora ya miaka yote muziki ulikuwa zamani bana
Muziki ni tiba.
Hii sio double M bhana..ni African revolution wana Tam Tam
Daaaaaaa mwishon mwa miaka ya tisin mwanzon mwa miaka ya 2000
Upumzike kwa aman Japanese nakukubali sana
Miaka mingi Nakumbuka kipindi hicho najifunza udereva milima ya uwanji mby hio
Nyimbo tamu sana hii da!mwnjuma rudi na tungo za ivi bna
Zamani sana
Amina mungu akupunguzie adhabu za kaburin ntakuenda daima
Enzi zetu hizo mpaka nimetowa machozi kaka
Pole sana❤
Nakukubari sana Dada amina mungu akuweke mahara pema peponi amin
Uko wapi?: Amina? Nyimbo niko dodoma nyimbo hii maumivu kwangu
Princes fundi wa mziki muuminii
Aaaah! Ahsante mkuu kazi ilikuwa nzuri kweli kweli!!
Mumin namkubali kwa nyimbo zake
@@neno2515 kwa kweli huyu kiumbe huwa ana nikosha moyo wangu kwa sauti yake.
Ilove Mogaka Leo guys mama amlaze sehemu take
Rip kimwana wewe
Oooh Amina Ngaluma mwana mahenge Rest in peace dear dada
Kwani ameshafariki huyu dada?
nakumbuka mwaka 2002
R.i.p amina sote twaja ulipo dunia twapita. Kaz yako haita sahaulika
2023 bado naingalia
Naomba nashuti zake maana zinanikumbusha matukio yangu yaliyo nikuta
R.I.P Amina umetutangulia mbele za haki.
Wimbo huu naupenda sana Bado nausikiliza mpaka Leo 24/09/2022
R I p amina ngaluma Japanese mbele yako nyuma yetu
Fantastic song AMINA NGALUMA
Kaz nzur sana
Mzee wakazi umerudi tena sana lazi imehonekana mm mcongo nipo USA las Vegas ila songea mbanga mawe nimekaa pale mzee wangu ngairo anajuwa ilo
Kaka wewe umetusua bhana tutaftiane njia nasi tuje huko duuuh
Sauti ya mwinjuma daa! hatari sana
Lukwangule
2022 RIP dada Amina Ngaluma
Mm nimetuma hela kwa girl wang nimeona upendo unaonipa sk moja sitaupata
Dada alikuw na voice
What a Song
R.l.p😢😢😢
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍
Rest in peace Amina Ngaluma Japanese
Daah 💪💪💪
Sio Double M .Tam Tam hii
Amina japanes...
WANA TAM TAM
Ongeza nyingine
Daimond
Family Conflict
Nice
Mungu akupe pumumziko la milele
Hivi namuona Dr Tulia humo?
Ira kweli kama yeye vire
Rest in peace japanese
RIP Japanese...
God bless u rest in peace
Endelea kupumzika Salama Japanese
2022 nipo
Mpiga solo naona vidole vinaongea si mchezo
2021
Daaah asee nmkumbk mbal sn
Tamu sana
Ii
Japanese rest in peace
Kitu inaitwa Shangingi la karne kaka
Hv huyu dada yu wapi
r i p
Kafa uyoo
Kaka shangingi la karne
Tenda wema
Wimbo unaitwa mapendo umetungwa marehemu amina ngaluma japanese
Endelea kupumzika mahali pema peponi Amina Ngaluma 🙏
Nakumbuka mbali Sana kipindi icho tunapanda coaster Moro to dar tunaenda kwa sista kwenye rikizo hizo nyimbo zinapigwa kuanzia pale mikese daah
Amina ngaluma a.k.a japanesse.....daaa rest in eternal peace and in Paradise
Huku ndio kuimba maana wimbo unafufua hisia ambazo watu wamepitia .
Kama hujapitia haya wewe sio binadamu
Duu mungu akupe pumziko la milele
Jmn kumbe tumefaidi asante mwenyezi kwa zawadi ya uhai
Kama hamna kumbukumbu nzuri za historia za muziki muwe mnauliza bc,wimbo huu wa mapendo ni wa African revolution "tamtam" uliotungwa na Marehemu Amina Ngaluma"Japanese"na cyo wa Double M sound.
Qq11
Ndo haohao waimbaji
Nasikia ngaluma ndio alikuwa tajili wa hii bendi
Badbakule na muumin mwinjuka
Jmn amina ngaluma ashafariki??? 😢
Hizi ngoma huamsha hisia Kali Sana, jamaa walikuwa wanalalamika haswa
Beautiful voice
Enzi hiyoo Ukimwi ndo ilikuwa habari ya mjini, na jina maarufu miwaya au nyambizi
kweli kabisa
dunia tunapita pumzika kwa amani dada
wimbo mzuri sana nawala hauchuji sauti nzuri ya amina ngaluma
2021 nani anaitazama hii
Naupenda huu wimbo unanikumbusha mbali sna ndo nimeingia kwenye ndoa🙏🙏😍😍
Naupenda sana huwimbo nahasa nipeni alubam zote za mwijuma Nazi penda
Mungu alulaze mahala pema peponi na akupunguzie azabu zakabuli katika kuitumikia kazi ya kaburi umetuachia nyimbo yamafundisho mazuri xana
Dah, huu wimbo mtam wajemn hasa una kama dem anakupenda
Amina unaendelea kuishi. Japo hatupo nawe kimwili
Yaani natamanitu kuiangalia kila mda
Nakumbula nilikuwa bukoba nfuatilia lazi
Kali sana
Zamani raha naikimbuka sana hiingoma
pumzika kwa amani dada
Nyimbo hii inanikumbusha nikiwa kondoa mjini
safi.sana ngoma.kali sana.hii haichuji japanis ngaluma.amina
Nyimbo bora ya miaka yote muziki ulikuwa zamani bana
Muziki ni tiba.
Hii sio double M bhana..ni African revolution wana Tam Tam
Daaaaaaa mwishon mwa miaka ya tisin mwanzon mwa miaka ya 2000
Upumzike kwa aman Japanese nakukubali sana
Miaka mingi Nakumbuka kipindi hicho najifunza udereva milima ya uwanji mby hio
Nyimbo tamu sana hii da!mwnjuma rudi na tungo za ivi bna
Zamani sana
Amina mungu akupunguzie adhabu za kaburin ntakuenda daima
Enzi zetu hizo mpaka nimetowa machozi kaka
Pole sana❤
Nakukubari sana Dada amina mungu akuweke mahara pema peponi amin
Uko wapi?: Amina? Nyimbo niko dodoma nyimbo hii maumivu kwangu
Princes fundi wa mziki muuminii
Aaaah! Ahsante mkuu kazi ilikuwa nzuri kweli kweli!!
Mumin namkubali kwa nyimbo zake
@@neno2515 kwa kweli huyu kiumbe huwa ana nikosha moyo wangu kwa sauti yake.
Ilove Mogaka Leo guys mama amlaze sehemu take
Rip kimwana wewe
Oooh Amina Ngaluma mwana mahenge Rest in peace dear dada
Kwani ameshafariki huyu dada?
nakumbuka mwaka 2002
R.i.p amina sote twaja ulipo dunia twapita. Kaz yako haita sahaulika
2023 bado naingalia
Naomba nashuti zake maana zinanikumbusha matukio yangu yaliyo nikuta
R.I.P Amina umetutangulia mbele za haki.
Wimbo huu naupenda sana Bado nausikiliza mpaka Leo 24/09/2022
R I p amina ngaluma Japanese mbele yako nyuma yetu
Fantastic song AMINA NGALUMA
Kaz nzur sana
Mzee wakazi umerudi tena sana lazi imehonekana mm mcongo nipo USA las Vegas ila songea mbanga mawe nimekaa pale mzee wangu ngairo anajuwa ilo
Kaka wewe umetusua bhana tutaftiane njia nasi tuje huko duuuh
Sauti ya mwinjuma daa! hatari sana
Lukwangule
2022 RIP dada Amina Ngaluma
Mm nimetuma hela kwa girl wang nimeona upendo unaonipa sk moja sitaupata
Dada alikuw na voice
What a Song
R.l.p😢😢😢
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍
Rest in peace Amina Ngaluma Japanese
Daah 💪💪💪
Sio Double M .Tam Tam hii
Amina japanes...
WANA TAM TAM
Ongeza nyingine
Daimond
Family Conflict
Nice
Mungu akupe pumumziko la milele
Hivi namuona Dr Tulia humo?
Ira kweli kama yeye vire
Rest in peace japanese
RIP Japanese...
God bless u rest in peace
Endelea kupumzika Salama Japanese
2022 nipo
Mpiga solo naona vidole vinaongea si mchezo
2021
Daaah asee nmkumbk mbal sn
Tamu sana
Ii
Japanese rest in peace
Kitu inaitwa
Shangingi la karne kaka