Hii ni story ya kweli kabisa kama watu walikuwa awajui ilimtokea sekedia mpiga kinanda wa hii band alikuwa anadem kipindi icho chule ya jangwani kulikuwa na watoto kinoma sasa jamaa alikuwa na Dem nae pale akamsaliti ndo wakamtungia nyimbo uyo msichana ni story ndefu kidgo
Vzr sana endelea hvyo kuweka video za zamani. Tena naomba uweke na Band flani ya kitambo ingawa jina silifaham ila waliimba nyimbo km Shangingi, na mbio za sakafuni huishia ukingoni.
Hizi ni sauti za dhahabu kwakweli... Badibakule, Rashid Mwenzingo R.I.P na Mwinjuma Muumini kwa hakika kibao hiki walikitendea haki vilivyo nakumbuka mbali mnoo
Hapo kulikuwa na Hii Double M, Upande wa pili unakuta kuna Twanga Pepeta, TOT plus mji ulikuwa wa moto sana kizazi hiki In the meantime BongoFlavor ilikuwa inajitafuta snaa
Wakati huo ukimwi ni kama wote, hadi ukawa unaitwa kimeta, umeme, na majina kibao. Mda huu pia tulikuwa tunadharau hizi nyimbo, kwamba za zamani ni bora kuliko hizi. Hivi sasa naona watu wale wale tunaziongelea vingine kabisa.😂
Badi Bakule Yuko wapi simsikii kabisa naomba kujulishwa aliko Badi bakule
Hizi ndio zilikuwa nyimbo hazichuji miaka 300, Asante Sana Badi Bakule.
Hizi nyimbo Melody imekaa mahala pake hapa ndo unaski maan ya muzik vyomb unavskia saf san2023❤
Badi bakule mnyama,, Mwinjuma fundi,, &Amina ngaluma.🔥🔥🔥🔥🔥🔥
💥💥💥💥💥💥💥💥
Doh....nimemtafuta sana BADI BAKULE Hatimae nimempata....big up..!..jamaa Lina VOCAL noma..!
Ati"kanambia mwenyewe Tia mkono upapase utachokikuta size yako" ha haaaa.. Much love kwenu
Maisha yanakimbia mnoo
Hii ni story ya kweli kabisa kama watu walikuwa awajui ilimtokea sekedia mpiga kinanda wa hii band alikuwa anadem kipindi icho chule ya jangwani kulikuwa na watoto kinoma sasa jamaa alikuwa na Dem nae pale akamsaliti ndo wakamtungia nyimbo uyo msichana ni story ndefu kidgo
Aahahaha na jina ni Paulina au walibadri jina tu
Alikua na demu mwanafunzi. Shenzi yake
My lovely dear oooooh paulina wa jangwani alimtesa jaman
@@geofreysolomon5954😂😂😂😂😂
@@geofreysolomon5954shenzi zake😂😂😂
Daaaah hiii inanikumbusha bahama mama kimara miaka ioooo ..duu african revolution ndio basi tena..
hamisi.kais baama mama ilikuwa mpango mzima.ukikosa.kwenda imekula.kwako
Ndiooo nyumbaniii ukooo
Dah hatar sn bahama mama club
2024 hit like...nakumbuka oldies tu hapa
Sesesesemeee! sauti hpo ya bakule hatari tupu, mwinjma tiamkono upapase du!
Naipenda hiii nyimbo sisi wahenga raha sana
Bad Bakule(Jongoo la Mjini) ni hatari sana
safi sana,,weka video zote za zamani ,,maana mziki mzuri ulkuwa zaman sio sasa
poa kaka ntaziweka
jogoo lashamba.badi.bakule. kweli kila.jambo nawakati.mziki.mzuri nyimbo.sauti nzuri
Ndg nazitafta sana nyimbo za zamani kama hizi aise
Yani dah!! Hiinyimbo naipendaga ballaaa!❤❤❤
❤❤Badi Bakule mwamba❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Vzr sana endelea hvyo kuweka video za zamani. Tena naomba uweke na Band flani ya kitambo ingawa jina silifaham ila waliimba nyimbo km Shangingi, na mbio za sakafuni huishia ukingoni.
mbio za sakafuni.waliimba bendi.ya muungano imetulia.sana ile nyimbo
Hongereni sanaaaaaaa
Mbio za sakafuni wameimba muungano bendi
Hakika nyimbo za zamani zilikuwa nzuli sana
Nyimbo hii acha tyu asee inanikumbusha mbal sana
Hizi ni sauti za dhahabu kwakweli... Badibakule, Rashid Mwenzingo R.I.P na Mwinjuma Muumini kwa hakika kibao hiki walikitendea haki vilivyo nakumbuka mbali mnoo
Mzee kwani Rashid Mwezingo amefariki??
Rashid mwenzingo yupo,anafanya Nazi na family band pale mza bundasliga.Ila kiukweli hawa jamaa wanajua,Nazi zao zoote in tamu
Mdau, kwa nini useme RIP? Nijuavyo dada yetu Halima Ngalume ndiye katangulia pekee
@@engyhy1985 typing error tu ila nilimkusudia Amina
Sauti ya Badi Bakule😊😊😊
Upload album yote kaka
Long time enzi hizo nipo Biharamulo jaman maisha huenda mbio
Dah! Kipindi hicho Mambo yalikuwa burudani2003 bimlo redio station asa redio one kuikamata mpaka upande kuanzia bomani! Au mpaka hali ya hewa!
Petro alimkana bwana yesu ×3 lakini Petro alisamehewa! Shikamooo mapenzi!
Nakili kosa naomba mnisamehe da petro huyo
Samehe 7×70 niwanaume wachache sana wenye kukubali makosa
hahahahahahaha 🤣 hatimyeeee my name is here PAULINA
Hivi Badi Bakule upo wapi!? Dah! Umepotea sana kaka
Jogoo la mjini
Hatariii sana ni fire
Amazing music
Huu ndo ulikuwa mziki
Mwaka 2002 wazee wezang mpo apo
Naomba wimbo mayamaya
Mm mwenyewe nautafuta sana ukiupata nitumie
Jamani mmenikumbusha mbali
Aisee kitambo xn,hv yuko wp Badi Bakule ck hiz,vp bado anaimba?
Badi bakule jogoo la mjini
Muumin noma....
Jogoo la mjini katika ubora wake!!
Badi Bakule 🥀
Nakumbuka nilikuwa ziwa rukwa navua samaki enzi hizo miaka hiyo
Hizi ndio nyimbo za watu wenye akili Pana,maana ujumbe unaongea uelewa na maarifa , l wish u all merry Christmas and new year 2024
Na dhahabu
still 2021
2022 still on top
Bend bora waimbaji bora hakika vilikuwa vichwa hivi
Ya kale ni hatari
Iga ufeeeee
2021's gonga like tujuane legendaries
❤❤❤❤❤❤
Wakat uo ni atar
Haha sawaa
Bad bakule jogoo la mjini na mwinjuma muumin wako wap hawa viumbe
Mziki mzuriiiiii
Endu sekedia
Andrew Sekedia
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kocha wa dunia hakuna zaid yake
Inakumbusha niko darasa la 4 mwaka 2000
Sekedia sekedia sekedia
Jamani Paulina inanikoshaga
The nith
Badi Bakule Shaban....
We acha tu
Hapo kulikuwa na Hii Double M, Upande wa pili unakuta kuna Twanga Pepeta, TOT plus mji ulikuwa wa moto sana kizazi hiki
In the meantime BongoFlavor ilikuwa inajitafuta snaa
Yaani humu huwa kunadem huwa namkubali toka enziizo mpaka reo nikiangalia hii ngoma huwa namwangalia yeyet
Amina ngaluma au sio?
😂😂😂
R.I.P. AMINA NGALUMA.
Kwa kwer watuwaliimba sana na awakupta mafanikio
Wewe acha tu..
Yaani bastu
Kipindi hicho hakuna kolona wala ukimwi sio sasa kweli dunia imekwisha
Weee huo ukimwi kipindi hiki mgonjwa akikuangalia umeupata🤪
Acha tu
Wakati huo ukimwi ni kama wote, hadi ukawa unaitwa kimeta, umeme, na majina kibao. Mda huu pia tulikuwa tunadharau hizi nyimbo, kwamba za zamani ni bora kuliko hizi. Hivi sasa naona watu wale wale tunaziongelea vingine kabisa.😂
hahahahahahaha 🤣 hatimyeeee my name is here PAULINA