Da nakumbuka nimeolewa uzazi ukagoma miaka mitano wimbo niliwekewa nyumba za kupanga inauma sana kwasasa mungu amenipa vitoto vyangu ke na me kama mboni za macho thanks God
Rest in peace amina.nyimbo inanikumbsha Mbali kipindi nipo mdogo sn 2002 mbk leo 2022 nimekuw baba wa familia nchi za watu south Africa siamini but asant mungu
Nyimbo za zamani zipo kama zahabu❤️🔥❤️🔥🔥🔥. Na wakati huu pangekuwa waimbaji kama hawa wazamani, ingekuwa powa sana. Sichoki kuzisikiliza nyimbo kama hizi, na sitachoka kamwe.
Huu wimbo huwa unanikumbusha Dada yangu alipita kwenye changamoto ya kukosa mtot na kunyanyasika sn kweny ndoa mpka kuachka naupiga kila mara hs kipande cha badi bakule,Mungu ni muweza.
Muumini mwijuza kazi yako endelezi hisitoiia kwakila mtz somo tosha kwadalasa endereza fani tunakupenda washabiki zako usipizie sama comenti love so moch song
Kipindi hicho nilikuwa naupenda huu wimbo ilikuwa2003 ndio namaliza la 7 cha kushangaza na mimi nimekuwa mgumba nimeona niingie UA-cam niangalie huu wimbo Wagumba wenzangu 2021 hii tusikate tamaa tutapata na sisi
Hii sio Double M sound. Hii ni African Revolution - Tamtam. Ila waimbaji wengi walianzisha Double M Sound chini ya kiongozi yuleyule Muumin Mwinjuma wakaimba Mgumba no.2 na Hadija Mnoga. Hii iliimbwa na Amina Ngaluma.
Uko vzr kaka,hebu nisaidie kuhusu Waziri Sonyo yupo wapi maana cjui lolote juu yake, aliwahi kunishika mkono akaniingiza mwenye tamasha la TOT Plus.Mwaka 2004 nikiwa kijiji kwetu UKEREWE MWANZA.Sikua na hela ya kiingilio nikiwa mdogo
Uu wimbo unantowa machozi enz za uhai wa mume wng shaibu Chingwalu au maarufu madadi wkt tunataka mtt lkn akutupa mung na adi katutenganisha mung 2007.
Badi Bakule kwa ushauri huo Kwa mgumba umetisha brother,maneno hayo yanatosha kuwa faraja kwa wanawake wote wenye shida hiyo(ugumba)duniani kote, ahsante sana kwa kazi nzuri!.
Mwinjuma Muumim katika ubora wa hali ya juu kabisa, wimbo wenye ujumbe na burudani muruwa. Sikiza Sauti ya Badi Bakule, msikize Japanese marehemu, ilikuwa squad ya nguvu hasa.
2024 I’m here jamanii huu wimbo … Badi Bakule napenda sana kipande chake ❤❤
Badi Bakule was fire
Aliuwa san verse yake❤
Badi bakule mze wa pangu pakavu tia mchuzi!
2002,mpaka 2024 hakika Mungu mkubwa
Nalia Ugumba mie sina Mwana mpk sasa nahisi hii nyimbo nilitungiwa mm We Mungu naomba Uniangalie kwa jicho lako LA huruma
Salma Ramadhani pole sana umepata mtoto.?
Pole sana
Najua machungu yake.
Hii msg daa mgumba Sasa amezaaa no balaaa
Pole sana
Nani amesikiza huu wimbo2021 like naupenda sanaa
Fau, nitafute wasap 0783534353
Pol san yot yamung
😘😘
🙏🙏🙏🙏🙏. 😂😂😂😂 Kazi nzuri
sio 2021 ni 2001
2/1/2021..wahenga wezangu tujuane hapa music wenye ujumbe mzuli sio sasa kipindi cha NYEGEZI ujinga mtu kupoteshana tu..... like here ..
Inanikumbusha mbali sana nilipochelewa kupata ujauzito 2012
Kweli kaka nimemisi zamani sana
😂😂😂😂😂😂😂 brother nimecheka sana ety mziki wa nyegezi🙌🙌🙌
Sana mwamba hizi ndo zilikuwa nyimbo kwa kweli.
Am here Lubumbashi am going on to listen this song good talent and good limembranc
Inanikumbusha mwaka 2002 😭😭😭😭 Sasa ni 2022 kweli Mwenyezi Mungu janipenda Thanks Allah
2023🔥🔥🔥🔥
Bado ngoma ni mbichi dizaini Fulani kama ndio wametoka studio.ngoma still young forever
Da nakumbuka nimeolewa uzazi ukagoma miaka mitano wimbo niliwekewa nyumba za kupanga inauma sana kwasasa mungu amenipa vitoto vyangu ke na me kama mboni za macho thanks God
BADI BAKULE ametisha sana kwenye huu wimbo.
Mungu ndy Kimbilio let usichoke kumuomba
2024 still naangalia good music
Good music , inatukumbusha mbali
Nakumbuka mbali miaka ya 2001, muumin unajua Sana Tena ulijua nyimbo haichuji
Rest in peace amina.nyimbo inanikumbsha Mbali kipindi nipo mdogo sn 2002 mbk leo 2022 nimekuw baba wa familia nchi za watu south Africa siamini but asant mungu
Binafsi nilikuwa na miaka 10 kamili nilikuwa zinatamba kijijini, wakt huo ukirudi shule unaenda kweny vibanda vy sinema kuziangalia hatar 🔥🔥
Mm nilikua darasa la kwanza nikiwa na miaka 8
@@masudikayanda6391😂😂😂😂😂
Huyo jamaa aliyekuwa anazungushazungusha mikono kipindi anaimba Amina namwangaliaga mara mbilimbil,maana inaonesha alikuwa na mzuka sana.
😂😂😂😂😂😂
Dah Mwinjuma huwezi amini kama kapotea kabisaa, kweli kuisha kupo..aliimba saana dah
From Kenya, back 2002 my late cousin Joram hapo Mererani alikuwa a big fan wa African Revolution Band
Huu wimbo unanikumbusha ndugu na jamaa tuliokuwa tunaishi nao,,na sasa hatuko nao
TRU
Kam mim yaan
Huu wimbo u unaishi milele naaana ni kila siku masimango ya ugumba yanazidi kuwepo
2002_2024 God ni mkubwa
Piga kelele kwa bad bakule yaaakeeee😁😁
Kijana ana vocal la kutosha
Sijui yuko wapi !!!!!!! ???
Nyimbo kali sana namkumbuk mzee wangu
Nyimbo za zamani zipo kama zahabu❤️🔥❤️🔥🔥🔥. Na wakati huu pangekuwa waimbaji kama hawa wazamani, ingekuwa powa sana. Sichoki kuzisikiliza nyimbo kama hizi, na sitachoka kamwe.
Ni zote moto
Kwel
Huu wimbo huwa unanikumbusha Dada yangu alipita kwenye changamoto ya kukosa mtot na kunyanyasika sn kweny ndoa mpka kuachka naupiga kila mara hs kipande cha badi bakule,Mungu ni muweza.
Bad bakule katoa ushauri wa nguvu sana .hapa ndio tunapata elimu iliyokuwepo katika ngoma za kitambo
Muumin Mwinjuma (kocha wa dunia), Badi Bakule (Jogoo la Mjini), Rasheed Mwezingo, Amina Ngaluma (Japanese - RIP),,,,,katika ubora wao!!!
Huu wimbo una nikumbusha nikiwa safarini 2002 kuelekea Ndanda high school , wimbo uliimbwa sana kwenye basi za Dar - Mtwara.
Madibakule sauti yake inanikosha sana daah Vya Kale dhahabu
Njoo group la mziki wa Dansi, nichek wasap 0783534353
Kwel
Muumin unatisha mkuu👹, nashukuru Mungu🙏🏾 umerudi kutuletea madongo ya ukweli na bendi yako mpya👍🏾
Ana band gani saiz huyu mwamba
Anaehitaji mtoto na yuko kwenye umri wa kuzaa 15-35 tuwasiliane ❤❤.
A platinum record by all standards.
Zilipendwa nitamu sana nyimbo inanikumbusha mbali sana ujumbe tosha.
Mwinjuma Muumini ni kipaji Cha nadra kwenye music wa dansi. Amina Ngaluma was my favorite female vocàlist.
Kwa Tanzania hii, hakuna kama kocha wa dunia
Poresana. Mwamini mungu atakupa
Asante Mungu kunipa uzazi ,,watoto watamu asikwambie mtu🙏🙏
Daaaaah nakumbuka mbali saaana jamani Hadi natokwa na machozi
Km una tazama 2021 tujuwane ap
Mi natazama 2023
Hizi nyimbo huwa zinatoa machozi
Hizi ndz nyimbo zilojaa ujumbe Kwa jamii
Kwelii
Haya bb tumetabika kupata watt leo hii unawakana duuuuuh mungu yupo
Muumini mwijuza kazi yako endelezi hisitoiia kwakila mtz somo tosha kwadalasa endereza fani tunakupenda washabiki zako usipizie sama comenti love so moch song
Ipo ck utapata usikate tamaa mungu yu pamoja na wewe🤲
Kipindi hicho nilikuwa naupenda huu wimbo ilikuwa2003 ndio namaliza la 7 cha kushangaza na mimi nimekuwa mgumba nimeona niingie UA-cam niangalie huu wimbo Wagumba wenzangu 2021 hii tusikate tamaa tutapata na sisi
Suzane, nitafute wasap tafadhali 0783534353
Pole sana mamy nikazi ya mungu
Yaani hata mm huu wimbo niliupenda sana nikawa naimba kilasiku nimeukariri mno,Leo hii ikawa ivoivo.dah
Na mm niliukariri jmn na mm hvohvo nahangaika kutafuta mtoto😢
Wapi mzee juma hamza
R l P Amina Ngaluma my dada tutakukumbuka daima Kwa sauti nzuri na nyimbo ya mgumba
Niimbaa sana mayai nyumbani nikauone2 huu wimboo jaman du
Hatari saaaana ngoma sahihi❤❤
Daaaah nukumbuka mbali sanaaa
Hii sio Double M sound. Hii ni African Revolution - Tamtam. Ila waimbaji wengi walianzisha Double M Sound chini ya kiongozi yuleyule Muumin Mwinjuma wakaimba Mgumba no.2 na Hadija Mnoga. Hii iliimbwa na Amina Ngaluma.
Kuna ile nyimbo inasema kama gari imekushinda mwachie john komba apige misele inaitwaje
Uko vzr kaka,hebu nisaidie kuhusu Waziri Sonyo yupo wapi maana cjui lolote juu yake, aliwahi kunishika mkono akaniingiza mwenye tamasha la TOT Plus.Mwaka 2004 nikiwa kijiji kwetu UKEREWE MWANZA.Sikua na hela ya kiingilio nikiwa mdogo
@@nicholauskilosa5336 waziri sonyo ni marehemu kwasasa akifariki mwishoni mwa mwaka jana au mwanzoni mwa mwaka huu Mungu amsamehe
@Kisanganya Kiswanta Nimepata taarifa hivi karibuni tu,Maana sikuwepo Tz kwamuda mrefu
@@nicholauskilosa5336 Waziri Sonyo alifarki ghafla tarehe 23/02/2021 jioni mara tu aliporudi nyumbani kutoka kutazama mechi ya mpira
RIP Sonyo
Muombe tu mungu utapata usikate tamaa
Uu wimbo unantowa machozi enz za uhai wa mume wng shaibu Chingwalu au maarufu madadi wkt tunataka mtt lkn akutupa mung na adi katutenganisha mung 2007.
Badi Bakule kwa ushauri huo Kwa mgumba umetisha brother,maneno hayo yanatosha kuwa faraja kwa wanawake wote wenye shida hiyo(ugumba)duniani kote, ahsante sana kwa kazi nzuri!.
Bint ramadhan pia ww usikate tamaa mungu yupamo nawe sawa dadake
Duhhhhh mwaka 2000 ilikuwa ndo ngoma yangu ya kuvutia mazee ya kale matamu nyie
Kitambo sana nakumbuka mbali kweli
huyu dada ana saut nzuriii
Dah japaniss Mungu akusamehe makosa yako dunia mapito
Huu ni wimbo wa huzuni unaingia ndani moyo mpaka machozi
Kime kime kime anaogopa kimetaaaaa.
Bigup double m
2023!still on point
It's never getting old
Together
Wapi Badi bakule shaaban,wapi rashid sumuni,wapi Muumin mwinjuma,sauti ya muumin na uimbaji sehemu ya pili mhh,nakumbuka mbali
Wapiii luisa mbutuu
Daaa! Anaejua anajua tuu
Muda unakwenda sana. Huu wimbo ni miongoni mwa wimbo mzuri sana enzi hizo 2001
Exactly kabisa ni 2001
Hata mimi nazipenda sana
Goof song, it remind me back 2000, badi bakule slitisha kwa mix ,big up muumini na RIP Amina Ngaruma
Hivi huyu Badi Bakule aliishia wapi? Maana simsikii kabisa na alikuwa na vocal la kipekee sana.
Kuolewa ni sheria kuzaa ni majaliwa nisaidie bwana peke yangu siwez peke yangu
For sure nakumbuka mbali sana.Mungu Mkubwa.
bado hii ngoma ipo fresh
nice sana . ngoma kali mnoo . tumesubscribe , fanya mpango weka mgumba part 2 pia ni nzuri sana ile nayo .
Icho kipande alichoimba badibakule ni ujumbe mzr sanaaa
Daaah!nakumbuka mbali Santa kweli simu hazigandi
Daaaah sauti nzuri,nkumbka mbli sana hii wmbo😱😱😱😱😨😨😨😨
Uko juu
Muumini anaimba jamani tuache utani!! Mungu ana Siri kubwa sanahapa duniani.
Muombe Mungu yeye Ndio Kila kitu kwetu
Nakumbuka mbali Sana mungu hakulaze maali pema Amina nguluma
Namuona Halima White ktk ubora wake wa unenguaji.Rest in paradise Halima white.
Tufunge 2020 pamoja.... It Reminds me abt daddy... Rest in peace dingi since 2005😥😥😥
huyu dada amina ngaluma nadhani alikuw na sauti nzuri sana
Mh jamani wimbo huu unanikumbusha mama yangu maremu
2020 piga kelele weweee tujuaneee
Hii inanikumbusha mbali sana
Mambo
Wanatukumbisha mbali sana ..yaani...
Umemuona marehemu Amina Ngaluma japanese
Oyo9oooooo9
Mwenyezi mungu ampunzishe amina ngaluma mahali pema peponi😭😭😭😭
2024.bado .nyimbo mpyaa.huchoki kusikiliza
Mgumba Sasa amezaa Tena kwafujo mapacha watatu wawili warembo kama mamayao mmoja dume sura ya babake kopirity
mwinjuma muumini ukowapi Kaka yangu tunakumiss sana
Mm kipndi icho nk majengo shule y msing tnga muheza daa jamanii
Hazipitwi na wakati hongera watunzi wetu wa wakati huo
Mwinjuma Muumim katika ubora wa hali ya juu kabisa, wimbo wenye ujumbe na burudani muruwa. Sikiza Sauti ya Badi Bakule, msikize Japanese marehemu, ilikuwa squad ya nguvu hasa.
Mm niliujua muziki kupitia nyimbo hz
Za, kale, ni, Dhahabu, old, is, gord
Bado ukojuu sana broooo
Nice to welcome 2023 zawadi ni zawadi 🔥🔥
Enjoying from Kenya
Miss sana nyimbo hii, maisha simama nishuke
Life was good aiseee, watt wa juzi mtupishe kidogo
Huu wimbo alitunga muumini ngaluma akupiga
Naupenda SANA,unanikumbusha baadhi ya mambp
inanikubusha mbali sana hii nyimbo
Nakumbuka mwaka 2001 Asante mungu Kwa kunilinda mpaka 2023
tunajikumbusha tuu ukishakua na mawazo yako
Duuuuuu wimbo huu unanikumbusha mambo mbalimbali kuanzia 2002😂😂
2020,,, hvi hv sivulud jmn 😋😋😋😋😋
Yussf
Naujua kitambo lkn leo July 21 nimeukumbuka tena wimbo mzuri sana
Nov 25 nasikiliza.!
Tupo pamoja 2020
Titazid kuwakumbuka sana