MUUMINI MWINJUMA ~MGUMBA AMEZAA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 45

  • @jacklinemagere1796
    @jacklinemagere1796 Рік тому +5

    2023 tuweke like vipenz vyangu

  • @SalmaChristopher
    @SalmaChristopher 4 місяці тому +4

    Like hapa 16/8/2024❤

  • @winniepaul1267
    @winniepaul1267 Рік тому +3

    2023 nimekuja teeena

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 2 роки тому +3

    Moja ya muziki mtamu sana kutoka Kwa kocha dunia na kundi zima la double M sound

  • @alikomwakyusa1697
    @alikomwakyusa1697 5 місяців тому +1

    Those moments when Dance Music was on 🔥🔥

  • @sangomamourice3539
    @sangomamourice3539 Рік тому +1

    Wakati ni ukuta daaah😢😢😢 maisha haya

  • @mbengelekomba6878
    @mbengelekomba6878 11 місяців тому +1

    Kocha wimbo um eu te dê a haki

  • @zakarialupindo8214
    @zakarialupindo8214 7 місяців тому +1

    Jamani mwenye video yake naiomba

  • @muhsinjuma5335
    @muhsinjuma5335 Рік тому +1

    Hizi ndiyo jumbe ndani ya burudani

  • @iranangole7007
    @iranangole7007 3 роки тому +2

    Hiz ngoma nazisikilza sana sio ngoma za miaka hii penz bomba LA baiskel ninataka kukutooo

  • @DoodfleyBruno
    @DoodfleyBruno 7 місяців тому

    Nyimbo zingine zitaishii sana kwa wenye akili2 ndo wataelewa

  • @juniorissack4095
    @juniorissack4095 3 роки тому +2

    Ama kweli leo siyo kesho ilikua bonge la iear aiseee

  • @consolathagervas7630
    @consolathagervas7630 3 роки тому +2

    Jaman na video naupenda Sana dah

  • @hajimtui
    @hajimtui Рік тому +1

    unatisha sana

  • @revocatussebastian5698
    @revocatussebastian5698 4 роки тому +3

    Jamani mmepotea sana tunawapenda mkumba sasa amezaaaa tena kwa fujoo mapacha watatuuu

  • @g5crick
    @g5crick 3 роки тому +1

    Anina ngaluma kkwani ndio kimobitel

  • @leonard7741
    @leonard7741 7 місяців тому

    Mungu mkubwa

  • @taliqmaliq4767
    @taliqmaliq4767 4 роки тому +7

    utanikubukA fadhila zangu nilizozitenda kwako wew hutapa mwingne atakae himili vituko na vitimbo vyako we weweeeee ASEEEEE KAMA UNAJUA MISTAR IO IMETOKA KWENY NYIMBO GAN NISAIDIE ASEEEEEEE

    • @ngodatv811
      @ngodatv811  3 роки тому

      Inaitwa utanikumbuka ila haipatikani popote ila nnayo japo haipo quality sana

    • @ngodatv811
      @ngodatv811  3 роки тому

      Changia mafuta nikuletee onl

    • @taliqmaliq4767
      @taliqmaliq4767 3 роки тому

      @@ngodatv811 wew uko wapi mkuu

    • @ngodatv811
      @ngodatv811  3 роки тому

      @@taliqmaliq4767 Niko iringa

    • @ngodatv811
      @ngodatv811  3 роки тому

      @@taliqmaliq47670629143752

  • @ChandeAthumani
    @ChandeAthumani 7 місяців тому

    Fact

  • @FethiAbdala
    @FethiAbdala Рік тому

    Nice

  • @husseinjudo8339
    @husseinjudo8339 4 роки тому +2

    Iove bandi

  • @rosemlewa4283
    @rosemlewa4283 2 роки тому

    Ataryyyyyy

  • @shedrackmkwemba3280
    @shedrackmkwemba3280 3 роки тому

    mbona nyimbo ya uke wenza na sada salehe hazipo mtandaoni

  • @salehattas4877
    @salehattas4877 3 роки тому

    Mgumba hazai nyie acheni ujinga katika utunzi yawajiayo mnaandika tuu

    • @salumkanju1732
      @salumkanju1732 3 роки тому +4

      Sikiliza mistar yao ndio uwahukum mkuu, wameimba kuonesha tatizo lilikuwa kwa mume wa awali

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 2 роки тому

      Inaonekana uwezo wako wakuelewa Mambo uko chini sana,,,,

    • @missangela6720
      @missangela6720 2 роки тому

      @@jumakapilima7295 Mwacheni huyo hana jipya😂😂😂

    • @sangomamourice3539
      @sangomamourice3539 Рік тому

      Kijana wa Leo unategemea asemaje

    • @josephstei4341
      @josephstei4341 9 місяців тому

      Ndo amezaa sasa kwa mipango ya Mungu.

  • @natureandanimals7416
    @natureandanimals7416 3 роки тому

    Cover ya Shadai, wimbo wa Double M. Uwe makini...

  • @yohanaphilimom3042
    @yohanaphilimom3042 2 роки тому

    L

  • @tituckabuta4498
    @tituckabuta4498 2 роки тому

    X