Nyimbo za zamani zipo kama zahabu❤️🔥❤️🔥❤️🔥🔥🔥🔥. Na wakati huu pangekuwa waimbaji kama hawa wazamani, ingekuwa powa sana. Sichoki kuzisikiliza nyimbo kama hizi, na sitachoka kamwe.
Nikiskia wimbo huu huwa unatia huzuni sana baada ya kupoteza wazazi wangu wote huwa napitia wakati mugumu sana nilihisi nimepoteza kila kitu ktk maisha yangu dahh
Mwamba alikua anajua sana
Naupenda sana huj wimbo hata sijui kwa nin
Mwamba unajua sana Mungu akupe uzima uendelee kutoa hits za maana
Nyimbo za zamani zipo kama zahabu❤️🔥❤️🔥❤️🔥🔥🔥🔥. Na wakati huu pangekuwa waimbaji kama hawa wazamani, ingekuwa powa sana. Sichoki kuzisikiliza nyimbo kama hizi, na sitachoka kamwe.
Kwel
Kilio Kila mtu kitamfika daaaa mtu wamaana kabisa muumini
Kaka yangu muimini uko sawa kuimba
Yaan nkislizaga nataman niliee maana nkikumbuka nlipotoka 😢
Boss wangu wa zamani uyo
Nikiskia wimbo huu huwa unatia huzuni sana baada ya kupoteza wazazi wangu wote huwa napitia wakati mugumu sana nilihisi nimepoteza kila kitu ktk maisha yangu dahh
Pole ndugu
Muumini upo wapi?
Uko wapi wewe mwinjuma ?
Nimekubar muumin kwani uko wap sass hv?