Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

MUHADHARA | NASAHA ZA WAZI NO 02 ( C ) - SHEIKH ABUU MUAWIYA HASSAN AWADHI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 гру 2023
  • Muhadhara wa kielimu uliotolewa katika masjid BUKHAARIY , Unguja - Zanzibar - Tanzania. Muhadhiri wa MUHADHARA huu ni Sheikh Abuu MUAWIYAH HASSAN AWADHI (Allah Amuhifadhi). Huu ni mwendelezo wa NASAHA ZA WAZI kwenda kwa waislamu katika safu ya masalafiy Tanzania kote na popote watakapofikiwa na ujumbe huu!
    Yaliyomo katika Kipande hich cha kwanza ni : -
    • KHILAFU KATIKA DINI
    • SHARTI ZA KUJERUHI NA KUADILISHA MASHEIKH
    Sheikh Abuu MUAWIYAH HASSAN AWADHI ametahadharisha kuwa huu ni muhadhara na wala si ruduud kama ilivyozoeleka katika hizi siku za karibuni! hii sio Radd kwa masalafiy au raddi kwa masuffiy, ispokuwa ni masaha za kielimu kwa wote.
    Sheikh amezungumzia baadhi ya mambo yahusuyo elimu katika dini, fuatilia muendelezo wa muhadhara huu kupitia Channel yetu hapa!
    baarakallah fiykum Wajazzakumullah khayra.

КОМЕНТАРІ • 6

  • @zuheorsalim7759
    @zuheorsalim7759 Місяць тому +1

    رحمه الله😢

  • @mkubwamasoud2776
    @mkubwamasoud2776 7 місяців тому

    Hujigamba na kujifaharisha haitakiwi katika dini

    • @DhuicTz
      @DhuicTz  7 місяців тому

      Swadakta, Allah atuongoze!

  • @muhammedaloufy4086
    @muhammedaloufy4086 6 місяців тому

    mnaacha Qur-an mnashupalia Hadithi za UONGO

    • @DhuicTz
      @DhuicTz  5 місяців тому

      Allah atuongoze sote!