RADDI KWA MAJADIDA | SHEKH ALIY ADAM | HAKUNA ALIEIBA| PIMA MAMBO KWA ELIMU|

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 82

  • @hashimukillenja9377
    @hashimukillenja9377 2 місяці тому +2

    جعله الله في ميزان حسناتكم

  • @BilaliIloko
    @BilaliIloko 2 місяці тому

    Mweny media ndio hizb hajui ipi haqq na ipi baatil

  • @BilaliIloko
    @BilaliIloko 2 місяці тому

    Shekh all man hayupo hapo,halaf usichanganye mahizby na watu wa sunna

  • @IssaSimbilla-hw9ev
    @IssaSimbilla-hw9ev 2 місяці тому +1

    Ooooh kumbe hizbiya channel ndoomana hoja kama za kisufi

  • @iddijuma6152
    @iddijuma6152 2 місяці тому +1

    kumbe hii chaneli niyamahizibi! duh Allah anisamehe kwakuifuatilia ckujua

    • @ABUUBAAZNYUNGU
      @ABUUBAAZNYUNGU 2 місяці тому

      Dah! Yan hadi mm nimeishiwa nguvu kabsaa....Na sio kama tunawatetea masalafy hawakosei..laaa! Lakin sio muwazungumze kwa dhulmaa...mara majadida,,mara wamekataza watu wasisome shule,,maneno ya dhulma kabsaa...Abuu all maan sikijua kama nawew unawaunga mkono akina Barahiyani kukinasibisha kikundi cha salafy na wanavyuoni wakubwa kama shekh Rabii.....japo hujasema hvo ila kuwaita majadida ina maana unaungana na Barahiyani katika aliyoyasema kweny kitab chake cha masalafy jadida (Uchwara)

    • @AbAlhuraas
      @AbAlhuraas 2 місяці тому

      Nyinyi ndio Mahizbi Assalaf kam alivo sema Ibnu Utheimin

    • @ABUUBAAZNYUNGU
      @ABUUBAAZNYUNGU 2 місяці тому

      Tusome dini sote ndugu yang ili tuijue haqqi ni ipi!📚📚📚

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 2 місяці тому

      Sasa hizbi Ni Nani kama so ninyi majadida wawaita watu hizbu wakati we ndo upo kwenye hiko chama cha hizbi sallaf

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 2 місяці тому

      @@iddijuma6152 na hutoijuwa hakki kamwe utabaki kudanganywa hizbi usiwasikilize anajuwa ukimsikiliza ujadida umeisha so mtakimbiwa na waumini wenu mlowashikia akili uliona wapi unamuita hizbi akakatazwa na shekhe zao msiwasikilize salafiya jadida hutoskia Sabu si wanaimani na hakki

  • @adamjutto5849
    @adamjutto5849 2 місяці тому +2

    Lkn sheikh abuu all maan hii istwilaahi ya masalafiyyah jadiida si istwilaahi ya sawa akhiii,kana kwamba unawakusudia wanaokwenda na misimamo ya sheikh rabii na muhammad amaanil jaamii,na ubaydul jaabirii,ilhali hawa ni wanachuoni wakubwa,istwilaahi hii ya masalafiyyah jadiida huitumia sheikh barahiyani,kwa ajili ya kuwatweza ahlu sunnah walajamaa,na kuwatusi ahlul ilimi,embu jifanyie tathmini ktk hilo jina,hasa kulitumia ktk wakati kama huu

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 2 місяці тому

      Ni majadida ndy kwani jina Hilo katunga barahyan yey kanukuu kwa wanazuoni wakubwa akiwemo shehw bakary zed shekhe mkubwa Sana huyu ndo aloanzisha Hilo jina jadida alisoma kitabu Cha shkhe raby akaona kina shilia kutunga hizbi mpya ndo akaita jdida na ukiangalia kwweli shekhe raby wamemradi saana mashekhe wakubwa tabia yake ya kukata watu,Fulani kadha fulani hizbi fulani so mtu wa sunnah walivyona hivyo wanazuoni wakamrudi akiwemo mwalimu wake shehe raby Abdul muhsin albad huyu mwanzo alianza kusomesha watu kuandika vitabu lakini saivi kashughulishwa na mambo ambayo atakiwi afanye Msomi Kama yeye kuanzisha hizbi ya kupasuwa safu ya ahlsunna wali jamaa wamemrudi mashekhe wengi tuh! Sasa barahyani katunga yey hayo ye kanukuu na unapo sema barahyan anawwtuhumu ahlsuna Wal jamaa kwani yey nani mpiga matwari suffi au khawariji? Au mshia msiwatoe watu ktika duala la ahlsunna kirahisi hivyo huna mamlaka hayo

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 2 місяці тому

      Kasome fatawa ya shekhe utheiminy ndo utajuwa vzr alivyo warad hiyo hizb salaf mbona utalia usifanye taasubi kwa vitu usivyo vijuwa

    • @ABUUBAAZNYUNGU
      @ABUUBAAZNYUNGU 2 місяці тому

      @@user-yj5on8cz3e wew umeisoma au umewasikiliza mashekh zako??? Kuwa mkwel.....unajua hata hicho kitabu cha uthaymeen kinavyofanana? Ndo mana nasisitiza tusome sote tuache ushabiki.........
      Ukisikiliza maneno pande zote mbili ndo utajua yupi yupo sahihi na yup yupo wrong...lakin ukisema umsikilize mmoja lazima tu utaona yeye ndo yupo sahihi kwa sabab wote wanatumia qauli za maulamaa

    • @adamjutto5849
      @adamjutto5849 2 місяці тому

      ua-cam.com/video/MF3M3uQn5xs/v-deo.htmlsi=0pn4cbfrubh33bG5
      Naam hayo ndio aliyoyasema sheikh abdul muhsinil abbaad,lkn kasema ni ktk maulamaa,hakumwita salafiyyah jadiidah

    • @adamjutto5849
      @adamjutto5849 2 місяці тому

      @@user-yj5on8cz3e amesema kweli,amejishughulisha na mambo yanayoleta furqah,na amekua mutashaddid,na hilo halimaaishi kua yy,ni maasum,lkn sheikh baeahiyaan,amemtweza sheikh rabii,ktk namna ambayo hta hao maulamaa akiwemo sheikh muhsinil abbaad hakumtweza hvyo,

  • @AbuuMaahirAsalafy
    @AbuuMaahirAsalafy 2 місяці тому +2

    Kumbe huyu Abu Almaan ni hizbi duh!!

    • @eng.saalim8646
      @eng.saalim8646 2 місяці тому

      Ndo mmejua leo kumbe

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 2 місяці тому

      @@AbuuMaahirAsalafy nimejua Leo pia ,,nlidhani ni salafy kumbe ni hizby ...na anaonesha anapiga vita daawa salafiya,,kwa kilma chake "majadida"

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 2 місяці тому

      @@ABUUJAAFAR92 anapigaje vita dawa salafiyya wakati yemwenyewe analingania kitabu na sunnah yeye anapiga vita ujadida ukisema usalafi ni mwendo wa mtume na mawswahaba ukipita katika njia hii ni salafi achana na chama chenu hiko shekhe uthaiminy katadharisha watu washike kitabu na sunnah ya mtume na mwendo wa swahaba waweke kushoto kikundi kilichoibuka kati na kati ya ahlsuna kikajiita salaffiyu na kataja dalili zao kuwabadii watu na kupambana na watu wa sunnah na kuwapa majina mabaya wekeni kikundi kushoto shikeni njia sahihi ya mtume hawo wamefanya usalafi chama na hizbi ya mtu binafsi haooo so salafi kitu yasalamu shekhe aliona mbali kweli allahu akbaru allahu akbaru kumbe nacho ni kikundi bado kipo katika upotevu tuuh Allah amrehemu shekhe tungepata shida sana lakini katutahadharisha na hiki kikundi kinacho ita watu mahzbi

    • @AbAlhuraas
      @AbAlhuraas 2 місяці тому

      @@AbuuMaahirAsalafy kam usalaf lzma uwepo katika cham lenu basi wengi siis ni mahizbi ,au usalaf lamza watu wapewe Tazkia na Ibnu Mafuta ,duh hakukosea ibnu Utheimin katika kauli yake ile Wantia upotofu kila anatenda kinyume na rai zao na kuwapachika majina maovu Duh hizbu Asaalaf mna mashaka sna

    • @AbAlhuraas
      @AbAlhuraas 2 місяці тому

      @@ABUUJAAFAR92 Abuu Allmani anapinga usalaf ? hemu niltee kauli yke moja ya kupinga usalaf ,
      Yey anapinga Uhizbi wa usalaf ,anapinga Ukundi wenu chama lenu hilo,

  • @ABUUJAAFAR92
    @ABUUJAAFAR92 2 місяці тому

    Abuu allman ,mbona sikuelewi??
    هل أنت سلفي أو حزبي؟

    • @abuuallmaanalmuusawy
      @abuuallmaanalmuusawy  2 місяці тому

      @@ABUUJAAFAR92
      MIMI ushanielewa mashika msimamo wa shekh uthaymiin. Nafuata manhaji ua salafu ila sipo kwenye kikundi fulani ambacho usipo wakubali mashekh wakikundi hicho basi wewe sio katika salafiyyin .
      لقد قلت مالدي

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 2 місяці тому

      @@abuuallmaanalmuusawy sheikh abuu allman sikujui lkn nimekufuatilia vyakutosha sana na nikakupenda sana kwa juhudi za kupambana na yule shia ,,,,lkn hapa hutumii hoja ya kiilmu hamna kikundi cha salafy Chenye masheikh ambao lazima mtu awakubali ndo awe salafy ,hii hoja ilianzishwa na mahizbiy baada ya kushindwa kihoja na masalafy ,,usalafy hautumii masheikh unatumia misingi ,,,na qaul ya ibn utheimin inaelezea kikundi Chenye kujiita salafy ,Chenye kumpotosha mtu yeyote atakaekwenda kinyume nao hata kama yuko kwenye haqq,,sasa tupe dalili wapi manhaj salafiy au maduatu salafy walimtoa mtu kwenye usalafy burebure bali akiwa yuko kwenye haqq,??

    • @abuumansour6307
      @abuumansour6307 2 місяці тому

      Wewe ni hizbi na huyo sheikh uliomuweka vilevile.
      Ni vizuri umejidhihirisha wewe mwemyewe, kwa sababu watu wengi walikudhania kuwa ni salafiy.
      Madai yako mbele ya ahlu ssunnah si yenye kuzingatiwa kwa sababu alianza kuyadai sheikh Salim Barahiyan huko nyuma na mpaka leo masalafi wamzingatia kuwa ni hizbi mkubwa tu pasi na chembe ya shaka.
      Na madai hayohayo aliyoshindwa kuyatetea Sheikh Salim kuhusu hiyo istilahi zaidi ya kuchukua kwa watu wenye fikra za batilil ambapo alichalenjiwa mpaka leo hakujibu sauti za baada ya madai yake kwenye kijarida chake na hata huko nyuma pia kabla ya hilo, na wewe unakuja vilevile, hata huzigi kubadilisha uonekane na jipya!!
      Sitaki kusema hujielewi, ila nakusudia umepita maslaki mbaya sana, na ndiyo maana hata watu wanakushangaa kwamba hata wewe pia umo katika hili ya Abaa All Maan!!?
      Sawa, kwa sababu siyo ajabu mende kuwa chooni kama ilivyo samaki majini!
      Kuhusu kuegemeza hoja yako kwa sheikh ibn uthaymiyn hilo limejibiwa na ni wazi kuwa sheikh ibn uthaymini Allaah amrehemu hakuwakusudia hao mnaolazimisha nyie na ameweka wazi aliowakusudia tena kwa uwazi wamaneno kama jua la utosi ila ni ada ya wazushi kuleta upinzani na kutafuta maana za kuwaunga mkono kwenye jambo lao la batili na kupotosha uhalisia hata kama ni kinyume cha hivyo walivyotarajia.
      Lakini kama Hali ya Sheikh Salim Barahiyan ndiyo hiyo hiyo, vipi kuhusu walio chini yake!?
      Ni jambo lisokificho kuwa ndiyo hiyo.
      Ikiwa baba mwenye nyumba ni mpiga ngoma, utastaajabu vipi watoto kucheza!!
      Umefanya vizuri kuwa wazi, kumeondoka kutatiza.
      Allaah atuongoze sisi na nyinyi katika njia ya sawa..

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 2 місяці тому

      @@ABUUJAAFAR92 utamuelewaje waati wew umeshikiwa masikio usiwasikilize watu fulani ndomana wanakuuzia usiwasikilize wale et daawa mtu anapangiwa Fulani usimsikilize subuhana llah Allah aniepushe na hiki kikundi cha upotofu kinachojiita salafi kumbe hawana usalafi kitu Kama shekhe utheiminy alivyo sema watu hawaa hawana usalafi wajibu kila muislamu kushika njia ya wema walotangulia asalafi swalehe lakini kimezuka kikundi kinachojiita salafi kazi yao kubwa kuwabadii watu wa sunnah na kuwapa jina baya hizbi khawariji, yani kirahisi tuuh unamtoa mtu katika sunnah umepata wapi kibali hicho hivyo shekhe katuusia tushike sunnah,tukiache hiki kikundi allahu akabra shekhe kaona mbali kweli Allah amrahamu walah Hawa watu mtihani kweli umekuja ndani ya ahlsuna walijamaa watu wamekuja chana chana na kuwasambaratisha watu wa sunnah kwa jina la usalafy

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 2 місяці тому

      @@ABUUJAAFAR92 ww huwezi kuelewa Sabu bado upo katika chama kilichojikusanya kikajiita masalafi mkajificha kwa ahlsuna kwa jina la usalafi kumbe vitendo na kauli zenu ziko mbali na usalafi rejea maneno ya shekhe utheiminy wanamtia mtu kwenye upotevu mtu wamtakae na kuwabadii watu na kuwapa majina mabaya moja ya sifa zenu hizo zinatajwa kufanya ghuruu kwa shekhe wanaomtaka wao haoooo so masalafi kitu tafuta pakujifichia shekhe wanazuoni chungu nzima wameandika vitabu juu ya potte lenu hilo

  • @ABUUBAAZNYUNGU
    @ABUUBAAZNYUNGU 2 місяці тому +1

    Usalafy sio ujadida......ulikuwepo bofore na maswahaba wote ni masalafy

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 2 місяці тому

      Ujadida upo so mienendo yenu mipya tofauti na swahaba ndomana mkaitwa majadida hizbi yenu Ni mpya ndo wanazuoni wamewaitwa hivyo

    • @ABUUBAAZNYUNGU
      @ABUUBAAZNYUNGU 2 місяці тому

      Mwanachuoni gani katuita hvo? Barahiyani au.... hhahahaa! Tukasome jaman.....Ushabik utatupelek pabaya wallahi

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 2 місяці тому

      @@ABUUBAAZNYUNGU ww ndo ukasome umeshikiwa akili na shekkhe zako Fulani usimsikilize ndo utajuwa haki unakataa Nini ww ww imeweka pamba maskioni mwako ukiambiwa Fulani usimsikilize na utajuwaje hakki kusikiliza upande mmoja ndomana mnakatazwa Sabu siwanajuwa wanachofanya shekhe Abubary zaid mwanazuoni mkubwa ndo alipitia kitabu Cha shekhe raby akaona kina dalili ya kuanzisha hizbi Mya ndo akamshauli asikitoe lakini shekhe raby akakitowa kuonesha mi sikusikilizi na bakary Zaid ndo aliowaita jadida ww ndo ukasome umekaa sehemu umepumzika unajuwa upo katika hakki kumbe bado upo katika upotovu tuu kundi lenu hilo limekuja na ufahamu mpya ndomana wanazuoni wanaandika vitabu kutahadharisha ummah na kikundi hiki limekuja kwa mwavuli wa wema walotangulia salafu wa kweli lakini mtazamo wao upo mbali na wao shekhe utheiminy mwemyewe kalisema Hilo kundi mpk Leo mashekhe zenu wameshindwa let'a dalili kundi alosema shekhe so salafi sisi kasome fatawa ya ibn utheeminy juu ya upotofu wa kikundi chenu hicho

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 2 місяці тому

      @@ABUUBAAZNYUNGU nyi mnawaita watu mahizbi kundi lenu limekkuja kwa mwavuli wa wema walotangulia kumbe mmmekuja kupambana na watu wa sunnah miaka ya nyuma huko walikuwa watu wakifata usalafi kweli hakukuwa na vurugu kupasuwa safu za Wana sunnah lakini lilipo ingia tu kundi la majadida duniani likiongozwa na shekhe raby ulianza vurugu kweli watu wa sunnah mashekhe wakubwa hawwjasalimika na kikundi hicho wenyew kwa wenyewe tuu mmepasuka kila mtu anamtoa mwenzie kwenye ahlsuna hivi saivi mmemegeka vikundi vikundi katika ninyi majadida kuna wanaomfata shekhe raby kuna wanao mfata shekhe yahya Al hajur kuna wanaomfata shekhe muhammadi Al madahil Kia wote Hawa wanarushiana kadi Fulani hizbi na wao hurudishw hajawira ndo mahizbi yani hamna hakki huo utpolo mtupu hakki kuifata njia ya wema walotangulia maswahaba quruani na sunnah ndomana shekhe utheimeeny kasema kuna kikundi kinajiita salafi ndani ya ahsunna weka kundi pembeni shika man hajji salimu kitabu na sunnah kataja dalili zenu na kila dalili mnazo kufanya taasubi kwa shekhe Fulani usipo kubariana na Rai ya shekhe wanaomtaka wao ww hizbi khawariji, mubtadi ,shekhe aliulizwa hasa kama tusiwaite watu wa bidaa au khawariji akajibu laa utukatai kuwaita watu hivyo tatizo wao wanawaita watu wsostahiki kuitwa hivyo tafutenisehemu ya kujifichia saivi have zenu watu wanazo

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 2 місяці тому

      @@ABUUBAAZNYUNGU uthaeeny kawaradi ninyi na chama chenu hiko kilichochaguwa mashekhe wa kuwafata wao usipowafata hao we so salafi ndo shekhe utheemeny kasema watu hao hawana usalafi kituu kwahiyo kujipa shida kuwaita watu hizbi kutegemea we salafi lakini shekhe kasema hivyo so salafi kituuuu

  • @ABUUBAAZNYUNGU
    @ABUUBAAZNYUNGU 2 місяці тому +1

    Mmmmmmh! Toka lini masalafy wakakataza watu kwenda shule??? Tumche Allah jaman...mpona mnapenda sana Fitnah enyi watu wa sunnah?!!!!..........

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 2 місяці тому

      Mimi nna Kanda za kina mafuta kuinga shule nikweli wakianza hiyo kampeni kipindi wanaingia na hizb yao hiyo mpya waliposemwa saivi ndo wameregeza misimamo

    • @ABUUBAAZNYUNGU
      @ABUUBAAZNYUNGU 2 місяці тому +1

      Naomba unirekodie audio nsikie mana wao wenyew wanasema hawakatazi kwenda shule kusoma kama kusoma ila wanakataza systems za shule zilizopo kama vile wanawake na wanaume kuchanganyikana.....na huo ndo ukwel hilo jambo kisheria halifai

    • @abuuabdirrahmaan4132
      @abuuabdirrahmaan4132 2 місяці тому

      ​@@user-yj5on8cz3e muongo wewe tutajie inapatikana wapi unayo wewe chumbani kwako sheikh Kassim mafuta nikatika watu walio ubainisha uzushi huo kwa uwazi kabisa na kipindi wanapiga vita ukhawaarij kina Abuu ismaail khawaarj wa mwanza kipindi hicho ndio walio haramisha kusoma shule na wao wanajiita salafiyyah jihaadiyyah na wanajisifia kwa suala hilola kuharamisha kusoma shule kama alivyo nihakikishia mwenyewe Abu ismaaiil katika mwezi wa Rajab mwaka 1445 katikakijiji cha chogo huko walipo wakwe zake wacha uongo kijana mbona hamuoni haya kusema uongo???

    • @NuryaMusa
      @NuryaMusa Місяць тому

      ​@@ABUUBAAZNYUNGUAkhy acha. Ushabiki. Na. Akina mafuta ni mizuka warongo. Ususani. Mafuta ni. Muongo. Mno. ???

    • @ABUUBAAZNYUNGU
      @ABUUBAAZNYUNGU Місяць тому

      @@NuryaMusa hata wew ni muongo