Darul Hadith Ununio
Darul Hadith Ununio
  • 110
  • 36 821

Відео

Mwanamke huyu Kamwe swala yake haikubaliwi! Mpaka aache tabia yake hii.
Переглядів 10112 годин тому
Maudhui: Watu wawili ambao swala zao hazikubaliwi na Allah A'zza wajallah. Mzungumzaji: Sheikh Abuu Mus'ab Attanzaniy Allah amuhifadhi.
FUNZO KWA KIFARANGA CHA HADDADIA ABU LUBABA KWA MANENO YAKE MACHAFU DHIDI YA SHEKHE ABU MUS'AB - (2)
Переглядів 19116 годин тому
RADDI KWA KIFARANGA CHA HADDADIA ABU LUBABA KUTOKANA NA MANENO YAKE MACHAFU DHIDI YA SHEKHE ABU MUS'AB KIKAO CH KWANZA (2): 🎙AL AKHY ABŪ NU'AYM AKRAM RASHID ALI AL-ASLAMIY حفظه الله ورعاه •┈┈•◈◉✹❒📚❒✹◉◈•┈┈•
RADDI KWA KIFARANGA CHA HADDADIA ABU LUBABA KUTOKANA NA MANENO MACHAFU DHIDI YA SHEKHE ABU MUS'AB
Переглядів 11516 годин тому
RADDI KWA KIFARANGA CHA HADDADIA ABU LUBABA KUTOKANA NA MANENO YAKE MACHAFU DHIDI YA SHEKHE ABU MUS'AB KIKAO CH KWANZA (1): 🎙AL AKHY ABŪ NU'AYM AKRAM RASHID ALI AL-ASLAMIY حفظه الله ورعاه •┈┈•◈◉✹❒📚❒✹◉◈•┈┈•
SABABU ZA KUIMARISHA NA KUITIA NGUVU IMANI | AL AKHY RASHID حفظــــــــــه اللــــــــــه
Переглядів 5416 годин тому
SABABU ZA KUIMARISHA NA KUITIA NGUVU IMANI | AL AKHY RASHID حفظــــــــــه اللــــــــــه Kupitia Khutba Hii, zijue sababu mbalimbali alizotufundisha mtume Muhammad Swala na salamu ziwe juu yake.
HUU NDIO MSIMAMO SAHIHI KWA WAISLAM JUU YA DINI YAO NA NCHI YAO KWA YANAYOENDELEA HIVI SASA.
Переглядів 8014 днів тому
Khutba yenye ujumbe wa Mwongozo kwa WAISLAM na watu wote kwa UJUMLA juu ya Hali ya amani nchini kufuatia uzushi katika DINI ya Allah A'zza wajallah na vitendo viovu vya baadhi ya vikundi hapa nchini. Sheikh ameongelea mambo kama vile maouvu yanayofanyika kwa sura DINI, maovu yanayofanyika katika mikusanyiko ya mauliid, uharamu wa maulidi ya mtume SWALA na salaam ziwe juu yake. Pia sheikh amegus...
MADHARA YA KUNYAMAZIA UOVU KATIKA UISLAMU NA JAMII KWA UJUMLA | Sheikh Abuu Mus ab Attanzaniy
Переглядів 14814 днів тому
Khutba ya ijumaa yenye ujumbe juu ya umihimunwa kukataza maovu katika JAMII. Khatibu katika khutba hii amezungumzia majanga yanayosababishwa na watu waliopewa dhamana ya kusimamia DINI KWA kuzua na kuendelea kuzitangaza BIDAA ZAO. Pia Sheikh Allah amuhifadhi amegusia KUHUSU maovu yanayofanyika katika jamii na kufichwa nyuma ya mgongo wa vyombo vya Dola na utawala. Mfano mauwaji ya mtu na kutupa...
MAJIBU SAHIHI KWA DR. SULLE KUHUSU MATUMIZI YA PETE ZA BAHATI NA MAJINI
Переглядів 114Місяць тому
MAJIBU SAHIHI KWA DR. SULLE KUHUSU MATUMIZI YA PETE ZA BAHATI NA MAJINI
KUBAINISHA ITIKADI BATIL KUHUSU MIKOSI KATIKA MWEZI WA SAFAR, NA MIKOSI ILIYOTHIBITISHWA KATIKA DINI
Переглядів 89Місяць тому
Khutba ya ijumaa yenye maudhui ya kubainisha itikadi isiyo sahihi juu ya kuitakidi mikosi katika baadhi ya miezi ikiwemo mwezi huu wa safar. Sheikh Abuu Mus'ab Attanzaaniy Allah Amuhifadhi katika khutba hii amezungumzia na kuonesha dalili katika dini ya kiislamu juu ya kukanusha uwepo wa imani za mikosi katika mwezi safari. Pia khatibu SHEIKH ABUU MUS'AB ATTANZAANIY Hafidhwahullahu Ta'ala ameon...
KUBAINISHA KAULI CHAFU ZA MASHIA KWA MASWAHABA WAONGOFU NA KUTHIBITISHA HAQI JUU YAO
Переглядів 1062 місяці тому
KUBAINISHA KAULI CHAFU ZA MASHIA KWA MASWAHABA WAONGOFU NA KUTHIBITISHA HAQI JUU YAO
MSIHUKUMU MAMBO KATIKA DINI KUTOKANA NA MATAMANIO YA NAFSI ZENU • SHEIKH ABUU MUS'AB ATTANZAANIY
Переглядів 2602 місяці тому
Khutba ya ijumaa yenye maudhui mazito ya kutahadharisha waumini na waislamu wote kwa ujumla juu ya suala la kufuata matamanio ya nafsi zao katika kuhukumu mas'ala mbalimbali yanayohusu dinj na qadhia za kimaisha kwa ujumla. Sheikh Abuu Mus'ab Attanzaaniy Allah Amuhifadhi, amefafanua kuhusu kufuata Hawa"a na pia mitihanini na maeadhi ya kujiweka katika shub'haat na shah'waat.
MUHADHARA: WANAWAZUONI NI NANI? NI ZIPI SIFA ZAO | MSIJICHAGULIE KIKUNDI KIDOGO KIKAWA NI REJEA YENU
Переглядів 4422 місяці тому
💥 MUHADHARA 💥 Muhadhara wenye maudhui ya kubainisha ni kina nani wanawazuoni na je ni sifa zipi zinawajulisha kuwa ni maulamaa? Kulazimiana na Maulamaa ni Msingi ktk Misingi ya Masalfi ? Wajue Maulamaa ni kinani? na nani anaingia ktka Wasifu huo? Raddi kwa waliowajaalia Wasiokua Maulamaa kua ni Maulamaa na Wakawatweza Maulamaa
MUHADHARA: KUONDOSHA GIZA NA UONGO KATIKA KISA CHA GHADIR KHUM | SHEIKH ABUU MUS'AB ATTANZAANIY
Переглядів 872 місяці тому
MUHADHARA! Muhadhara wenye maudhui ya kurekebisha uelewa ambaobumepotoshwa umepandikizwa na k ANUANI: KUONDOSHA GIZA NA UONGO ULIOWEKWA KATIKA KISA CHA GHADIR KHUM MUHADHIRI: SHEIKH ABUU MUS'AB ATTANZAANIY HAFIDHWAHULLAHU TA'ALA) MAHALI: MASJID BUKHARY - MAGOMENI, ZANZIBAR
MUHADHARA: UMUHIMU WA KURUDI KWA WANAWAZUONI WAKUBWA WANAOZINGATIWA KATIKA MAS'ALA YANAYOTUTATIZA
Переглядів 5052 місяці тому
MUHADHARA! Muhadhara uliotolewa na Sheikh Abuu Zakaria Al marwa'iy Allah Amuhifadhi katika masjid Bukhary Magomeni, Zanzibar. Sheikh amezungumzia umuhimu wa waislamu kurejea na kurudi katika kuwaiga WANAWAZUONI WAKUBWA WANAOZINGATIWA. ANUANI: UMUHIMU WA KURUDI KWA WANAWAZUONI WAKUBWA WANAOZINGATIWA. MHADHIRI: SHEIKH ABUU ZAKARIA AL MARWA'IY (Hafidhwahullahu Ta'ala) MAHALI: MASJID BUKHARY - MAGO...
MASHIA WALIVYOCHUPA MIPAKA NA KUKOSA UADILIFU NA SIKU YA ASHURAA | SHEIKH ABUU MUS'AB ATTANZAANIY
Переглядів 732 місяці тому
MASHIA WALIVYOCHUPA MIPAKA NA KUKOSA UADILIFU NA SIKU YA ASHURAA | SHEIKH ABUU MUS'AB ATTANZAANIY
MAJIBU YA KIELIMU KWA ABDUL KAREEM URASSA NA WENZAKE JUU YA QADHIA YA SHEIKH MUHAMMAD AL IMAAM
Переглядів 1,1 тис.2 місяці тому
MAJIBU YA KIELIMU KWA ABDUL KAREEM URASSA NA WENZAKE JUU YA QADHIA YA SHEIKH MUHAMMAD AL IMAAM
ALAMA ZA UKAFIRI WA MASHIA KWA MUNASABA WA SIKU YA ASHURA'A | SHEIKH ABUU MUS'AB ATTANZAANIY
Переглядів 3702 місяці тому
ALAMA ZA UKAFIRI WA MASHIA KWA MUNASABA WA SIKU YA ASHURA'A | SHEIKH ABUU MUS'AB ATTANZAANIY
KISA CHA GHADIR KHUM NA UONGO WA MASHIA JUU YA TUKIO HILO | PART 2 - SHEIKH ABUU MUS'AB ATTANZAANIY
Переглядів 1392 місяці тому
KISA CHA GHADIR KHUM NA UONGO WA MASHIA JUU YA TUKIO HILO | PART 2 - SHEIKH ABUU MUS'AB ATTANZAANIY
KISA CHA GHADIR KHUM NA UONGO WA MASHIA JUU YA TUKIO HILO - SHEIKH ABUU MUS'AB ATTANZAANIY
Переглядів 5722 місяці тому
KISA CHA GHADIR KHUM NA UONGO WA MASHIA JUU YA TUKIO HILO - SHEIKH ABUU MUS'AB ATTANZAANIY
NUKTA NNE ZA UTANGULIZI BAADA YA KIFO CHA SHEIKH ABUU MUA3WIYAH | SHEIKH ABUU MUS'AB ATTANZAANIY
Переглядів 5 тис.3 місяці тому
NUKTA NNE ZA UTANGULIZI BAADA YA KIFO CHA SHEIKH ABUU MUA3WIYAH | SHEIKH ABUU MUS'AB ATTANZAANIY
HOJA KWA KUNDI LA MASALAFI WANAOMSEMA VIBAYA SHEIKH ABUU MUA3WIYAH ALLAH AMREHEMU
Переглядів 4,2 тис.3 місяці тому
HOJA KWA KUNDI LA MASALAFI WANAOMSEMA VIBAYA SHEIKH ABUU MUA3WIYAH ALLAH AMREHEMU
MAUTI HAYANA BADALA | MAZINGATIO JUU YA KIFO CHA SHEIKH ABUU MUAWIYAH
Переглядів 9123 місяці тому
MAUTI HAYANA BADALA | MAZINGATIO JUU YA KIFO CHA SHEIKH ABUU MUAWIYAH
Nasaha kwa WAFANYABIASHARA, acheni UONGO na UBINAFSI | Sheikh Abuu Mus'ab Attanzaaniy
Переглядів 613 місяці тому
Nasaha kwa WAFANYABIASHARA, acheni UONGO na UBINAFSI | Sheikh Abuu Mus'ab Attanzaaniy
UBORA WA MASIKU KUMI YA MWANZO KATIKA MWEZI WA DHUL HIJJA | SHEIKH ABUU MUS'AB ATTANZAANIY
Переглядів 1213 місяці тому
UBORA WA MASIKU KUMI YA MWANZO KATIKA MWEZI WA DHUL HIJJA | SHEIKH ABUU MUS'AB ATTANZAANIY
HUU SIO UDALALI, NI UDANGANYIFU NA DHULMA
Переглядів 1074 місяці тому
HUU SIO UDALALI, NI UDANGANYIFU NA DHULMA
KHUTBA NZITO SANA JUU YA KIFO CHA MTUME - SHEIKH ABUU MUS'AB ATTANZAANIY | MASJID U'MAR IBN KHATWAB
Переглядів 2524 місяці тому
KHUTBA NZITO SANA JUU YA KIFO CHA MTUME - SHEIKH ABUU MUS'AB ATTANZAANIY | MASJID U'MAR IBN KHATWAB
HUKMU YA MWANAMKE KUOMBA TALAKA KWA MUME ANAYETAKA KUMUOLEA MKE MWINGINE
Переглядів 875 місяців тому
HUKMU YA MWANAMKE KUOMBA TALAKA KWA MUME ANAYETAKA KUMUOLEA MKE MWINGINE
UZINDUSHI | MAJIBU YA KUTOSHELEZA KWA KIJANA WA KIISLAMU HARMONIZE JUU YA MANENO YAKE YA KUFRU
Переглядів 5465 місяців тому
UZINDUSHI | MAJIBU YA KUTOSHELEZA KWA KIJANA WA KIISLAMU HARMONIZE JUU YA MANENO YAKE YA KUFRU
MAJONZI NA SIMANZI ZA WATU WEMA WANAPOAGA MAENEO, NYAKATI NA MISIMU YENYE FADHILA
Переглядів 846 місяців тому
MAJONZI NA SIMANZI ZA WATU WEMA WANAPOAGA MAENEO, NYAKATI NA MISIMU YENYE FADHILA
SWALA YA TARAWEHE RAMADHANI 20 1445 H, MASJID DAARUL HADITH UNUNIO
Переглядів 336 місяців тому
SWALA YA TARAWEHE RAMADHANI 20 1445 H, MASJID DAARUL HADITH UNUNIO

КОМЕНТАРІ

  • @HassanMrisho-j2i
    @HassanMrisho-j2i 2 дні тому

    Allah akulipe shekh kwajuhudizako!!

  • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
    @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 7 днів тому

    Halafu Abuu Lubaaba alipokuw anamradd Abuu Musab sikuona akimuita majina ya kejeli...Kwann nyie mnamuita KIFARANGA???!!! Mnataka kutwambia Hata wanazuoni wakiwa wanaraddiana huwa wanaitana majina ya matusi kama hayo???!!!

    • @nasibuathmani7015
      @nasibuathmani7015 6 днів тому

      Akhy wacha kuongea ujinga, amemwita jaahil, anauani yake kaipa jina jaahil abuu musaab, au hujui kusoma Akhy

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq 6 днів тому

      Wewe huoni au wajitia upofu huyo kijana Hana heshma kwa shekh abuu musab hamfikii kwa umri Wala elimu Katika radd yake ametumia maneno mabaya

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq 6 днів тому

      Au ndio katumwa na mashekh zake nin??

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 6 днів тому

      @@HassanHamad-rf9tq Mbona hata Abuu Nuaym analugha chafu! Anawaita masalafy kuwa ni majahili katika kufaham aqwaal za maulamaa kwa kuegemeza maneno ya ibn Barjas mahali pasipo pake! Akasema kuwa hawajamakinika katika Elim utafikiri yeye ana Elim kubwa! Sasa kama mnakataa Abuu Lubaaba asimuite Abuu Musab kuwa ni jaahil nyie mbona mnawaita masalafy kuwa ni majahili? Mkumbuke pia hayo maneno ya ibn Barjas hata Barahiyani huwa anayatumia kuwaita nyie Majadida, na nyie ni Majadida pia kwa mujibu wake kwa sabab mnawahizibisha Answar Sunnah! Kwo tukienda hvo hata nyie ni majahili....!!!

  • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
    @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 7 днів тому

    Halafu nasikia ilipokuja kamati ya Suluhu kwa ajili ya Fitnah ya Morogoro,watu walitamani sana Suluhu ipatikane pia baina ya masalafy na Abuu Musab,lakin Abuu Musab hakuwa tayari...Ni ya kweli hayo????!!!!

  • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
    @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 7 днів тому

    Abuu Lubaba kampinga pia Abuu Musab kuhusu kusema kuwa Elim ya Jarhu na Taadil ni kama Elim ya Fiqihi tu na akatoa na qawli za ulamaa,,, Sasa mbona hamji kujibu hoja zake mnang'ang'ana tu na kwenye qadhia ya imaam Fawzan???!!! Haya Let's assume kuwa maneno ya Abuu Musab hayako mbali na maneno ya Fawzan,,, vipi hoja zingine alizosema Abuu Lubaaba mbona hamzijibu???!!! Mfno mwingine pia: Abuu Musab alisema kuwa wanafunz masalafy siku hizi hawatamkiwi maneno ya Wanavyuoni wengine mbali na Sheikh Rabii na Al Jaabir, ambapo huo ni uongo wa waz wa Abuu Musab, na Abuu Lubaaba akamradd katika hilo, lakin nashangaa hamji kumtetea Abuu Musab katika hilo! Hahahahaha! Lakin Pia Abuu Musab akasema sasa hivi kila qadhia ikitokea anayepelekewa tuhuma hizo za hyo qadhia ni Sheikh Rabii peke yake,,, Akaulizwa kwan qadhia yake ilipelekwa kwa Sheikh Rabii??? Hadi leo hamjamjibia hayo maswal na mengine mengi tu bado hamjayajibu mmeng'ang'ana tu kweny maneno ya Fawzan utafikiri maswal mengine hamuyaon,,, Yote hayo ni kutaka kuonesha kuwa Sheikh wenu Abuu Musab hakosei au???!!! Hata sisi tunaakili bana na tumeona kabsa kuna uharibifu kaufanya Abuu Musab katika hizo sauti zake ambao ilibidi aje kuurekebisha kwanza kabla ya kuanza kujitetea kweny qadhia ya maneno ya Imaam Al Fawzan!

    • @malikijumasaidi1645
      @malikijumasaidi1645 7 днів тому

      Video ina dk 39. Wewe video iko hewani 12mins ago we tayari ushamwaga comments zako hapa. Undikiliza kweli akhiy? Hii ndio sababu inawafanya wengi wanashindwa kuelewa haqi kwa sababu wanaenda na maneno yaliyosemwa mwazo bila kusikiliza majibu juu ya hoja zao hizo za mwanzo. Wanachofanya wanenda kucomment comments za kucheka cheka tu. Mnachosha kwa kweli.

    • @malikijumasaidi1645
      @malikijumasaidi1645 7 днів тому

      4:47 em sikiliza hii, afu jiulize kidogo ulicholishwa kinalika?

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 7 днів тому

      ​@@malikijumasaidi1645 Akhy kweny hyo Dk ya 4:47 uliyonionesha ni wazi kuwa Abuu Musab anatetea Elim hii ya Jarhu na Taadil, namimi sijasema kuwa anaipinga isipokuwa nimesema kuwa Abuu Lubaaba kuna maswal mengi kayauliza kuhusu Uharibifu alioufanya Abuu Musab! Ni waz kuwa Abuu Musab haipingi hii Elim ya Jarhu na Taadil isipokuw kuna uharibifu baadhi kaufanya kama nilivyoeleza bfr! Mfano kusema kuwa Wanzuon wengine mbali na Sheikh Rabii siku hizi hatutajiwi, Kusema kuwa kila qadhia siku hizi anapelekewa Sheikh Rabii peke yake etc! Huo ndo uongo na uharibifu alioufanya Abuu Musab na mm hyo ndo point yangu!

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 7 днів тому

      Ukisikiliza kuanzia Dk ya 26:30 Abuu Nuaym anasema eti Abuu Lubaaba kaingia kweny Uswaafiqa mwaka 2025, Hahhahaha! Huu ni uongo wa wazi kabsa Coz mwaka 2025 haujafika bado, utagundua kuwa huyu mzungumzaji anaongeaongea tu bila kujua anachoongea ni nini..... Nadhani hapo mtasema kuwa katumia majaazi au sio? Hahahhahahah!

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 7 днів тому

      Halafu kuhusu Dr Islam sabab ya Kuhizibishwa sio hyo anayoisema huyu mzungumzaji...!!! Sababu ya kuhizbishwa ni kuunga mkono Da'awah ya Barahiyani ! Na hilo Abuu Muawiyah Allah amrehemu alisharaddiwa enzi za uhai wake na hakuja kujibu tena hyo radd!

  • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
    @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 7 днів тому

    Unadharau sana wee Abuu Nuaym utafikiri wewe ndo una Elim kuuuuuubwa....yani unasema hawa Masalafy wa Tanzania ambao wewe unawaita maswaafiqa kuwa hawajamakinika katika Elim,Wewe wangapi wamekuzidi Elim miongon mwao? Em kasome kwanza bana acha kutafuta uSheikh kabla Allah hajamsheikhesha kama alivyofanya Bachu,utakuja kuumbuka,shauri yako,ohoooo!

  • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
    @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 7 днів тому

    @nsabimanasuleyman2008 Nyie mnawapinga Answar Sunnah akina Barahiyani sio? Na wao wanatumia pia maneno ya Ibn Barjas kuwaita wale wanaowabidiisha kuwa hawafahamu ibara za maulamaa! Kwo kama sisi hatujui ibara za maulamaa basi na nyie hamzijui according to Answar Sunnah akina Barahiyani! Ukikaa ukafikiria utagundua kuwa hayo ni maneno ya mkosaji... kama nyie mnaamin kuwa mmedhulumiwa kutolewa kwenye usalafy, hali yakuwa mnajua kuwa nyie ni masalafy kwann mnatumia nguvu sana kujitetea? Kipi kinawauma? Kwan wao wakisema nyie so masalafy ndo mtakuwa hvo? Sasa mwalialia nini? Yani nyie na Answar Sunnah siku hzi ni kama hamna tofaut... yan mmewanyamazia mahizbi utafikiri uhizbi hapa TZ haupo Yan! Hata Siku moja sijawah kumuona miongon mwenu akiitahadharisha manhaj ya Bachu, mmebaki kusema kwa kinywa tu kuwa Bachu sio mwenzenu wakat kiuhalisia mnaunga mkono Da'awah yake na nyie ndo mnakoelekea huko msipojiangalia!

  • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
    @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 7 днів тому

    Abuu Nuaym ungeenda kumalizia masomo yako kwanza mana misingi ya Dawatusalafiyyah bado hujaijua koz Ruduud zako zimejaa matusi na Kejeli kwa wenzako... mm hata Sikukubali wala nn, Bora hata Abuu Zaghar kdg anajibu kwa upole na nidhamu ila wewe unacharukacharuka sana 😢😢😢

    • @nsabimanasuleyman2008
      @nsabimanasuleyman2008 7 днів тому

      Sio lazima wewe umpende hara Rasuulu llaah hakupendwa na wengi seuze wewe. Sisi tunampenda

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 7 днів тому

      @@nsabimanasuleyman2008 Sijasema lazima nimpende mimi...!!! Wewe mpende tu kwa ajili ya Allah na mm nsipompenda kwa ajili ya Allah sote tutapata thawabu in shaa Allah!

  • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
    @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 7 днів тому

    Mnatumia nguvu sana kwakweli ili mueleweke lakin waaap! 😂😂😂 Abuu Lubaba katoa zaid ya Clips 10 kama sijasahau na ametoa ruduud hzo kwa hoja na adilla na nyie mnakuja kujibu ka clip kamoja tu! Jibuni Kwa Steps kuanzia Jinai ya kwanza hadi ya mwisho na mujibu maswali aliyoyauliza mule ndani acheni KURUKARUKA...!!! Eti mnamuita KIFARANGA ili akate tamaa, Ng'oo hakati tamaa In shaa Allah na ataendelea kuwaradd 😂😂😂😂

    • @nsabimanasuleyman2008
      @nsabimanasuleyman2008 7 днів тому

      Hakuna nguvu yoyote anatumia ispokuwa anaifikisha Haqi na kuweka mambo nafasi yake wewe unachukia Nini ???

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 7 днів тому

      @@nsabimanasuleyman2008 I hate nothing, lakin kwann asijibu jinai zote? Kwan yote aliyoyazungumza Abuu Lubaba kwenye zile jinai yote ni ya Baatwil? Hakuna Haqqi aliyoongea? Mbona sasa mnamdogosha kanakwamba kila alichozungumza mule kakosea! Nasisi tuna akili bana, mule kweny zile jinai kuna mengi tu kayazungumza ya haqqi dhidi ya Abuu Musab na lau nyie mngekuw waadilifu mngelibainisha hilo watu wakajua! Au huyo Abuu Musab ndo yeye hakosei?

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 7 днів тому

      ​​@@nsabimanasuleyman2008 Nyie mnawapinga Answar Sunnah akina Barahiyani sio? Na wao wanatumia pia maneno ya Ibn Barjas kuwaita wale wanaowabidiisha kuwa hawafahamu ibara za maulamaa! Kwo kama sisi hatujui ibara za maulamaa basi na nyie hamzijui according to Answar Sunnah akina Barahiyani! Ukikaa ukafikiria utagundua kuwa hayo ni maneno ya mkosaji... kama nyie mnaamin kuwa mmedhulumiwa kutolewa kwenye usalafy, hali yakuwa mnajua kuwa nyie ni masalafy kwann mnatumia nguvu sana kujitetea? Kipi kinawauma? Kwan wao wakisema nyie so masalafy ndo mtakuwa hvo? Sasa mwalialia nini? Yani nyie na Answar Sunnah siku hzi ni kama hamna tofaut... yan mmewanyamazia mahizbi utafikiri uhizbi hapa TZ haupo Yan! Hata Siku moja sijawah kumuona miongon mwenu akiitahadharisha manhaj ya Bachu, mmebaki kusema kwa kinywa tu kuwa Bachu sio mwenzenu wakat kiuhalisia mnaunga mkono Da'awah yake na nyie ndo mnakoelekea huko msipojiangalia!

  • @nurushaban-v8v
    @nurushaban-v8v 11 днів тому

    Daaah Allah amsamehe sheikh wetu

  • @MwanahamisHassan-y5c
    @MwanahamisHassan-y5c 14 днів тому

    Mwenzenu natamani iwe ndoto jamani abuu muawiy wew ndy sababu ya sisi kuuoenda usalafi kwahakika wengi wetu tulikua tukiuchukia usalafi kwa matendo machafu ya baadhi ya wanao jinasbsha na daawa hii ila wanaichafua tulipo fatilia oudio zako ndy tukabainikiwa alafu mi ndy ilikua dua yangu kua allah ajaalie nisome kwako japo risala kadhaa ila wapi ndoto yangu haija timia

  • @mashaurimvungi2232
    @mashaurimvungi2232 Місяць тому

    Dawa Gani wafuasi wa Mohammad imam

  • @ShabaniKambalame
    @ShabaniKambalame Місяць тому

    Shukran shekh

  • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
    @ABUUBAAZNYUNGU-j4x Місяць тому

    Dah! Kumbe Shekh alipambana sana ili kusuluhisha ugomvi! Allah amrehemu Abuu Muawiyah!

  • @ABDULRAHMANIDAS
    @ABDULRAHMANIDAS 2 місяці тому

    Allah amrehem shekh wetu

  • @Mashakasouleyman
    @Mashakasouleyman 2 місяці тому

    As salam walaykum warrah mathullah wa barakathuh ongera saana sheikh Allah haku hifadh Habib Ushia kwa tanzania una sagaa twawomba ma sheikh wetu mhadhara mingi saana kupiga vita hiyo fitna ya hawo makafiri (shia)

  • @musarashid-xw1qm
    @musarashid-xw1qm 2 місяці тому

    Mashallah sana allah akubaliki mzungumzaji na mimi msikilizaji

  • @hajisalumomari3460
    @hajisalumomari3460 2 місяці тому

    Mashallah mwalimu wangu , Allah akubariki sana, akuhifadh na akulinde kwa kila baya

  • @Omar-n3q7u
    @Omar-n3q7u 2 місяці тому

    Shekh Abuu Mus'ab Allah akuhifadhi shekh wang Kwa kweli unafanya kazi kubwa Allah akutie nguvu Na subra kwani daawa inahitaji subra kubwa

  • @Omar-n3q7u
    @Omar-n3q7u 2 місяці тому

    Allah amrehemu abuu Muawiyah

  • @allymtito8117
    @allymtito8117 2 місяці тому

    بارك الله فيك يا شيخ

  • @as-salafy354
    @as-salafy354 2 місяці тому

    Usizungumze masalafy wa Tz je masheykh wa yaamn wanasemaje kuhusu mohammad Al-imam kama sheikh Munir As-saad na wengineo na je huyo Mohammad imam anashirikiana nao katika Daawah kina Munniyr As-saad

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 2 місяці тому

    Mafuta bwana mjanja kweli Kila akimuona mtu ana elimu hiding yake anamtengenezea ajali asije mpindua kiti chake

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 2 місяці тому

    Majadida wa pongwe Maulamaa wao 2 tu Duhhh Wale wayemen wote hawafai

  • @fahmikikaka9258
    @fahmikikaka9258 2 місяці тому

    kipenzi cha wapenda swalaha Allah tudumishie kheri hii Allaahumma Aamin

  • @yusufumzimbili5170
    @yusufumzimbili5170 2 місяці тому

    حفظكم الله وجزاكم الله خيرا ورحمه الله شيخنا ابو معاوية

  • @abbaspaziaog2188
    @abbaspaziaog2188 2 місяці тому

    Baraakanllah fiikum

  • @RadamPro
    @RadamPro 2 місяці тому

    Masha Allah ,jazakallah Khairan nimekuelewa

  • @IbnKhamis745
    @IbnKhamis745 2 місяці тому

    بارك اللّه فيك يا شيخنا الفاضل

  • @yussufkhamis2792
    @yussufkhamis2792 2 місяці тому

    Mashallah

  • @AbulqassimAshirazy-yd7th
    @AbulqassimAshirazy-yd7th 2 місяці тому

    II comment yangu imeenda wapi apa?

  • @AbulqassimAshirazy-yd7th
    @AbulqassimAshirazy-yd7th 2 місяці тому

    💢قد سن محمد الإمام سنة سيئة في الإسلام💢 💢HAKIKA AMEDHIHIRISHA NA AMEWEKA WAZI MUHAMMAD AL-IMAAMU SUNNAH MBAYA KTK UISLAMU 💢 ✍🏽رحم الله العلامة محمد الوصابي ALLAH amrehemu Mwanawachuoni Muhammad Al-Wuswaabiyy طلابه اليوم في مسجده (مسجد السنة) يستقبلون الروافض الحوثيين تطبيقا لوثيقة محمد الإمام وعملا بها، Wanafunzi wake leo (hii) ktk msikiti wake (masjidussunnah) wanawapokea na wanawakaribisha Rawaafidhw Al-Huuthiyyiina (mashia) hali ya kuunyenyekea wathiiqah (mkataba aliotia saini Muhammad Al-Imaam kwamba mashia nindugu zake na haifai kuwauwa mashia) wa Muhammad Al-Imaam na hali ya kufanyia kazi wathiiqah huo (bado wanaukubali wafuasi wa Muhammad Al-Imaam kwamba hakukosea), ويتم في المسجد إعلان أن عدوهم واحد وكتابهم واحد وموقفهم واحد. Na imetimia (jambo hilo la kuendelea kuukubali na kuunyenyekea wathiiqah uliojaa kufru ndani yake) ktk msikiti kutangaza kwamba hakika adui yetu nimmoja na kitabu chetu nikimoja na msimamo wetu nimmoja. فقد سنَّ محمد المعبري سنة سيئة فعليه وزرها ووزر من عمل بها... Basi hakika amedhihirisha na ameweka wazi Muhammad Al-Imaam Al-Ma'abariyy sunnah mbaya (sana) basi anapata madhambi kwa kudhihirisha sunnah hiyo na anapata madhambi yule atakayeifanyia kazi sunnah hiyo... فإنا لله وإنا إليه راجعون. Basi hakika sisi niwaja wa ALLAH na kwake yeye hakika tutarejea. منقول من حساب الشيخ د. عرفات بن حسن المحمدي. Imenukuliwa kutoka ktk account ya Sheikh Dr. Arafaat bin Hassan Al-Muhammadiyy (ALLAH amuhifadhi na amchunge). 🔺NYONGEZA KUTOKA KWA ALIYETAFSIRI: 🔸Ewe ndugu yangu Muislamu Mtukufu, naomba usome maneno kwa makini na uzingatie na nakunasihi usiwe na taaswswub ktk dini na usifuate mambo ya dini kama kipofu hajui anakoenda au anakopelekwa. 👉🏾Jitahidi ufuate na upite ktk mafundisho ya dini kwa hujjah na burhaan na dalili kama anavyosema Sheikh Rabii ALLAH amuhifadhi na amchunge: قال الإمام العلامة ربيع بن هادي المدخلي حفظه الله تعالى ورعاه: 🔶Amesema Imaamu Mwanawachuoni mkubwa Rabii bin Haadiyy Al-Mad'khaliyy ALLAH Alaliyejuu Mtukufu amuhifadhi na amchunge: ”نحن لا نمشي مع العواطف نحن نمشي مع الحجة والبرهان“. Sisi hatupiti (hatuliendei jambo lolote la dini) pamoja na fikra na msukumo mbaya wa matamanio ya nafsi na khasira, tunapita (tunaliendea jambo lolote la dini) pamoja na hujjah (dalili iliyowazi) na burhaan (dalili na ubainifu uliowazi) 📚المجموع: (١٥/١٨١) . 📚Al-Maj'muuu: (15/181) . 👉🏾Ewe ndugu yangu Muislamu Mtukufu fahamu ya kwamba, mashia nimakafiri na Muhammad Al-Imaam ameleta sunnah mbaya ktk Uislamu na anapata madhambi kwakusema kwamba mashia nindugu zake na adui yao nimmoja na kitabu chao nikimoja!!. 🔹Mwanawachuoni au Sheikh au mlinganizi yeyote wa dini akikosa ikh'laaswi ktk kuyaendea mambo ktk dini atakuwa na riyaa (shirki) akiwa na riyaa anakosa msaada wa ALLAH na matokeo yake anakuwa na kiburi na dharau na kujiona na ikifikia hali hiyo asipotubia toba ya kweli atapinda hata masiku yakirefuka kwa kufuata batili kama anavyosema Sheikh Ibnu Taymiyyah ALLAH amrehemu: قال شيخ الإسلام ابن تيمية رحمه الله تعالى: Amesema Sheikhul-Islaami Ibnu Taymiyyah ALLAH Aliyejuu Mtukufu amrehemu: 👈🏽المستكبر عن الحق يبتلى بالانقياد للباطل. 👉🏽Mwenye kufanya kiburi kwa kuacha kufuata haqqi, hupewa mtihani (mkubwa sana) wa kufuata batili (anaikumbatia kabisa baatwil na kuilingania batili, kwasababu amewacha kufuata haqqi) 📚مجموع الفتاوى: (٧/٦٢٩) . 📚Maj'muuul-Fatawaa: (7/629) . 👉🏾Ewe ndugu Muislamu Mtukufu naiusia nafsi yangu na nakuusia na wewe na namuusia kila Muislamu, tujitahidi kuwa na mapenzi na haqqi zaidi kuliko kuwa na mapenzi zaidi na Mwanawachuoni au Sheikh na ukiwa una mapenzi zaidi na Mwanawachuoni au Sheikh kuliko haqqi na ukafuata manufaa yakidunia kwake, ikiwa atapinda huyo Mwanawachuoni au Sheikh Wallaahi hautomkata kwaajili ya ALLAH na utayumba ktk dini yako na utaangamia usipobadilika!. 👀IMETAFSIRIWA NA: 👉🏾ABUU ABDILBARRY ABDULSHAKUUR BIN JAMES BIN MWENDA ASSALAFIYY (حفظه الله تعالى ورعاه) 💢Dar es Salaam, Tanzania🇹🇿

  • @tujially1361
    @tujially1361 2 місяці тому

    Nyie nyote ni masalafi,ifikie kipindi muelewane mlikotofautiana

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 2 місяці тому

    Misingi ya ahlul sunnah, ukiacha lazima utoke kwenye sunnah. Mfano wa hao masheikh ni wengi , abuu muswa'bu wa ununio, BARAHIYAN, dr islam na ww mzungumzaji. Mmeacha misingi ya sunnah. Allah atuongoze kwenye HAKI

    • @abuumansour8479
      @abuumansour8479 2 місяці тому

      Msingi kama upi ewe swaafiqa

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq 2 місяці тому

      Hemu itoe hiyo misingi aliyoiwacha

    • @MohamedSalim-cm9ih
      @MohamedSalim-cm9ih 2 місяці тому

      Na sheikh fauzan pia ametoka .sheikh Abdul muhsin Al abaad pia ametoka kwenye Sunna..na wengine wengi ...enyi mahadadidy ..

    • @dawud6065
      @dawud6065 2 місяці тому

      Akhy bainisha msingi huo aliyoiacha Daktur Islam. Leta hujjah au ndio kukaririshwa umekaririshwa maana wengi mfano wako hamna ilm bali ni taasub na taqlid kwa mashaykh zenu.

  • @AbuuRayyan-j8x
    @AbuuRayyan-j8x 2 місяці тому

    Hajatolewa kajitowa mwenyewe

  • @AbuuRayyan-j8x
    @AbuuRayyan-j8x 2 місяці тому

    Sasa mbona wee unajibu icho unacho dai kuwa ni porojo.

  • @AbuuRayyan-j8x
    @AbuuRayyan-j8x 2 місяці тому

    Lako wee niporojo zaidi na kwa matusi hakuna anae kupata .

    • @abuumansour8479
      @abuumansour8479 2 місяці тому

      Kwan kuna sehem katukana ila masalafiyya Jadida mnaongoza kwa matus na dharau mwenzen yupo tawini uvccm unganen nae

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq 2 місяці тому

      Kijana wa kihadadiya hizbu salaf

    • @AbulqassimAshirazy-yd7th
      @AbulqassimAshirazy-yd7th 2 місяці тому

      @@HassanHamad-rf9tq ii manhaji ya wafuasi wa Muhammad imam inaingia kila watetezi Haina mipaka ya watu wa bidaa. Hata mkusanyike wote mahizb na masufy hamuiwezi kuondoa ukweli mtabakia kutafuta huruma za watu tu.

  • @AbuuRayyan-j8x
    @AbuuRayyan-j8x 2 місяці тому

    Kazi upumbavu tu .

  • @NaduuAbdilah-uj5vj
    @NaduuAbdilah-uj5vj 2 місяці тому

    Allah amrehemu na amsamehe na amlipe pepo.

  • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
    @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 місяці тому

    Allah ajalie masheikh wote wa kisalafy mpatane na ziishe tofauti zenu.....!!!

  • @abiabi9353
    @abiabi9353 2 місяці тому

    Yani ukiwasikiliza mawahabi utacheka maana nikama komedy.maelezo hayana ilimu hata chembe. Mawahabi wanadai mtume amechukua elimu ya dini kwa mayahudi.mayahudi ambao mtume aliwapiga vita.pia mawahabi wanadai mtume alikuwa hajui kuwa anatakiwa apingane na mayahudi katika dini ilabidi afundishwe na maswahaba. Huu ni ujinga na mambo ya vioja. Pia badala yakuwataja kina yazidi na wengine waliomuuwa Imam Husein wao wanawakosoa mashia kwa kumlilia Imam Husein wakati mtume mwenyewe kafanya.ndo maana nikasema mawahabi ni vichwa mchunga.

  • @abiabi9353
    @abiabi9353 2 місяці тому

    Majahili wakiwahabi kama hamna uhakika juu ya mambo basi mnyamaze

  • @allymtito8117
    @allymtito8117 2 місяці тому

    Allaah akuhifadhi shekhe wetu

  • @kijakazimussa2060
    @kijakazimussa2060 2 місяці тому

    Asante akhy

  • @ismailmohamed41
    @ismailmohamed41 2 місяці тому

    KUMBE NYINYI HAMUFUATI MANHAJ SALAFIYUN BASI NYINYI NI AHLU BIDDAH WA HAWA.

  • @abiabi9353
    @abiabi9353 2 місяці тому

    Haha hapa ndo nimethibitisha mawahabi ni vichwa mchunga hawajui chochote. Ameogopa hata kuitaja hiyo hadith husika kwasababu tafsiri yake ipo wazi kabisa kuwa ntume alimtawalisha Imam Ali. Pia kashindwa kuelewa kuwa mtume hakuchagua yeye sehema yakumtangaza Imam Ali ni baada ya amri ya Quran kushuka ilyopo katika suratul maida aya ya 67. Alafu ukimuona mtutu yeyote anamnasibisha imam Ali na visa vya ukosemfu wa Adabu basi hujue huyo anadalili za unafiki na uanaharamu.

    • @kasimubangu1875
      @kasimubangu1875 Місяць тому

      Acha idikadi zakishia akhii njoo katika sunna

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 Місяць тому

      @@kasimubangu1875 sunna zenu ni za banu ummaya si za mtume

  • @MkindiJujan
    @MkindiJujan 3 місяці тому

    Dalili zimetolewa ktk hadith lkn kwa sbb ya kutosoma kutojishughulisha na uislam si kwa elimu wala ktk maisha matokeo yake Ahlul Sunah Wanayumbishwa na historia ya uislam kwa kua masheikh zao waliowapa jukum la kuwasomea uislam hawawaelezi historia juu ya Shia kwa sbb ndiko wanakoshiba lkn pia hawana hoja madhubuti kujibu shubha za mashia kwa Ahlul Sunnah leo ndo mnaona ushia umestawi mpaka majumbani kwa ahlu sunnah

  • @allymtito8117
    @allymtito8117 3 місяці тому

    Allaah akuhifadhi

  • @Ibnsalim3
    @Ibnsalim3 3 місяці тому

    Hii ndio tawaadhui tunayotakiwa masalafy kujifunza na kuishikaa

  • @mbjunior166
    @mbjunior166 3 місяці тому

    Jazakallah sheikh

    • @DhuicTz
      @DhuicTz 3 місяці тому

      Amiin, waiyaka!

  • @jafaribenta73
    @jafaribenta73 3 місяці тому

    Sasa kama huyu abuu mus'abu kasha kufa katika maskio ya watu anataka ajifufue kumbe

    • @balmer_series
      @balmer_series 2 місяці тому

      Kafa sikioni kwako tuu al akhy, sisi tunamsikiliza Tunamuomba Allah amuhifadhi tuendelee kustafidi. Alaf wewe ndo sheikh Benta? Hh