MUHADHARA | NASAHA ZA WAZI NO 02 ( B ) - SHEIKH ABUU MUAWIYA HASSAN AWADHI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 гру 2023
  • Muhadhara wa kielimu uliotolewa katika masjid BUKHAARIY , Unguja - Zanzibar - Tanzania. Muhadhiri wa MUHADHARA huu ni Sheikh Abuu MUAWIYAH HASSAN AWADHI (Allah Amuhifadhi). Huu ni mwendelezo wa NASAHA ZA WAZI kwenda kwa waislamu katika safu ya masalafiy Tanzania kote na popote watakapofikiwa na ujumbe huu!
    Yaliyomo katika Kipande hich cha kwanza ni : -
    • MLANGO WA ADABU NA AKHLAQI
    • HESHIMA KWA WANAZUONI
    Sheikh Abuu MUAWIYAH HASSAN AWADHI ametahadharisha kuwa huu ni muhadhara na wala si ruduud kama ilivyozoeleka katika hizi siku za karibuni! hii sio Radd kwa masalafiy au raddi kwa masuffiy, ispokuwa ni masaha za kielimu kwa wote.
    Sheikh amezungumzia baadhi ya mambo yahusuyo elimu katika dini, fuatilia muendelezo wa muhadhara huu kupitia Channel yetu hapa!
    baarakallah fiykum Wajazzakumullah khayra.

КОМЕНТАРІ • 24

  • @musarashid-xw1qm
    @musarashid-xw1qm 9 днів тому

    Allah amrehem

  • @HassanHamad-rf9tq
    @HassanHamad-rf9tq 15 днів тому +1

    Allah amrehemu shekh dah hakika tumepoteza mwanachuoni mkubwa Sanaa rahimahullah

    • @DhuicTz
      @DhuicTz  12 днів тому

      Tunamuomba Allah Āzza Wajalla kwa rehma zake amghufirie amrehemu Sheikh wetu!

  • @allyhamad9665
    @allyhamad9665 21 день тому +3

    Sheikh wetu ameshafiriki dunia inna lillahi wa inna ilayhi raajiu

    • @DhuicTz
      @DhuicTz  12 днів тому +1

      Allah amrehemu Sheikh wetu!

  • @user-ov9nj7hp1s
    @user-ov9nj7hp1s Місяць тому +2

    بارك الله فيك يا شيخنا

    • @DhuicTz
      @DhuicTz  27 днів тому +1

      وفيك بارك الله

  • @LautaroIshak
    @LautaroIshak 11 днів тому

    Din imekua mjadala wala so matendo

  • @user-ov9nj7hp1s
    @user-ov9nj7hp1s Місяць тому +1

    Je muko na group la whtssap la shekhe wetu tupate kufaidika

    • @DhuicTz
      @DhuicTz  27 днів тому

      Assalam aleykum warahamtullah wabarakatuh
      Afuwan! Naomba tuwasiliane kwa namba hii +255678337917 ili uweze kuungwa na magroup yetu!
      Baarakallah Fiykum wajazzakumullah khaira.

    • @allyhamad9665
      @allyhamad9665 21 день тому

      Sheikh wetu ameshafariki dunia inna lillahi wa inna ilayhi raajiun

    • @user-iu3me2sm2h
      @user-iu3me2sm2h 15 днів тому

      Labda kaburini Allah amrehemu

  • @muhammedaloufy4086
    @muhammedaloufy4086 5 місяців тому

    watu wa baatil wanakanyagana! na mtakanyagana mpaka qiyama! huyu anamkemea Mafuta kuwakosea adabu maulama lkn hii sifa ni ya masalafi wote

    • @DhuicTz
      @DhuicTz  4 місяці тому

      Allahuaghalam, Allah akubaarik

  • @SALIMSALIM-ep3gk
    @SALIMSALIM-ep3gk 5 місяців тому

    huyu nachuki zake kika kukicha wanazidi kupungua tu

    • @DhuicTz
      @DhuicTz  4 місяці тому +1

      Allahuaghalam ikiwa ni chuki ama ni haqi! Tunamuomba Allah Āzza Wajalla atuongoze.

    • @user-dw4le7bq8d
      @user-dw4le7bq8d 19 днів тому

      Ndugu yangu mimi nakuusia hayo maneno yako sio maneno ya sawa

    • @user-dw4le7bq8d
      @user-dw4le7bq8d 19 днів тому

      Yaani kufa kwa ndugu yko wewe inafurai unasema afadhali wapungue ivii wewe una dini kweli au umegeuza chama au timu ya mpira

    • @user-dw4le7bq8d
      @user-dw4le7bq8d 19 днів тому

      Usifanye hivyo ndugu yangu nakuusia sana mtake msamaha Allah kwa hayo maneno yako kwani amekwisha kuyahifadhi katika daftari lako

    • @user-dw4le7bq8d
      @user-dw4le7bq8d 19 днів тому

      Na yeye Allah ni mwingi wa huruma na nimwenye kuwasamehe waja wake

  • @SALIMSALIM-ep3gk
    @SALIMSALIM-ep3gk 5 місяців тому

    huku dawa salafiya inazidi chanja mbuga

    • @DhuicTz
      @DhuicTz  4 місяці тому

      Da'wa salafiya haina mmiliki mwanaadam, Allah atuongoze katika njia ya kheri!

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 18 днів тому

      ​@@DhuicTzdaawa salafia haina IMAMU. Na ukikosa imamu basi bilisi hukaa mbele Yako