Fatwa za Kielimu Kwa Wanao Jiita Masalafi |Sheikh Abdul-Kadir Al-Ahdal

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Darsa Kamili
    Fatwa za Kielimu
    Hukmu za Kisheria
    Sunba na Uzushi Katika Dini
    Sheikh Abdul-Kadir Al-Ahdal

КОМЕНТАРІ • 83

  • @AbdulkarimManguli
    @AbdulkarimManguli 2 місяці тому

    Allah ampe umri mlefu wnye manufaa aamin❤❤❤❤❤

  • @user-bo1ew3xq6w
    @user-bo1ew3xq6w 6 місяців тому +7

    Masha allah sheikh twashukuru umetutoa mashaka wanao kunut na wasio kunut wote ni waislamu hakuna matatizo..

    • @omarsuleiman2944
      @omarsuleiman2944 6 місяців тому

      HATA MTIUME ALUSEMA KTK HADITHI SAHIHI KUA KUTAKUA NA MAKUNDI 73,YOTE MOTI ISPOKUA MOJA,HAYO 72 NI WAISLAMU PIA

    • @AbdallaBadi-kx4yz
      @AbdallaBadi-kx4yz 6 місяців тому

      @@omarsuleiman2944 hadithi hii imedhoofishwa c sahihi

    • @AlhajiIssa-jb9hr
      @AlhajiIssa-jb9hr 6 місяців тому

      Hilo moja ni lipi?​@@omarsuleiman2944

  • @mtopelwamlanzi-gx2nz
    @mtopelwamlanzi-gx2nz 6 місяців тому +5

    Mashekhe chukueni mfano wa cheke abdulqadr fatua zakujenga uislam imara jakallahu khaira

  • @user-fz9ir4nj1y
    @user-fz9ir4nj1y 3 місяці тому

    Barak allah

  • @abuufarha6562
    @abuufarha6562 6 місяців тому +6

    Yanihawa wanaowasapoti ukiwaona hata ibada hawafanyi watu wamtaani ndio wanawaona ni mashekhe, mcheni Allah,

  • @muhsinimohammad58
    @muhsinimohammad58 6 місяців тому

    حفظكم الله ورعاكم

  • @abusumayyah3112
    @abusumayyah3112 6 місяців тому +2

    Usalafi unawauma sana kwa kule kuchagua kwenu uhizb, kana kwamba mwafanya amali kwa ajili ya watu, hamkulenga kutoa elimu.

  • @halidijuma1884
    @halidijuma1884 6 місяців тому +1

    Mawahabi njooni huku wazee wa RADDI

  • @hassankiloba217
    @hassankiloba217 6 місяців тому

    Asanite sana❤❤❤❤

  • @isihakamgeta5433
    @isihakamgeta5433 6 місяців тому +4

    HUYU NA NYIE NJIA YENU NI MOJA SO HATUSHANGAI

  • @AthumaniIbrahim-h8y
    @AthumaniIbrahim-h8y 6 місяців тому

    Allah akubariki muono wako mkubwa

  • @abuufarha6562
    @abuufarha6562 6 місяців тому +1

    Hawa namdogowake kishki wanajifananisha na watu wa sunna lakini ni masufi wanazaka kumridhisha kilamtu fatu zao hazieleweki ziko baina wabaina mcheni allah acheni uzushi,

    • @husseinsaid8021
      @husseinsaid8021 6 місяців тому

      Jaaahil muraqqab

    • @user-il5te5xd5y
      @user-il5te5xd5y 2 місяці тому

      sunna sio ya mtu au yakikundi fulani sunna ni ya waisilamu wote. waislamu wote duniani ni watu wa sunna.lakini kabla ya kumwambia mtu sio mtu wa sunna kwanza ujue nini maana ya sunna kilugha na kisheria naujue na ujue nini hukmu ya kusema fulani sio mtu wa sunna utumie vigezo vya kisheria

  • @user-bm4fe5ee4t
    @user-bm4fe5ee4t 6 місяців тому +1

    Makundi yanaendelea bado hayajaisha wakati Dunia haijaisha

  • @saadallah6287
    @saadallah6287 6 місяців тому

    Du kula chakula cha sherehe ya nakafir huoni kama unabarik sikukuu zao?

  • @makhanguwakhutu2408
    @makhanguwakhutu2408 6 місяців тому +1

    Sasa Hawa wanaojita salaf wajiulize huyu sheikh wao qaasim mafuta na imaam shafy rehemahullahu nani mwenye ilimu na nani salafy wakweli

  • @user-bm4fe5ee4t
    @user-bm4fe5ee4t 6 місяців тому

    Acheni upuuzi wenu nyinyi ni masahaba au wafuasi washetani mnagawa watu kwa vipimo gani

  • @khamisothman1154
    @khamisothman1154 6 місяців тому

    Kwa nini unakimbilia kukata simu

  • @user-ed1cf9nq5w
    @user-ed1cf9nq5w 6 місяців тому

    Huyu mzee bora anyamaze tu 😅😅

  • @user-uw8pg9ju5s
    @user-uw8pg9ju5s 6 місяців тому

    Kumbukeni umaut alhikma kaeni upande mmoja tuwaelewe acheni janjajanja

    • @husseinsaid8021
      @husseinsaid8021 6 місяців тому +1

      Umefundwa chuki na husda

    • @user-eb5lg7oj5x
      @user-eb5lg7oj5x 6 місяців тому

      Elimu za hawa masalafy ni ndogo sana

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 6 місяців тому

      Wewe unataka upande au unataka hoja za maimamu?. Upande chagua wewe. Huku ni elimu tu inatuongoza

    • @user-dr4gb2ld7h
      @user-dr4gb2ld7h 6 місяців тому

      Uwaelewe wew kama nani kwani wew ndo una miliki thawabu

    • @user-dr4gb2ld7h
      @user-dr4gb2ld7h 6 місяців тому

      Hizo ni husda

  • @user-qn8ig9ey6b
    @user-qn8ig9ey6b 6 місяців тому

    Acha ukhanithi weye unaelimugani ya kumbeza sheikh abdul qadir na ndogowake hiyo lugha pia huijui unapatawapi nguvu ya kuwasema halafu weye sie unae andika ibada za waja wahabiweye

  • @JumaabedNzota
    @JumaabedNzota 6 місяців тому

    Wewe acha kupoteza watu

    • @user-dr4gb2ld7h
      @user-dr4gb2ld7h 6 місяців тому

      Wew nenda ukawaongoze unaye jua acha husda

    • @JumaabedNzota
      @JumaabedNzota 6 місяців тому

      Apoteza watu huyu wewe elewa

    • @JumaabedNzota
      @JumaabedNzota 6 місяців тому

      Kujiwekea eda yakunuti hii bidah

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 5 місяців тому

    huyu shekhe haileweke kama mtu wa sunna au hizbi

  • @zaidechafim2613
    @zaidechafim2613 6 місяців тому +1

    Huyu nisheikh waukweli wallah wengine wajingatu wanataka kupoteza umma
    eti wasema salafi pooooora

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah 6 місяців тому

    Eti usalafi unawauma, hii ni kutokujua maana sahihi na tafsiri sahihi ya salafi, waambieni maana sahihi ya salafi ni waja wema waliopita, na sio kujipachika jina la usalafi na wewe mwenyewe ukabweteka kwa kujiona ni mja mwema, Nyie munaojiita masalafi kwa sasa ni kama vile munatafuta Kiki na umaarufu lakini hamna kitu, hili kundi ni pote tu limeanzishwa na uwasili wake ni uwahabiya yaani mawahabi, munajificha mgongo nje, eti sisi salafi yaani munachukuwa jina la waja wema munaojiita

    • @abuurayaan3902
      @abuurayaan3902 6 місяців тому

      الجواب:
      الدعاء في صلاة الفجر دعاء القنوت ليس بمشروع، إلا للأسباب إذا كان هناك أسباب وهي: تسمى أسباب النوازل، يعني: إذا كان هناك نازلة بالمسلمين مثل حرب نزلت بالمسلمين عدو هجم عليهم أو على بعض قراهم يدعى عليه، أو عدو قتل منهم بعضهم كما دعا النبي ﷺ على من قتل القرَّاء، ودعا على أهل مكة لما أمعنوا في الكفر، هذا يقال له: القنوت في النوازل هذا مشروع.
      أما القنوت في الفجر دائمًا فالصواب: أنه غير مشروع؛ لأن سعد الأشجعي سأل أباه فقال: يا أبت! صليت خلف رسول الله ﷺ وخلف أبي بكر و عمر و عثمان و علي أفكانوا يقنتون في الفجر؟ فقال أبوه: أي بني محدث وهو سعد بن طارق الأشجعي رواه الخمسة إلا أبا داود بإسناد جيد.
      فهذا يدل على أن القنوت في الفجر غير مشروع، إلا للنوازل خاصة كما تقدم، وأما رواية أنه كان يقنت في الصبح حتى ما زال في حياته عليه الصلاة والسلام، هذا ليس بصحيح بل هو ضعيف، في بعض الروايات عن أنس أنه كان يقنت حتى فارق الدنيا عليه الصلاة والسلام، ولكنه لو صح لكان واضحاً، لكنه حديث ضعيف الإسناد، وقال بعضهم: لو صح معناه أنه كان يطيل الوقفة بعد الركوع؛ لأن طول القيام يسمى: قنوت، وليس معناه القنوت المعروف، بل معناه أنه كان يطيل القيام بعد الركوع عليه الصلاة والسلام ويسمى قنوتًا، ولكن الحديث مثلما تقدم، ليس إسناده بصحيح ولا يعتمد عليه.
      فالصواب: أنه لا يشرع القنوت في الفجر على صفة دائمة، وإنما يشرع فيها إذا كان هناك نازلة بالمسلمين أو في المغرب أو في العشاء لا بأس أو في الظهر والعصر إذا كان هناك نازلة قنت فيما شاء من الصلوات الخمس، والأفضل في الفجر والمغرب. نعم.
      المقدم: جزاكم الله خيرًا.

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 6 місяців тому

      @@abuurayaan3902 vipo vita baina waislamu na haki za binaadamu watu wasagane, Yatosha waislamu kuleta qunuti.

    • @nduwimanahijja4448
      @nduwimanahijja4448 6 місяців тому

      Assalam alaikum warhamatullah wabarakatuhu.Allah awazidishei kila lakheir ninaitwa hijja mkaazi wa Rwanda nawapenda sana

  • @Kekulebenzene
    @Kekulebenzene 6 місяців тому +2

    Watu wapumbavu sana, wanajiita masufi, mashia, nk hawasemwi lolote kwa kuwa wanakubali maulidi.
    Watu kujinasibisha na salafi (sunnah) kelele nyingi

  • @abuufarha6562
    @abuufarha6562 6 місяців тому +5

    Hawa namdogowake kishki wanajifananisha na watu wa sunna lakini ni masufi wanataka kumridhisha kilamtu fatua zao hazieleweki ziko baina wabaina mcheni allah acheni uzushi,

    • @user-sb7gt4ej5n
      @user-sb7gt4ej5n 6 місяців тому +4

      Hilo ni jiwe limerushwa gizani we ndo umepiga kelele sisi twajua ndo limekupata ndo mana

    • @dinocastico8495
      @dinocastico8495 6 місяців тому +3

      Leta hoja zako uje na dalili ili uwe mkweli

    • @IssaSimbilla-hw9ev
      @IssaSimbilla-hw9ev 6 місяців тому

      Naam haswaa

    • @abuurayaan3902
      @abuurayaan3902 6 місяців тому

      Kwani huyu si ni Sufi
      Mama yao alipo kufa Si walisoma Khitmah na kuchoma ubani tangu lini mtu wa Sunna akafanya Uzushi??

    • @abuurayaan3902
      @abuurayaan3902 6 місяців тому

      Alafu ukijua ni watupu mbona hawataji marajii za kielimu na qauli zenye nguvu kama walivyo elezea Wanachuoni