Sheikh Kassim Mafuta: Itikadi mbovu ya Ibadhi kwa Maswahaba رضي الله عنهم

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Hizi ni Miongoni mwa itikadi mbovu za Ibadhi dhidi ya Maswahaba wa Mtume Swala na Salaam zimfikie kutoka kwenye Vitabu vyao wenyewe.

КОМЕНТАРІ • 54

  • @user-cy1od5xr8x
    @user-cy1od5xr8x Місяць тому +1

    Waulize mashafi wenyewe kama Ibadh hawaswali nyuma yao yaani unasema mambo ambayo hayapo hasa muogope ALLAH

  • @user-us9qh3cl8z
    @user-us9qh3cl8z 7 місяців тому +1

    Allahu akuhifadh yaa shaikhunaaa

  • @AsasAllykwasalafivitavyamasaha
    @AsasAllykwasalafivitavyamasaha 3 місяці тому

    Jambo la kuzingatia ni kuwa muislam halazimiki kufuata kila kitu cha maulamaa hata kama kajinasibisha na dhehebu lake.Hiyo ni amri ya Mungu.itkadi ya kiibadhi ni kuchukua jema kwa ulamaa yeyote na kuachana na baya la yeyote''.Hayo mengine ya kina Tiwani na wengine ni tafsiri yao na wana uhuru wa kuzngumza..KIMSINGI tafauti ni katika kuwawekea darja masahaba.HUWEZI kulazimisha kuwa Ibadhi lazima utukane baadhi ya masahaba.

  • @thuweinmassoud9062
    @thuweinmassoud9062 5 місяців тому +3

    Fitna tupu km kweli omba mjadala km kweli ww n mwanaume

  • @salimmasoud1253
    @salimmasoud1253 Місяць тому +1

    Kasim mafuta namfananisha na mteja wa unga ata uyo mla unga ukimpa maneno haya ayaseme bs atasema hawezi

    • @ShyOnlineMedia
      @ShyOnlineMedia  Місяць тому

      Poule fanya uadilifu katika kuhukumundugu yangu

  • @suleimanahmad2483
    @suleimanahmad2483 7 місяців тому +4

    Mafuta mbona unakuwa mfitinishaji mkubwa kiasi hichi?

    • @abumuhammadmbwana3964
      @abumuhammadmbwana3964 7 місяців тому

      Anatakiwa ajibiwe kwa hoja

    • @111dudi
      @111dudi 4 місяці тому +1

      Yeye na Bahrayani yamekaa kufitinisha waislam

    • @111dudi
      @111dudi 4 місяці тому +1

      Ni fabi yake kufitinisha.Jahannam inamsubiri

  • @thuweinmassoud9062
    @thuweinmassoud9062 3 місяці тому +1

    ikiwa msimamo wako ni kuwa maswahaba wote ni waadilifu je muawia amemfanyia haki na amefanya uadilifu kwa sayidna Aliy kumpokonya madaraka

  • @AllyNassor-de6ck
    @AllyNassor-de6ck 2 місяці тому +1

    Fitna za mawahabi

  • @adamcity9441
    @adamcity9441 7 місяців тому +6

    Mafuta kama wewe ni mwanamme omba mjadala na Shaikh Juma Al Mazrui kuhusu Masahaba halafu tuone nani alietukana Masahaba baina ya Mawahabi na Ibadhi.

    • @saidhassansaid5140
      @saidhassansaid5140 6 місяців тому

      Hakuna dini inaitwa wahabi😂😂 ila ibadhi misikit yao imeandikwa kabisa neno ibadhi huwez misikit y Sunna wameandika ujuha Kam huo

    • @user-ti9rs6lz5p
      @user-ti9rs6lz5p 4 місяці тому

      Sheikh Kassim Ni mwannamme Na Zaidi. Mjadala inafanya Na watu watakaokubali haki vyengine Ni kupoteza mda tu Na sheikh Kassim Hana mda Wa kupoteza

    • @user-qe8xp6ii1u
      @user-qe8xp6ii1u 4 місяці тому

      Mjadala Wa nn sasa.Yeye si Ajibu Haya yaliyosemwa Na yeye tumsikilize .
      Hiyo mijadala ya nn Kwanza haizingatii Utulivu Na hawa Maibadhwi ni Makhawaarij wanapenda sana Vurugu.
      Hatutaki Ajibu tu nukta hadi nukta.

  • @user-cy1od5xr8x
    @user-cy1od5xr8x Місяць тому +1

    Huko Tanga huyu ndio Mufti wao hii ni hatari njoo ZANZIBAR tukupime

  • @111dudi
    @111dudi 4 місяці тому +1

    Kama huji masunni wote ni makhawarij, waliopigana na sayyidna Ali.

    • @ibrahimjumaa538
      @ibrahimjumaa538 4 місяці тому

      Kama hauna ufahamu usicomment upuuzi!!

    • @111dudi
      @111dudi 4 місяці тому

      @@ibrahimjumaa538 kasome kwanza, ndipo ujie kujibu.usimtegemee Mafuta, ana agenda yake

  • @user-cy1od5xr8x
    @user-cy1od5xr8x Місяць тому

    Duh yaani huyu jamaa mambo waliyokuwa nayo ndio anawaambia maibadhi

  • @user-dn3jh6oz8s
    @user-dn3jh6oz8s 7 місяців тому

    Tupe faida upande Wa KIWAHABI

  • @adamcity9441
    @adamcity9441 7 місяців тому +2

    ua-cam.com/video/Zxnvo_NtqLo/v-deo.htmlsi=dw2kS05R456uIruS
    Mawahabi wanavyowatukana Masahaba

  • @user-cy1od5xr8x
    @user-cy1od5xr8x Місяць тому

    Huyu akiwa na watu wake anasema anachotaka kama wewe mkweli kwa unayosema Basi Omba mjadala na sheikh khalfan tiwany, au Juma Mazrui

  • @user-hf4pb7wi1j
    @user-hf4pb7wi1j 7 місяців тому +1

    Ni kweli hata APA bujumbura kuna misikiti ya kisuni na ibadhi kama mabehewa

  • @user-dn3jh6oz8s
    @user-dn3jh6oz8s 7 місяців тому +2

    Tupe maana ya walaa na baraa Kwa mujibu Wa KIWAHABI

  • @adamcity9441
    @adamcity9441 7 місяців тому

    Ungelizungumzia itikadi ya kiwahabi ya mungu baro baro ana mikono na miguuu na vidole na mabega na matako amekalia kiti na kila kitu isipokuwa uchi tu .
    Tunamuomba Allah atuepushe na itikadi hii ya kiwahabi Mujasima.

    • @hamoudyahya7635
      @hamoudyahya7635 5 місяців тому +1

      Muombe msamaha Allah kwa maneno yako. Hao mnaowaita Mawahabi hawajawahi kueleza kwa namna ulivyoeleza wewe kwa kuwakejeli mawahabi wakati unamtaja Allah. Wao hata ukisema wamekosea basi wameeleza hadithi na aya kama zilivyo elezea izo sifa na wala hawaleta Kayfiyya. Unavyotaja viungo kwamatashi yako ujue umefanya dhambi kubwa. Muombe radhi Allah

    • @ibrahimjumaa538
      @ibrahimjumaa538 4 місяці тому

      Naam

    • @ABUUALLY-ch5jr
      @ABUUALLY-ch5jr 21 день тому

      ​@@hamoudyahya7635nyinyi munawatukana waislamu wenzenu munawaita Kila majina mabaya 😢halafu nyinyi mukiitwa mawahabii na wakati wahabi ni jina sheikh wenu munachukia ? Nyinyi ni wanafik tu na kama hamujatubia Kwa munayoyatenda basi moto unakusubirini

  • @wakwetu2444
    @wakwetu2444 7 місяців тому +1

    Ni kijuti kwa hizo fitina zako.

  • @AbuuSumaiya-mj8om
    @AbuuSumaiya-mj8om 7 місяців тому +2

    Nyinyi watu munao comments wengi wanu munaelekea ni washabiki tu kwakuwa huyu shekh wetu mbora anatoa hoja za wazi kabisa kila anaetaka kuelewa anaelewa
    Lakini Cha kushangaza nyinyi munacommente mipasho na uhuni tu munanini lakini kwanini musimuombe ALLAH" awape afya na salama ktk maisha yenu
    Hivi hamujui kuwa aliechaguliwa na ALLAH" amechaguliwa na hukuna wa kumnyang'anya kama niwakweli nyie yapingeni anayo yasema sio munongone tu

    • @OmaryLiku
      @OmaryLiku 5 місяців тому

      Umekosea ulivyo nukuu kuusu maneno ya wahabi

    • @aljahuur
      @aljahuur 5 місяців тому

      Allah aache watu wachamungu achague washenzi wa kiyahudi

  • @masudbasra566
    @masudbasra566 5 місяців тому +1

    Kassimu mafuta huna elimu yoyote wewe ufai hata kisomesha watoto wadogo chuwoni

    • @ShyOnlineMedia
      @ShyOnlineMedia  5 місяців тому

      Hizo ni kelele za chura tu!

    • @thuweinmassoud9062
      @thuweinmassoud9062 3 місяці тому +1

      ​@@ShyOnlineMedia tulieni nyie vijitu . kama kweli kabisa nyinyi muko katika haqi njooni tujadiliane huku

  • @ABUUALLY-tv8rl
    @ABUUALLY-tv8rl 7 місяців тому +1

    😂😂😂😂 kwanza kabla hujakosoaa itiqadi ya kiibadhi kwanza kosoaa itiqadi zenu za kisalafi kama wewe kweli unapenda haki ,yaani nyinyi mawahabi munaitiqadi za kiyahudi hasaaa ambazo hazina kichwa Wala miguu😂😂 kabla hujakosoa ya wenzako anzaa ukosoe yako mwenyewe huo ndio uislamu

    • @pilabiliani9394
      @pilabiliani9394 7 місяців тому

      Sasa wee kinachokuchekesha hapa ni Nini?

    • @user-uw8pg9ju5s
      @user-uw8pg9ju5s 7 місяців тому

      Idhajaa

    • @ABUUALLY-tv8rl
      @ABUUALLY-tv8rl 7 місяців тому

      @@pilabiliani9394 nacheka jinsi mlivyo kuwa munafatilia mambo ya sio kuhusuni na munakosoaa watu kichukiii ndio maana nacheka! Kama kweli munapenda haki basi kwanza rekebisheni akida zenu za kiyahudi mulizonazo ambazo hazina kichwa Wala miguuu kufuru tupuu

    • @aljahuur
      @aljahuur 5 місяців тому

      Hawa ni mujjassima nipote la kiyahudi pembe ya shetani ya najid

    • @user-ti9rs6lz5p
      @user-ti9rs6lz5p 4 місяці тому

      Nenda kasome kisalaf Kwanza utajuta Na hio comment yako.

  • @jailaniramadhan1788
    @jailaniramadhan1788 7 місяців тому +1

    dini ya kiwahab hauwezi kwenda bila kuzungumzia watu!

  • @salimmasoud1253
    @salimmasoud1253 Місяць тому

    Huyu dogo mafuta ana akili ajui kuishi na watu ata ao mateja na wala unga wenzake sasa hao mmaibadhi anawaambia hivyo atakua na macho gn Kwa Tanzania hii atakapopita

  • @wakwetu2444
    @wakwetu2444 7 місяців тому +1

    Ewe sheikh kama Huna kazi usilete Futuna kwa waislam.

    • @user-ul3no3uk3v
      @user-ul3no3uk3v 7 місяців тому

      Yan hua mkibanwa mnakimbilia kwenye kuleta fitna tulieni sisi tuwafahamu vzur
      Shekhe endelea kutuweka wazi usisikilize maneno yao tunapata faida

  • @111dudi
    @111dudi 4 місяці тому

    Wewe Mafuta hujakoma tuu, sheikh Nasor wa Dar alikujibu ukajosa la kuongeza. Alikushikisha adabu.Hebu wakome maibadhi wewe.

  • @user-cy1od5xr8x
    @user-cy1od5xr8x 4 місяці тому +1

    Mawahabi ni waongo kuliko Iblisi

    • @user-kl5lv3nx9j
      @user-kl5lv3nx9j 3 місяці тому

      Umewasoma hao mawahabi au wazungumz kwa kusikia maneno ya watu

  • @abdillahsaid710
    @abdillahsaid710 4 місяці тому

    Piga hao maibadhi hamna kitu