Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

YOUNG KILLER : JACKLINE WOLPER / ANAJIUZA BEI NI KAMA BURE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 сер 2024
  • Kwa Mara Nyingine tena Tunaitambulisha Kwenu #BrandNewShow ... #TheBarTender Official Kupitia @wasafitv 📺 na Kumleta Kwenu #BabaAko @jonijooo Kwenye Screen Yako 📺.
    .
    Hii ni Show ya Kinyamwezi (Youth) Special Ambayo Itakupa Nafasi ya Kujua Maisha ya Msanii Nje ya Sanaa Ambayo anaifanya na Kujua Mambo Tofauti yanayowahusu wao Kwenye Maisha yao ya Kawaida
    HII NI EPISODE YA KWANZA YA #TheBarTender na @jonijooo na Ameanza na @youngkillermsodoki
    Big Shout To ... @Rhapsodys.Dar
    #WTVTheBarTender 🍻 #TheBarTender 🍹

КОМЕНТАРІ • 1,1 тис.

  • @hamishalidy5696
    @hamishalidy5696 5 років тому +239

    Kizaziiiii Sana wcb ndo habari ya Twn kama unamkubali Joni jooo acha like

  • @ngaizawarren2912
    @ngaizawarren2912 5 років тому +53

    WASAFI mmekuja na ubunifu wa hali ya juu..mmeamza kwa level za kimataifa tofaut kabsa na media nyingine zinapoanzishwa wanakua wanaiga wakongwe..shout out sana JONIJO umesimama vizuri..tuna imani mazuri mengi yanakuja..Mungu kwanza..#chombo kwa hewa #wahuni co watu wazuri #babaako #hii n yetu sote #ubunifu kwanza

    • @hoseanobocka4533
      @hoseanobocka4533 5 років тому

      Mm nliwambia watu hii TV ni ya msanii mbunifu anae jua biashara kwahyo lazma wasafi TV iwe kbwa na bado mtashuhudia makbwa

    • @UtabiriWaNyota
      @UtabiriWaNyota 5 років тому

      Kujua kazi ya nyota tembelea ua-cam.com/video/-x6PUL_2vIE/v-deo.html

  • @athumanirashidi4982
    @athumanirashidi4982 5 років тому +2

    binafsi young kille ndo kama somo langu sababu najifunza vituvingi sana toka kwako young kille big up sana brother from chuga home dsm now pande za kijichi mgeni nani

  • @amirially8865
    @amirially8865 4 роки тому +2

    Nakuku bali san mwamba jonijooo nakufatilia kinoma mzee baba me napenga san ule msemo wako unao sema baba ako ebhana 👊

  • @yohanaeden1731
    @yohanaeden1731 5 років тому +48

    Apa kuna vtu vya kujfnza. Hik kipnd kinamfnya msanii awe comfortable cuz maswal ya presenter hayaja base tu khcu usanii wke bt piah ni khc maisha ya kawaida. Pia anktna na mind challenge (refreshing)

    • @UtabiriWaNyota
      @UtabiriWaNyota 5 років тому

      Kama unataka kujua masuala ya nyota tembelea ua-cam.com/video/-x6PUL_2vIE/v-deo.html

  • @shokajr9714
    @shokajr9714 5 років тому +3

    Dah.!! Killer ameniacha hoi sana
    Ila kipindi kikali kinyama ubunifu wa hali ya juu. 👏🏾👏🏾👏🏾

  • @nyamweririchard5945
    @nyamweririchard5945 5 років тому +2

    Duuu,,mdogo wangu hongera sana,unatuwakilisha vizuri sana Lake primary School Mwanza moja.

  • @khamissoud1305
    @khamissoud1305 5 років тому +2

    duh God bless you wasafi unit this people are very creative gonga like kama nawe ni member wa wasafi bega kwa bega babakeeeee

  • @erickchitojo6933
    @erickchitojo6933 5 років тому +82

    hiii show ni show kweli...ase mmeua wanyama. #creativity

    • @andrewluhusa4700
      @andrewluhusa4700 5 років тому

      erick chitojo #creativity

    • @AMMYFILM
      @AMMYFILM 5 років тому

      Hatar

    • @UtabiriWaNyota
      @UtabiriWaNyota 5 років тому

      Kujua masuala ya nyoata tembelea ua-cam.com/video/-x6PUL_2vIE/v-deo.html

  • @johnnkya8839
    @johnnkya8839 5 років тому +20

    What a creativity!!! 👏👏👏 Jonijoo the badest nlikumiss sanaaa na kumbe umeenda tengeneza amazing show big up broo #wasafitv #jonijoo #WahuniSioWatuWazuri!!! 💪🏾💪🏾

  • @enosupertv2205
    @enosupertv2205 5 років тому +2

    Kipindi #konki story #konki maswali hayamsumbui mxanii anaenjoy had anasahau kama alibet akachana mkeka sio kama mijichanel ya UA-cam ilokomaaa na life ya tanasha na mondi kla siku
    Big up #Babako

  • @ozacsic2832
    @ozacsic2832 4 роки тому +3

    Joni joooo mm honestly na weza nisije kwenye show yako maana maswali yako mzeee daaaa😂😂😂🙌🙌🙌

  • @qulthumameir7480
    @qulthumameir7480 5 років тому +20

    aliebuni hii show saluteeeee yaani haijawai tokea

  • @jamaaafrikatv6590
    @jamaaafrikatv6590 5 років тому +8

    Sio kesi nimeenjoy sana Oya Wajina John creative sana.. Daah Japo na mm ni host ila Mara nyingi unanifanya nikae chini nijifunze Sana na Kuanda material mengi Sana MUNGU Azidi kutupa Uhai .... Good idea, session , classic and quality

  • @daudivalerian3487
    @daudivalerian3487 5 років тому +1

    Kipindi ni kikali kinyama mzee but kwa ubora wa kipindi hicho mjaribu kufanya na wasanii wengine wa Africa sio watanzania pekee yake coz creative yake ni kubwa sana hakuna msanii wa africa ambaye ataitwa kwenye kipindi akagoma coz mmeamua kufanya kweli jonijoo mtu mbaya sana respect sana bro

  • @amnaalmarzooqi2097
    @amnaalmarzooqi2097 5 років тому +23

    Ahhhh....Aisee hizi level Kiba hawezi kuzifikia leo wala kesho,Chibu hatari sana

    • @rayahsadik9490
      @rayahsadik9490 5 років тому +2

      Unawashwa ww.ali kafata nn.huku kuma.ww uwez kuish bila.kumtaja ali alf hanaga time na wanafik 🤣🤣🤣

    • @aminahmachoty8652
      @aminahmachoty8652 5 років тому

      Rayah Sadik Mwambie huyo maana ajielewi

    • @kingkhanjunior4930
      @kingkhanjunior4930 5 років тому

      hahahah dah ebhna

    • @nancyruoruo1025
      @nancyruoruo1025 5 років тому

      @@rayahsadik9490 mwambie yeababa hapendi wanafik.......THE OG RESPECT TEAM YEABABA❤❤

  • @hamishalidy5696
    @hamishalidy5696 5 років тому +60

    Exclusive za tofauti kabisa duu wcb noma asante Sana mondi

    • @kevyclein4232
      @kevyclein4232 5 років тому

      Sio mondi ww uy jonijooo na idea zke

    • @emmanuelgeorge2654
      @emmanuelgeorge2654 5 років тому +1

      Sa hapo diamond anahuckaje??? We vp??

    • @dicksonkagirwa6284
      @dicksonkagirwa6284 5 років тому

      Mnauliza mond kausikaje??hii chombo si ana umiliki

    • @UtabiriWaNyota
      @UtabiriWaNyota 5 років тому

      Kujua masuala ya nyota tembelea ua-cam.com/video/-x6PUL_2vIE/v-deo.html

  • @gospalsl1music184
    @gospalsl1music184 5 років тому +3

    Jonijooo big presenter creater I never seen like this men umekuw ukinivutia sana ktk fan fan yako ya utangaz pia umekuwa ukiwa vitu hadim San na tofaut ktk kuuanda vipind mbali mbali nakukubali San mwana ww ni dhahabu hakun anaewez kukufikia hta kidogo na mm ntakuw kama ww au siku takutafut angalau unipe kidog ujuz na ufundi kma wako broo

  • @emanueljonasmacha2843
    @emanueljonasmacha2843 5 років тому +7

    Show kali sanaaaaaaaaaa haijawai kutokea East Africa this super Creativity Respect JONIJOO #wahunisiowatuwazuri

    • @hoseanobocka4533
      @hoseanobocka4533 5 років тому

      Mm natabili baada ya miaka 2, wasafi TV, itakua kubwa sana

  • @nyotamy3678
    @nyotamy3678 5 років тому +43

    Hongereni sana WasafiTv.. Show ya kibabeee.😁😀

    • @UtabiriWaNyota
      @UtabiriWaNyota 5 років тому

      Kujua masuala ya nyota tembelea ua-cam.com/video/-x6PUL_2vIE/v-deo.html

  • @imanitutu
    @imanitutu 5 років тому +172

    kama vipi mngeweka wateja wengine apo kwa baa wawe busy na vinywaji alafu story na young killer ikaendelea kama kawa. ni bonge la idea. babaakoo

  • @yussuphkazumar6229
    @yussuphkazumar6229 5 років тому +9

    dah big up saana kpnd guud saana respect #jonijooo

  • @EyeseesPictures
    @EyeseesPictures 5 років тому +2

    Bonge La Show aiseee ... Naona amejumlisha zote zile za TIMES FM akapata moja ya kweli sanaaaa ... Can't wait for the NEXT Episode kwa kweli ... Just Incredible ... Congrats Folks for this ...

  • @shukuthedony9754
    @shukuthedony9754 5 років тому +2

    god bless u broo we ni mbunifu sana unaendelea kunifanya niwe fans wako milele nakubali

  • @pacifiquerema2347
    @pacifiquerema2347 5 років тому +75

    respect sana jonijoo, mimi nakupa jina(Mister creativity)

    • @wilfredmbussa4930
      @wilfredmbussa4930 5 років тому +1

      Siyo kwamba unafikiri idea ni yake peke yake.. Hapo lazima mawazo yametengenezwa ikapatikana idea hiyo

    • @vaibyarugaba2408
      @vaibyarugaba2408 5 років тому

      Ubunifu wa hali ya juu

    • @UtabiriWaNyota
      @UtabiriWaNyota 5 років тому

      Kujua masuala ya nyota ua-cam.com/video/-x6PUL_2vIE/v-deo.html

    • @rashdomar5257
      @rashdomar5257 5 років тому

      Mkas

  • @yusuphmlangali7295
    @yusuphmlangali7295 5 років тому +3

    Hii show itakua inanimalizia mb zangu sana hii

  • @nicholauspeter9264
    @nicholauspeter9264 5 років тому +1

    Nakukubali Sana yong killer kaz zako respect 4u msodoki damu damu

  • @entertainmentzone8815
    @entertainmentzone8815 5 років тому +9

    This is fun kwakweli. Entertaining programme. Killer yuko open sana. Big up

  • @hakeembandiahakeembandia1959
    @hakeembandiahakeembandia1959 5 років тому +22

    @jonijooo mtu makini sana katka kuulza maswali nakumbuka kweny #nowyounow alikuwa anasoma kweny simu leo kweny #thebartender anasoma kweny ubongo kuna ubunifu mpya sana humuuu MPKA na enjoy vile nafsi inataka ... HONGERENI SANA @WASAFITV KWA KUONA IDEA YA jonijooo

  • @LyonWalker_
    @LyonWalker_ 5 років тому +8

    Master Creativity.................Jinijoo yakuoasa uwe mkurugezi wa vipind Vya Entertainment @WasafiMedia

    • @UtabiriWaNyota
      @UtabiriWaNyota 5 років тому

      Kama unataka kujua masuala ya nyota tembelea ua-cam.com/video/-x6PUL_2vIE/v-deo.html

  • @albertpetro901
    @albertpetro901 5 років тому +1

    Show nzur sana nmeipenda kichz sema itawabidi muongeze wateja hapo afu kuwe kuna muda wa kujadili mada fulan hv ya kitaa

  • @binswabourjr
    @binswabourjr 5 років тому +27

    i love you so muc jonijoooo
    i appreciate wht you do as well as lukamba 💕 you all

  • @mrchainz4524
    @mrchainz4524 5 років тому +60

    Kama umecheka sanaa kwny kuandika exercise ginga like tucheke wote 😁 😁 😁 😁

    • @mazikamoisa4418
      @mazikamoisa4418 5 років тому +1

      Yaani kweli shule muhimu,hpo mbavu cna😁😁😁

    • @realommy2552
      @realommy2552 5 років тому +3

      Nmecheka hiyo ginga bdala ya gonga

    • @mrchainz4524
      @mrchainz4524 5 років тому

      @@realommy2552 Ahahaa cio poa mwanetu

    • @mrchainz4524
      @mrchainz4524 5 років тому

      @@mazikamoisa4418 Amin kwambaa

    • @UtabiriWaNyota
      @UtabiriWaNyota 5 років тому

      Kujua masuala ya nyota tembelea ua-cam.com/video/-x6PUL_2vIE/v-deo.html

  • @reggie868
    @reggie868 5 років тому +3

    Brilliant show, its 30 minutes but it feels like 10 minutes, it refreshes and it aint boring to both the interviewee and the audience

  • @emmanuelmsambwa7490
    @emmanuelmsambwa7490 5 років тому +1

    Jonijooooooo bonge la kipindi mzee baba,,,,bigup to wcb chama la wanaa

  • @olivermosses6892
    @olivermosses6892 5 років тому +1

    Ase wasafi hamjawahi kuniangusha hata siku moja big up Sana kwenu

  • @abdallahabdulrahman
    @abdallahabdulrahman 5 років тому +4

    Perfect idea, creativity ya Hali ya just. Location ajab.
    Congratulations mingi sana to the C.E.O kizazi jeuri.
    #wahunisiowatuwazuri
    #BabaAkoo
    Cheeers bro.

  • @iccraponera2685
    @iccraponera2685 5 років тому +40

    Pindi Liko Pouwa Sana Hongera Wasafi Tv

    • @UtabiriWaNyota
      @UtabiriWaNyota 5 років тому

      Ukitaka kufahamu kuhusu nyota yako tembelea ua-cam.com/video/-x6PUL_2vIE/v-deo.html

  • @poolboypoolboymanstrong8570
    @poolboypoolboymanstrong8570 5 років тому

    nahis hizi #tv zote za tz zimezidiwa umri na #wasafiTv ingawa #wafasi ya juzi tu ila ina madevu makubwa kam #beberu haya tutembeeni kwa maringi #wale #ambaO_wasafi4life #tv #yetu number one #tz number one #africamashariki 🙏🙏🙋🙋🙌

  • @sigifridyfranky8984
    @sigifridyfranky8984 5 років тому +66

    kama umeikubali ii show achia like yako twende sawa

  • @cantanadicaprio3675
    @cantanadicaprio3675 5 років тому +9

    yoh jonijo appriciate bro,
    we ni mbunifu sana mzee wa show kali

  • @kapishoyasini2220
    @kapishoyasini2220 5 років тому +20

    Dah jaman kuna watu wabunifu kwel hadi raha yani wasafi mko poa kwel yani hii ni yakipekee kabisa mtu unainjoy kutuzama

  • @stevenmasato5787
    @stevenmasato5787 5 років тому +1

    kipindi cha kizazi sana hiki. hongera sana bro umeonyesha ubunifu sana

  • @bongelabwana7523
    @bongelabwana7523 5 років тому +1

    Hahahaha hahahaha Young killer exercise mbaba, jonijo the equalizer umetisha sana ongeZa watu kidogo mjengoni panoge xaiidi

  • @musakizinga4557
    @musakizinga4557 5 років тому +35

    Show shooooo #Wahuni sio watu wazurii

  • @jacobpatrice9903
    @jacobpatrice9903 5 років тому +20

    Kaa kitaalamu #babaako wahuni sio watu wazuri show maqin saanaaa

  • @abdulazizsharif2984
    @abdulazizsharif2984 5 років тому +2

    I hv never see the show poa and very sweet from tz but only u guys hongera sana, young killer unajieleza vizuri pia big up bro

  • @annastaziaramadhani2666
    @annastaziaramadhani2666 5 років тому +2

    Okay nimependa aidea ni nzuri kinachotakiwa jonijoo uwe na bar tender mwenzio ilaawe anafaham maswala ya mastory mengi ya mziki ili awe anakupiga maswal alafu jonijooo ufunguke apowewe unajua mambo mengi ilaunaweza ukakosa ushindani kwa uyomwezanko kwasababu nishaona hanaufaham na mambo mengi good job men

  • @allysoud6967
    @allysoud6967 5 років тому +20

    Blessing.nyc show.but usifanye Ilookalike kama 'now you know'...anyway nyc show nyc setting nyc name.

  • @dullahkitabu8496
    @dullahkitabu8496 5 років тому +70

    Hahahahaha nime enjoy kinyama nasubiri waalikwa wengine maana najua watakuja wengi Sana

    • @UtabiriWaNyota
      @UtabiriWaNyota 5 років тому

      Kama unataka kufahamu masuala ya nyota tembelea ua-cam.com/video/-x6PUL_2vIE/v-deo.html

  • @skillerman538
    @skillerman538 5 років тому +18

    Jonijoo anajua xana yanih🔥🔥🔥🔥

    • @UtabiriWaNyota
      @UtabiriWaNyota 5 років тому

      Kujua masuala ya nyota tembelea ua-cam.com/video/-x6PUL_2vIE/v-deo.html

  • @Norbert_Assenga
    @Norbert_Assenga 5 років тому +13

    Show la kibabe🔥🔥 nmependa sana hizo challange na maswali yake

  • @mpoleclassic160
    @mpoleclassic160 5 років тому +92

    Hiki ndo kipindi changu bora kutoka wasafi

  • @freshtv255
    @freshtv255 5 років тому +157

    KIPINDI CHA KIMATAIFA BABAAKOOO

  • @moseswilliam1854
    @moseswilliam1854 5 років тому +1

    Jonijooo amekuwa mbunifu sana kwenye show anajua sana kufanya watu waweze kuangalia na kutamani kujua nani anafuata tena mbeleni safi sana Good Idea Bartender yupo busy na mishe zake like story tu hizi mchizi katokea counter anapiga maji maisha yanaendelea... safi sana

  • @deogratiuskombe5789
    @deogratiuskombe5789 5 років тому +20

    Usibadilike Kivile Coz Mistari Yak Ni Hatar Xo Umejibu Vyema

  • @hopgraphic2965
    @hopgraphic2965 5 років тому +6

    🙌🏾🙌🏾🙌🏾Respect kwa Jonjoo na Msodoki 🔥🔥🔥🔥

  • @jelacefraim6781
    @jelacefraim6781 5 років тому +7

    Nmependa hzo challenge....bonge la shule asee....
    Show kali

  • @deborahalphonce6793
    @deborahalphonce6793 5 років тому +2

    Youngkiller is my youngthug in tz all the best joniijo for ur best show ever @wasafitv 🙏

  • @mudrikkhamis5650
    @mudrikkhamis5650 5 років тому +59

    Start from the bottom now we are show ya kibabe

    • @saidsalumm
      @saidsalumm 5 років тому

      Bonge la show pongezi kwako jonijooo

  • @abdulazizsharif2984
    @abdulazizsharif2984 5 років тому +26

    Wahuni wote like zenu hapa, me simo ( simhuni)

  • @kizablessing3809
    @kizablessing3809 5 років тому +36

    Nime enjoy show jamani young killed umenifurahisha kweli

    • @UtabiriWaNyota
      @UtabiriWaNyota 5 років тому +1

      Kujua masuala ya nyota temblea ua-cam.com/video/-x6PUL_2vIE/v-deo.html

  • @anthonyfortunatus5019
    @anthonyfortunatus5019 5 років тому +1

    Hii ni yetu sote big up wasafi kwa ujumla

  • @nickvaneatwork3322
    @nickvaneatwork3322 4 роки тому +1

    Hello youngkiller ur young broh coming soon. Youngbloodie

  • @munashabanimunashabani9976
    @munashabanimunashabani9976 5 років тому +27

    ❤❤❤❤❤❤👍👍👍👍👍👏👏👏👏safi sana kupo powa

    • @UtabiriWaNyota
      @UtabiriWaNyota 5 років тому

      Kujua masuala ya nyota tembelea ua-cam.com/video/-x6PUL_2vIE/v-deo.html

  • @bukhaled8760
    @bukhaled8760 5 років тому +15

    Haya ndio Kweli Mapinduzi Ya burudani kama Simba Alivosema🔥🔥🔥

  • @AlexSmith-en1rs
    @AlexSmith-en1rs 5 років тому +1

    This guy is more mature than so many artist big up #msodoki

  • @vicemedicalhealthcareoffic2311
    @vicemedicalhealthcareoffic2311 5 років тому

    Hii kitu kaliiiii sana jonijoooo umetshaaa sana young killer umeua hatar San.......!!!

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 5 років тому +45

    Uzuri wa #Jonijoo ni Bilingual wakija wasanii wakimataifa watakua comfortable kufanya interviews

  • @shareefkhan2481
    @shareefkhan2481 5 років тому +84

    Kipindi kipo poa sana Host anahost vzr Sana hata vision yake ni ya kisasa lakini hiyo screen hapo nyuma (TV) ingetumika hata kuonesha jina la kipindi na wadhamini kuliko kuonesha chanells nyingine mfano mieleka ,mpira nk Ni maoni yangu tu Ahsante

    • @kalamuyantajajr2605
      @kalamuyantajajr2605 5 років тому +4

      Hapana! Ubunifu mzuri. Walichokifanya ni kama mtu kaenda cocktail yuko kwenye maisha ya kawaida kabisa wakawa wanapiga story kishkaji. Kwa hiyo siyo lazima hiyo TV ioneshe kipindi husika. Jamaa kajitahidi kuja kitofauti

    • @LyonWalker_
      @LyonWalker_ 5 років тому +1

      So kipindi hakija poa kutokana na Fact yko

    • @priscakajuna3451
      @priscakajuna3451 5 років тому

      shareef khan ndo ingekuwa poa xana mawazo mazur

    • @jaffarymohammed6043
      @jaffarymohammed6043 5 років тому

      HAO WADHAMINI NDO WAPATIKANE KAKA KIPIND KIPYA UJUE. SEMA WAMEKUELEWA WATATUCHEKI KWA MATANGAZO

    • @abassking8296
      @abassking8296 5 років тому

      Ss bar tena iwekwe jina la kipindi K wahiyo ukienda kwenye bar tv ya bar inajina la bar

  • @dominickalphonce6112
    @dominickalphonce6112 5 років тому +1

    baba wewe ni the best hip hop artist in Tanzania

  • @salehemfuchu368
    @salehemfuchu368 5 років тому +13

    Kama umeckia jina alilopewa na wazazi wake gonga like zake hapa

  • @selemanmwita6255
    @selemanmwita6255 5 років тому +20

    kwa mara ya kwanza naangalia kipind kizima kwenye youtube. sija mind ila Wasaf mmemaliza mb zangu aiseeww. @wasafi media @jonijoo

    • @UtabiriWaNyota
      @UtabiriWaNyota 5 років тому

      Kwa kujua masuala yako ya nyota tembelea ua-cam.com/video/-x6PUL_2vIE/v-deo.html

    • @boniphacesumbuka418
      @boniphacesumbuka418 5 років тому

      Seleman Mwita haaaaaaa

  • @fredykisongo7081
    @fredykisongo7081 5 років тому +18

    Hahahahaha yan kalii sanaaaaa show

  • @petermichael8211
    @petermichael8211 5 років тому

    JONIJOOOO AAAAHH NOMAAA SANAAA BABAAKO, KWANZAA BONGE MOJA LA KIPINDI HALAF UNAPATA KUJIFUNZA MAMBO MENGI. WASAFI TV MMETISHA SANAA KWAHII KWELI SANAA IMEZALIWA UPYA UBUNIFU WAHALI JUU.

  • @antonykyando4264
    @antonykyando4264 5 років тому +1

    Babaako...Experience nzuri, Creativity ya Kutosha na maswali mazuri yanazingua sana.

  • @jumbebakari128
    @jumbebakari128 5 років тому +17

    Daaa wasaf nyie noma

  • @yohanamsafii3404
    @yohanamsafii3404 5 років тому +4

    Hakuna km wasafi tv bonge moja la trevision

  • @EddoTigger
    @EddoTigger 5 років тому +2

    Jonijooo Aiseee Mzee Baab Hii show ni 🔥🔥 Umekuja na ujio Mpya 2019 #GoodIdea Blood

  • @shodristvtv6121
    @shodristvtv6121 5 років тому +56

    Ili show nilakibaba Mimi binafsi nimelikubali

    • @UtabiriWaNyota
      @UtabiriWaNyota 5 років тому

      Kwa masuala ya nyota tembelea ua-cam.com/video/-x6PUL_2vIE/v-deo.html

    • @tabiamwera8809
      @tabiamwera8809 5 років тому

      Konki konki konkiiiiiiiiiii

  • @lusajomwakangata551
    @lusajomwakangata551 5 років тому +8

    😂😂😂😂, jonijoo brother ur questions are challenging kwa kweli.

  • @hermoktz3409
    @hermoktz3409 5 років тому +2

    CreativiTY Sana Jonijoo U made it since day one #NOWUKNOW🙌

  • @naominandy6277
    @naominandy6277 5 років тому +1

    #killer anahakari nyiigi sana jmn me namkubali sana wanao mkubali #killer naomba tujuane nipeni like hapa

  • @chipagafashion
    @chipagafashion 5 років тому +68

    Mimi Ni Kama Young killer nilikuwa clouds but walivogombana na Wcb na mm nikasepa!😜😜😜😜😜

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 5 років тому +1

      😂😂😂😂😂😂wewe noma

    • @haroonmdou2954
      @haroonmdou2954 5 років тому +2

      Niliondka na kila kitu changu hahahaha

    • @christinatibaijuka8428
      @christinatibaijuka8428 5 років тому +1

      SMART SWAHILI COMEDY umeona ee ata mimi yani nikuwa nasikiliza kila sk lkn toka walipogombana na wcb yan nimeisahau kabca

    • @brothermo9343
      @brothermo9343 5 років тому

      SMART SWAHILI COMEDY hahahahahahaha tisha brother

    • @UtabiriWaNyota
      @UtabiriWaNyota 5 років тому

      Kujua masuala ya nyota tembelea ua-cam.com/video/-x6PUL_2vIE/v-deo.html

  • @bukhaled8760
    @bukhaled8760 5 років тому +23

    WASAFI HAINA KUFELI🔥🔥🔥

  • @dogobyalimasilubunga5110
    @dogobyalimasilubunga5110 5 років тому

    Duh bonge la kipindi kizur Tena akijawaii kutokea duniani kwenye TV's zozote zile Dunia ,,, jonijo wewe niatari broo unamaswali utazani unasoma kwenye daftarii big up to you umetisha Sana wasafi juu big up Kwa bwana mkubwa Simba Kweli unamtu mahalumu usimpoteze uyooo jonijo

  • @emmanuelmushi5
    @emmanuelmushi5 5 років тому +1

    Hatariiii Wcb for lifehamna show kali kama hii ya TV africa mashariki yote

  • @wawukweliaisha8414
    @wawukweliaisha8414 5 років тому +19

    jonijo 👏👏👏

  • @sayedkhamis5204
    @sayedkhamis5204 5 років тому +3

    Namkubali Sana Young Killer

  • @bongobuzztz
    @bongobuzztz 5 років тому

    Sema Jonijoo kipindi Kigali mzee lakin bado umestiki mulemule kwenye Now you know ila umetisha rolimodo wangu salute

  • @lawrancejosephat7387
    @lawrancejosephat7387 5 років тому +1

    Dooh! creativity ya hali ya juu mno ktk kipindi hiki 🙏🙏🙏

  • @justinevevo4692
    @justinevevo4692 5 років тому +3

    wasafi Raha sana kwanin hiz media nyingine zisifungwe 2 ikabakia wasafi TV pekee yake maana ndo inapendwa na maelfu ya watu pia ina watangazaj mahir na wanajua mno.

    • @UtabiriWaNyota
      @UtabiriWaNyota 5 років тому

      Kama unataka kujua masuala ya nyota tembelea ua-cam.com/video/-x6PUL_2vIE/v-deo.html

  • @francwiz9039
    @francwiz9039 5 років тому +11

    Young killer shule hamna aisee

  • @eliasgembe934
    @eliasgembe934 4 роки тому

    Kizaz sanaa young killer ...salut kwako WCB big up

  • @shabanbruno8136
    @shabanbruno8136 5 років тому +1

    Ubunifu sana.... upo mbele ya mda wako jonijooo

  • @yusuphdeogratius1036
    @yusuphdeogratius1036 5 років тому +6

    toka clouds waache kupiga nyimbo za simba na mm nikaacha kuangalia vipind vyote vya clouds tv na clouds fm naona kwa ss wasafi mmenikamata kinoma

  • @clevarkalinga630
    @clevarkalinga630 5 років тому +25

    Kwel tume washa

    • @UtabiriWaNyota
      @UtabiriWaNyota 5 років тому

      Kujua masuala ya nyota tembelea ua-cam.com/video/-x6PUL_2vIE/v-deo.html

  • @samwelmapambano1517
    @samwelmapambano1517 4 роки тому +1

    Jonijoo nakubali sana Mwamba ujawai kosea maswali.yan shoot on Target

  • @azizi.j.hamisi2305
    @azizi.j.hamisi2305 5 років тому

    Daaaah babaakoo unavitu adimu Sana sio pow massage ya kawaida ila sio poa wauni sio watu wazuri kipindi Ni 💥💥💥💥💥💥💥💥💥 but fanya mpango mumkamate fid q au mjomba mpoto 👀

  • @swahiliflava9151
    @swahiliflava9151 5 років тому +3

    The best Show.. 💯💯💯 Big Up Wasafi4rever!!! 💥💥💥🔥