I think kwenye mstari wa kuwachana kina rostam kuhusu hiyo idea mpk waka piga million 100 na hakuambilia ata sh 10…….,,,yaan ni hivii young killer kavaaa uhusika wa khaligraph….. maana aliskika akilalamika kwenye diss track yake ya BONGO FAVOUR juu ya nyimbo ya (KAKA TUCHATI) ndo idea yenyew ya kipindi kile cha corona Maana killer ye ni km amee ndeleza kujibu diss track ya khaligraph ya BONGO FAVOUR
hapo kwa roma me nilielewa kuwa killer alitaka afanye nae kazi akamkimbia halafu akaunganisha malalamiko ya oG alipolalamika na kuwaambia kina rostam waongee ukweli wazo la kaka tuchat kuwa ni lakee
Young killer ni noma sn ujue
Sure brother Young killer ni moto just take your time msikilize
Nouma sanaa bro Oka🔥🔥
Mr jedy boy tz sula ya baba og Ebwanaa tupo live leo nolasco wazee wa shisha ijumaa ndo hy karibu sanaa ukifika uriza jedy boy Mr og shisha
Young killer 🔥🔥🔥💯msodoki Mwenye nyodo zake🔥🔥🔥🚬🚬
kama kawaida wakwanza
Nyimbo haijaisha weweeeeee... Yule young naskia anabakwa nyuma ...
Chuki na roho mbaya Unabandika maji ya ugali wakija wageni unayaoga...Msodoki young killer...
Kijana muuaji kaua🔥🔥🔥
Toxic nae kaachia dundo lake uko😂😂😂
The best rapper named “young” ever in bongo land No Cap 🧢
Umenona Brathee 😅😅 mambo nimazuri anga izo
This is good for the game 🔥
Msodokii 🙌👑
🔥🔥🔥🔥🔥🔥 mamayeeee
nimekufollow qwajir ya hii
Bien sana
Msukuma mjanja🔥🔥
Young mwenye nyodo zake msodoki
Imepenyaaa iyooo
Gusa chupa moja zaidi ya dizasta maradona💣💥
Unyamaah
Unyama
I think kwenye mstari wa kuwachana kina rostam kuhusu hiyo idea mpk waka piga million 100 na hakuambilia ata sh 10…….,,,yaan ni hivii young killer kavaaa uhusika wa khaligraph….. maana aliskika akilalamika kwenye diss track yake ya BONGO FAVOUR juu ya nyimbo ya (KAKA TUCHATI) ndo idea yenyew ya kipindi kile cha corona
Maana killer ye ni km amee ndeleza kujibu diss track ya khaligraph ya BONGO FAVOUR
ila kama kunauhusika hapa
💥💥💥💥💥💥
hapo kwa roma me nilielewa kuwa killer alitaka afanye nae kazi akamkimbia halafu akaunganisha malalamiko ya oG alipolalamika na kuwaambia kina rostam waongee ukweli wazo la kaka tuchat kuwa ni lakee
Sikupingi kaka 😂😂😂😂
🎉🎉
🔥🔥🔥
Ngoshaa hana swagger kill all😂
uko mwisho ujamalizia nipa🔥🔥🔥🔥😂😂😂
😅😅😅 young lunya hakuachwa salama
@@T.on.y_47 uyu young killer is another level 🙌 mwambie wajibu tunasubr😂😂😂
@@francolabile848 ndio maana nikaambia mmalizie 😁😁
@@OkaMartinChannel mtego uwoo 😂😂😂 ila big up bro we appreciate what your doing 🤝
⚡⚡⚡⚡⚡⚡
Mbona amedissiwa Faridi kubanda hapo hujasema au unamuogopa eti bwana OKA
ngoja nitulie niangalie sasa
Ww na capoza
Za
Pita na rasco sembo ngoma yake ya shut up pita humu kaka maana unajua kutufurahisha wahun
🇹🇿🇹🇿
🎉🎉
🔥🔥🔥🔥