Huna akili yaani mtu tayari ni ex bado upo na namba yake ya nini , hata ukuimuweka kipolo kitachacha tu ,EX NI KAMA MAJI MACHAFU UYAWWE KWENYE NDOO UFUNIKE NA MFUNIKO SIKU UKISEMA UFUNUE UNAAMBULIA HARUFU TU, uamuzi ni wako ufunike ndoo kuepuka harufu au ufunue ndoo ubaki na vundo la harufu
😂😂😂😂😂 daaah kiredio utafika mbinguni umechoka sanaaa aiseeee 🤣🤣🤣🤣
Bado Kila moja anahisiya namwezake 😂😂😂
Hapo huyo jamaa ndo aloachwa😅
Tafuna bigjii vizuri sipendi mtu anatafuna bigjii ka chungu jifunze kutafuna bwana ka mshamba umepata meno leo
Jamaa kajibu kinyonge sana alafu izo ni dhalau kumuuliza mwanaume bado hujapata mwingine alafu mwana ana msimamo sana
Mke wa mtu wa baadae huyo, afu wanalalamika hawa olewi
Ex anapokea cm chap😂😂😂😂
Futiboli kwanzaaaaa😄😄😄
Nakubal vdeo zake 😂😂😂
Kiredio mwambie warda ka Sammy atamchinja😅😅😅🙌
Kaka bado anampenda
Yani kati ya zote hii nmecheka hadi basi 😅😅😅😅😅kama najiona ivi 😅😅🤌
Huyu Malaya Hana akili kabisa na huyo bwege ana chuuza shitukeni mabiti huyo anae washikia akili mpumbavu sana
😂😂😂😂😂😂 nyieeee haaa hapaba
Mambo ni moto huku kumenogaaa Gusa link ufurahie
Unatsha sana vicent
Nmemkubali uyo mkak uko peace❤
Ilaaaa hiii mitegoooo
Mwamba inaonesha Hana cha kupoteza yan. Demu na kujionglesha vyte mwamba hajalegeza
Soka kwanza🤣
Ndugu mtangazaji acha kutafunatafuna
Hivi hao infinix hawakulipi? Mbona unapenda kuvaa matambala, masandles, masweta kwenye jua kali? Huwezi tafuta nguo hata huko karume za saizi yako?
Uyo alivyo vaa tu ata nsinge mtaka
Kiredio nataka ufanye challenge na mimi
Huuu😊
Aisee brother naomba namba ya huyu mtoto 😅😅nipo serious
🤣🤣🤣🤣🤣🏃🏃
😂😂😂
Kijana mpole si unipee Mimi uyo😢
unataka umchezee alafu umwache
Wadangaji hawanaga mpenzi
Duu
Kitu ambacho siwezi kuwa na namba ya ex wangu uwiii
😂🤣
😂😂😂😂❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Huna akili yaani mtu tayari ni ex bado upo na namba yake ya nini , hata ukuimuweka kipolo kitachacha tu ,EX NI KAMA MAJI MACHAFU UYAWWE KWENYE NDOO UFUNIKE NA MFUNIKO SIKU UKISEMA UFUNUE UNAAMBULIA HARUFU TU, uamuzi ni wako ufunike ndoo kuepuka harufu au ufunue ndoo ubaki na vundo la harufu
Sio kweli kuachana sio vita mnaweza kuachana na mkawa washikaji na Maisha yakaendelea😂😂😂😂
Aaaawapi
Kabisaaaa
Kwakweli ex ni ex haina kumcheki
Hao wanao tafuta max wao wote wapumbavu
😂😂😂