Jinsi ya Kupika Keki Za Biashara

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024
  • Mahitaji
    Unga gram 150 sawa na kikombe 3/4 + 1 Tbsp
    Sukari gram 150 sawa na kikombe 3/4 + 1/2 tsp
    Mayai 4
    Cake gel/keki improver gram 10 sawa na 1 Tbsp
    Mafuta ya kupikia gram 40 sawa na 4 Tbsp
    Ladha ya Vanilla gram 6 sawa na 2 tsp

КОМЕНТАРІ • 39