JINSI YA KUPIKA KEKI NDOGO NDOGO ZA UJASIRIAMALI/HOW TO MAKE CUPCAKES FOR BUSINESS

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024
  • Nimefundisha Nakutoa Vipimo Vya Gharama Ndogo Ili Kumpa Mfanyabiashara Mdogo Mdogo Faida Nakuweza Kumudu Biashara Yake.
    #mapishi #kupikakeki #jinsiyakupikakekisponji #ujasiriamali

КОМЕНТАРІ • 416

  • @neyllarmussa419
    @neyllarmussa419 4 роки тому +2

    Nashukr san dada nilikuwa natamani kupata madarasa kama yako kwasababu ya hobby yang ya kuwa mjasiriamali wa bakery kama wewe Allah akuongezee 😍

  • @nigistsheikh7819
    @nigistsheikh7819 4 роки тому +5

    MashaAllah, Allah akulipe malipo mengi,akufungulie milango ya kheri.
    Je kwa vipimo hivyo hapo nitatoa keki za mia 5 ngapi samahani

  • @leylasalim8921
    @leylasalim8921 4 роки тому +2

    Mashaallah upo vizuri dada unajua kufundisha asante mungu akubariki💌

  • @reycakesjikoni9085
    @reycakesjikoni9085 4 роки тому +18

    Kitu nafanya ni kukuombea Allah azid kukupa afya njema na roho yko njema Zaid Hakika unatujuza mengi be blessed forever mziwanda

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 роки тому

      I appreciate a lot, Allah akulipe pia kwa kushukuru!

    • @maurinekaloki6955
      @maurinekaloki6955 4 роки тому

      Yaaani we dada Nakupenda mnoo i wish to come and learn from you, je una darasa la mafunzo ya upishi? Kama hauna pls start.

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 роки тому +1

      @@maurinekaloki6955 shukran Maurine,darasa natagemea kuanza February dear. ahsante kwa ushauri pia

    • @fatmajumapili8918
      @fatmajumapili8918 4 роки тому

      @@mziwandabakers8297 nami nitajiunga na darasa, In Shaa Allah

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 роки тому

      @@fatmajumapili8918 karibu sana 0768859358

  • @NeemaSospeter-qw8qx
    @NeemaSospeter-qw8qx Місяць тому

    Wooow mashaallah ❤

  • @joycemwasote2959
    @joycemwasote2959 Рік тому +1

    Asante sana Dear ni nzuri sana nitajaribu kisha nitaleta mrejesho na hizo skupa zinapatikana wapi? Barikiwa kwa elimu nzuri

  • @FatmaMohamed-yv2vl
    @FatmaMohamed-yv2vl 4 роки тому

    Asante sana mpnz.... wengi wanatufundisha vya kula nyumbani lakn ww unatufundisha vya biashara bila uchoyo... Allah azidi kukubariki!

  • @astidijakashemeile1918
    @astidijakashemeile1918 4 роки тому +1

    Wewe Dada Sina la kusema Wewe ni zaidi ya mwalimu nimejifunza lenimeangalia video zako Leo nimejifunza nimefurahi Mungu akubariki nitareta mrejesho

  • @lisajumwa2814
    @lisajumwa2814 4 роки тому +1

    Asante kwa ushauri mzuri na kunipa moyo

  • @estarkapinga6126
    @estarkapinga6126 3 роки тому

    Una roho nzuli Sanaa una choyo huwezi Amin jana nimetengeneza. Caki ya hbd ya mwangu wame furahi sanaaaaaaa asnteee

  • @murekateteshayma4200
    @murekateteshayma4200 2 місяці тому

    Assalam alaikum warahmatullah wabarakatuh, abari Dada, nakushuru saana Kwa kutusaidia nataka uniongoze Kwa kutumia oven yangu, nikioka Keke zinatoka ziko ngumu saana natumia oven ndogo ya nyumbani Allah aendeleye kuku hifadhi❤

  • @khatrarage4445
    @khatrarage4445 4 роки тому +1

    Mansxallah weka n risipi pia uweke hongera

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 4 роки тому +2

    Nakupenda sana Natamani kwe km wewe 🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥👏

  • @lisajumwa2814
    @lisajumwa2814 4 роки тому +2

    May God bless you .you explain well.best food tutorial.kenya

  • @muniraramadhani9093
    @muniraramadhani9093 4 роки тому +2

    Mafunzo mazuri mashaallah allah akulipe

  • @lilianmrindoko687
    @lilianmrindoko687 3 роки тому

    Ahsante sana nimepata somo nitaifanyia kazi

  • @winfridawililo2769
    @winfridawililo2769 3 роки тому

    Nakupenda sana. Mungu aibariki kazi ya mikono yako, akuzidishie baraka na faida Mara dufu kwa kila unalofanya.

  • @princesspatrick4459
    @princesspatrick4459 3 роки тому +1

    Asanteee sana ❣️
    Mm nimejaribu sema keki zangu zm hazijawa nyeupe ndani ni Kama za njano

    • @husseintayar699
      @husseintayar699 2 роки тому

      Sometime mayai mwngne yellow sana lkn pia machine zinachangia ikipigika sana inakuwa white

  • @aishaabdallah4560
    @aishaabdallah4560 4 роки тому

    MashaaAllah nimexipenda ..nauliza huu moto n juu chini ama vp na zaeza kaa kwa mda gani nijuxe my

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 роки тому

      Moto ni juu na chini ,,zinauwezo wa kukaa siku nane

    • @aishaabdallah4560
      @aishaabdallah4560 4 роки тому

      @@mziwandabakers8297 Asante dear mungu akuzidishie utufunze na zaidi

  • @mossyhamza7750
    @mossyhamza7750 4 роки тому +2

    Maashaallah..

  • @aminambegu1564
    @aminambegu1564 2 роки тому

    Mashallah umekuwa mwalimu mzur Sana Allah akubarik

  • @sabraburaimi
    @sabraburaimi 4 роки тому +1

    Keep it up good job

  • @user-yw4jt3ve8f
    @user-yw4jt3ve8f Рік тому

    Asante Kwa mapishi mazuri

  • @marthaosward4457
    @marthaosward4457 4 роки тому

    Asante Dada mungu akubarik sanaaa, una roho yakipekee

  • @nacmmaju7269
    @nacmmaju7269 4 роки тому

    mm ntajaribu hizo hapo niuze in shaa allah ila allah akubariki dada na akutilie barka kwenye kazi zako

  • @hotenciamteme7449
    @hotenciamteme7449 Рік тому

    Habari za leo dada Mziwanda Bakers. ASante sana kwa mafunzo mazuri Mungu abariki kazi ya mikono yako
    Kuna kitu chochote ninachoweza kuweka kwenye cups cake ili zisiharibike mapema?? Kule dukani kwa Mangi.
    Tafadhari naomba unisaidie

  • @penina-farm5393
    @penina-farm5393 4 роки тому

    Asante sana kwa maarifa, je unaweza kutumia jiko la mkaa na je Kuna vyombo maalum vya kupikia keki hizo

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 4 роки тому

    Mashaallah maana wafundisha vzury

  • @JacklyneMinja
    @JacklyneMinja 3 місяці тому

    Hongera sana Mziwanda nimekuwa nikukufwatilia ricep zako za cake na maandazi na nikifanikiwa kutoa kitu kizuri ubarikiwe dada

  • @mamybotha1761
    @mamybotha1761 4 роки тому

    Asante sana dada hakika Mwenyezi Mungu ndo atakae kulipa unachokifanya ni zaidi ya sadaka

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 роки тому

      Amiin

    • @hellenomar2177
      @hellenomar2177 4 роки тому

      Habari dada mimi naitwa Hellen Omar, hongera sana kwa kipindi chako , mimi ndio naanza ujasirilimali, wa kapkeki , na keki za birthday , sasa naomba msaada wako , namna yakukoroga beta krm kuwa gm 500 ya icesugar unaweka magarin kiasi gani ili owe soft nzuri nzito,

  • @giftnesslion4588
    @giftnesslion4588 4 роки тому

    Nimejaribu na saiv ndo biashara yangu wateja wanazipenda mashalah asante Dada mungu akubariki ila nauliza radha nzuri ni zipi katika cake

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 роки тому

      Waoh safi sana kama umefanyia kazi,Allah akulindie Biashara yako.
      Vanila,lemon,orange na milk kwa keki ndogo 😋😋😋

    • @xuismgonda4212
      @xuismgonda4212 4 роки тому

      Kama huna mashine unaweza tumia brenda?

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 роки тому

      @@xuismgonda4212 hapana brenda waweza kwa recipe ingine sio hii

  • @mamaivansaganda9783
    @mamaivansaganda9783 4 роки тому

    Nakupenda sana jinsi unavyotufundisha

  • @fatmajumapili8918
    @fatmajumapili8918 4 роки тому

    M.Mungu akuongezee panapongua mamii, umenifundisha jambo kubwa sana. Nilikua najiuliza haya mambo naanzaje ila umenipa somo zaidi ya darasani. Jazakallah kheir

  • @meshackchananja5952
    @meshackchananja5952 4 роки тому

    Ubarikiwe kwa masomo mazur .Tusaidie kutengeneza pipi

  • @nyanzalakaporo2504
    @nyanzalakaporo2504 4 роки тому

    Ubarikiwe sana Mamy kwa Video zuri.

  • @FaithsHappyKitchen
    @FaithsHappyKitchen 4 роки тому +2

    May God bless the work of your hands, I have a small cake business & am learning alot! Bless you dada, love from Kenya

  • @dinnapeter3759
    @dinnapeter3759 4 роки тому

    Asante sana, unafundisha vizuri

  • @hamiskipengele8912
    @hamiskipengele8912 4 роки тому

    dada shukran sana....mungu akubarik..nlikua naomba utuelezee zaid kuhusiana na market na jina ya kujilipa....wengine ndo tunataka kuanza biashara from scratch....Cake ndogo ntapack ngap kwa sh ngap kwa wateja wa jumla..?asante

  • @seciliakilongozi1371
    @seciliakilongozi1371 2 місяці тому

    Naomba darasa

  • @maryukani6161
    @maryukani6161 4 роки тому +1

    Big up sana my...

  • @mahranrashma1745
    @mahranrashma1745 4 роки тому +7

    Duh kumbe tanzania yetu inawatu wajasiri wenye roho nzuri, asante sana dada unatia moyo...
    Kuhusu bati za kuchomea hz cake twaeza pata wap?

  • @ashakulanga9279
    @ashakulanga9279 4 роки тому

    Asante mamii nimeona vipimo vyote ubarikiwe

  • @noelakataraiha6692
    @noelakataraiha6692 4 роки тому +4

    Asante madam asante sanaa!!! Ni nini kinasaidia cake ikikaa kwa Mangi isiharibike?? Me natengeneza ya kukata vipande zinakua lain zinaharibikaa

    • @mamaivansaganda9783
      @mamaivansaganda9783 4 роки тому

      Noela nielekeze basi nawew jinsi unavyopika hiyo ya kukata

    • @khairatyidd8431
      @khairatyidd8431 4 роки тому +1

      Kuna kitu inaitwa sobite inafanya cake au mikate isiharibike haraka

    • @martinarenatus7874
      @martinarenatus7874 4 роки тому

      @@khairatyidd8431 inapatikana wp

    • @khairatyidd8431
      @khairatyidd8431 3 роки тому

      @@martinarenatus7874 maduka ya vifaa vya cake

  • @martinarenatus7874
    @martinarenatus7874 4 роки тому

    Umeeni inspire,asante

  • @maryammaram2612
    @maryammaram2612 4 роки тому +1

    Mi nilikuwa nauliza ivi kama oven yako ni ndogo na umekoroga unga mwingi je ukichoma nusu na nusu ukaichoma badae cake zako zitakuwa sawa au hazitopanda kama kawaida yake.. Santa kwa somo zuri😋😋

  • @fatmakhalifa5029
    @fatmakhalifa5029 3 роки тому

    Shukran uko vzr

  • @salhanjau74
    @salhanjau74 4 роки тому

    Kazi nzuri my SIS's hongera sana

  • @annastellashukrani9700
    @annastellashukrani9700 4 роки тому

    Asante kwa somo zuri

  • @marthalusekelo233
    @marthalusekelo233 Рік тому

    Dada nakukubali mno unanibariki sana ✊

  • @annamanyara2562
    @annamanyara2562 3 роки тому

    Unamoyo wa peke yako Mungu akuzidishie mamy

  • @angeltarimo5475
    @angeltarimo5475 2 роки тому

    Thank you so much❤️

  • @esterkileo3486
    @esterkileo3486 3 роки тому

    Asante sana Aunty

  • @maryamshaaban9994
    @maryamshaaban9994 4 роки тому

    Upo amazing dear, unafaa kua mwalim

  • @fatmaabdulkadir9797
    @fatmaabdulkadir9797 4 роки тому +1

    Masha ala

  • @user-xg5jv9pt3d
    @user-xg5jv9pt3d 10 місяців тому

    ❤❤❤❤❤

  • @esthernjoroge3432
    @esthernjoroge3432 4 роки тому +1

    You are such a good teacher lots of ❤❤❤.Hiyo scooper ni how many grams approximately. Thank you

  • @fatmasalum6081
    @fatmasalum6081 4 роки тому

    Mashaallah dia sjaona km ww Allah akulipe kher.

  • @jacklinejames1913
    @jacklinejames1913 4 роки тому

    Mapishi mengi nimejifunza kwako dear Mungu akubariki sana naomba uwe unatuekea recipe kwenye description box kama hutojali asante sana

  • @fetymwinyi2191
    @fetymwinyi2191 4 роки тому

    Asante Dada mpenzi

  • @faulatally446
    @faulatally446 3 роки тому

    Verry nice ,dear🥰🥰♥️

  • @caytreenkashanga3149
    @caytreenkashanga3149 Рік тому

    Asante,ila nina swali mm juzi nilipiga cupcakes ila nikitoka ngumu juu na haikuwa na rangi nzuri,na nina mini oven ila nikagundua moto niliweka wajukuu na chini,ambavyo sio sawa. Naomba maelekezo namna ya kuoka cupcakes kuanzia kuzipanga kwenye ngazi za oven ,temp, dakika pia na niweke ngazi ya ngapi kwa moto upi wa juu na chini au chini peke ake

  • @salmawage7259
    @salmawage7259 4 роки тому

    Shukran sana Allah barik

  • @vailethkinabo7961
    @vailethkinabo7961 3 роки тому

    Thx dear

  • @brayufulala5748
    @brayufulala5748 4 роки тому

    Mungu akuzidishiye kila la kheri

  • @marymaswei1746
    @marymaswei1746 4 роки тому

    Nzur sana,umetumia unga upi dada

  • @sarahkahimba6415
    @sarahkahimba6415 4 роки тому

    Barikiwa kwa elimu

  • @debomungure9867
    @debomungure9867 2 роки тому

    Asante sana

  • @maryjamesnyirenda7059
    @maryjamesnyirenda7059 4 роки тому +1

    Wow

  • @StezieRl
    @StezieRl 4 роки тому

    Asantee mpnz kama kawaida unavyozidii kuchana mawimbii Mungu akubarikii mmno dear

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 роки тому +1

      Shukran sana

    • @StezieRl
      @StezieRl 4 роки тому

      @@mziwandabakers8297 naomba unijibu mama kule kwenye vikokoto hukandiii mafuta dear

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 роки тому +1

      @@StezieRl ndio huweki mafuta,pole sikuiona sms

    • @StezieRl
      @StezieRl 4 роки тому

      @@mziwandabakers8297 asantee mpnz waoooh na hivishikanii aisee naomba weekend nifanye ubarikiwe sana mpnz

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 роки тому +1

      @@StezieRl wakati wakusukuma Tumia mafuta sio unga,anza na kipimo kidogo ukimaster, ndo upike mwingi. All The Best

  • @teychriss3248
    @teychriss3248 4 роки тому

    Uko vizuri mno!

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 4 роки тому +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥asante mmy

  • @merrynimependaninzurisanaa9775
    @merrynimependaninzurisanaa9775 4 роки тому

    Ahsante dada keki zimetoka vizuri sana dada shkurani

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 роки тому

      Ukijaribu nijulishe

    • @fabiolafabulauwimana4020
      @fabiolafabulauwimana4020 4 роки тому

      @@mziwandabakers8297 sema namimi nitafunga mizingo nije maana naona iyikitu niamuhimu kwangu je Utanipokea?😍😍😍from BURUNDI

  • @joycezephania1564
    @joycezephania1564 26 днів тому

    Asane

  • @pillisiasa6898
    @pillisiasa6898 4 роки тому

    Mashallah my nakupenda kwakweri mungu akurinde una moyo wauruma my Mimi naomba namba kipenz

  • @hawahatibu5032
    @hawahatibu5032 4 роки тому

    Asante Dada ubarikiwe sana,,je maziwa yap yanafaa zaid namaanisha fresh milk,,au ya box kama azam,dar fresh nk.

  • @zuhurashafii6305
    @zuhurashafii6305 4 роки тому

    Asante sana kwa recipe

  • @faithmshendama8392
    @faithmshendama8392 4 роки тому

    Nzuri sana

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 4 роки тому

    Mashaallah unapatikana maeneo gni mpendwa

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 роки тому

      Nipo Tabora karibu

    • @ashurasaid7204
      @ashurasaid7204 Рік тому

      @@mziwandabakers8297 tabora sehem gani na mi nipo tabora mpendwa naomba mawasiliano yako

  • @WinifridaJohn-pl7pu
    @WinifridaJohn-pl7pu Рік тому

    Asante kwamafundisho mazur ,mm kuna wakati napika inakuwa namafuta MDA mwingine haiivi yote ,nifanyeje Ila Walt natumia mkaa zilikuwa nzuri Kwa sasa natumia oven nakosea wapi

  • @nanacyalfred6352
    @nanacyalfred6352 4 роки тому

    Hi mamy naomba kujua nitakapopata hizo cupcake za 500 na bei yake mpz....shukran habity ❤️❤️❤️

  • @nuraydasworld4431
    @nuraydasworld4431 4 роки тому

    Mashallah allah akuzidishie elimu

  • @eleunoramngongo6437
    @eleunoramngongo6437 2 роки тому

    Asant Sana

  • @floradaniel5254
    @floradaniel5254 Рік тому

    Asante

  • @AngerinSawe-bm5ic
    @AngerinSawe-bm5ic Рік тому

    🙏🏼🙏🏼na ukitumia maji unaweka kiasi gani madam

  • @neemalema4030
    @neemalema4030 Рік тому

    Somo zuri je hii tunavyoweka maziwa huwa keki haiharibiki haraka kweli? Msaada tafadhali @mziwanda bakers

  • @estarkapinga6126
    @estarkapinga6126 3 роки тому

    Asntee Sanaa dada jamn mungu akubaliki Sanaa

  • @saidmasika8738
    @saidmasika8738 3 роки тому

    asante dada nikuelewa

  • @dplatnam1620
    @dplatnam1620 4 роки тому

    Asante kwa ufsfanuz

  • @collinsobonyo7462
    @collinsobonyo7462 4 роки тому

    unafunza vizuri, mm nime jaribu marambili lakini inatoka ugali yani haivi but nilitumia jiko

  • @isdorakibena3670
    @isdorakibena3670 4 роки тому

    Ubarikiwe sana

  • @user-rm3jq8yc2g
    @user-rm3jq8yc2g 6 місяців тому

    Dada mimi nmejaribu but ndan haichambuki vzur halaf ovena yangu inanisumbua naset temp 180/ dk60 but dk zinaisha halaf keki bhado haijaiva nifanyeje pliz natamani sana ???

  • @agathathobias8690
    @agathathobias8690 4 роки тому

    My uko vizur unaelezea vizur sana

  • @user-sz9xq8kh7s
    @user-sz9xq8kh7s 7 місяців тому

    Kwa kutumia margarine na cakegel ipi faida inaongezeka ticha

  • @elizabethmelikyori3089
    @elizabethmelikyori3089 4 роки тому

    Mm nabarikiwa na wewe sana lazima nifanye dada

  • @jennygrace723
    @jennygrace723 4 роки тому

    Woow asante dada

  • @mrs.sharminanayak3039
    @mrs.sharminanayak3039 4 роки тому

    Loveeeee youuuu dear

  • @mwajumaabdul3816
    @mwajumaabdul3816 4 роки тому

    Daaah nakupenda sana ww

  • @Royalcakespoint
    @Royalcakespoint 4 роки тому

    Mungu akuzidishie akufungulie zaidi na zaidi.......mfano nataka kuzipack kwenye vifuko na kuzipeleka kwa mangi...je zinakaa kwa mda gani bila kuharibika...au kuna kitu tunatakiwa kueka ili zisiharibike mapema⁉️

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  4 роки тому

      Vizuri my,zinauwezo wakuishi Siku 7 zikiwa bado nzuri ila zingatia uhifadhi wake na upishi uwe mzuri na safi zisipate unyevu awali zitakaa vizuri

  • @matildalukumai6520
    @matildalukumai6520 Рік тому

    Mamy Asante sana Kwa ufundishajj mzuri nimeelewa sana ila naomba mchanyoko wa unga kilo moja mamy wangu. Please.

  • @floramisafi2723
    @floramisafi2723 4 роки тому

    Asante sana dada nimeichukua na Mungu akubariki sana