Upikaji wa VIKOKOTO/VISHETI vya BIASHARA / Delicious Homemade CHINCHIN Recipe!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 115

  • @SafirudaKache
    @SafirudaKache 9 місяців тому +1

    Waooooh!!!! mashallah

  • @EneckMwakisunga
    @EneckMwakisunga 17 днів тому

    Thank you for sharing

  • @CelineJoel-u4h
    @CelineJoel-u4h Рік тому +3

    Wow so amazing

  • @ZokidiZanzibar
    @ZokidiZanzibar 9 місяців тому +2

    Good

  • @helenashamba2427
    @helenashamba2427 6 місяців тому +1

    Wooh ni vizurii

  • @ShamimuHamis-fw7fk
    @ShamimuHamis-fw7fk 9 місяців тому +1

    Nimevipenda sanaa nishajuwa na mm ntapikaaa kwanguu

  • @AshaMambo
    @AshaMambo 10 місяців тому +1

    Mashalah

  • @CatherineLauwo
    @CatherineLauwo Місяць тому

    Asant sana❤

  • @grzegorzcaputa
    @grzegorzcaputa Рік тому +1

    Great video! Culinary greetings from Poland!

  • @ssl3883
    @ssl3883 Рік тому +2

    Thank you for sharing

  • @AryanMsoke
    @AryanMsoke 9 місяців тому +1

    Natokea dar Asante Kwa ubunifu nimependa

  • @KijakaziHamadi
    @KijakaziHamadi 6 місяців тому

    Shukran kwa somo

  • @ChiwaMbalila
    @ChiwaMbalila 8 місяців тому +1

    Asant kwa SoMo Dada

  • @rahimasaid6721
    @rahimasaid6721 8 місяців тому +2

    Ahsante sana Allah akuzidishie ujuzi Amiin ❤

  • @CelineJoel-u4h
    @CelineJoel-u4h Рік тому +1

    Thanks dear I like to cook so much

  • @salummussa1139
    @salummussa1139 Рік тому +1

    Navipenda sana hivi visheti 😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋

  • @zaharangalima7599
    @zaharangalima7599 Рік тому +2

    Good job

  • @salamasalmini9725
    @salamasalmini9725 9 місяців тому +1

    mashallah

  • @NeydeeFrancis
    @NeydeeFrancis 8 місяців тому +1

    Jaman natamani nijuwe kupikà kama ww mommy I like it 😍

  • @leoniaathuman1038
    @leoniaathuman1038 Рік тому +2

    Asantee kpnz but kwa kilo 1 blueband kias gas

  • @rashidashafii3493
    @rashidashafii3493 4 місяці тому +1

    Blueband waeka kiasi gani

  • @SaudaAbubakari
    @SaudaAbubakari Рік тому +4

    Kwaiyo utii amira

    • @Claimlorie
      @Claimlorie  Рік тому

      Ndio weka baking powder tu au unaweza zidisha blueband alaf uweki baking powder

    • @stellamwasha1409
      @stellamwasha1409 Рік тому +1

      Haai dada waweza zidisha Blue band then huwek baking powder Wala hamira??

    • @Claimlorie
      @Claimlorie  Рік тому

      Yes usiweke hamira hata kidogo havitakiwi kuumuka ila waweza zidisha blueband alaf usiweke baking powder

    • @ChristinaMbwali
      @ChristinaMbwali Рік тому +1

      Asante mamy

  • @HildaMwajojo
    @HildaMwajojo 6 місяців тому +1

    Kias cha blubend kwa kilo 1 nikias gan nisaidien

    • @Claimlorie
      @Claimlorie  6 місяців тому

      Ni kama gram 60 hivi kwaiyo ukipimiwa robo inabidi utenganishe mara nne tena

  • @josenickols7569
    @josenickols7569 Рік тому +1

    Hongera Dada na je nitakupata wapi na je unaweza kuuza kwa bei ya rejareja

    • @Claimlorie
      @Claimlorie  Рік тому

      Nipo Dodoma and nafunga za 500 za madukani labda kama unaorder ya kiasi chako

  • @lucyathumani8181
    @lucyathumani8181 5 днів тому

    Unaelekeza vizur hadi raha

  • @EvalyneWambui-o5v
    @EvalyneWambui-o5v 2 місяці тому +1

    Naweza kutumia hamira?

  • @EugeniaJackson-li8jk
    @EugeniaJackson-li8jk 9 місяців тому +1

    Je kama sipendi kuweka sukari ninafanyaje?

  • @ChristinaMbwali
    @ChristinaMbwali Рік тому +1

    Kwa kilo vinatoka vingap?

    • @Claimlorie
      @Claimlorie  Рік тому +1

      Inategemea na ukataji wako ila 17-20 kwa 500

  • @gloriasamwel-r2u
    @gloriasamwel-r2u 3 місяці тому +2

    Naomba msaada mimi nikivipika vinaruka vina burst mpk vinamaliza mafuta kwa sufuria ni nn nakosea

    • @naidiidris6994
      @naidiidris6994 3 місяці тому +1

      Pengine unaweka siagi nyingi sana.

    • @Claimlorie
      @Claimlorie  2 місяці тому

      Sijajua yawekezana mafuta yamepata moto sana au baking powder nyingi

  • @AnethMateru-ys8xc
    @AnethMateru-ys8xc 9 місяців тому +1

    Unga hutakiwi kuukanda muda mrefu?

    • @Claimlorie
      @Claimlorie  9 місяців тому

      Ndio unakanda hadi utakapo ona umechanganyika

  • @AliceLaswai
    @AliceLaswai 5 днів тому

    Maji ni ya mot au ya baridii

  • @faustazacharia9470
    @faustazacharia9470 Рік тому +2

    Huweki amira

    • @Claimlorie
      @Claimlorie  Рік тому

      Hapana usiweke hata hivyohivyo zinakua nzuri sana

  • @ChristinaMbwali
    @ChristinaMbwali Рік тому +1

    Sion vipimo

    • @Claimlorie
      @Claimlorie  Рік тому

      Kwenye description nimeandika angalia

  • @Emmy-r6x
    @Emmy-r6x 10 місяців тому +3

    Umetumia maji moto ama baridii

    • @Claimlorie
      @Claimlorie  10 місяців тому

      Tumia maji ya vuguvugu ndio vizuri zaidi

  • @azmedmtwana8135
    @azmedmtwana8135 8 місяців тому +5

    Jamani visheti haviweki hamira.sio maandaz hayo

    • @Claimlorie
      @Claimlorie  8 місяців тому

      Umemuona nani kaweka hamira?

    • @joycemlay5762
      @joycemlay5762 7 місяців тому +1

      Baking powder ni nn kwan?

    • @Claimlorie
      @Claimlorie  7 місяців тому

      @@joycemlay5762 ni raising agent inasaidia kuongeza kiasi cha baked goods alaf inafanya bites kuwa nyepesi

    • @samiramussa2623
      @samiramussa2623 7 місяців тому +1

      Ujaona vzr

  • @RishAmiri
    @RishAmiri 11 місяців тому +2

    Kama sina blue band siwezi kuweka mafuta?

    • @Claimlorie
      @Claimlorie  11 місяців тому +1

      Kama hauna unaweza weka mfuta kidogo au usiweke pia sio lazima

    • @zenamarwa6882
      @zenamarwa6882 11 місяців тому

      ​@@Claimloriealafu unauza dada kimoja mia au

    • @Claimlorie
      @Claimlorie  11 місяців тому +1

      Hapana hivi unafunga package ya 500 uwezi uza kimoja

  • @mwanaishajuma4166
    @mwanaishajuma4166 5 місяців тому +1

    je waeza tumia unga wa self raising.

  • @ZuhuraOmari-ms3od
    @ZuhuraOmari-ms3od 6 місяців тому

    Naomba kujua tofauti ya baking powder na bicarbonate hasa kwa upishi huu

    • @Claimlorie
      @Claimlorie  6 місяців тому

      Baking powder inaipa visheti hewa ndani vinakua vyepesi na inachambuka

  • @AryanMsoke
    @AryanMsoke 9 місяців тому +1

    Amira atuweki ?

  • @annamatiya7259
    @annamatiya7259 8 місяців тому +1

    Naomba kufahamu namna ya kutengeneza kokoto.

  • @FatimaTanzania-r3j
    @FatimaTanzania-r3j 10 місяців тому +1

    Jman jbu bs uwek amira

  • @MwanaidMo
    @MwanaidMo 9 місяців тому +1

    Kwa hiyo uweki amira

  • @MwajumaKalulu
    @MwajumaKalulu 11 місяців тому +1

    Auweki Amira

  • @gloriasamwel-r2u
    @gloriasamwel-r2u 3 місяці тому +1

    Alafu nikimaliza kuvipika navoweka shira having vigumu vinakua vilaini na mm nataka viwe vigumu kama navonunua huko barabarani jaman

    • @dorothyjoasy8945
      @dorothyjoasy8945 2 місяці тому +1

      Usiweke baking powder ndio vinakuwa vigumu kama vya mtaani...

    • @Claimlorie
      @Claimlorie  2 місяці тому

      Ngano iwe ngumu hata ukiweka baking powder usiweke nyingi

  • @aksernkuba5220
    @aksernkuba5220 10 місяців тому +1

    Vikokoto huweki amira? Njibu sasa hivi naangalia video yako

    • @Claimlorie
      @Claimlorie  10 місяців тому

      Uweki hata kidogo ni baking powder au blueband tu

    • @Mamas-06k
      @Mamas-06k 10 місяців тому

      Sasa hivi weee headmistress 😂😂😂😂😂

    • @VICTORIAJAPHET-hr6hi
      @VICTORIAJAPHET-hr6hi 9 місяців тому +1

      Huek

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 9 місяців тому +1

    Hizo si afkeki ila amekata vidogo?nauliza jmn

    • @Claimlorie
      @Claimlorie  9 місяців тому

      Hapana sio ni visheti

    • @SaumuSaidi-z2v
      @SaumuSaidi-z2v 9 місяців тому +1

      @@Claimlorie afkeki zinatengenezwaje ?naomba mnifundishe

    • @Claimlorie
      @Claimlorie  9 місяців тому

      Kama hivyo ila unga wake unakua mgumi sana hamna tofauti kubwa

    • @simonkulwa
      @simonkulwa 9 місяців тому +1

      Huoni utofauti

  • @FatimaTanzania-r3j
    @FatimaTanzania-r3j 10 місяців тому +1

    Amira uweki my

  • @mngwalijuma597
    @mngwalijuma597 8 місяців тому +2

    Huweki hamira bi shoga
    Pia km hutaki sukari unaweka chumvi ila uweke chumvi nyingi kipenzi hutoweza kuvila pia kwa.mafuta ukitaka vinafanyika having shida vinakua laini na vitamu sana

  • @mwajumasalum1282
    @mwajumasalum1282 11 місяців тому

    Naomba namba akoo mpenz

    • @Claimlorie
      @Claimlorie  11 місяців тому +1

      Whatsapp - 0718341704

  • @RuwaidaShaib
    @RuwaidaShaib 9 місяців тому +1

    Hilki hueki

    • @Claimlorie
      @Claimlorie  9 місяців тому

      Naweka ila mwishoni kama unapenda kuweka wakati wa kukanda ni sawa pia

  • @MaryamMaryamm-x3g
    @MaryamMaryamm-x3g Рік тому +1

    Amira itii

  • @thompsongrace9106
    @thompsongrace9106 Рік тому +1

    No English in 2023 ? 😢

    • @Claimlorie
      @Claimlorie  Рік тому +3

      English is not my first language but you can check the description for English procedures

    • @Claimlorie
      @Claimlorie  Рік тому +1

      Sorry for that

  • @gloriasamwel-r2u
    @gloriasamwel-r2u 3 місяці тому +3

    Alafu nikimaliza kuvipika navoweka shira having vigumu vinakua vilaini na mm nataka viwe vigumu kama navonunua huko barabarani jaman

  • @gloriasamwel-r2u
    @gloriasamwel-r2u 3 місяці тому +1

    Alafu nikimaliza kuvipika navoweka shira having vigumu vinakua vilaini na mm nataka viwe vigumu kama navonunua huko barabarani jaman

    • @Claimlorie
      @Claimlorie  2 місяці тому

      Shila hakikisha inanata kwenye kidole isiwe majimaji sana na ngano yako iwe ngumu