GPS: Zelensky ajitutumua na kumuita PUTIN 'Mzee mgonjwa anayetishia kila mtu na kitufe chekundu'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

КОМЕНТАРІ • 358

  • @hatibumohamedi3471
    @hatibumohamedi3471 18 днів тому +73

    Team urusi naomba like zangu wakwanza leo 🎉🎉

    • @allykwaya
      @allykwaya 18 днів тому +5

      Team msimamo

    • @hatibumohamedi3471
      @hatibumohamedi3471 17 днів тому +1

      @@allykwaya Yes team kazi huko ukrain leo umeme akuna wna lala giza alfu wana ivamia urusi 😂😂😂 dah semani zeresk bwana

    • @allykwaya
      @allykwaya 15 днів тому

      @@hatibumohamedi3471 NATO wamemsukumia ZELESKY kuwatoa Askari wake kafara, kwakili ya kawaida tu Rusia USA anamuogopa kwanini asifikirie hilo,

  • @Gulfnas1
    @Gulfnas1 18 днів тому +8

    Karibu Gerald and big up bro! Ila kaza msuli fuatilia na uchimbe kwel kwel

  • @chancekambale3498
    @chancekambale3498 16 днів тому +3

    Thanks God DJ.Sma is back.
    🎉🎉🎉

  • @yahayaannu3663
    @yahayaannu3663 18 днів тому +28

    Embu fikiria Putin aamuwe kuwa mkatili km Israel, sasa hv tungekuwa tunaongea mambo mengine 😅

    • @user-vi7ly9zh1q
      @user-vi7ly9zh1q 18 днів тому +2

      Haswaa 👌

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 18 днів тому

      Hawezi kumua atadili namabwana zake wanaemtumia hovyo kuiharibu urkain 😂😂😂😂

    • @allykwaya
      @allykwaya 18 днів тому

      ​@@uwimana6533fuatilia vizuri ujue sababu za Oporation ya Urusi dhidi ya Ukraine.

    • @allykwaya
      @allykwaya 18 днів тому +3

      Putin ni kiongozi Tofauti mwenye Utu na huruma,

    • @lirastanley390
      @lirastanley390 17 днів тому

      ​@@allykwaya🤣

  • @ahmadabdu2998
    @ahmadabdu2998 18 днів тому +11

    Nakukubali snaa dj smaa😊

  • @abuubekaabeid9870
    @abuubekaabeid9870 17 днів тому +9

    Huyo jamaa asirudi tena Hapo kwenye Meza ya GPS plz 😅😅😅 naomba like kama unakubaliana

  • @ashrafurwegoshora4227
    @ashrafurwegoshora4227 17 днів тому +3

    Dj smaaa,very smart,anafuatilia mambo kiundanisana

  • @faridhamad3678
    @faridhamad3678 17 днів тому +4

    Maa shaa Allah Alhabiib Smaa nakukubali sana ✊️

  • @king_maik6375
    @king_maik6375 18 днів тому +7

    Top kwa Dj smaa

  • @MohamedRashid-py7ro
    @MohamedRashid-py7ro 18 днів тому +9

    Dj Smaa ni mchambuzi bora sana na ukweli hana upande wowote

    • @user-ig3qn9zw6b
      @user-ig3qn9zw6b 18 днів тому +1

      Hummm.. nani hana upande? 😂

    • @zuricakes6817
      @zuricakes6817 17 днів тому +1

      Wewe utakuwa mgeni hapa GPS😅

    • @lirastanley390
      @lirastanley390 17 днів тому +1

      😮ni mgeni wewe hapa GPS huyu sama kwanza siku zote anaipinga marekani na washirika wake wote wa NATO

    • @lirastanley390
      @lirastanley390 17 днів тому

      ​@@zuricakes6817mgeni huyo

    • @lirastanley390
      @lirastanley390 17 днів тому

      ​@@user-ig3qn9zw6bmgeni huyo

  • @MohamediAthumani-xs5zl
    @MohamediAthumani-xs5zl 18 днів тому +13

    Braza uyo kijana afanye mazoezi
    Hana ushaidi

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 18 днів тому +1

      Wewe uyu ni kaka yake ali masubi 😂

    • @allykwaya
      @allykwaya 18 днів тому

      ​@@aishaarusha894😂

    • @user-ii6gs2jg4g
      @user-ii6gs2jg4g 18 днів тому

      ​@@aishaarusha894hana maajabu

    • @mpjozzegalvanize4926
      @mpjozzegalvanize4926 17 днів тому +3

      ​@@aishaarusha894 Masubi hawezi kuwa na kaka wa hivi, huyu atakuwa mwanafunzi wa fuse kaona kakua naye

    • @allymohamed4764
      @allymohamed4764 14 днів тому

      ​@@mpjozzegalvanize4926😂😂😂 Mimi uyooo

  • @emaneez
    @emaneez 15 днів тому

    Dj sma . Best uko deeply sana

  • @LoneWolf-ng8yg
    @LoneWolf-ng8yg 16 днів тому +1

    Smaa upo vizur sana unachambua mpaka mtu anaelewa vizur 😊

  • @kassiannyamba805
    @kassiannyamba805 16 днів тому +1

    Naomba mtufanyie story ya chechnya pamoja na states nyingine za Russia.

  • @FadhiliAlly-fy2tx
    @FadhiliAlly-fy2tx 17 днів тому +1

    Smaa umelud kwenye ubora wako big up broo

  • @fahmanalbulushi2925
    @fahmanalbulushi2925 18 днів тому +3

    Chechnya wao ndio waliomba frontline kwa ajili ya hio Vita na upo right dj smaa kikosi bora kwa urban war ni chechen or akmart na geografia ya kursk ni deltas na mito and swamp kwa hio rusiabwatatumia advantage na kwa vile hakuna supply Ukraine wapo exosted wanakufa kwa maradhi na njaa na kuchoka

  • @GeorgeAkasha-zx2rj
    @GeorgeAkasha-zx2rj 18 днів тому +7

    Kaka SKY huyu Gerald wiki ijayo muite tena jamaa anajua sana tena sana na anaongea kwa facts and logic, hawa wasiompenda ndio wasiotaka habari za balanced.Huyu na Ally Masubi wako vizuri sana kiuchambuzi hawana upande wala ushabiki.

    • @richardtimoth7865
      @richardtimoth7865 17 днів тому +1

      Hakika bro....SMA hata kama jambo liko wazi lazima atetee tu. Hasa Hezbola na Urusi yaani ukimsikiliza unaona upande wake

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 17 днів тому +1

      @@richardtimoth7865 Ndo shida ya jamaa hajui tofautisha ukweli, uhalisia na mahaba yaliyokubuhu.Ila wengine wachambuzi wako vizuri sana tena sana.

    • @zuricakes6817
      @zuricakes6817 17 днів тому +1

      ​@@richardtimoth7865DjSma shida inakujaga kwenye ku join dots...Kwa kiswahili tutasema, kutabiri😊. Sasa hapa kwenye kutabiri ndio anatetea upande wake (Waarabu na Mrusi).

    • @khamisfarouk9493
      @khamisfarouk9493 17 днів тому

      ​@@richardtimoth7865dj smaa hawez kua upande wa mashoga uislamu hausapoti ushoga nyie mechagua upande wa mashoga

    • @lirastanley390
      @lirastanley390 17 днів тому +1

      Haha

  • @rabomunde3550
    @rabomunde3550 18 днів тому

    Dj sma shukran sana

  • @imaniisaya-np9md
    @imaniisaya-np9md 17 днів тому +1

    DJ smaa mtu makini sana

  • @africanmandetraveler2847
    @africanmandetraveler2847 18 днів тому +4

    Anajifariji tu comedian anadhani bado tu ni jukwaa la uchekeshaji.

  • @JumaMwanga-xd9gy
    @JumaMwanga-xd9gy 18 днів тому +3

    Djsma kichwa Sana uyu jama!!!

  • @golebenson4597
    @golebenson4597 18 днів тому +2

    Smaa kwa mifano umetisha.
    Moto wa kifua unawaka fuluuuu nakuzima ziiii 😂😂😂

  • @richardtimoth7865
    @richardtimoth7865 18 днів тому +1

    1."Ukraine sio vita vyake lakni kule Hezbollah ni vita vyake; "
    2."ukrane ni omba omba lakini kule Hezbolla wamejipanga na wanamakombora ya kisasa"(sasa sjui wao hawaombi)
    HUU UCHAMBUZI HUU

  • @mpjozzegalvanize4926
    @mpjozzegalvanize4926 18 днів тому +6

    Huyu ana tofauti na yule Dr. Jimmy chansa, umagharibi mwingi😢

  • @youngbona3804
    @youngbona3804 17 днів тому +1

    Oyah #SKY uyo #DJSMA ata akiumwa awe anapelekewa mic pale pale ospitali au popote atakapokuepo😀 #GPS inamhitaji kila saa kila dakika

  • @shirimabenedict5431
    @shirimabenedict5431 18 днів тому +3

    Nawakubali gps

  • @mombasa0076
    @mombasa0076 17 днів тому +1

    NI BORA MZEE MGONJWA KULIKONI KUWA KIJANA SHOGA ASIEJITAMBUA. VIVA PUTIN

  • @allykwaya
    @allykwaya 18 днів тому +2

    GPS, pamoja sana

  • @golebenson4597
    @golebenson4597 18 днів тому +2

    Dj SMA ameongea mpaka amchoka😢😢 masubi okoa jahazi

  • @mussayasini4130
    @mussayasini4130 17 днів тому +1

    kaka asante nimeitafuta ile clip mandela alivyomjibu mwandishi wa habari alimjibu vizuri sana

  • @nyereresulle7813
    @nyereresulle7813 14 днів тому

    I like this discusion

  • @yanja69
    @yanja69 18 днів тому +2

    Tatizo wasikilizaji wengi wanataka yasemwe yale yatakayo wafurahisha wao na ukisemwa ukwelii wengii wanachukiaaa maaana wengi wao wanaamini western Media kama BBC na CNN ambazo zinachuja Taarifa Dj Smaa endelea kuongea zaidi kwa Facts keep what you are doing because you can not create an equal society 🎉🎉🎉

  • @hamidamussa-sy4fm
    @hamidamussa-sy4fm 17 днів тому +1

    Djsma. Siasa zake zinaegemea urusi na washilika wake

  • @PatrickNdomba-u6s
    @PatrickNdomba-u6s 17 днів тому

    Hongera kwa Wote
    Plus Our New Comer

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 17 днів тому

    Happy to see Dj Smah

  • @94winga
    @94winga 18 днів тому +3

    Yaan haijanoga kabsa huyo jamaa simuelewi,lete masubi na henry ni wana chemistry nzuri sana hao jamaa ndo wametufanya tuipende GPS.ila huyo jamaa toa hapo

  • @fahmanalbulushi2925
    @fahmanalbulushi2925 18 днів тому +2

    Sio uzabkinstan ni azabijan dj smaa

  • @AnjelMwaluka
    @AnjelMwaluka 17 днів тому

    You're welcome Gerald

  • @Muhammedramadhan-xl6yg
    @Muhammedramadhan-xl6yg 18 днів тому +2

    Mshikaji mpe mdakidgo bado sana pointi zake dhaifu bro wale wengne wako wapi?

  • @ahlamsaleh670
    @ahlamsaleh670 17 днів тому

    Henry na ali wako vizuri pia wangikuwepo inigikuwa poa sana

  • @brianbaltazar6198
    @brianbaltazar6198 18 днів тому +3

    Uraaaaaaaaaaa🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 18 днів тому +1

    Hamjaona majeshi ya Russia yakikusanya miili ya wanajeshi wa Ukren....

  • @kitosio
    @kitosio 18 днів тому +1

    Angenyamaza Kimyaa. Kama sio msaada wa Wakubwa zake angefanya nini?

  • @hamadikassim3091
    @hamadikassim3091 17 днів тому

    Huwa si comment bt leo itabidi. Bro sky huyu jamaa usituletee tena. Ni khery Aly na wakili wa record kwa njia ya voice. Chemistry haiendani. Tafadhali fanya jambo c u shabiki ni uhalisia raha ya gbs ni combination ya dj sma, Ally, wakili na nahodha mwenywe kaka sky. Ni maoni yng

  • @AyoubKhatib-p4k
    @AyoubKhatib-p4k 18 днів тому +2

    Uchambuzi wako uliyo vaa miwanihauna kichwa wala miguu dj samaa tupe uchambuzi buburudike

  • @spearnyondo4590
    @spearnyondo4590 17 днів тому

    Sns bring more guys of different views i like the guy in grasses

  • @user-wr3jp6tg4p
    @user-wr3jp6tg4p 15 днів тому

    Smaa mashallah Ila samahani vipi kuhusu cheni na dini yako ili lipoje

  • @paschalfausitine7108
    @paschalfausitine7108 18 днів тому +1

    Acha. Ajishaue. Mungu kamuacha. Zelensiki. Abwabwaje. Kwa. Mda ipo cku atalia

  • @lirastanley390
    @lirastanley390 17 днів тому +1

    Nato huwa hawatangaz vifo sana ili kumficha adui hasijue kinachoendelea na aendelee kujichanganya.unapoweka vifo waz mwenzio anajipanga vzur na anaweza kupanic na kuanza kutumia silaha mbaya ila mateka unatamka

  • @saidiyusufumuhode3159
    @saidiyusufumuhode3159 18 днів тому +1

    Dj smaa anajua sanaaa

    • @allykwaya
      @allykwaya 18 днів тому

      Kabukua sana jamaa

  • @brianbaltazar6198
    @brianbaltazar6198 18 днів тому +2

    GPS kipindi bora kabisa

  • @tutorialsPlatform
    @tutorialsPlatform 18 днів тому +2

    Niki connect Dots naona hii vita inahusika na kafara

  • @ronaldwangila3913
    @ronaldwangila3913 17 днів тому

    Kazi safi GPS

  • @user-qh9gw2vr6k
    @user-qh9gw2vr6k 18 днів тому +2

    Mimi nipo hapa nimekaa kitako tuliiii pande za Uroa skuli Zanzibar wacha nione uraaàaaaaaaaaaaa

  • @mbajimargarette7146
    @mbajimargarette7146 17 днів тому

    Sky huyu mgeni waleo sio level za dj smaa kuchambua mambo.ajirudia sana.

  • @ridhiwankanjoe2078
    @ridhiwankanjoe2078 18 днів тому +1

    Brother sky huyo jamaa,hajui kuchambua coz anaongea maneno matupu bila evidence kama navyoongea dj smaa na ally masubi na mwanuke

  • @mfupakhamis9751
    @mfupakhamis9751 18 днів тому +1

    Putin amefanya ziara kwa baadhi ya nchi ni kwa sababu mfumo mpya wa uchumi (road map).
    Ufalme wa Mungu usimame.
    Amin.

  • @amirinestory
    @amirinestory 17 днів тому +1

    DJ smaa...bado kilometer ngapi urusi aikamate donbas yote?

  • @jumaamsuya5
    @jumaamsuya5 14 днів тому

    Dj sm weninoma daaa

  • @RaymondPaul-bs7su
    @RaymondPaul-bs7su 17 днів тому

    Nimekua mfutiliaji wa makala mbalimbali za hapa sns hususni za dj smaa nimejua kujoin dots backward bado ku read between the lines....halafu ntakuja hapoo studio sns kama mwanafunzi wa sns kuchambua pamojaaa🎉🎉💪

  • @ThérèseNICIMPAYE
    @ThérèseNICIMPAYE 18 днів тому +2

    Nimekua nime miss san dj smaa

    • @AlexGwiha
      @AlexGwiha 17 днів тому +1

      Usijali kama ulikuwa umemis akimakiza mjadala atakupaka mafuta nyuma musenge ww unamumiss mwanaume mwenzio

  • @ShawnBeatz
    @ShawnBeatz 11 днів тому

    Dj sma ni total anti-west

  • @iddykivu050
    @iddykivu050 18 днів тому +1

    Sky Unaanza kukialibu kipindi kwa kuanza kuokota Watu ambao hawana Uelewa wa Kuchambua Mambo ya vita na Wsla Hajui Maswala Mazima ya Gps

    • @golebenson4597
      @golebenson4597 18 днів тому

      Nafikiri anatemgeneza GPS iwe Pana Zaid. Nivizuri kuwakaribisha wageni Kwa malengo ya baadae

  • @HamduniYasir
    @HamduniYasir 17 днів тому

    Yani uyu jamaa ajui kitu aisee dah 😢

  • @FrankKashamakula-xb1pc
    @FrankKashamakula-xb1pc 17 днів тому +3

    Gerald upo vizuri Slava UKRAIN

  • @husseinhemedi9314
    @husseinhemedi9314 18 днів тому +2

    Russia itashinda kwavyovyote vile na ikibidi hata sis Tanzania 🇹🇿 tutaisapoti Russia 🇷🇺 kijexh
    Maana Tanzania 🇹🇿 ni nchi yenye kilakitu

    • @FleurieNahimana-zh2se
      @FleurieNahimana-zh2se 18 днів тому +1

      Wewe unachezea vita 🤦🤦

    • @theempire4058
      @theempire4058 18 днів тому +1

      ​@@FleurieNahimana-zh2se kuna watu wanaamuaga kuchekesha umma

    • @aminasittusaid3830
      @aminasittusaid3830 18 днів тому +2

      ​@@FleurieNahimana-zh2se kama hujui Tz tumeshiriki vita nyingi sana duniani ila tu hatujitangazi kama wengine wanavyo jitangaza.

    • @golebenson4597
      @golebenson4597 18 днів тому +1

      ​@aminasittusaid3830 hatuna tulichovuna Kuwasaidia

    • @aminasittusaid3830
      @aminasittusaid3830 18 днів тому +1

      @@golebenson4597 tumevuna vingi lakini kama ambavyo hatujitangazi tunapoenda vitani basi ndio hivyo hivyo hatutangazi tulivyovuna.

  • @user-wc3hn4kt1x
    @user-wc3hn4kt1x 12 днів тому

    Nimecheka sana DJ SMA alivyosema Jeshi la Urusii lilisema MATOPE yaliwasaidia. TEAM RUSSIA tupo wengi sana

  • @JosephBenson-p3s
    @JosephBenson-p3s 8 днів тому

    Hall Kimberly Thomas Sarah Brown Joseph

  • @suratibrahim6417
    @suratibrahim6417 13 днів тому

    Putin ni mtu muungwana sana angekuwa USO wa mbuzi kamaa nyahu ...angewakaanga kwenye mafuta hao NATO😠😠😠
    #kadrov❤lukashenko🔥

  • @fahmanalbulushi2925
    @fahmanalbulushi2925 18 днів тому +3

    GPS hicho kichwa hapo ni cha kuku ninavyo amino GPS ni higher thinking capacity na inaongozwa na fact and logic hapo sijaona logic wala fact nimeona personal opinion na ushabik binasi sioni Kama anafaa kwa GPS anaweza kufata kwa vipindi vyengine Skywalker rudisha vichwa Ali na Henry

  • @allykirunginyamka9171
    @allykirunginyamka9171 17 днів тому

    Huu dj smaa,
    Akili yake anaijua mwenyewe, wapo watu wanakuzidi AKILI kuliko ufikiriavyo.

  • @bernardocazula-ze3ow
    @bernardocazula-ze3ow 17 днів тому +1

    DJ smaa ínio kibokoo

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 18 днів тому

    Mimi naona kwa mawazo yangu binafsi Ukraine amepata nguvu kutoka nchi za magharibi ndo maana anajaribu kujitutumua

  • @mfupakhamis9751
    @mfupakhamis9751 18 днів тому

    Wagina ya sasa wako sawa na ile ya mpishi?
    Gps nauliza.
    Ufalme wa Mungu usimame
    Amin

  • @biomedicaleliatosha7485
    @biomedicaleliatosha7485 18 днів тому +2

    Urusi bado haijatumia nguvu zake. Inamuachia tu ukareini. Kinachotafutwa hapa ni new world order Urusi akimaliza vita atakua bado hajatimiza lengo. Lengo nikuzibana nchi za magharibi hadi zifike hatua ziseme sasa tuingie kwenye mfumo mpya wa dunia.

  • @user-pg2tw8yt4l
    @user-pg2tw8yt4l 17 днів тому

    Oya brother sky huyu jamaa mpya wa leo mie sijamuelewa hata kidogo naomba jitahidi kua na wale wale wa kila siku

  • @KhamisOmar-kt4kz
    @KhamisOmar-kt4kz 18 днів тому +1

    Hiyu mwenye miwani kajipambanua kabisa analeta ushabiki hapo chambua broo siasa hiko kipindi watu wengi wanasikiliza usilete umagharibi hapa

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 18 днів тому

      Ww ndo unaleta ushabiki maandazi, Tatizo mmekaririshwa tu upumbavu wa upande 1 jamaa anajitahidi kuwa balanced na uchambuzi ila ww mbwa mwenye fangasi ndo shida hutak kuelewa.

  • @noahlameck1564
    @noahlameck1564 17 днів тому

    Uyo jamaaa nilimsikia mahali fulani yupo vizr Sana asante Kwa kumleta GPS

  • @nyawawawanyawawa935
    @nyawawawanyawawa935 17 днів тому

    Dj upo vizuri katika uchambuzi lakini ni vizuri kukawa na negative thoughts ijapokuwa huyo kijana mwingine uchambuzi wake bado ni mwepesi mno Ajitahidi kufutilia na kuleta uchambuzi yenye fact zitazo kizi

  • @mswadicksongoro7973
    @mswadicksongoro7973 18 днів тому +1

    Nauliza kweli Zelensik anakula unga?

  • @aishaarusha894
    @aishaarusha894 18 днів тому +2

    Uyu wapili ninani ajui kutofautisha r na l😂

  • @jackhans7708
    @jackhans7708 18 днів тому +2

    Na Jana asubuhi silaha za nato zimechomwachomwa.

  • @joycemalundo1055
    @joycemalundo1055 17 днів тому

    Gerald safi ., watu wanaoshabikia urusi ndio awaelewi ., mmebalanc story labda hapo aongezeke ally masubi

  • @joshuayengu3624
    @joshuayengu3624 16 днів тому

    Naomba mzungumzie vizur urusi maana kashusha mvua ya glide bombs huko Kursk

  • @joycemalundo1055
    @joycemalundo1055 17 днів тому

    Sema mwanangu smaa nakukubali sana kwaio warusia awafi dah., ntaftie nafasi za jeahi la urusi😂😂

  • @AdnaneisufomomadeMomade
    @AdnaneisufomomadeMomade 17 днів тому

    Lakini yote hayo yanatokea kutegemeana na mifumo yetu (unajua viongozi wengi waafrika muda mfupi wamadaraka

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 15 днів тому

    Ni kweli sisi wa Afrika tujitambue tusiwe tunaburuzwa kama mikokoteni uliobeba ndizi na hawa wazungu

  • @AnjelMwaluka
    @AnjelMwaluka 17 днів тому

    Ila smaa haepend marekan na Israel sjuw walimfanya nn doo 😮😮😮

  • @celemwibe
    @celemwibe 15 днів тому

    Uchambuzi wenu unaegamia upade umoja tuuuu 😂

  • @PatrickNdomba-u6s
    @PatrickNdomba-u6s 17 днів тому

    I suggest the GPS na SNS to have s stand
    Mcwe na Ibrahim Rabi kwa our channel
    Hope narleweka

  • @mfupakhamis9751
    @mfupakhamis9751 18 днів тому

    Vita vya Urusi na Ukrein sasa vinakaribia kusita kwa kipindi Fulani ndio maana Marekani, NATO na Kibaraka wao hawachagui pakupiga.
    Msemo: (Umenishinda lkn na mm nikujeruhi). Zelensky analalama.
    Ufalme wa Mungu usimame.
    Amin.

  • @GeorgeAkasha-zx2rj
    @GeorgeAkasha-zx2rj 18 днів тому

    Humu mashabiki wengi wanataka kusikia tu positive kwa Russia hawataki mtu awe balanced na habari.Huyo Gerald yuko sahihi sana ila tu mashabiki maandazi humu ndo hawapendi kusikia negative kwa Russia.

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 17 днів тому

    Leo Hamnà kitu hàpo mmechemka,

  • @johariabdalla3319
    @johariabdalla3319 18 днів тому +1

    DJ Smaa mchambuzi mzuri,lakin yy ameshajipambanuwa upande wa Urusi, anaegemea sana sana upande wa Urusi.vyovyote anavyoongea..huna cha kumwambia kwa Urusi,kila kitu kipo wazi.

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 18 днів тому

      Nimuono wako duniani ukitaka kuongea ukweli utachukiwa nawatu 😂😂😂 ukiwa muongo pia utapendwa nawatu zaidi 😂😂😂😂

    • @johariabdalla3319
      @johariabdalla3319 18 днів тому

      ​@@uwimana6533nawewe ni mtazamo wako huo,ila picha liko wazi kitaaambo,au wewe ni mgeni na DJ Sma!?

    • @hudumablack9339
      @hudumablack9339 17 днів тому

      Ukiwa mkweli utaitwa shabiki wa Urusi ila sote tunajua Ukraine bila msaada toka NATO hakuna kitu. Tumpe Putin Hongera zake jamani, Nchi moja dhidi ya nato? Tuwe wakweli.

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 17 днів тому

      @@hudumablack9339 hatawaungane mataifa 100 watapigwa , wao wanalijua

  • @peteremanuel2367
    @peteremanuel2367 18 днів тому

    Zelensky ni sawa na bweha, anapenda kubweke tu, yeye ni comedian, mambo yake ni ya kichizichizi tu.

  • @user-rk9sd4kc4d
    @user-rk9sd4kc4d 17 днів тому

    Asalam Alaykum, huyu mgeni mpeni mdakwanza, ila naomba mngemleta sabiti mrangi ana jua sana kuliko dj smaa pls

  • @mustafarajabu4005
    @mustafarajabu4005 18 днів тому +1

    Ukraine Putin hatawamaliza taifa lote,Ukrainian mtaifa siohujinga kuweka siraa juu mkashindwa hili uwalinde ukrainian laiya wako

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 17 днів тому

    Huyu myakyusa ajui kinacho endelea Don't mess with Russia kila anacho fanya anajua apotezi focus anakomaa na mission ..

  • @user-ij8jd1nj1k
    @user-ij8jd1nj1k 18 днів тому +1

    Tunajua si Ukraine ni NATO anapigana na Russia 😅

  • @FredyChemba
    @FredyChemba 18 днів тому

    Dj smaa 🔥🔥