GPS: Kwanini IRAN inachelewa kuishambulia ISRAEL licha ya kutishia kwa maneno makali? URUSI yahusika

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 306

  • @SirajiZacharia
    @SirajiZacharia 2 місяці тому +4

    It's real Henry. Uko vizr Mr. Allah akuongoze zaidi..

  • @reainnovationstanzania5163
    @reainnovationstanzania5163 2 місяці тому +13

    Ally masoud, uko poa sana, big up to all the team

  • @Harexo
    @Harexo 2 місяці тому +25

    Nyie hivi mnazifutilia analysis za HENRY daah ni high level kwa kweli. Anavyoconnect hizi dots hadi raha. Keep it up MUINUKA❤️

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 2 місяці тому +3

      Henry anajua sana tena sana.Sema hata Masubi Yuko vizuri sana kiuchambuzi na kubalance story.

    • @brianbaltazar6198
      @brianbaltazar6198 2 місяці тому +2

      Kweli kabisa

    • @WazirBoy-fe5ew
      @WazirBoy-fe5ew 2 місяці тому

      Hata wewe waweza hilo,, kujiconect tu

  • @abdulahmed7111
    @abdulahmed7111 2 місяці тому +30

    Wana GPS tulokua hatukosi gonga like hapa big up san

  • @GABRIELGEORGE-qq1nj
    @GABRIELGEORGE-qq1nj 2 місяці тому +5

    DJ SMA UNA UTULIVU SANA UNA FACTS, all masubi na henry pia wote mnajua sana , kazi nzuri sana 🔥🔥

  • @asambakanyalusambya249
    @asambakanyalusambya249 2 місяці тому +6

    Habari zenu ndugu zangu wana sns mimi kwa majini naitwa Roja kutoka mkoa wa kigoma nataka siku moja mchambuwe kuhusu mashikika ya kijasusi kama vile CIA, MOSSAD, MI6, KGB Na kila moja na matukio ambayo wamewai kufanikisha nitashukuru sana ndugu zangu big up sana pia majukumu mema asante.

  • @davidandrew6332
    @davidandrew6332 2 місяці тому +6

    Ally.... Unauwa Sana Hasa pale mitazamo yako inapokua tofauti kidgo na wenzio ndio inaleta mvuto Sana kwenye GPS🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @nassoromfumya7319
    @nassoromfumya7319 2 місяці тому +4

    Henry umeongea vizuri sana. Big up. Hope hii ndo itakuwa chanel pendwa kwa habari za ukweli na za uhakika. Big up for a whole team

  • @ayoubali-x6n
    @ayoubali-x6n 2 місяці тому +13

    HENRY nimekubali xana umesimama ktk haki umetisha Leo Moja kati ya point muhimu ilonifrahisha mm ni kwamba umekubali na umethibitisha kwamba mungu ni mmoja .inawezekana ilikuwa c plan Yako kusema ivo Bali mungu kwa uwezo wake ameamua kukutumia kufikisha ujumbe kwa Wana SNS kuwa mungu ni mmoja .. tuendlee ulipoishia Yesu alikuwa anaenda kumuomba mungu ,,asa mungu ni Nan? All in all asanteee kwa kampan yko naamni ipo cku Allah atakuonesha njia sahihi na kupitia ww wengi pya wataweza kuongoka ❤❤❤❤

    • @modekaijames
      @modekaijames 2 місяці тому

      Kweli kaka

    • @ninjaisma7983
      @ninjaisma7983 2 місяці тому

      Yes ametisha sana ..mbali na kuwa ni Christian ila ameamini kuwa yesu ni mwanadamu aliumbwa na mungu mmoja ndiposa hata akikwama anaenda mlimani na kumilia muumba wake..wanaosema yesu ni mungu wanakufuru mno ila hawajui ukweli

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 2 місяці тому

      ​@@ninjaisma7983Kwaani kwenye uislam Mungu ana mwana?

    • @lakasid3860
      @lakasid3860 2 місяці тому

      Yesu ni Mungu katika mwili? Na alikuwa ameenda kumuomba Mungu aliyejuu, kwani hukuwahi kusikia kisa Cha Musa kutokewa na Mungu akiwa katika mfumo wa moto? So huwa mnashangaa nini kuona Mungu akijibadilisha akawa mwanadamu ili akamilishe mission yake kwamba mnahisi Mungu hana uwezo wakubadilika na afanye atakavyo yeye? Sisi Mungu wetu anauwezo huo maybe wenu hana

    • @lakasid3860
      @lakasid3860 2 місяці тому

      ​@@ninjaisma7983wewe ndio hujui ukweli na wewe sio mkristo na kama ni mkristo basi ni jina tu na wala husomagi Biblia, mbona imeelezea kila kitu kuhusu Yesu ambacho huelewi ni nini?

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu 2 місяці тому +3

    Wachambuzi makini sana. Mtume s.a.w anasema: Usitamani vita, vita ni jambo baya mno. Hapa pia napata kwao maarifa kutoka katika vitabu vya Mungu.

  • @shebbylove3140
    @shebbylove3140 2 місяці тому +6

    Thank you guys for the daily updates mungu awabariki

  • @MahikaWa2
    @MahikaWa2 2 місяці тому +3

    Maa Shaa Allah, reference nzuri kutoka katika vitabu

  • @bishweko
    @bishweko 2 місяці тому +3

    Mwinuka uko vizuri. Mungu muumba anatwambia hayatusibu majanga isipokuwa tumeyatengeneza kwa mikono yetu wenyewe.

  • @peterilimwa5754
    @peterilimwa5754 2 місяці тому +5

    dj sm uko vzr sana

  • @AlfredTemba-p3s
    @AlfredTemba-p3s 2 місяці тому +2

    Dj sma & Henry mko poa sana

  • @mr.performance2533
    @mr.performance2533 2 місяці тому

    Henry i salute you brother

  • @bishweko
    @bishweko 2 місяці тому +2

    Dj Sma ❤. Jana itakuwa bora kuliko leo. Mtu atatamani kufa kuliko kubaki hai. Nayaona sasa.

  • @FranckDaniel-cc5rg
    @FranckDaniel-cc5rg 2 місяці тому +4

    Henry we ni noma kwa kufikiria skutegemea kama unaweza kufikiria nje ya box namna hii

  • @MansabIs-hak
    @MansabIs-hak 2 місяці тому +1

    Safi sana sns kilasiku munamambo mazuri yakielimu na kadhalika big up kwa wote wa nne

  • @ahlamsaleh670
    @ahlamsaleh670 2 місяці тому

    Nahisi wote watatu smaa Henry na ali kila mmoja ana quality na knowledge style yake ya kueleza lkn pia nahisi hakuna aliyekuwa anaeleza vizuri kuliko mwenzake kila mmoja ana quality yake 💯 big up sana

  • @abuuyusratv3796
    @abuuyusratv3796 2 місяці тому +2

    Nawaelewa sana wana sns & ❤❤❤ ❤

  • @KampangaKampanga
    @KampangaKampanga 2 місяці тому +24

    Wanao muelewa Henry like hapa 🔥🔥

    • @IbrahimTabu-qh9il
      @IbrahimTabu-qh9il 2 місяці тому

      Hayo yakwenye maandiko mengi niyauongo.

    • @AbuumuussaaAttanzaaniy
      @AbuumuussaaAttanzaaniy 2 місяці тому

      We unaushahidi kuwa ni ya uongo au not manene matupu au niipi sababu AMBAYO wewe unasema hivyo?​@@IbrahimTabu-qh9il

    • @paulsibu5770
      @paulsibu5770 2 місяці тому

      Wewe leta ya kweli unayoyajua.

  • @shirimabenedict5431
    @shirimabenedict5431 2 місяці тому +1

    Nimemuelewa sana henry

  • @TwahaMaziku
    @TwahaMaziku 2 місяці тому +9

    Dj smaa nakulubali sana unaakili na uwezo mkubwa sana wa ufahamu wa mambo so make sure pia uwezo huo utumie kwaajili ya keshoyako life after death

  • @zenahussein2242
    @zenahussein2242 2 місяці тому +1

    Leo mmerudi kwenye solution. Viongozi wakimrudia mungu na kuona maisha ya dunia sio kila kitu basi hata vita havina maana kabisaa

  • @michaeljuma254
    @michaeljuma254 2 місяці тому +1

    Big up guys, you're doing a great job. God bless you all🔥🔥🌹

  • @oppatz5544
    @oppatz5544 2 місяці тому +5

    Pamoja sana wakuu nawakubali sana

  • @MzeeKigogo_
    @MzeeKigogo_ 2 місяці тому +2

    Dj sma ni mpuuzi. Ameegemea zaidi kwenye udini

    • @iddykivu050
      @iddykivu050 2 місяці тому +1

      Wewe Acha Uchoko Udini Upi DJ Smaa Anauleta Mpumbavu Wewe

    • @MzeeKigogo_
      @MzeeKigogo_ 2 місяці тому

      @@iddykivu050 Anaegemea kwenye uislam zaidi na chuki dhidi ya Israel, halafu anasema yeye ni mtu wa facts wakati analeta hisia za udini kuliko uhalisia

  • @jacksonngusi4122
    @jacksonngusi4122 2 місяці тому +2

    Mko vizuri masubi unamaono ya logic and fact

  • @jerryndondole1965
    @jerryndondole1965 2 місяці тому +3

    You guys mmeulisha sana ubongo wangu

  • @Shafikimanga7
    @Shafikimanga7 2 місяці тому +3

    Kutokana na tension iliyopo na matokeo baada ya kulipiza kisasi, ikiwa Iran itashambulia kweli lazima itakuwa inafanya mandalizi ya kuweka ulinzi wa kutosha. Ukikimbiza mwizi lazima ukumbuke kufunga mlango. Ila ukimya wake unawaumiza vichwa madui zake kupita hata Hilo lipizi linalotarajiwa.

  • @hanspop6961
    @hanspop6961 2 місяці тому

    Wachambuzi Hongereni sana kazi nzuri

  • @JamalGolan
    @JamalGolan 2 місяці тому +2

    Smaa na Henry na ally mnafanya vema sana mna facts sana allah awazidishie illmu tufaidike

  • @MikelSitoe
    @MikelSitoe 2 місяці тому +3

    Dj Smat na kikosi chako ❤❤❤

  • @yassinmohamed8241
    @yassinmohamed8241 2 місяці тому +2

    Fact dj Sma

  • @yassinmohamed8241
    @yassinmohamed8241 2 місяці тому +2

    Dj smaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa we love you bro pia wana sns nawakubari woteeeee

  • @ZabronHermanNgasa
    @ZabronHermanNgasa 2 місяці тому +2

    Mpo vzr mabrother

  • @MohammedBwanga
    @MohammedBwanga 2 місяці тому

    Henry nakubali kazi

  • @brianbaltazar6198
    @brianbaltazar6198 2 місяці тому +1

    Big up sana SNS

  • @ZamgoyadanielZamgoya
    @ZamgoyadanielZamgoya 2 місяці тому

    Shukra sana henry, kwa kutoa madin ya kutosha yan leo nimekua nikikuelwa sna maelezo ya unakipaji kikubwa cha kuunganisha matukio, Nakuombea sna kwa mungu ue muisalam inshalla

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 2 місяці тому +1

    Nimejifunza tena kwamba uwongozi ni busala uvumilivu kutumia akili zaidi kuliko hisia kujishusha wakati mwingine nakujishusha sio ujinga unafanya ivyo Ili mambo yaende wakati mwingine..usitumie Sana nguvu, hekma,nakumtegemea mungu Sana Ili safari yako ya uwongozi or whatever ufike salama...Asante kaka Henry Kwa uchambuzi wako Yani naelewa mpaka naelewa tena Yan nazid kujifunza guys apo kwenye mdahalo uwo wa gps Wala sijutii bando langu kiukwel mana najifunza mengi Sana..na uwongozi sio mpaka uongoze nchi or majimbo noo..uwongozi nikujiongoza wewe kwanza vizur Kwakumuomba mungu nakumtegemea yeye na kuongoza na wengine pia..Yan kama dereva tu unaendesha Gali moja lakin unaendesha na watu wanaokuzunguka kwenye iyo njia...

    • @jamilaathumani5481
      @jamilaathumani5481 2 місяці тому

      Kaka Henry umepiga kwenye mshono...Yan inabidi tumuombe mungu kwakwel Ili atusaidie kwakwel Yan mada ninzur Sana ...Yan mungu nikila kitu inabidi tumuombe na kumtegea yeye
      ...mana hali itakuwa mbaya Sana kama ikitokea vita mungu atunusuru kiukwer...mana Leo mmechambua vizur Sana kwakuanguka Kwa uchumi mana madhara yatakuwa makubwa Sana kiuchumi kiukwer...kaka herny apo Kwa mungu na dj smaa na Ali apo mmepiga kwenye mshono...inabidi tumrudie mungu atupe maarifa na muongozo😭😭,,hali ni mbaya Sana yakidunia kwakwel..binadam tuache madhambi ya ufisadi na dhurma ni mbaya Sana Kwa mungu..mungu tuswamehe na utuongoze kwakwel ...

  • @steevfabiano3286
    @steevfabiano3286 2 місяці тому

    Habari Mzur Sana.

  • @kevicristian2738
    @kevicristian2738 2 місяці тому +13

    Dj asma anajua mpaka kero🎉🎉
    Unapewa kidonge bila maji ya kumezea😂🙌

    • @jerryndondole1965
      @jerryndondole1965 2 місяці тому +1

      Sma kabarikiwa sana uelewa,nadhani ni kwasababu pia ana juhudi za kujifunza

    • @AlexGwiha
      @AlexGwiha 2 місяці тому

      Hakuna mchambuz hapo udini umemkaa Sana tena habaranc story nitakataka kama wengine mchambuz orgnl haonesh dalili za kuwa upande

    • @kevicristian2738
      @kevicristian2738 2 місяці тому +1

      @@AlexGwiha maoni yako ninayaheshimu kaka.
      Ila SNS tumebarikiwa Dj asma

    • @Aminimalewa
      @Aminimalewa 2 місяці тому +2

      ​@@AlexGwihamstaharabu Huwa anacoment kistaharabu, dj sma Naye nibinadamu hawezi kuwa perfect Moja kwamoja so kama Kuna madhaifu eleza kwa njia yakumjenga, ila kwa namna ulivyoeleza kwanza unaonekana siyo mstaharabu, pili una lako moyoni inawezekana wivu, chuki or whatever, unamuitaje mwenzako takataka?

    • @JamesJastin-bg1rx
      @JamesJastin-bg1rx 2 місяці тому

      Wew ndy mdini sasa​@@AlexGwiha

  • @shakeuabuu8851
    @shakeuabuu8851 2 місяці тому +1

    Amin yaarab

  • @valentinernestkavishe7297
    @valentinernestkavishe7297 2 місяці тому +2

    Akili ya dj smaa ni open mind ipo tayar kujifunza but tatizo ni elim yake ya dini, elim ya dini inakufunga akili usijifunze kitu nje ya dini yako😢😢mim ni mkristu but najifunza kwenye quran na kujifunza mungu nje ya vitabu

  • @Gulfnas1
    @Gulfnas1 2 місяці тому

    Sma na Henry huwa mnaufikishaji flan amazing same goes to Ally!!

  • @bakarijewel2082
    @bakarijewel2082 2 місяці тому +3

    Leo masubi katisha hongera

  • @RAKIIMRAKIIM
    @RAKIIMRAKIIM 2 місяці тому +3

    Henry Mwinuka 🎉🎉🎉🎉🎉

    • @abduljuma7807
      @abduljuma7807 2 місяці тому

      Iran nuwatu wa mahesabu Hawa pigi tu Mimi natamani wapige lakini naunga mkono wanachopanga hata ikiwa kwa kuacha kupiga Ili tufikie malengo mazuri zaidi

  • @massejobbs4284
    @massejobbs4284 2 місяці тому +2

    Ongeyeni .. Iran muwoga… uwezo wake mdogo sana. Israel ataendelea kumaliza viongozi wao..

  • @MAILAGUN
    @MAILAGUN 2 місяці тому

    Sns for better life 🙏💪💪

  • @mohamedikunchi7165
    @mohamedikunchi7165 2 місяці тому +1

    Pakej yangu pendwa kabisa hii adi nimekua mchambuz wamtaani kupitia nyinyi Allah awape elim nahekma zaidiiiiii

  • @roypeters9829
    @roypeters9829 2 місяці тому +2

    ukweli ni kuwa iran ikjaribu kufanya retaliation itakutana na kisago kibaya mno.. na huwenda uchumi wake ukaharibiwa vibaya sana.. na huo ndio ukweli..ila sio kama hao wachambuzi wanavyochambua.. nguvu walioipeleka marekani kisiwa cha cypras ni kubwa mno..

    • @AlexGwiha
      @AlexGwiha 2 місяці тому +1

      Nikwl u.s.a anajua atakacho kifanya baada ya hapo Irani lazima athink be4.

  • @allykwaya
    @allykwaya 2 місяці тому +1

    DJ Smaa, Nahisi Uchovu na Usingizi.

  • @AniziaKamanzi
    @AniziaKamanzi 2 місяці тому

    Umeongea point Sana Oscar Oscar

  • @halidijuma1884
    @halidijuma1884 2 місяці тому +1

    Mko vizuri ila DJ SMAAA NI FUNDI SANA WAKUELEWESHA MAMBO

  • @SirajiZacharia
    @SirajiZacharia 2 місяці тому

    Congole sana pia kwa Smaa na Mwinuka.

  • @massejobbs4284
    @massejobbs4284 2 місяці тому +3

    Iran amna kitu. Iran ni mke wa Israel…

  • @mmungajieanpirre4655
    @mmungajieanpirre4655 2 місяці тому +1

    💯💯💯💯💯💯

  • @sylvestermhojaaron9659
    @sylvestermhojaaron9659 2 місяці тому +1

    MUNGU BARIKI ISRAEL MILELE DAIMA

  • @MzeeKigogo_
    @MzeeKigogo_ 2 місяці тому +1

    Inajua moto wa Israel

  • @rehemashariff3119
    @rehemashariff3119 2 місяці тому +3

    Watasua sua hata milele Mungu anapindua mawazo

  • @Saki930
    @Saki930 2 місяці тому

    Nipo hapa

  • @salminijumasalminijuma6213
    @salminijumasalminijuma6213 2 місяці тому +2

    Ivi kwann siku Moja mkaingia kidini kidogo maana dj smaa Alisha tuahidi akasema Iko siku mtaingia kidini Zaid .
    Embu kaeni mtupe madini bana 😮 hivi vitu hatuvipati sehem ingine zaidi ya SNS

  • @AhmedAhmed-z6m7t
    @AhmedAhmed-z6m7t 2 місяці тому

    Ali Masubi ni Geneous sana Jamaa nilikuwa sijamuelewa mwanzo ila sasa jamaa nampa nyota zote

  • @HukerRama
    @HukerRama 2 місяці тому

    Na ndugu yangu MCHUNGAJI NASHUKURI UMESEMA UKWELI KBS dogo huyo wa upande wakulia kwangu ninae angalia hii vdeo BIG UP

  • @zenahussein2242
    @zenahussein2242 2 місяці тому

    Siku za mwisho huwezi zijua kama hujasoma alichosema mtume Muhammad s.a.w

  • @HansChuma
    @HansChuma 2 місяці тому +3

    Kaka Masubi marekan Uk israeli ufaransa nk ndio wanaoharibu Dunia kubar ukataeee

  • @youngcleva7841
    @youngcleva7841 2 місяці тому +1

    ESMA IKO KIIUSLAM SNA, lakin wengine wana state Facts na reality❤

    • @iddykivu050
      @iddykivu050 2 місяці тому +1

      Sasa Uislamu wa Smaa ni Nini Embu Tufahamishe

    • @youngcleva7841
      @youngcleva7841 2 місяці тому

      @@iddykivu050 ww jina lako nimeshanambia kwanini huoni anachokifanya

  • @Stillrunlikeaball
    @Stillrunlikeaball 2 місяці тому +2

    Niliwai kusema hiyo kama anavyo sema Henry apo kuwa kuna Taifa Dogo litaliangusha Taifa kubwa

  • @minanifreddy6969
    @minanifreddy6969 2 місяці тому +4

    Hawajamaa niwaongo sana eti wa Iran hawaogopi kufa ...analysis zenu ni zawongo kwa uhakika Iran inaihogopa Israel wanajua nguvu za Israel nikubwa kuliko zao

    • @Zuhuranadadoita
      @Zuhuranadadoita 2 місяці тому

      Tuambie wewe hata Israel inaelewa iran washaandaa mahandaki na tochi ya makopo ya mkojo

    • @paulvimbamvula9508
      @paulvimbamvula9508 2 місяці тому

      Ndiyo ata kwa dini ya kisilamu ilo jambo lipo ndilo anatumia wote magaidi

    • @MwanahamisHussein-dp2if
      @MwanahamisHussein-dp2if 2 місяці тому

      Mbonaawawezikupiganausokwausompakandege

  • @ghazarahmed80
    @ghazarahmed80 2 місяці тому

    Mko poa sanaaa wana, DJ smaaa plus henry madini sanaaa aiseee , ally mgodi sana pia shida huwa anapanic tu akiweka na smaaaaa

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 2 місяці тому +2

    Hizi ni cku za mwisho, watu mrudieni, MUNGU wa kweli

  • @bouchofundishokesha2759
    @bouchofundishokesha2759 2 місяці тому

    DJ sma wewe ukikosekanaga huwa najiisi vibaya saana maana huwa unakuwaga na utulivu kwa kuongea point 👉
    Henry umeongeza point z ukweli

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 2 місяці тому +3

    Putin anafahamu kbs mmarekani akitaka kumla nyama ni sekunde tu. Anajaribu kuwa fair au anatishia nyau kwa zelensky ila hawezi kumchokoza mmarekani

    • @Gulfnas1
      @Gulfnas1 2 місяці тому

      Mmarekan pia hilo analijua fika kua Russia akiamua ni dakika

    • @MwanahamisHussein-dp2if
      @MwanahamisHussein-dp2if 2 місяці тому

      MbabeFirauniyukowapi

  • @johnsonzuma4932
    @johnsonzuma4932 2 місяці тому

    Leo naona mna mkumbusha ao mna wakumbusha wana CCM Allahmudulillah 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🙏🙏

  • @Chw_Kdmn83
    @Chw_Kdmn83 2 місяці тому

    Nimeongeza points kadhaa kwa msemaji wa pili dhidi ya wakwanza...

  • @StanleyJohn-c1u
    @StanleyJohn-c1u 2 місяці тому +6

    Mkitaka Mungu atume malaika Gabriel aifute iran ajaribu

    • @AliNassor-qt6fm
      @AliNassor-qt6fm 2 місяці тому +1

      Malaika Gabriel kwa taifa la LGBTQ 🌈😂😂😂think about it

    • @MikelSitoe
      @MikelSitoe 2 місяці тому +1

      inge kuwa Mungu ana penda ushoga basi watu wa Sodoma na Gomoro wa singe angamizwa, Sasa inakuwaje Mungu apende uchafu wa zioni😂😂😂😂😂

    • @mutaji5454
      @mutaji5454 2 місяці тому +1

      Mungu yupi au wawa indi kwa utukufu gani Dunia ya sasa ashuke Malaika Gabriel wew unajua malaika Gabriel kma mjumbe wa nyumba 10, 10 majews they don't believe presence of God useme tena Mungu amtume Gabriel afrika tuwe tunasoma tuache kumezeshwa ujinga .

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 2 місяці тому

      We na mungu wako wa Israel mnafirwa

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul 2 місяці тому

      ​@@AFRICA_D669😂😂😂😂😂😂

  • @wakandaboy9846
    @wakandaboy9846 Місяць тому

    Mnapenda kumtete Iran na Urusi kwakila hali

  • @moseskulola6913
    @moseskulola6913 2 місяці тому

    GPS. Global position sisteme

  • @mchopacalvin2986
    @mchopacalvin2986 2 місяці тому +1

    Kwa mtazamo wangu Irani hawezi shambulia moja kwa moja ila atatumia hezbula . Kwani urus yuko bize na ukraine

  • @enocksimpassa4682
    @enocksimpassa4682 2 місяці тому

    Mwinuka, hongera wewe na timu Yako,kiukweli nakosa tu mda wa kuandika comment za ngu!! Lkn nikitulia nitachambua.

  • @sistertrashid2488
    @sistertrashid2488 2 місяці тому

    Dj Smaa kafurahi sababu uyo mkiristo anajua yesu sio mungu nimeona anatingisha kichwa bana mungu atuongoze na zama izi za mwisho

  • @ShedrackShedrack-c2b
    @ShedrackShedrack-c2b 2 місяці тому +1

    Ali anujua sana mahana ya habari na uchambuz hongelea ktu hambacho kipo siyo unacho kipenda

  • @JaphetJairos-n4l
    @JaphetJairos-n4l 2 місяці тому

    Sky ebu siku walete wachokoz apo wana akil sana wale jamaa please mekuombaa tu bro

  • @YasiniMkakile
    @YasiniMkakile 2 місяці тому

    Kuwait

  • @ShedrackShedrack-c2b
    @ShedrackShedrack-c2b 2 місяці тому +1

    Yani hapa wachambuzi wote aly hanaweza zaid mbaka sasa sjajua hanaegeme upandegan kanyoka kalula uyo hanajua nini mahana ya habari sounaz unazi hambao hahuna mahana

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 2 місяці тому

      Ally anajua sana kiuchambuzi maana anasimama katikati sana mwa habari.

  • @ChristianRamadhan-uf3ob
    @ChristianRamadhan-uf3ob 2 місяці тому

    1:14:20

  • @SaraphinaKidoti-qe7gi
    @SaraphinaKidoti-qe7gi 2 місяці тому

    Masubi on fire

  • @SaneMwezi
    @SaneMwezi 2 місяці тому

    Dj sma na wenzio bible inatabili anguko la urusi inauma sana lakini😢

  • @amanimoshi7085
    @amanimoshi7085 2 місяці тому

    Ukweli ni Mungu hamjaribu mtu ama kumpa mtihani….

  • @YahayaKishakwi-q7b
    @YahayaKishakwi-q7b 2 місяці тому +1

    Dj smaa nimdini akuna mchambusi apo

  • @salimmadafa4840
    @salimmadafa4840 2 місяці тому

    Hii scenario waitengenezee series

  • @Chw_Kdmn83
    @Chw_Kdmn83 2 місяці тому

    Kuhusu prophecy zipo n zinatokea kwa stage n kikanda ila msiseme cc huku n cc huku hapana mumgu ni mmoja. Na anajua anacho waambia manabii wake. Kwa wanaoamini mungu wa kweli prophecy ni hizo hizo zinafanana tatizo ni ufahamu au ubinafsi wa watu..

  • @janesuma-is4wc
    @janesuma-is4wc 2 місяці тому +3

    Endeleeni kujidanganya hapo studio na uchambuzi wenu wa upande mmoja Mungu atawashangaza soon

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 2 місяці тому +1

      Hujitambui wewe kila kitu kimewekwa wazi hapo hapana dini , ni kwa sababu umeona smaa akitoa maandiko ya Quran kidogo na kutafsiri. Jiroho lakusokota mbona hata maandishi ya bibilia yametolewa hapo?Bila shaka unaumwa.

  • @timothybanda3219
    @timothybanda3219 2 місяці тому

    Haya mambo ambayo leo tunayaongelea,yalishasemwa kwenye kitabu cha "the clash of civilizations" by Samuel P Huntington

  • @StevenTaylorx
    @StevenTaylorx 2 місяці тому

    SO SAD

  • @suleimanali5681
    @suleimanali5681 2 місяці тому

    Hamkuwahi kuwa na kipindi kby lkn kwangu mm leo kama kungekuwa na malipo bx mm leo nigefilisika kbx yaleo ipo safii kbx niwapecongero

  • @thobiasmarandu214
    @thobiasmarandu214 2 місяці тому

    Henry Kissinger Alishakufa Kitambo at Age 100

  • @ElijahOwino-xe2cd
    @ElijahOwino-xe2cd 2 місяці тому +1

    Israel inawangojea hata wachukue Mwaka mmoja... wembe ni ule ule.... ukweli ni kuwa vita vikali vinakuja kati ya Iran na Israel pamoja na Lebanon pia.. lakini mshindi anajulikana tayari.... Iran pamoja na Lebanon watafanyiwa kitendo ambacho dunia nzima itabaki kukumbuka.. na itajulikana kuwa MUNGU wa Israeli ndiye MUNGU wa Majeshi

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 2 місяці тому +2

    Dalili zilizotajwa mataifa makubwa yataangushwa hiyo ndio yenye uhakika