BISHOP NGONYANI ATOAA ELIMU JUU YA SABATO NA KUJADILI ANAYOYASEMA MCH. NDACHA JUU YA AMRI ZA MUNGU
Вставка
- Опубліковано 5 вер 2024
- SIKU YA SABATO IMEKUWA NA MJADALA MREFU NA HAPA TULIPATA WASAA KUJADILIANA NA BISHOP NGONYANI KUHUSU SABATO NA KWA BAHATI ALIWEZA KUTUFUNGULIA MAMBO MUHIMU YANAYOIBUA HAMASA YA KUJIFUNZA ZAIDI
Pole sana ngonyani kwa uelewa wako huo naamini ipo siku utadaiwa kupotosha biblia sabato itakuwepo hata baada ya watu wa Mungu kukombolewa ktk inchi mpya soma isaya66:22_23
Wanaompongeza wengi Awasomi Bblia wanasomewa tu:
Asante askofu ngonyani kwa ufafanizi mfupi lkn wenye tija nafikili kunashida yawatu wasikuhizi kumuelewa mtu lkn umeeleweka sana
We bi shop kumbe we ni kiongozi wa vipofu utakuja juta siku ya hasira yake Mungu Ukweli unaeleza wazi halafu baadae unazipinga umejitam ulisha kwa elimu nyingiii za kidini kumbe we ni wakala wa shetani
Ukinipenda utazishika amri zangu... Hili nimojawapo ya fundisho alilolifindisha Yesu...acha kupotosha watu... Kwa kutumia uongo ukichanganya na ukweli kidogo....hata shetani alotumia tu neno "eti". Kua na hofu na Mungu 😊
Sabato ni ya Mungu siyo ya wayahudi wayahadi walipewa tu. Usimwingilie Mungu au Yesu.
Yohana 5:15-18Yesu anaponya mtu siku ya sabato ila Wayahudi wanataka kumuua lakini Yesu anajibu"Baba yangu anatenda kazi hata sasa(yaani ktk sabato) kwahyo wote wanaomwamini Yesu Kristo hawashiki siku wala amri kumi bali katika upendo iliyo amri mpya na kuu n sheria ya kifalme kwa watoto wa ufalme Mungu wa mbinguni.Yakobo 2:8.Yahweh Elohim awabariki sana
Kweli
@@maximilianswitbert2826 kutenda kazi ya kuokoa nafsi siku ya sabato mm naona sio makosa
Mwanadamu mwenye akili ndogo hawezi kuzijua siri za Mungu,mpaka Roho wa kristo amfunulie, ndiomana walimu wengi wa neno la Mungu watapata hukumu kubwa mno kwasababu walitafrisi neno la Mungu kwa akili zao ndogo sio Roho mtakatifu,Neno la Mungu ni siri za Mungu, ni Roho wa kristo ndie anaweza kukufunulia siri za Mungu ,katika neno lake,msikulupuke kuwa walimu wengi wa Neno la Mungu,kama huna nguvu za Mungu,niatari mno kwa walimu wa uongo ,mwisho wao,waliopewa thamana ya kufundisha neno la Mungu ,niwale tu waliokolewa na Yesu kristo na wakapokea nguvu za Roho mtakatifu,
Hambae hajaokolewa na Yesu kristo,alifu anafundisha neno la Mungu huyo ni Muongo,anapotosha watu,maana wao wanatafrili Ukristo kama Dini , Ukristo sio Dini bali niuweza unaomfanya mwamini aishi Hapa Duniani kama Mungu,ukristo unamfanya mwamini kuwa mtawala kuwa mmiliki katika ulimwengu wa roho ,hata katika mwili, mkristo halisi kapewa nguvu ya kutisha na kutawala ,falume zilizokinyume na utawala wa Mungu katika ulimwengu wa roho,
Duh Bishop ubarikiwe sana kwa ufafanuzi uliotoa. Mtu wa kawaida tu ambaye hajafika hata darasa la saba amekuelewa ambao hawajakuelewa ni wale wenye hofu ya mnyama wamekula sumu ya fundisho la mnyama kiasi cha kushindwa kuelewa maandiko mengine. . Tuombeane mungu azidi kutufungua.
Hakuna kitu hapo hajui chochote huyo
Hujui lolote huyu anapotosha watu ameegemea kwenye dhehebu la sabato kuliko maandiko,
Muulize akwambie andiko lipi linalosema siku ya sabato ni jumamos uone kama hajaanza kuleta adithi kuliko kukuonesha hilo andiko, halipo hilo andiko yeye katoa wapi
Huyu bishop CV nyingi maarifa zero ,YESU mwenyewe anasema Yohana 14:15 ,mkinipenda mtazishika amri zangu,pia YESU alifundisha kuhusu amri soma Mathayo 19:16-17.Anajikinga katika kivuli Cha neema ,pasipo kujua neema yenyewe inatukataza kataa ubaya ,ubaya unatokana na nini kama sio amri😀😀.Huyu anawelewa mdogo katika maandiko.Pia Mathayo 20:24 Yesu mwenyewe anasema "Ombeni kukimbia kwenu kusiwe siku za baridi au SIKU YA SABATO."Hiyo hapo sabato sasa YESU ameitaja.
Huyu jamaa anapotosha
Bishop hakosei wanaokosea walio shika amli moja tu wakati zko 10 Kama kweli watu washike amri zote 10 watu wanatenda zambi mno halafu wanajificha kwenye sabato mungu anataka roho Safi ukiwa na roho safii hutotenda zambi na mungu atakupenda hatokuuliza kuhusu sabato
Bishop ngonyani anapotosha watu Yesu alishuhudia kwamba hakuja kubadilisha amri za Mungu bali kutimiliza na wakatoliki ndiyo walipiga maarufu sabato kwenye a.d. 364 halafu Yesu alikufa Jumatano saa 9 siyo Ijumaa na kufufuka jumamosi saa 9 na sabato siyo ya wayahudi ni ya Mungu mwenyewe
@@amedesamki425 hapo hakuna mchungaji wa Bishop ni mnafiki tu
Acha bangi wewe
@@msemakweli243 Unahitaji msaada wa kiroho Huyo mtumishi ni mlokole anacho kijibu ndo sahihi Kunavitu vingine Kama hujaokoka Huwezi kujuwa ,mfano Nikuulize hili swali wewe!! soma andiko hili na unipe jibu unalielewaje hili hili andiko Matendo 8:14-16 Matendo 19:1-6 Kwanza muulize baba yako wa kiroho halafu waulize Walokole uone majibu yake !!! Baba yako wa kiroho hawezi kukupa jibu fasaha ni Walokole TU watakupa jibu sahihi
Big up ngonyani upo vzur sana ndg yangu
Kwani sabato ni ya wayahudi kwa ajili ya Mungu? na wala sii ya Mungu kwa ajili Yao? kwa sababu mimi ninacho kielewa ndani ya Biblia ni kwamba Mungu Ali jifanyiya sabato kama pumuziko tu na sifa kwa ajili ya uumbaji na Tena siyo kama kuipa siku jina ya sabato. Yesu alipo Kuja aliwakuta wayahudi wameishikiya na kuielewa sabato isivyo hata aka jaribu kuwa elimisha kwa kina hili swala la sabato lakini kwa sababu baazi hawakuwa na uhakika kwamba ndiye masihi ikabidi wa mushutumu kama walivyo ijuwa sabato na kuielewa. Kwa wayahudi hai kukuwa siku kwenda ma Hali wala siku yaku iruhusu kazi yoyote tuifanyao kwa mikono yetu sisi na kupitiliza hata huduma nyingi nyingine za Mungu. Tujiulize je Mungu ana weza kataa tusipomwe siku ya sabato mbona hata wasabato wana hesabu uleponyaji wa yule Mama kama ishara moja wapo ambazo Yesu alizifanya ama wasabato leo wakikataa kama sii ishara moja wapo wakubaliye leo kama wamemukataa Yesu mweye
1 Yohana 5:3
[3]Kwa maana huku ndiko kumpenda Mungu, kwamba tuzishike amri zake; wala amri zake si nzito.
For this is the love of God, that we keep his commandments: and his commandments are not grievous.
Yesu ndiye mwenyewe wa sabato.
YesYESU NDIYE BWANA WA SABATO
Soma Waebrania 4:1-13 mtaelewa vizuri
Mungu habadiliki akiswma amesema je unaandiko lolote kuhusu kuabudu j pili plz lete andikoo
Yohana 14:15 mkinipenda mtazishika amri zangu sasa kama hakuna amri Yesu anasema tukimpenda tutazishika amri zipi km hakuna amri
Amri za YESU ni mbili nazo ni upendo
Revelation 14:14; here is the patience of saints; here are those who keep the commandments of God and the faith of Jesus
hapo ni wakati wa dhiki kuu ndugu soma sura yote uielewe.
Na mwazilishiwa sabato ni mungu sio elen g
Huyu bishop nimemsikiliza yuko right kabisa.wanao ishika sabato bado wako kwa sheria. Na torat imekua kiongozo kuteleta kwa kristo wagal 3:24.
Wewe unasema tena mwalimu, ! Loh
1 Yohana 5:3
[3]Kwa maana huku ndiko kumpenda Mungu, kwamba tuzishike amri zake; wala amri zake si nzito.
My friend it may not matter how many verses of evidence you gona represent to Sunday observant, it is very hard to deliver someone who claimed to be theologist.
Kwanini uliambiwa usizini?
Ni kwasababu ya kukosa upendo, amri kumi zote hutimozwa kwa neno Moja upendo
Pendo ndio utimilifu wa sheria, Anajinadi amesomea sijui nini na nini huko ila ameshinda kujua utimilifu wa sheria unakamilika katika Pendo au je hakusoma kitabu cha warumi 13:9?
Warumi 13:9
[9]Maana kule kusema, Usizini, Usiue, Usiibe, Usitamani; na ikiwapo amri nyingine yo yote, inajumlishwa katika neno hili, ya kwamba, Mpende jirani yako kama nafsi yako.
Ikiwa kama amri hizo zimeingia katika kumpenda jirani je zile nne hazipo katika kumpenda Mungu? Mafundishe watu Neno la Mungu kwa matakwa yenu ili muonekane mna uhodari wa neno hilo, mtachomwa moto kwa kupotosha maandiko, na tena niwaambie mtaingia sana ka ajili ya mliowapotosha. Badilikeni acheni mihemko ya kiitikadi
Yesu anasema ukinipenda utazishika amri zangu, kama amri ziliondolewa kwa nini Yesu aseme hivyo, nadhani Bishop unajipotosha kwa Yesu aliyetoa amri, pia tutahukumiwa kupitia amri sasa ikiwa amri hazipo basi hakuna hukumu. Waambie watu wa ukweli, kuna ukweli umesema wazi kuwa ibadan ni jumamosi, unajichanganya unaposema kuwa Yesu alivunja sabato, Yesu ndiye Bwana wa sabato alikuwa anawaonyesha wayahudi kuwa siku ya jumamosi ni siku ya kutenda mema, aliuliza swali having ng'ombe wako akitumbukia ktk shimo utamuacha, jibu ni kwamba haiwezekani, Yesu alikuwa sahihi kuponya siku ya sabato, sabato ya millennium kama Nabii Isaya 66 alivyosema, wewe kiongozi dini wafundishe watu ukweli wa Kristo, Yesu alisema hajaja kutangua torati, Mungu akusaidie mtumishi.
Tuliishi kivyetu kabla hatujavamiwa na wakiloni Wazungu na Waarabu.Tuachane nao
Ulianza vizuri kweli mkuu huku mwisho ndo umeongea pumba kabisa someni aise hawatu msipo soma hamtatoboa
Hakuna andiko hata moja inayosema kuwa mitume wali abudu siku ya kwanza ya juma ahipo.
@@user-nm6vb5zt4b siku ya 49 baada ya kufufuka kristo ni siku gani ?
Asante sana
Amri kumi hazikuwepo embu kasome mwanzo 26:5 Ibrahim alifanyeje
Amesema yesu hakufunza amri kumu .ebu someni (marko10:19)muone muongo wa mchana
@@DennisWaweru-ml4lf hayo maneno Yesu alizungumza kipindi cha sheria , au kipindi cha neema
Yesu hakufundisha amri kumi Bali aliuliza swali kuonyesha upungufu wa Sheria na vile isingeweza kumkamilisha mwanadamu. Marko 10:19 soma uone ni nini kilochotokea licha ya kwamba alikuwa ameshika sheria (usisome kipengele kimoja)
Asante sama leo umeliweka sawa , mwenye kuelew atakuwa ameelewa
Sabato katika agano lake kwa washika sheria wamelaniwa ,katika agano jipya sabato ,ni uzima wa sheria Ya Mungu kwa wale wanaookolewa na Bwana Yesu,
Bisho na wewe na wasabato wote mupo kwenye andiko sio Roho, ,wote mumetoka nje na Neno la Jehovah,kuna msabato wa mwilini na msabato wa kiroho,musa aliongoza wasabato wa mwilini,Yesu kristo yeye anawaongoza wasabato wa kiroho, wasabato wa kiroho ndio waliopata,pumziko la Haki, kwasababu ,Mungu amewafanya kuwa wafalume na makuhani, Hawawezi tena kuwa watumwa, wa sheria,kwasababu kuhani na mfalume hao ndio wanaotunga sheria,kwajili ya watumwa,wanaofwata sheria Ya kuitunza sabato ya jumamosi au jumapili Hao ni watumwa, wapo chini ya sheria,mtumwa wa sheria anatembea na Hukumu ya mfalume na kuhani asipo shika sheria, kwa mujibu ya mandiko matakatifu ,yamewakata wale wanaojiesabia haki kwa matendo ya sheria ,maana katika sheria mwanadamu wa asili ya mwilini alianguka katika bustani ya Edeni,sasa katika agano jipya tunae adamu wa pili alietunga sheria na kuishinda sheria ambae ni Yesu kristo aliezaliwa kwa Roho, mtakatifu,Ambae ni kuhani Mkuu na mfalume wa wafalume, nikimanisha kuwa ni mfalume wa wafalume kwa wale waliopata ufalume kwake kwa kuzaliwa kwa Roho mtakatifu,sisi tuliozaliwa kwa njia ya Roho mtakatifu sio viumbe ,kama waliovyo viumbe wanadamu wa kawaida,kwasababu kwa muonekano wa nje tunaonekana kama wanadamu wakawaida lakini kwa muonekano wa ndani yetu sisi tunaonekana kama ,miungu ambao sio wa kawaida katika ulimwengu huu,wanadamu waliozaliwa na kwa mwili,hao nisawa na viumbe vingine alivyo viumba Mungu ,nguluwi sugura mbuzi, Hawawezi kufanana na kiumbe kilichozaliwa kwa Roho mtakatifu,nikodemu alitamani sana viumbe vilivyo zaliwa kwa Roho ndomaana alimwendea Yesu kristo usiku akimwambia nifanyeje ili ningie katika ufalume wa Mungu,Yesu akamwambia mtu asipozaliwa kwa Roho,hawezi kuingia katika ufalume wa Mungu,
Sikia mpendwa,niviumbe tu vilivyozaliwa kwa Roho vitakao weza kuingia katika ufalume wa Mungu,wanadamu wanao amini Dini zao ,Kuliko kuamini nguvu ya Mungu iliyotuzaa sisi na tumefanyika kuwa wana wa Mungu ,Hawo Nivigumu kuingia kwenye ufalume wa Mungu, maana wao neno la Mungu wanalitafri kwa kili za kibinadamu ,sio kwanjia ya kufunuliwa Roho mtakatifu,
Sabato ni siku ya utukufu wa Mungu alidumba kwa siku 6. Kuifuta sabato yaani siku ya 7 ni kumwondolea mtmbaji sabato aliyoibariki na kuitakasa ni kudharau ukuu wake
Tafri ya sabato katika agano jipya nikupumzika kabulini ukitaka kupumzika unatakiwa,ufe upumzike kama Yesu kristo alipopumzika siku ya sabato kabulini,
Ambaye hakuelewi ni suala la ufahamu mdogo wa mambo ya Mungu
Huyu mchungaji hajielewi kamwe. Yesu hajawahi vunja sabato. Wayahundi walishutumu yesu bure. hata pia walimshutumu alijitoshanisha na mungu kwa kujita mwana wa Mungu, ina maana kwa hilo yesu sio mwana wa Mungu??...Mungu aliweka pumuziko iwe siku ya Saba, Nae nwanadamu akaweke siku ya kwanza ya juma...sasa ni ju yako uti Mungu au uti mwanadamu..
Usilmaumu huyu askofu Kama una hoja lete hapa hoja sio kumlaumu wasabato acheni uzushi, sikiliza maelezo sio kulaumu wakatoliki ,costantino hakubadlisha siku Ila kutokana na wakristo waliokuwa wanasali jumapili naye akaokoka na kutoa agizo la kupimzika siku ya jumapili
@@peteronjenga9954 YESU ndie sábado,sio siku úkimpata YESU umepata kupumuzika
Hakika dini ya haki mbele ya Mwenyezimungu ni Uislam. Muendelee kufarakana na kitabu chenu kilichochakachuliwa. Mara sabato ni amri ya 4 mara ni ya 3, tumuelewe nani?
Sisi sio Wayahudi
Mkate utatupeleka wengi jehanam,unasema ukweli halafu unaukana,yakobo2:10
Nimekuelewa vizuri sana mtumishi wa Lord Jesus Christ.. Blessed.
Mubiri WA uwogo wewe
Kama umemuelewa huyo basi uwezo wako wa kufikiri ni mdogo
@@msemakweli243 Thanks!God bless you!
Huyo anaeleweka kwa watu wasio na mahalifa ya kumjua Mungu
Kweli unapotosha soma ufunuo hapo ndipo penye subira ya watakatifu ya hao wazishikao amri za mungu na ushuhuda
Pia katika Ufunuo 14:12 tunaambiwa kwamba "hapo ndipo penye subira ya watakatifu, hao wazishikao amri za Mungu na iman ya Yesu." Je, ni amri zipi zinazorejewa hapa? Je, imani ya Yesu ni ipi?
Amri mbili za yesu
Bishop uko.sawa. agano.jipya .imeanza baada ya kifo cha yesu
Kweli mchungaji nikimeo
Jumapili kumbe mmepewa na mpagani costantine mroma poleni sana 😢
Huwezi kuishi bila kukosea duniani hakuna mkamilifu ,huwezi kushika amri ukazitimiza
Huyu Bishop haelewi maandiko kabisa, amri ni za Mungu Wala sio za wayaudi anavyo dai . Amri ya sabato ilikuwepo kabla ya wayaudi. Je Cain alipomwua nduguye alivunja amri Gani? Yusufu alipojizuia kuzini na make wa mfalme alipojizuia kuvunja amri ipi? Wewe bishop ruhusu Kristo akufundishe Wala sio thiologia za wanadamu!
Wewe ndio kipofu
Wewe ndio HUMUELEWI mwalimu yupo vizuri sana
Vizuri Sanaa mtumishi, wasabato bado wanaendelea kukalili sheria. Na sheria zenyewe wanavunja tena. Bado hawajafunulia kuwa Yesu ndiye bwana wa Sabato
Ukweli bro, je bwana wa jumapili nani? Hatari sana
MIMI NAULIZA MBONA HAMUONGELEI NABII ELEN G. WHITE ALIEANZISHA SABATO BABA ASKOFU.....SASAHIV SIO MUDA WA KUTAFUTA WATU NI MUDA WA KUONGOKA UKWELI KWAHIO.......UONGO WA ELEN G. WHITE TUNAUJUA SANAA KWAHIO HATUJIIII
Ukifata sheria ujue utaji utakukalia kwa hiyo hao wanaoishika sabato giza limewafunika Yesu ndie Bwana wa sabato kushika siku ni upofu na sio msingi wa kanisa la Kristo msingi wa kanisa la Kristo ni kumwamini ya aliyetumwa😢na Mungu kwamba ndiye masihi aliyetabiriwa na manabii na torati na zaburi,sasa hivi vitu vingine ni mafundisho ya mashetani kwa sasa Yesu ni mwisho wa sheria yeye ni yote ktk yote milele na milele amina
@@samwelmushi6162 soma maandiko yakuongoze sio kusema mambo Yako ni Aya gani Kwa biblia inasema kushika sabato ni upofu
Yaani huyu Mwandishi duuuuhh!!
Unamsingizia Yesu kuvunja Amir ya Mungu. Umekufuru kuliko!!
Kusoma maandiko ni jambo la kwanza na kuelewa ni jambo lingine na ndiyo muhimu sana.
Kwa kumpenda ni kwa kusishika amri za Mungu
Zipi?
Umejitahidi sana ngonyani kumkana YESU na haki yake ya kulipia dai la dhambi
😢nilikuwa sijawajuwa mabalozi wa shetani niliposoma bibilia ndonikawajuwa mabalozi wa shetani na hawa wanaojiita maaskofu
Nimegundua kua wachungaji wengi wanaifahamu kweli ila wanajitoa fahamu kwa ajili ya kupotosha watu
Mungu haangalii siku Bali matendo fanya kazi siku sita ya saba sabato iwe jumatatu ama ijuma
Duara la Dunia Ina viwango vya masaa bmara mbili. Hakuna mahali duniani kukiwa alahamisi upande mwingine kukiwa jumanne. Fundisha kutoka biblia ambayo hata Luther alisisitiza acha kupotosha watu na elimu isiyo kwa biblia. Yesu ama mitume walisemà tufuate yesu. Neema ndiyo imekupopusha. Soma Romans 1:28-32
Bishop anaongea kweli
Kama Bishop ndu yuko iviii basi ni bora kuwa chizi kuliko kumsikiliza uyuuu jamaaa ajui kitu kabisaa dah 🙆🏾♂️🙆🏾♂️🙆🏾♂️🙆🏾♂️
hebu lete hoja ya kuthibitisha hilo.
Hayo masdishi hayatuhusu sisi
Bi shop usipotoshe watu wa Mungu,,juma pili haikuwahi kuwa siku ya ibadani kwa wakristo isipokuwa ilikuwa Ni siku ya mungu jua
Uyu mongo saana tena saana, hajuwi maandiko ndo sababu anaendelea kupptosha watu n'a mafundisho ya uwongo. Tangu mwanzo mpaka mwishp hajatoa andiko ambalo Yesu mwenyewe anavunja sabato. Anasahau kuwa YESU mwenyewe ndo baba wa sabato, vipi alivunje tena. Huyu anastahili kufunzwa n'a pasta NDACHA amuelimishe kidini ao kiblia.
Thiologia siyo Biblia. Hayo ni mapokeo tu ya kibinadamu ambayo hayana mchango wowote kwenye maandiko ya biblia. Wengi huwa ni wakristo wazuri kabla ila akienda kusoma theology anachanganyikiwa kabisa
Bishop yuko sawa but wengine awaelewi mandiko yesu anasema yeye ndiyo bwana wa sabato. Pia paulo anawambiya kanisa ilioko kolosai kolosai 2: 14:17 ,anasema mtu ashiwaukumu ju ya vyala ama nwandamo wa mwezi au sabato . Mambo ayo ni kifuli ijayo bali mwili ni wa kristo,, Bishop amejaribu amesema kitu. Je? Mimi ni msabato niko africa mwengine yuko taifa ya inje kwetu ni friday taifa ya inje Washaingia sabato je , niyupi Kati mimi na yule aliye taifa ya inje yupi yuko sai ninaomba jibu wensangu,
Sasa huku ndo kuchanganyikiwa kwa viongozi wa dini ya Kirkliston!!
@@khammadjeffa515 ndiyo dini gani hiyo?
Upo vizuri askofu ngonyani.
Elewa Amri kumi zitadum milele Wala Yesu hakuziondoa Amri kumi zote ndiyo tabia ya Mungu Kama unazikataa elimu yako ya dini haina maana Sabato siyo ya wayaudi Wayaudi waliikuta chimbuko la Sabato ni Uhumbaji Soma kitabu Cha Mwanzo sehem ya Uhumbaji Sabato kakabidhiwa Adam Wayaudi wanakumbushwa tu kutoka 20 na pili hakuna unyakuo kuja kwa Yesu kila jicho litamwona
Hizo zenu ni dini za kikoloni.Mtu apumzike kwa raha zake.
BARIKIWA NGONYANI KWA ELIMU SAHIHI, VICHWA MBOVU HAWEZI KUELEWA.
Mungu na hakusamehe kwa maana haujisomei bibilia bali umasomewa
@@ackimackim1880 mmmh kutoka 20 soma
du unsjifanya kama hujui, ungejibu swali ni lazima kuishika au isishikwe
I need debate with this bishop on this topic, we can do it on zoom because I'm in America, interviewer can you connect us please.
…
Americans know nothing….ahahahah
1:07
YESU HAKUVUNJA SABATO
Wazo kama hilo ni kauli ya shetani
Sabato iliwekwa kwa ajili ya faida yetu wenyewe.
Marko 2:27
[27]Akawaambia, Sabato ilifanyika kwa ajili ya mwanadamu, si mwanadamu kwa ajili ya sabato.
And he said unto them, The sabbath was made for man, and not man for the sabbath:
Kwahiyo amri aliandikiwa nan na sheria za Mungu aliletewa nan duuuuuuh
Maneno ya mwisho ya kutangaza kitabu ati Yesu atakuja kutawala dunia kwa miaka 1000 si kweli maana iyo siku walio na dhambi watakufa na wasiyo na dhambi wataenda mbinguni. kwahy duniani hakutakuwa mtu yeyote labda mizoga pekee. Huyu askof hajui n
Kutoka 12:16"Siku ya kwanza(jumapili) kutakuwa kwenu na kusanyiko takatifu,na siku ya saba(jumamosi)kutakuwa kusanyiko takatifu haitafanywa kazi yoyote katika siku hizo,Kumbe hata Musa ktk Torati Yahweh Elohim alimuamuru Musa awambie Israeli wapumzike siku hizo ambapo Mungu aliziwekwa kwa wakati wake.
Kwahyo hizi siku Mungu aliziweka kwa makusudi yake yote
Kuhusu amri katika agano jipya..Yohana 15:12-15,.Yesu Kristo alituachia amri mpya nayo ni hii Yohana 13:34-35,Pia watu wafahamu kuwa Pendo halimfanyii jirani neno baya,basi Pendo ndilo utimilifu wa sheria.Warumi 13:10,Kwahyo Sheria na amri zote z Torati zimefingwa ndani ya Pendo katika Kristo Yesu hivyo tunapoishi ndani ya upendo wa Kristo tunakuwa tunatimiza Sheria na amri zote.
HIYO SIO JUMAPILI
Hiyo ni siku ya kwanxa kati ya siku saba za kula mikate isiyotiwa chachu
Muongo Sana uyo 😅😅
leta hoja zako ili kuthibitisha uongo wake.
Sabato niya Mungu mwenyewe adamu alikua myahudi
Mimi niseme hivi,siku zote ni sabato kwa mcha Mungu nikiwa na maana ya mtu kuwa ktk pumziko la kutolewa ktk maisha ya dhambi ktk maisha yake,kung'ang'ania siku na kuitukuza kama ilivyo huku unaishi ktk maisha ya dhambi sidhani kama kunamsaidia mtu.Halafu kuponda wengine kwamba hawasomi Biblia kwa sababu tu ya kuwa kinyume na sabato ya J,mosi Biblia ni bahari utasoma unachokijengea hoja sehemu zingine hutasoma,msomaji mzuri ni yule anayesoma yote Ebu someni Walawi 23:7 na Kutoka 12:16 halafu mseme hiyo siku ya kwanza ambayo Mungu anasema kuwe na kusanyiko takatifu na kazi yoyote isifanyike ni siku gani?
UPENDO NDIO AMRI KUU, UMEBEBA AMRI ZOTE KUMI
Go back and read again bro they are two greatest laws to depend all ten and what are this two, read Matthew 22:36:39 love your God and Your neighbor, now if you love God you will do His will like first four laws tells you 4th been keep sabbath.
Askofu ukweli ni kuwa unakwepa ukweli kwa kujichanganya
Knowing the truth the Bishop is struggling to use human knowledge and wisdom to challenges the open and plain word of God.
Man changed the day from Saturday to Sunday period.lf you love me keep my commandments commandments
J
W
Viongozi kama hawa ni shida tu anaelezea vzr mwanzo mwandishi anamuuliza anapanic
Somen maandiko ndugu zangu mkowasikilzq watu kama hawa mbingu hamtaiona kasema mwenyewe vzr kitabu cha wa ibrania 4:9 kinasema imesaria raha ya sabato kwa watu wa mungu afu mwsho anakana
Kitabu cha ufunuo kipo wazi
Wazishikao amri na imani ya yesu kristo ni wapi hao kama syo sisi wanadamu
Ebu tuambie kama kuna neno SABATO kwenye kitabu cha mwanzo,
WEWE BABA NI MUONGO, PAULO ALIFUNDISHA SHERIA.
“Tusemeje, basi? Torati ni dhambi? Hasha! Walakini singalitambua dhambi ila kwa sheria; kwa kuwa singalijua kutamani, kama torati isingalisema, Usitamani.
”
- Warumi 7:7 (Biblia Takatifu)
Mungu mwenyewe amesema "mimi ndio Bwana wa sabato" kwahiyo achakupotosha watu kuwa wayahidi ndio wenue sabato..
Hiyo jumamosi iko ktk kalenda ya mrumi ya siku 365na kalenda ya kinabii siku 360 massa yametofautiana duniani hatuko siku moja hiyo walipewa ways hudi pia siku ya saba na ya kwanza zote kulikuwa na kusanyiko takatuful
Ezekieli 20:19-20
[19]Mimi ni BWANA, Mungu wenu; endeni katika amri zangu, mkazishike hukumu zangu, na kuzitenda;
[20]zitakaseni sabato zangu; zitakuwa ishara kati ya mimi na ninyi, mpate kujua ya kuwa mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.
Hii! Kumbe sabato ziko nyigii?
Huyu ni kama mpotovu. Mbona unawambia wa kwake kanisani( kwake) wasiwe waasherati. Mbona kristo aliwambia watu wakizishika amrizake yeye ni wake
Ww nitapeli mjinga huna maana yohana 15 :14 alisema mkinipenda mtazishika anti zangu
Ukimsikiliza huyu mchungaji utaona kama ana logic kumbe hajui chochote kuhusu maandiko na sabato sasa ati Paulo aliwaanbia wakusanyike siku ya kwanza ya juma anajichanganya tu na maelezo uongo
Kwani amri silitolewa na musa ama Mungu mwenyewe? Kwani Mungu ni kigeugeu?
Kuna vipindi vya utenda kazi vile alivyo sema hapo mwanzoni Sheria ilianza mlima Sinai Hadi Golgotha
Tusomeni biblia wenyewe tuachane na maswala ya kuwasubiria viongozi wa kanisa kutusomea biblia, hatusomi ndo mana wanatudanganya.
Huyu muheshimiwa amefundishwa na watu co roho wa mungu hapo amevaa kofia ya ukristo ila ni wakala wa shetani na mafundisho yake ndio alio nayo
Watakao mkubali huyu ni wake ambao hawasomi biblia!!.
Usomaji wako hauna maana kujisifia kuwa unadegree ya biblia lakini hauna lolote ulilolisoma na kulielewa. Tafuta kazi ya kufanya usiwadanganye na kuwapotosha watu .