HOTUBA YA MWAMBA IBRAHIMU TRAORE NI YA KUWAKERA MABEBERU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024
  • Mpenzi mtazamaji wa IBM CHANNEL endelea kutufuatilia kwa ajili ya kupata elimu zaidi ya uzalendo, ukombozi wa kifkira na ukuu wa Mwaafrika hapa hapa. tunakupa pia makala mbalimbali zinazohusiana na ulimwengu tunaoishi na taarifa zetu ni za ukweli na uhakika sio za uongo. karibu tuendelee kuwa pamoja. kama hauja-subscribe tafadhali fanya hivyo ili usipitwe na chochote.

КОМЕНТАРІ • 242

  • @BatstaNkondo
    @BatstaNkondo 11 днів тому +3

    Asante kapiteni ibhimu telaole mm nakuku bali sana kapiteni

  • @SadaHasimu
    @SadaHasimu 18 днів тому +10

    Mungu Ibariki Africa Tunashukuru kupata kiongozi kijana na mwenye uchungu wakutetea bara rake la afrika safi sana kaka yangu Ibrahim mungu akulinde kwa kila jambo inshaallah

  • @ahbakumhusseinabubakar1532
    @ahbakumhusseinabubakar1532 19 днів тому +29

    Vizuri sana huyu ni mtu kwelikweli like jaman

  • @paulmugwiria9274
    @paulmugwiria9274 19 днів тому +5

    We,all black Africans appreciate him,may Almighty God protect him,,, Paul gitonga from Kenya🇰🇪

  • @DaudiJumaShauritangaMsisi
    @DaudiJumaShauritangaMsisi 13 днів тому +4

    Viva. Traore ni kichwa nilicho jaa Mawazo ya maendekeo Africa.Mbegu ya kuikomboa Africa.

  • @mohamedS-yd9wh
    @mohamedS-yd9wh 18 днів тому +6

    Shukran mchambuzi wetu
    Shukran Traore Allah akulinde kila utapokuwa, ukuzidishie elimu, hekma, ushujaa na maono ya kuleta maendeleo nchini mwako na Afrika nzima inaona unachokifanya, viongozi wetu wengi mjifunze kutoka kwake,

  • @DaudLucas-qj3mp
    @DaudLucas-qj3mp 19 днів тому +10

    Jamani mungu mlinde mtu yeyote anaempigania mwafilika maana nchi nyingi za aflika viongozi wengi ni vibalaka wa wazungu.

  • @RobsonDaudi
    @RobsonDaudi 10 днів тому +3

    Watanzania tuna kukubali sana njoo tz

  • @benjaminbosire3448
    @benjaminbosire3448 11 днів тому +9

    The right president of Africa. His excellency IBRAHIMU TRAORE❤❤❤❤ we are proud of this guy. 🇰🇪🥂

  • @user-jy9gh8zo3j
    @user-jy9gh8zo3j 17 днів тому +2

    Wana AFRIKA wenzangu tuamkeni tusiitikie tena uchaguzi wa hawa tunaowachaguwa kila siku wakati niwasaliti wa AFRIKA yetu I❤ AFRIKA❤❤

  • @KhadijaG-rm8fu
    @KhadijaG-rm8fu 18 днів тому +26

    Kuna muda machoz ya furaha hukutoka kwa kusikia maneno ya busara kutoka kwa kijana mdogo kama huyu mungu akulinde ewe mlomboz wa Bukinabe

    • @goodlucknnko5493
      @goodlucknnko5493 15 днів тому +2

      Kweli kiongozi, majizi yanajaza matumbo yao tu

  • @mujingakabwiza5474
    @mujingakabwiza5474 19 днів тому +7

    Allah bless him and Allah protect him from the enemy of Africa we still pray and make dua for him we want one day all African continent to be able to do things by himself Allah the way you protect Nabii Moses,Yusuf,yunus,Isa is some way we pray to protect Traoré from the enemy Ameen

  • @athumankaswaga605
    @athumankaswaga605 День тому

    Hongera mtangazaji kwa kipaji ulichonacho cha utangazaji. Mungu bariki Rais huyo wa Afrika

  • @IsaacFredy
    @IsaacFredy 19 днів тому +6

    Daaaaah! Huyu mwamba Mungu amlinde.

  • @MkoreaMartin
    @MkoreaMartin 18 днів тому +6

    Saut ya mwana dada inayo elezea jambo la kishujaa kwa ushujaa hongera sana ukuu wa mwaAfrica

  • @ISSAMOHAMED-f4f
    @ISSAMOHAMED-f4f 18 днів тому +6

    Mashaallaah Mashaallaah Allaah Akulinde Kaptein

  • @daimonsanga6707
    @daimonsanga6707 19 днів тому +10

    Daa kivur cha mwamba magufuli Mungu akulinde mwamba

  • @ayoubjanuary6210
    @ayoubjanuary6210 4 дні тому

    Hongera sana Burkina Faso kwa maamuzi mazito na mazuri hakika Nawaombea Amani.
    Big up Rais Troure

  • @ayoubjanuary6210
    @ayoubjanuary6210 4 дні тому

    Mungu akuzidishie zaidi umri. Tunakiu ya viongozi wazalendo kama wewe, hakika Tunakuombea mema zaidi

  • @AdamSinkala-yh4zu
    @AdamSinkala-yh4zu День тому

    Mungu ampe maisha marefu,japo viongozi wa aina him hawadumu ila Kwa uweza wa aliye juu atamlinda

  • @SarhaSaid
    @SarhaSaid 19 днів тому +7

    Nimeipenda sana ii jamani nimelia sana 😭😭

    • @KhadijaG-rm8fu
      @KhadijaG-rm8fu 18 днів тому +3

      Hata man nimejikita machoz yananitoka 😭😭

  • @Sarah-e1o9k
    @Sarah-e1o9k 14 днів тому +2

    ❤❤❤❤ewe mungu tunakuomba umlinde hyu raisi

  • @simonmalegesi414
    @simonmalegesi414 19 днів тому +3

    Dada upo vizuri utafika mbali sauti nzuri sana naisi raha kukusikiliza❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

    • @ndayijeanclaude5094
      @ndayijeanclaude5094 19 днів тому

      Acha umalaya

    • @Del_busi5
      @Del_busi5 19 днів тому

      @@ndayijeanclaude5094😂😂😂😂😂 eti anajipendekeza 😂😂😂😂

    • @user-cz3vu4ws7x
      @user-cz3vu4ws7x 7 днів тому

      😂😂😂​@@ndayijeanclaude5094

  • @josephmulula440
    @josephmulula440 19 днів тому +2

    good mungu akulinde nakupenda african tuombe mungu tupate mzalendo mimi nimejitolea kujiunga na jeshi la Burkinafaso kama wakuja kunichua niko tayari niko kenya

    • @adimudachi7984
      @adimudachi7984 16 днів тому

      Namm pia nikotayari kujiunga najeshi la bukinafaso

  • @hamisimhenwa7082
    @hamisimhenwa7082 4 дні тому

    Good news Ibrahim Traore. Tunakuombea bro kwa Afrika yetu adui asikudhuru

  • @Kingstonbagamoyo
    @Kingstonbagamoyo 11 днів тому +1

    Big up ibra,alahu barik ,,kupigana na adui njaa ndio mfano bora African

  • @Imanijotham
    @Imanijotham 11 днів тому +1

    Mungu akulinde sana na akupe maisha marefu baba wa Africa na Dunia .big up

  • @phaustinemmao424
    @phaustinemmao424 4 дні тому +1

    Hii kz wanaweza wanaume tuuu

  • @user-ii6gs2jg4g
    @user-ii6gs2jg4g 18 днів тому +2

    We mwalimu wa neno la mungu. Huyu bibie umemtoa wapi mbona ni kisu kwa nyanja za habali❤❤❤❤❤

  • @ErickMacha-sb2ot
    @ErickMacha-sb2ot 12 днів тому +4

    Shuja ibra nafurahi kwakumtanguliza MUNGU Hakika MUNGU hatakuacha

  • @mwasoprince3459
    @mwasoprince3459 18 днів тому +10

    Unajua nchi za afrika zinatakiwa ziendeshwe na watu waliopitia jeshi kwakuwa zipo vitani na ukoloni, hivyo kunamhitaji kiongozi anaeongoza awe na roho ngumu kukabiliana na changamoto za magharibi na kujitegemea na kushirikiana kwa waafrika wenyewe. Alafu ndo ije iungane kuwa moja baada ya kujenga misingi imara ya kujitegemea.

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 16 днів тому +1

      Kama Uganda, Sudan na Rwanda

  • @esajackjack3032
    @esajackjack3032 2 дні тому

    Ata hapa Tanzania 🇹🇿 tukipata rais kijana itakuwa good Sana wazee wanazingua

  • @yusufunguruko8080
    @yusufunguruko8080 15 днів тому +2

    Traole you are ' Magufuli' the second - keep it up.

  • @rajabuathumani1586
    @rajabuathumani1586 4 дні тому

    Mpk namkumbuka jpm magufuli allah akulinde Ibrahim traole

  • @patrickkwibe4431
    @patrickkwibe4431 18 днів тому +5

    IBRAHIM TRAORE ni Jembe la Hayati Magufuli Mungu akulinde Baba

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 19 днів тому +9

    Natamani magufuli angekuwepo

  • @AbdulYassin-dl3vi
    @AbdulYassin-dl3vi 5 днів тому

    Bg up young president (Ibrahim)

  • @PauloAlfayo-qi1gn
    @PauloAlfayo-qi1gn 11 днів тому +2

    Wtz tumeona uzalendo laiti magu angekuwepo ACHA TU mungu amweke magu mahali pema ila mungu yupo kwa mnyonge na mwenye Raha tajiri Yuko na pesa one day god,,,,,,,,,,,

  • @Demongajoji
    @Demongajoji День тому

    Ogera..sana...mungu..akubariki

  • @aronindibalema4964
    @aronindibalema4964 19 днів тому +5

    Mjeda kama mjeda wajeda safi

  • @abubakaryabdallah4708
    @abubakaryabdallah4708 5 днів тому

    Chuma kingine Africa mungu anatupenda

  • @IsayaSchone-kt7uq
    @IsayaSchone-kt7uq 3 дні тому

    Jamani nimeguswa san ila Mungu isaidie Africa

  • @Gesunte-mn3qn
    @Gesunte-mn3qn 10 днів тому

    Mungu amjalie maisha marefu Jemedari Uyo Na Moyo Wakuendelea Kutupambania🎉

  • @SangaliPower
    @SangaliPower 6 днів тому

    Daah! Na broo Magufuli angekuwepo naamini wangekuwa marafiki wakubwa sana..... Lala salama Magufuli

  • @dicksonruaba7351
    @dicksonruaba7351 9 днів тому +1

    He make us to remember His excellence Thomas Sankara

  • @MugishaSaidi-r4h
    @MugishaSaidi-r4h 7 днів тому

    Mungu akujaliye maisha marefu nakutimiza ndoto zako kwa africa

  • @HajiJuma-xw7vh
    @HajiJuma-xw7vh 18 днів тому +1

    Jamaniii ni uchungu sana ssante kwa uwepo wa ukuuwa mwafrika

  • @IssaSenza-m7h
    @IssaSenza-m7h 15 днів тому

    Piga kazi bwa mdogo Kwa faida ya wananchi wako nakuku bari sana upo vyema mungu atakulipa hapa duniani na akhera mbinguni, safi sana

  • @ibrahimabdullah1887
    @ibrahimabdullah1887 19 днів тому +1

    🎉kazirii hadi sautii hongera

  • @MUMBIWAGOVENOR
    @MUMBIWAGOVENOR 11 днів тому

    Kijana ubalikiwe sana from 254 MUNGU akupee nguvu sana uwese kumbadilisha Africa

  • @BillySmart-tk1wu
    @BillySmart-tk1wu 19 днів тому +3

    ❤❤❤ AFRICA CONTINENT ❤❤❤ BURKINAFASO, NIGER, MALI ❤❤❤ ✊✊✊

  • @helenarhobi1250
    @helenarhobi1250 14 днів тому +2

    Atakayejaribu tu kumuua Traore kufa na afe ee Mungu!

  • @user-yw7uu6mc3m
    @user-yw7uu6mc3m 18 днів тому

    Oh praise God for granted gift Bukina faso real one man can know the truth and the truth can make free all people,hallelujah praise God Traore

  • @pascalntandu1217
    @pascalntandu1217 18 днів тому +2

    Hivi ndivyo inavyopasa kiongozi wa kiafrika azungumze na kutazama mambo kwa mtazamo huu;hongera captain traore;MUNGU akubariki na kukulinda siku zote ili kuibadili afrika yetu.

  • @EliudNtabus
    @EliudNtabus 19 днів тому +5

    Jembe la ukweli Afrika

  • @BergesonNiyitwibutse
    @BergesonNiyitwibutse 14 днів тому

    Asante kwa wa panafricaniste wote. Mungu azidi kuwa na Raïs Capitaine TRAORE

  • @user-vi1ds6gw9g
    @user-vi1ds6gw9g 7 днів тому

    Daaa! huyu ndiyo mzalendo wa kweli wa Africa, wengine ni wazalendo uchwala tu!😭😭😭

  • @BoniphasLukas-c3c
    @BoniphasLukas-c3c 12 днів тому

    Dah!mungu tupe maguful mwingne bas aungane nahuyu mwamba tuwamalize hawa mabloila kubabake

  • @user-kx7lo2cl1s
    @user-kx7lo2cl1s 13 днів тому

    Always GOD be with you to fulfill your need as leader of BURKINABE

  • @muhidinsultan2049
    @muhidinsultan2049 8 днів тому

    I pray for you everyday my bro Mr president Traore Ibrahim

  • @user-eb3hf1lm9e
    @user-eb3hf1lm9e 19 днів тому +3

    Jamaa na mkubali sana

  • @iSsaNyamaisa
    @iSsaNyamaisa 11 днів тому +1

    mimi natamani ata leo IBLAHN aseme vijana wa africa ote mm nitakua no.1

  • @user-l3z
    @user-l3z 15 днів тому

    I love this man and I will pray for him cpct Ibrahim traor keep on

  • @WilliamSosiende
    @WilliamSosiende 13 днів тому

    Very fantastic and GOD bless Africa

  • @IbrahimJumaKhamis
    @IbrahimJumaKhamis 5 днів тому

    Viva traure vivaaaaaa Mungu akulinde nakupenda sana

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 19 днів тому +1

    Hangekutana magu huyu africa ingekuwa paradise hii omba omba hatari kwelu usikubahii omba omba

  • @Dominant97
    @Dominant97 11 днів тому

    God Bless a lot of years Ibrahim,man like this is very important

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 15 днів тому +3

    Thaore amekataa selikalii yake kununua magari ya kifahari, kanunua matrecta ili wakulima waongeze mazao nchi itoke kwenye umaskini, bongo watu wanakufa njaa wao wananunua V8,

  • @abduawesu9165
    @abduawesu9165 18 днів тому +3

    Huyu ndie mkombozi wetu kwa nchi za afrika IPO haja kumuonbea Dua, yaa Rabi mpe uri mrefu azidi kufanya mambo zari katika taifa lake na mataifa mengine ya afrika, iwe mfano kwa viogozi wengine wa afrika.

    • @hamzafishten9560
      @hamzafishten9560 18 днів тому

      Amiin

    • @Aksa-yk1dp
      @Aksa-yk1dp 17 днів тому

      Mm siamn kama yeye anaweza bila msaada.wa putin waafrka inabd tujismamie wenyewe

  • @user-nd6xm8tt3x
    @user-nd6xm8tt3x 3 дні тому

    Tanzania na sisi tunamuomba mungu tumpate kiongozi kama huyu magu ameenda tunamuomba tumpate kidume kingine

  • @AbdullahMwela
    @AbdullahMwela 4 дні тому

    Namkubali sana uyu mwamba

  • @SechySeche-hm6bd
    @SechySeche-hm6bd 10 днів тому

    Wapo wazungu wazuri pia, tuwe makini na tunachosema. Dunia ni Moja hakuna mzungu Wala mweusi. Mungu ametupa Dunia tufaidi na kila kiumbe haijalishi tunatokea upande gani mwa Dunia. Tutakua bado nyuma kifikra kama bado tutausema sana uafrika na uzungu. Tunategemea sote. Tupendane tusaidiane kama Mungu wetu anavotupenda. Mzungu angekua mchoyo sana Kuna vitu pia tusingekua navyo.Mungu tufungue akili waafrika tuache ubinafsi hatupendani ndio maana hatukuzi nchi zetu. Taore wewe ni rahisi wa Dunia. Isaidie Dunia sio afrika pekeake.

  • @ntakirimanaetiennesimeon7048
    @ntakirimanaetiennesimeon7048 12 днів тому

    Machozi inaanza telemka kabsa.
    Asante sister kwa usemuzi

  • @HansChuma
    @HansChuma 19 днів тому +4

    Rip jembe Magufuli❤❤❤

  • @WaziliMzamiru
    @WaziliMzamiru 16 днів тому

    Asante kwahotuba nzuli unapenda watu wanchi yako

  • @haidhautumwahawezikuisha8779
    @haidhautumwahawezikuisha8779 18 днів тому +1

    Ipo siku moja Africa tutajikomboa

  • @TimamAmos
    @TimamAmos 7 днів тому

    Magufuli watano ni Traore mmoja usicompare huyu malaika wa mungu na binadamu aliyewachoka wadhalimu waliomlea lile bunge alilopitisha kibabe Leo liko busy kupinga wananchi ile mahakama aliyoinyang'anya haki imekuwa kichekesho 😢😢

  • @lusekelomasika9247
    @lusekelomasika9247 18 днів тому +1

    Tanzania🇹🇿 tunataka kiongozi ambaye ana vaa kombati lais katili juu ya mafidi wezi wanao usudi wazungu kama traole mungu tupemtusahihi Tanzanian🇹🇿 tulia mtumasikini Sisi ndio tunateseka asa ospitali ofice zauma mungu tupe lais katili kama mafuli

    • @user-ii6gs2jg4g
      @user-ii6gs2jg4g 18 днів тому

      Kaka we kaa utulie tu. Lia juu ya komredi pombe magufuli😭😭😭😭😭

    • @deohank5995
      @deohank5995 16 днів тому

      Kuvaa kombati tu hakutoshi Bali afanane na sifa za hilo kombati, hasa katika kiapo

  • @SaidJangoli-hr7ww
    @SaidJangoli-hr7ww 15 днів тому

    ❤Maashallah Allah awape nguvu kujikomboa

  • @AbuubakaryMponella
    @AbuubakaryMponella 5 днів тому

    Allah akutunze zahd kamanda

  • @siasamwita3954
    @siasamwita3954 7 днів тому

    Shujaa kweli kweli Mungu amlinde

  • @TwalibMshare
    @TwalibMshare 9 днів тому

    Asante mwamba ibrahm traore

  • @KasalambaJuma-tc8yt
    @KasalambaJuma-tc8yt 18 днів тому +2

    🫡🫡 mungu akulinde lbulahim

  • @festomartin6170
    @festomartin6170 14 днів тому +2

    Kumtaja Magufuli na kumlinganisha na Traore Ibrahim mnakosea sana,, Traore ni damu nyingine ya kipekee,, traore ni uhuru, demokrasia,, ukweli na uwazi

    • @JosephMvula-pf8uv
      @JosephMvula-pf8uv 10 днів тому

      Kabisaa kabsaa yani hata ukitaka kuongeaa kulinganisha tu unaona inakataaa kbsaa huyu ndo mzalendo kbsaa...mzalendo muafrica haswa

  • @ShedrackmartinBalama
    @ShedrackmartinBalama 15 днів тому

    Huyu ni magufuli kabisa Mungu amlinde❤❤❤❤

  • @SarhaSaid
    @SarhaSaid 19 днів тому +2

    Uyu dada awepo kila siku apa ukuu wamwaafraca jamani nimempenda bule

  • @itukyajumaitukya2820
    @itukyajumaitukya2820 16 днів тому +1

    😮Jamaaa arushirushi mikono kama wanasiasa

  • @anosmart..3596
    @anosmart..3596 4 дні тому

    Safi mze sumu.

  • @user-dh1sl1yb6x
    @user-dh1sl1yb6x 18 днів тому

    Maasha'allah , speedup ibrahim traore

  • @mosesimsalaba
    @mosesimsalaba 9 днів тому

    Kweli maamuzi sahihi sana

  • @WillbrodIsdori
    @WillbrodIsdori 6 днів тому

    Mungu ampiganie

  • @davidmalogo7100
    @davidmalogo7100 19 днів тому +2

    Nilichogundua nikwamba kumbe vijana ndo wanaleta maendeleo Iko hivi Nyerere alikuwa kijana ,mgabe alikuwakijana,samora ,tomasi Sankara jomokenyata,patris,Lumumba, nawengine wengi,walikuwa vijana kwahiyo Tanzania tusibweteke ,wapo kinampina nawengine wengi ukiangalia bungeletu linawazee wanaoongozwa na maneno kuwa wazeewalisema tubadikike watanzania tusipate haki mpakatuandamane

  • @ElivasslukumyaiElivassluku-w1r
    @ElivasslukumyaiElivassluku-w1r 10 днів тому

    Mungu akulinte baba wenye wanakuwinda washitwe kwjinalayesu

  • @user-eb3hf1lm9e
    @user-eb3hf1lm9e 19 днів тому +1

    Yaan ww dada nimekuelewa sana

  • @yohanafumbuka1979
    @yohanafumbuka1979 10 днів тому

    Kwanin wanashindwa kumuigaa jamaa ❤❤❤❤

  • @fitinabwashi8487
    @fitinabwashi8487 19 днів тому +1

    Mungu akulinde

  • @PatrickAnuna-p7b
    @PatrickAnuna-p7b 8 днів тому

    May God all mighty give him long life.🙏

  • @mamawamireille4872
    @mamawamireille4872 15 днів тому

    Allah akulinde in shaa Allah

  • @shijandobehe4953
    @shijandobehe4953 15 днів тому

    Daaaa😢😢 captain traore captain Thomas Sankara 🇧🇫 JPM

  • @FadhiliMagana
    @FadhiliMagana 17 днів тому

    Mabeberu wapuuzi Sana Yaa Allah walaani na uwadhalilishe na uwaharibie kabisa

    • @deohank5995
      @deohank5995 16 днів тому +1

      Mabeberu si wapuuzi hata kidogo la Hasha! Mpuuzi ni mimi na wewe tunaokubali huo Upuuzi wao