UST. SHAFII NA MCH NDACHA WAKUTANA JUKWAANI KWENYE MDAHALO "KAMA YESU NI MUNGU, NA SISI NI MUNGU"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 218

  • @NuhuBilia
    @NuhuBilia 19 годин тому +1

    Paster ndacha mungu akusaidie azidi kukupa hekima

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga 5 днів тому +1

    Eee Mungu wa miungu Mlinde sana Paster Ili awafumbue waislam waelewe wako kimwili sana hawako Rohoni❤❤❤❤❤❤Jesus

  • @ShakurAKBAR
    @ShakurAKBAR 18 днів тому +3

    MaashaAllah Masheikh twawaombeya kwa ALLAH azidi kuwapa afya njema ili muzidi kuelimisha jamii

    • @amosnnko7792
      @amosnnko7792 7 днів тому

      Kuelimish nin xaxa 😂😂😂😂 waislam ndugu zenu Majin mnaelimish nin apo akuna kitu nyie waganguz 2

  • @MugishaBonheur-p9d
    @MugishaBonheur-p9d 2 місяці тому +5

    God bless you servant pastor ndacha

  • @amanmalima940
    @amanmalima940 3 дні тому +1

    Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).

  • @ashurantunzwenimana5975
    @ashurantunzwenimana5975 Місяць тому +2

    Barikiwa pasta Ndaca MUNGU akuongeze hekima na nguvu kwamaana hawo ndugu zetu wa isilamu wanahitaji kuelimishwa sana sana wabishi tu hawana jipya

  • @YunisIsmailSheikh
    @YunisIsmailSheikh 6 днів тому

    MashaAllah shekhe... iko wazi kabisa yesu ni mtume wa Mungu... Crystal clear

  • @williamokothtota5492
    @williamokothtota5492 10 днів тому +1

    Hallelujah nduguzangu nawambia yakwamba Neno hili limefichwa Kwa wasomi lakini iko wazi kwa wale wanataka kujuwa amen

  • @RubazaReuben
    @RubazaReuben 4 дні тому +1

    Amen Kubwa mkono wa Mungu ue juu yako

  • @Abdallah-p6i
    @Abdallah-p6i 4 місяці тому +8

    Shafii ni mwalimu mzuri

  • @PaulRichard-vq9xz
    @PaulRichard-vq9xz 4 місяці тому +10

    Ndacha syo mtu wa kawaida❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @EliabuShima
    @EliabuShima 4 місяці тому +4

    Ndacha Mungu akubaliki kwa kuwapatia nuru hao walio gizani

  • @BonnyMbatha
    @BonnyMbatha 8 днів тому

    Ndacha Mungu akuzingire na wingu la neema na ujue unaongea na makafiri. ❤❤❤❤❤ndacha🎉🎉🎉🎉

  • @MakameSilima-j3s
    @MakameSilima-j3s 3 місяці тому +2

    Maasha-Allah sheikh shafi

  • @manuelgazernatepo1410
    @manuelgazernatepo1410 7 днів тому

    Mungu amlinde Sana pst Ndacha

  • @DrNelsonJohnMuhirwe
    @DrNelsonJohnMuhirwe 3 місяці тому +1

    Big up mheshimiwa Ndacha barikiwa sana

  • @Salsabiil12
    @Salsabiil12 6 днів тому

    Allah akuhifadhi towa ukweli shehe shafii wape ukweli waingie kwenye dini ya haqi takbiiiir

  • @broayubjema
    @broayubjema 14 днів тому +1

    Glory to Jesus Christ.Nayo Nuru yang'aa gizani,wala Giza halikuiweza.Mmwalimu Ndacha Mungu akuzidishie Neema na ufunuo uzidi kumhubiri Yesu Kristo ili wengi wamfahamu,maana wanaobisha wanabisha tu kwa kuwa hawayajui maandiko matakatifu wala uweza wa Mungu.Keep the gospel 🔥🔥 burning.Naona waislamu wengi wakiokoka kwa kumwamini Bwana Yesu.

  • @omarimakokha8297
    @omarimakokha8297 6 днів тому

    Yesu ni Mungu maana amepewa mamlaka ya kuhukumu wanadamu wote wakiwamo vipofu wakiroho waislaamu.

  • @NathanielNathan-m4o
    @NathanielNathan-m4o 3 місяці тому +2

    Ndacha ni heavy weight upande wa maandiko.Yani vifungu zina flow kweli kweli.Shafi amechokoza nyuki🏃🏃

  • @salimramadhani5237
    @salimramadhani5237 4 місяці тому +5

    Ndacha umeuaaaa❤❤❤❤❤❤

  • @omarimakokha8297
    @omarimakokha8297 6 днів тому

    Ndacha Mungu akupe hekima zaidi najua wengi wataokoka kama Saul

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 3 місяці тому +3

    Waislamu mmefungwa na roho wa muovu hamtaelewa

    • @jumanjenga7682
      @jumanjenga7682 2 місяці тому

      @@sebastiansalamba313 uongo kabisa roo washetani yuko na dini ya wasiotahiriwa

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 2 місяці тому +3

    Ndacha amefunuliwa na mungu waislam hamumuwezi

  • @AbdallahJuma-n8x
    @AbdallahJuma-n8x 3 місяці тому

    Sheh shafi mashaAllah nkuimbea Dua kwa mola ww n kundi lko lte n pmoja n waislam wte uislam ndo dini sahih

  • @OmbatiVincent-g1x
    @OmbatiVincent-g1x 3 місяці тому +3

    😂😂😂😂😂 kiukweli hongeraaaa Sana ndacha Kwa kutetea imani

  • @vincentdaud9954
    @vincentdaud9954 4 місяці тому +2

    Ndacha yuko happy .wao wapo wengi wanatoa matusi

  • @BilalMwadini
    @BilalMwadini 3 місяці тому +1

    Safi uhakika unacho ongea ❤❤❤

  • @SunguraShabani
    @SunguraShabani 8 днів тому

    Kama uislam ni dini ya kweli na allah ni mungu wa kweli
    Kwanini waislam hawana uhusiano wowote na mungu wao allah

  • @PeninaElia-v3n
    @PeninaElia-v3n 4 місяці тому +3

    Du! Ndacha anatiritika na vitabu,wahadhiri wa kislam nimemuona mazinge anashika kichwa, mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeni,ndacha yuko sahihi kbs.

  • @NuhuBilia
    @NuhuBilia 19 годин тому +1

    MUNGU akulinde paster ndacha ili uwafumbue macho hawaoni wapo gizani

  • @vincentdaud9954
    @vincentdaud9954 4 місяці тому +4

    Mm huwa najiuliza kwanini Ndacha mmoja wanakuja wahadhiri wengi wa kiislam .

    • @Mutua-h9r
      @Mutua-h9r 3 місяці тому

      Ndacha sio was kawaida
      Ndacha alifika grade 7 lakn mungu akamfunulia makumbwa kuwaibisha wenye hekima❤❤mungu akubariki sanaaaaaaaa 🎉🎉🎉

    • @Salsabiil12
      @Salsabiil12 6 днів тому

      Hamna mlijuwalo

    • @YunisIsmailSheikh
      @YunisIsmailSheikh 6 днів тому

      Kuwa makini kwa mafundisho... think critically as u listen... ndacha anaficha ukweli

  • @kelvinemmanuel-wg9rs
    @kelvinemmanuel-wg9rs 4 дні тому

    YESU SIO MTUME

  • @JamesOdhiambo-wu2pj
    @JamesOdhiambo-wu2pj 3 місяці тому +1

    Ndacha kila wakati

  • @YassirmohdAli
    @YassirmohdAli 4 місяці тому +3

    Nakukubal cna shekh shafii,,mung akup maish maref yeny manufaa hap dnian na kesh akhera

  • @martinmkoba361
    @martinmkoba361 4 місяці тому +3

    Mashekh wanacheka kwa aibu😂😂😂

  • @CharlesMisungwi-f8t
    @CharlesMisungwi-f8t 7 днів тому

    Sisi wote niwana waMungu akiwemo naMohamedi lakini Yesu kiristo hakuumbwa baali yeye alikuwepo kabla yauumbaji nayukohuko kwenye.makaoyake kubishi kwenu ktk utatu ndio unaowatesa kwasababu ya uhaba wamaalifa kwaani nyie munawezakumuona wapiMungu Munamushangaza.sana Mungu hanaumbilewalasura .

  • @BonnyMbatha
    @BonnyMbatha 8 днів тому

    Ndacha kweli kweli umeubwa kama yohana mbatizaji

  • @HappyHappy-k4j3i
    @HappyHappy-k4j3i 8 днів тому

    hapoumeua babaangu ndacha munguakuzingile kwadamu yamwanawake pekee

    • @Ashora-m8w
      @Ashora-m8w 6 днів тому

      Damu ya Mungu yesu umeiyona pole sana Mungu awasamehe

  • @bikoragidion5209
    @bikoragidion5209 4 місяці тому +1

    Ndacha ni 🔥

  • @MakameSilima-j3s
    @MakameSilima-j3s 3 місяці тому

    Allah akulipe mema

  • @zuberkasim7150
    @zuberkasim7150 9 днів тому

    Maandiko alioyatoa shafii yamejieleza vizuri kwamtu mwenye akili timam ameelewa ukweli ukowapi tuache ushabik❤

    • @Salsabiil12
      @Salsabiil12 6 днів тому

      Naam bado kuclimu Allah awaongoze hawa wakristo

  • @warsameabdi9366
    @warsameabdi9366 2 місяці тому

    Wakristo Wana akili lkni hawajui kuitumia..Yaani Kila Siku wanaimba Yesu Yesu Yesu..Na Jina lake Rasmi hawajui..Aibu kubwa hiyo😢 ..pole sana 😅😢😢😢

  • @somosomo4860
    @somosomo4860 21 день тому

    SHAFI KIBOKO ❤

  • @mohammedabdullah5895
    @mohammedabdullah5895 24 дні тому

    Sheh shafii uyo ndacha anaelewa vizuri kuwa uislam ni dini ya haki mbishi tu

  • @Mutua-h9r
    @Mutua-h9r 3 місяці тому

    Ndachaaaaaaa😂😂😂😂❤🎉🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @AlyAly-dp7iv
    @AlyAly-dp7iv 4 місяці тому +5

    Tukueleweni vp wakristo mara yesu ni mtume mara ni mungu mara ni mtoto wa mungu mbona munakuwa vigeugeu mutachomwa tokeni ktk giza la ukafiri karibu ktk uisilam mpate salama yesu anasema uzima wa milele ndio uuh wakujue mungu wa peke na yesu ulie mtuma

    • @charokazungu1655
      @charokazungu1655 4 місяці тому

      Ungekua muelewa hungemfuata mbumbumbu ambaye hakusoma

    • @leonardadd
      @leonardadd 4 місяці тому

      Yesu ni mwana wa Mungu, ana asili ya uungu wa Mungu, na ametumwa na babake,,

    • @sultansallah8772
      @sultansallah8772 3 місяці тому

      ​@@leonardaddhahahahahahahahaha

    • @estakenia
      @estakenia 3 місяці тому

      😂😂 hauelewi kitu.

    • @HadijaHsalehe-z4k
      @HadijaHsalehe-z4k 2 місяці тому +1

      Shafi hakuna kitu...humwezi Ndacha wewe.

  • @mjombawallace4966
    @mjombawallace4966 4 місяці тому +1

    Ndacha kachoma kichaka cha @shafi leo myeeeeeee.
    😂😂😂😂

  • @JordanRichard-s2d
    @JordanRichard-s2d 4 місяці тому +2

    Ndacha wew Mungu hatokuacha bali atazidi kukupa Nguvu kila leo. Good job.👍

    • @AmaniHepautwa
      @AmaniHepautwa 4 місяці тому

      @JordanRichard-s2d Ndacha amepata kibano kikali sana Leo na janjajanja zake za kukata na kuongeza maandiko zimeshikwa aangamie tu ikimpendeza mungu .

    • @JordanRichard-s2d
      @JordanRichard-s2d 4 місяці тому

      @@AmaniHepautwa ayo yapo nje ya mdahalo atuwez kuyaamini sisi tumeona matokeo sehemu husika ya mkutano. Vita hua vinapiganiwa uwanja wa vita , hivyo ambavyo unatuambia sisi tutasikia kweli? Wakati si tumeangalia mwanzo mpaka mwisho na tulikuepo. Mi nakupa ushauri ujue hakuna swali utalouliza likose majibu kwny biblia. Njoo amini na roho Yako itaponywa maana sisi wakristo roho ndio Cha muhimu mwili hatuna tena hofu nao , nyie mkisumbukia mwili bado mpo nyuma kwakua hamuamini uzima Wala ufufuo.

    • @JordanRichard-s2d
      @JordanRichard-s2d 4 місяці тому

      ​​@@AmaniHepautwanenda kasikie ndacha alivokuja kutoa majibu usiishie vitu nusunusu. Watu tupo serious nyie mnaleta komedi. Hamjua ni mambo yenye kuitaji attention. Afu attention yenyewe ninayosemea wew unaangalia nusu au nikutumie link.

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 13 днів тому

    Hawa waisilamu hawezi kabisa hoja wababaishaji hawa

  • @kaserekafaba4179
    @kaserekafaba4179 9 днів тому

    Ndacha kwani weye Nani Kaka zaa ???? N'a akili iyi yooote ume Toa waaapi ??? U barikiwe kabisa....n'a toka Congo DRC

  • @trioyoung1389
    @trioyoung1389 4 дні тому

    Ndacha ni Atari 😮

  • @MakameSilima-y4f
    @MakameSilima-y4f 27 днів тому +1

    Ndacha sio mtumishi wa mungu bali ni mpotoshaji wa mungu

  • @AbduMutwaribi
    @AbduMutwaribi 3 місяці тому

    Knowing And Understand so different... And Christian lost both of them!

    • @waluohopaulo2116
      @waluohopaulo2116 3 місяці тому

      @@AbduMutwaribi can you elaborate more with reference in the Bible and Quran

  • @nasymchuzi8667
    @nasymchuzi8667 27 хвилин тому

    Ndacha kaingia kwenye mfumo😅😅😅

  • @AshamMussa
    @AshamMussa 4 місяці тому +5

    Ndacha unapotosha sana

  • @musayosia4081
    @musayosia4081 4 місяці тому +1

    Hapa watu wanaongea vitu vikubwa sana ambavo mtu akifanya mchezo lazima aende motoni.. mungu atunusuru inshaallaah.

  • @SalimCharo-ft9kf
    @SalimCharo-ft9kf 3 місяці тому +2

    Huyu Ndacha huichukulia midahalo kama fun ama sehemu ya kiburudisho na chumo, ama mkitarajia atasilimu mnafanya kazi ya bure. Hana asichokifahamu huyu kwamba uislam ndo dini ya haki ila anajishengesha shengesha tu coz mijadala kwako ni kama mchezo tu . Kama angekuwa mtu wa imani angekwisha silimu zamani sana huyu

  • @mahsneermohammed2107
    @mahsneermohammed2107 3 місяці тому +2

    Wenzao wanapigwa marungu ya moto sabab wamekataa ukweli hawataki kusoma wanataka kusomewa ndio maana wanadanganywa na wanaona ni ukweli sisi waislam tunasomesha watoto wadogo ili wajuwe ukweli sio kwa kusomewa bila ya wao kusoma ndio maana ni ngumu kuingia ukristo sabab tunajua ukweli hatudanganyiki, mbona uislam ni raha jamani karibuni kwetu tuingie peponi

  • @salimramadhani5237
    @salimramadhani5237 4 місяці тому +3

    ndacha umeuaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤

  • @AhmedSaleh-o2t
    @AhmedSaleh-o2t 20 днів тому +1

    Wakristo mnafata mafundish y Paulo.y Paulo.amepotosha xn Paulo.mung awaongoze wakristo

    • @chrispineacademicus5784
      @chrispineacademicus5784 День тому

      Paulo ni mtume kwa Mapenzi ya Mungu,Paulo anatambuliwa na hadi mtume Petro mnaye amini kwamba ni mtume!

  • @mkonojr53
    @mkonojr53 3 місяці тому

    Shafii wape elimu maan kwenye bibilia wanasoma sehemu za sadaka tuu wanawaza utajili tuu waachieni watu wamjue mungu nyie wachungaji

  • @leonardyona1462
    @leonardyona1462 3 місяці тому

    Ndacha kweli unajua kuwabana hawa waalimu wa kutegemewa wa kiislam ingawa hawajui chochote kitu..

  • @MakameSilima-j3s
    @MakameSilima-j3s 3 місяці тому

    Yesu ni Mtuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!(katumbwikia chubwi???

  • @MohamedMohamed-u3t1n
    @MohamedMohamed-u3t1n 4 місяці тому +1

    Wakristo mdahalo huu mmekula kibano cha kutosha ndacha kaweka sana viraka anaruka maandiko na kubadilisha maneno ya aya

    • @mjombawallace4966
      @mjombawallace4966 4 місяці тому +1

      😂😂😂😂 aliruka maandiko gani wewe mbona sioni

    • @mjombawallace4966
      @mjombawallace4966 4 місяці тому +1

      Kabadilisha gani ⁉️⁉️⁉️

    • @MohamedMohamed-u3t1n
      @MohamedMohamed-u3t1n 4 місяці тому +1

      Ina maana hamjaona nyie au mlitizama huku mmefumbwa macho siwezi kunuukuu yote hapa ila mada ya siku ya mwisho aliulizwa na ustadh ibrahim bakozi Atoe ufanunuzi katika aya inayosema [ sikutumwa ila kwa kwa kondoo wa nyumba ya israel TU] African bible akahojiwa hii TU ina maana gani alitoa ufanunuzi?

    • @MohamedMohamed-u3t1n
      @MohamedMohamed-u3t1n 4 місяці тому

      Na mengine mengi tu labda mlisikiliza huku mmeziba masikio na kufumba macho kama mnavyoomba kanisan ufanunuzi wa ( VlJIBWA VINAVYOTAKA CHAKULA CHA WATOTO) kaweka bonge la kiraka katika aya hiyo cha muhimu chukua aya za hayo maandiko yanayosemwa na majibu aliyokua akitoa mjisomee halafu muone hoja zilivojengwa kama mnasikiliza kiushabiki shauri yenu wenyewe huu sio mpira kila mtu na kaburi lake

    • @samwelingasa1638
      @samwelingasa1638 4 місяці тому

      Alitoa ww uko wap

  • @KasmuhKubuya
    @KasmuhKubuya Місяць тому

    Mwalimu shaffi endeleya kuwa fundisha wewe ni mwalimu

  • @CharlesMbise-hc2sz
    @CharlesMbise-hc2sz 4 місяці тому

    Wew shafii unajuwa kiswahili gani wew haujui lolote porojo tu na unaingiza kiswahili kiiingi

    • @HassanLimbwenda
      @HassanLimbwenda 4 місяці тому

      @@CharlesMbise-hc2sz umefilisika kiimani kaka mungu akuongoze

    • @hamisimwagarashi9501
      @hamisimwagarashi9501 4 місяці тому

      Yaani wasema shafi hajui lolote kisha wamalizia kusema anaingiza kiswahili kiiiingi....
      Shafi anakijua kiswahili mimi nakubaliana naye.

    • @MohamedMohamed-u3t1n
      @MohamedMohamed-u3t1n 4 місяці тому

      Hivi hawa walimu wenu mara ngapi wamepindisha na kuchomeka maneno

  • @HappyHappy-k4j3i
    @HappyHappy-k4j3i 8 днів тому

    yani waislam hawana akiliwanaelimishws lakini bado wanakataa ovyo

  • @kazijajuma2324
    @kazijajuma2324 3 місяці тому

    Mimi langu ni hili wakristo Kaeni chini muisome baibo vizuri sana mtajua njia sahihi ni ipi mckubali kusomewa andiko 1 moja tu Kila jumapili someni baibo mutajua ukweli.

    • @edgarmboya1296
      @edgarmboya1296 3 місяці тому

      Ukiacha kiburi cha ulichofundishwa ukaamua kujifunza utaelewa

  • @AlyMbusa-i1h
    @AlyMbusa-i1h 2 місяці тому

    Allahu akbaru

  • @Mc-joke_events
    @Mc-joke_events 29 днів тому

    Tena wasome kwel siyo kidogo maan mbaka waje kutufikia waislam kielimu zinatakiw zipite karne nying xan

  • @manenomitto6512
    @manenomitto6512 4 місяці тому

    YESU ni mwokozi wa ulimwengu!

  • @allenndimbo520
    @allenndimbo520 5 годин тому

    Hahaaaaaa
    yahani Ndacha umenishinda we mwanaume
    Yaani nimejiona nacheka mpaka nimetema Pepsi yangu
    Kwanini na mimi MUNGU asinisaidie na mimi niwanyooshe hawa watu wanatusumbua mno
    Kama Elia na Elisha
    Namimi nataka upako wako

  • @juliethasimbili8749
    @juliethasimbili8749 Місяць тому

    Shaff unajipigapiga tu,ndacha baba lao

  • @PhilipobonifacSado
    @PhilipobonifacSado 2 місяці тому

    Kumbe nyinyi niwashabiki wa muhamadi mana niupuuzi mtupu unaoongea

  • @bakarimakomola
    @bakarimakomola 4 місяці тому

    Hahahahahahha😂😂😂😂 Ndacha kiswahili kinampiga chenga😅.

  • @daudiazizi8495
    @daudiazizi8495 9 годин тому

    Eti dini ya kislaami ni ya haki,,,,waislaam mnajichanganya kweri kwer endelea kumuabudu huo shetani

  • @mambosuleiman4801
    @mambosuleiman4801 4 місяці тому

    Ndacha kwa mada hii hakuna hoja umetoa,, unarudiarudia sijui ni Kiswahili hujui ama ni kivipi.

  • @MakameSilima-j3s
    @MakameSilima-j3s 3 місяці тому

    Ndacha Leo tunazungumzia nafasi ya Yesu kwamungu elew wwe

  • @mwauraerick
    @mwauraerick 4 місяці тому

    Ndacha kazichimbua hoja dhaifu za Shafii

  • @AhmadijumaJuma-fq2td
    @AhmadijumaJuma-fq2td 4 місяці тому

    Ndacha auna akili unawapotosha wenzio boya wewe kasome vzri kiswahili alafu unaluka baadhi ya maneno ndacha unadanganya sana shekhe shafi Allah azidi kukulinda wiongozi wte wakiislamu Allah azidi kuwapeni maisha malefu tupeni elimu awo wamepotea wakiristo ao shafi we ni moto Allah awe nawe pamoja

  • @ramadhanchenga4606
    @ramadhanchenga4606 2 місяці тому

    Nfacha ni mwl wa walimu

  • @Kaylyn-z6y
    @Kaylyn-z6y 2 дні тому

    Ndacha is full of Hollyspirit 😅

  • @martinmkoba361
    @martinmkoba361 4 місяці тому

    Mimi nilichogundua shafii ndio tegemeo lawaislamu kwa sasa lazima wajitutumue😂😂

  • @KeratiMwita
    @KeratiMwita 15 днів тому

    Ndacha tunaomba jinsi eliya aliitisha challenge na manabii wa baali hivyo pia na hawa waislamu

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 13 днів тому

    Ni ubabaishaji kuzungusha zungusha maneneno na ubabaishaji mkubwa sana.kama huyu ni mjinga kanisa wanawapata wapi

  • @yusuphomary7410
    @yusuphomary7410 4 місяці тому

    Ustadh Shafii anategemewa Sana na wasomi wa Biblia na Kuran Leo Kuna mtu hapo pembeni anasema eti Shafii anapotosha watu !!! huu ni msiba kweli.

  • @YunisnafulaTaabu
    @YunisnafulaTaabu 14 днів тому

    Enyiiii uzao wa ismahili nani aliye waloga akili hamuereweki kabisa neda mkatubu

  • @thedriver.michael.3975
    @thedriver.michael.3975 4 місяці тому

    Ndacha anarusharusha miguu

  • @MakameSilima-j3s
    @MakameSilima-j3s 3 місяці тому

    Mwana wamungu uyooooooooooooooooooooooooooo(Ndacha)

  • @Nate-re5je
    @Nate-re5je 4 місяці тому

    Sababu ya wa Krist watako ukweli

  • @PrinceBaraka-og
    @PrinceBaraka-og 4 місяці тому

    Mbona mnaamini majini waislamu na majini ni mashetani

    • @rashidsaid8821
      @rashidsaid8821 3 місяці тому

      @@PrinceBaraka-og wapo majini wema na waovu kama binadamu, kuamini tunaamini uwepo wao kama wewe unavyoamini uwepo wa shetani lakini humuamini wala humfuati ivyo tu

    • @Nathanielmwangemi
      @Nathanielmwangemi 3 місяці тому

      @@rashidsaid8821 Hakuna kitu kama majini wazuri hizo ni hekaya tu

  • @ezechielmanishimwe
    @ezechielmanishimwe 12 днів тому

    Hivi mbona Ndacha anacho kiongea kinaeleweka jamanii?mbona wa islam😂wagumu kuelewa ???

  • @willjohngodfrey5372
    @willjohngodfrey5372 2 місяці тому

    Sasa yesu katumwa na mungu lakn yesu anakiri yeye ndiye ni mwana wamungu na waislamu hawaamini yesu siyo mwana wa mungu?! Ndacha amewapika hawa

  • @michaelthobias9967
    @michaelthobias9967 Місяць тому

    Huyu ndacha anatisha

  • @MakameSilima-y4f
    @MakameSilima-y4f 27 днів тому

    Ata ndacha ni mwana wa(......)

  • @LuisFaustinoLuis
    @LuisFaustinoLuis 4 місяці тому +4

    Ndacha anaongeya ukueli

    • @DegalgalSarah
      @DegalgalSarah Місяць тому +1

      Si ye ye anasema ni maandiko ya bibilia Amina🙏🙏🙏🙏

  • @japhetndoro6533
    @japhetndoro6533 4 місяці тому

    Shafii ameshindwa hii mada

  • @MakameSilima-j3s
    @MakameSilima-j3s 3 місяці тому

    Ndacha nae piano nimwana wa(....) mwambie ndacha aache uongo!!!

  • @Innocent-sr4il
    @Innocent-sr4il 4 дні тому

    Basi kama yesu nimutume ndiyo nimutume tena muokozi je huyo muhamade aritumwananani