Nakubaliana na wewe mtumishi,ila ni vyema kukaaa mbali na pombe maana mara nyingi umpelekea mnywaji kufanya matendo ya uovu pasipo kufikiri kwa usahihi,,,,,pombe uzima sub conscious mind.
Basi kama SI mbaya ukitaka kunywa uwe unaiombea kama unavyoombea chakula kingine kila mtu atabeba frushi lake mwenyewe. Mungu akufunulie maana unataka kuelewa ila wagalatia 5:19-21 imekujibu
Bora umekiri kuwa huo ni mtazamo wako and you stand to be corrected. Unapokuwa na Roho mtakatifu ndani yako ni udhihirisho wa kuwa unatembea na Yesu. Uko ndani ya Yesu na Yesu yuko ndani yako. Kama pombe inakuondolea Roho mtakatifu maana yake hauna Yesu ndani yako na hutembei naye na hujampokea, hivyo hauko salama kiroho. Biblia inasema wale waliompokea Yesu aliwafanya kuwa wanae. Sasa kama wewe si mwanae mbinguni utapitia mlango upi?
Ndugu zangu kila kilichokatazwa na MUNGU huwa ni kizuri na kitamu Sana hivyo ni hiari yako kuamua kunywa pombe , kufirwa au kufira vyote hivyo vimekatazwa Ila huna haja ya kubishana we endelea aidha kuyafanya hayo au kutii maamrisho ya MUNGU
Huu ni upotovu, mithali20:1 mlevi ana kelele,ni mwenye ungomvi, pia inadhohofisha afya. Pombe pia upotosha maandili. Genesis 19:32-38 baba hakujua akilala na wanawe. Genesis 9:20-27 inaketa laana kwa vizazi. mithali31:3 -7
Ulevi na ulafi ni miongoni mwa matendo ya mwili. Hapa Biblia haijazungumzia kunywa pombe wala kula chakula bali ulevi na ulafi. Kunywa pombe si ulevi, vivo hivyo kula chakula si ulafi. Kunywa pombe + kula chakula kupitiliza ndio matendo ya mwili.( Wagalatia 5:19-21)
Pombe na MUNGU haijawahi kutokea, WATU WA MUNGU WAKIWA NA NGUVU YA MUNGU(ROHO MT) HAWARUHUSIWI KUNYWA POMBE, ANYWAYE POMBE YU NA SHETANI, NUHU ALIPOLEWA POMBE HAKUSEMA TENA NA MUNGU(MWA,9:20) MNAOSALI MKIMTAKA MUNGU NA NGUVU ZAKE LAZMA UACHE POMBE, NA WATU WA SHETAN MKIMTAKA SKETANI KUNYWA POMBE. NB..TUMEUMBWA WATU WOTE TUMTUMIKIE MUNGU NA SI SHETAN......MCHUNGAJI AKO NA SHETANI LAZIMA AMSAPOTI JOKA...... POMBE NI MARUFUKU.....
Tenga mda umsikilize Tena.Biblia inazuia ULEVI,ulafi nk ila haizuii pombe au chakula--tunafundishwa kiasi kwa Kila jambo,tatizo la pombe ni kua ina addiction(ulaibu),ukianza na bia moja utajikuta ata 5 hazikutoshi,hivyo wanatheolojia wa kiprotestant waliona ni vyema kua na mtizamo wa kuzuia pombe kabisa,ambapo ni jambo jema kwa usalama wa kiroho wa waumini.Hakuna haja ya kukimbiza farasi juu ya mwamba Ili kuona kama utaanguka au la
Waoooo Mwalimu siku fahamu Kama upo humu barkiwa 🎊🎊🎊🎊
Ubarikiwe mwalimu,naona mwengi ne hapo Tanzania anajiita mzee WA upako anasema pombe sio zambi
Umeeleweka vizuri mwalimu.
Asnteeeeeee Sana mwl
Maanayake kama walioambiwa wasinywe pombe maana yake pombe sio nzuri
Pombe ni najisi na ndiyo maana mungu akaiaramisha.
Pombe ingekuwa mbaya kwanini Mungu aliruhusu iwepo duniani?
Nakubaliana na wewe mtumishi,ila ni vyema kukaaa mbali na pombe maana mara nyingi umpelekea mnywaji kufanya matendo ya uovu pasipo kufikiri kwa usahihi,,,,,pombe uzima sub conscious mind.
Mwalimu niko kwenye group lako mwaka wa pili sasa ila leo ndio nimejua una youtube channel
Kuna sehenu ktk bilia inasema ole wao waamkao asubuhi na mapema kufata pombe /mvinyo hiyo imekaaje
Usipotoshe soma vizuri kwenye mvinyo hakuna utukufu ndomana kila alie pewa utumishi wa mungu aliagizwa asitumie hata mzinzi halaumiwi ila anafundishwa
Hajapotosha ila ametoa mtazamo tofauti na wa kwako,unanafasi yakutafakari zaidi kabla hujakataa au kukubaru
Wewe ndugu fundisha vizuri pombe ni dhambi
Kama unakakuwa mtu safi usinywe pombe
Mwalimu mwenzangu umenijibu maswali ambayo nilishindwa kuyapata na watu wote wa dini zote wameshindwa kupata majibu juu ya pombe
Uelewa wako ndipo ulipoishia
Usilewe kwa mvinyo ambamo humor Kuna uchafu vipi kamamtu anasema hiki chakula ni kichafu. Wawezakusema amekupa ule au wewe ndo umeamua ule uchafu
We ndo umefundisha vizuri mno ila walokole hawataki kusikia hivi.
Ndugu yangu usipotoshe watu. Utahukumiwa. Usipotoshe watu. Acha!!!
Samson km alikatazwa kunywa pombe ni kwasababu alikua mnaziri wamungu kutumia pombe sio zambi atakidogo
Amina
Rozi Mhando.kaleta agenda.
Kivipi Rose mwando?
@@servantivankibiki768 Ametoa wimbo unaohusu pombe
12:10 kiingiacho kinywani si haramu bali kitokacho kinywani.Shida matokeo ya pombe hayatuacha salama kimwili,roho na akili.Yatubidi kutumia kiasi tu.
mchungaji wewe Pia nimlevi mahandiko Yana sema tusilewe kwa mvinyo Bali tujazwe roho takatifu
Basi kama SI mbaya ukitaka kunywa uwe unaiombea kama unavyoombea chakula kingine kila mtu atabeba frushi lake mwenyewe. Mungu akufunulie maana unataka kuelewa ila wagalatia 5:19-21 imekujibu
Hatari wewe ! Unahatari kubwa bibiria ina makatazo mengi ya unywaji ya pombe !😢
Bora umekiri kuwa huo ni mtazamo wako and you stand to be corrected. Unapokuwa na Roho mtakatifu ndani yako ni udhihirisho wa kuwa unatembea na Yesu. Uko ndani ya Yesu na Yesu yuko ndani yako. Kama pombe inakuondolea Roho mtakatifu maana yake hauna Yesu ndani yako na hutembei naye na hujampokea, hivyo hauko salama kiroho. Biblia inasema wale waliompokea Yesu aliwafanya kuwa wanae. Sasa kama wewe si mwanae mbinguni utapitia mlango upi?
Ndugu zangu kila kilichokatazwa na MUNGU huwa ni kizuri na kitamu Sana hivyo ni hiari yako kuamua kunywa pombe , kufirwa au kufira vyote hivyo vimekatazwa Ila huna haja ya kubishana we endelea aidha kuyafanya hayo au kutii maamrisho ya MUNGU
Mpotoshaji
Huu ni upotovu, mithali20:1 mlevi ana kelele,ni mwenye ungomvi, pia inadhohofisha afya. Pombe pia upotosha maandili. Genesis 19:32-38 baba hakujua akilala na wanawe. Genesis 9:20-27 inaketa laana kwa vizazi. mithali31:3 -7
Ameeee.❤❤❤❤
Tusome wagalatia 5:19-21
Ulevi na ulafi ni miongoni mwa matendo ya mwili. Hapa Biblia haijazungumzia kunywa pombe wala kula chakula bali ulevi na ulafi. Kunywa pombe si ulevi, vivo hivyo kula chakula si ulafi. Kunywa pombe + kula chakula kupitiliza ndio matendo ya mwili.( Wagalatia 5:19-21)
Kunywa pompe siyo dhambi. ila kulewa ndiyo dhambi kunatofauti ya kunywa na kulewa hata Yesu alikunywa lakini hakuwa mlevi. matayo 11:18--19.
Pombe na MUNGU haijawahi kutokea, WATU WA MUNGU WAKIWA NA NGUVU YA MUNGU(ROHO MT) HAWARUHUSIWI KUNYWA POMBE,
ANYWAYE POMBE YU NA SHETANI, NUHU ALIPOLEWA POMBE HAKUSEMA TENA NA MUNGU(MWA,9:20)
MNAOSALI MKIMTAKA MUNGU NA NGUVU ZAKE LAZMA UACHE POMBE, NA WATU WA SHETAN MKIMTAKA SKETANI KUNYWA POMBE.
NB..TUMEUMBWA WATU WOTE TUMTUMIKIE MUNGU NA SI SHETAN......MCHUNGAJI AKO NA SHETANI LAZIMA AMSAPOTI JOKA......
POMBE NI MARUFUKU.....
Uko sahihi ,naomba nikuulize swali kula chakula ni dhambi au kunywa maji ni dhambi?