SIMULIZI ZONE
SIMULIZI ZONE
  • 1 633
  • 10 401 449

Відео

MIUJIZA NA MAFUTA YA UPAKO MAKANISANI NI YA KWELI? KIBOKO YA WACHAWI NI TAPELI? KONDOBUNGO ANAJIBU
Переглядів 1,1 тис.2 години тому
MIUJIZA INAYOFANYIKA MAKANISANI MINGI NI UTAPELI NA HAPA SHEIK KONDOBUNGO JUMA AKIONGEA KUHUSU UJANJA WANAOFANYA MANABII WA SASA
MWANAMME UKILALA NA MWANAMKE MWENYE JINI MAHABA, UNAHARIBU UANAUME WAKO
Переглядів 8224 години тому
HAPA USTADHI KONDOBUNGO JUMA AKIELEZEA SABABU ZA WANAUME KUSHINDWA KUFANYA KAZI YAO VINZURI KITANDNAI NA KUWAFUNDISHA MBINU ZA KULA MAISHA BILA KEMIKALI
SHEIK KONDO BUNGO AZUNGUMZIA HEKIMA KATIKA MIDAHALO KAMA YA AKINA MCH. NDACHA NA USTADHI SHAFII
Переглядів 1,6 тис.4 години тому
HUYU HAPA SHEIK KONDOBUNGO JUMA AKIELEZEA UMUHIMU WA HEKIMA KWENYE KULINGANIA DINI NA MASUALA YA KIUONGOZI KWA UJUMLA MAANA NDIO KITU MUHIMU KULIKO AKILI
BIBLIA NI KITABU CHA MUNGU? KIMEANDIKWA NA NANI? UKWELI WA GEOR DAVIE? MWL. DANIEL MWANKEMWA ANAJIBU
Переглядів 5 тис.7 годин тому
MWL. DANIEL MWANKEMWA AMETUFUNDISHA UKWELI JINSI BIBLIA ILIVYOANDIKWA MPAKA KUFIKIA KUTUMIKA KATIKA MAFUNDISHO YA DINI ZA KIKRISTO NA JINSI ILIVYOFICHWA
MCH. NDACHA AMALIZA UTATA WA SABATO, awapa neno wale wa jumapili HANANJA, NGONYANI, DANIEL, DOMINIC
Переглядів 9 тис.9 годин тому
HAPA TUMEONGEA NA MWALIMU KUTOKA KENYA, MCH. NDACHA AKIELEZEA UTATA WA SABATO NA KWANINI ILIHAMISHWA NA KUWA SIKU YA JUMAPILI NA NI KWA NGUVU YA NANI.
SIFA 3 ZA MWANAMKE BORA WA KUOA NI MTUNDU KITANDANI, MTUNDU JIKONI NA YA TATU NI... DR SULLE
Переглядів 8319 годин тому
Dr SULLE AMEFUNGUKA KUHUSU NDOA, WANAMME WA KIISLAMU WANAVYOTAKIWA KUISHI NA WAKE ZAO NA KUWATUNZA BILA KUCHAKACHUA HAPA NA PALE SI UNAJUA TENA
USTADHI DANIEL MWANKEMWA ACHUKIZWA NA MCH. NDACHA KUUKATAA UTATU MTAKATIFU
Переглядів 2,4 тис.9 годин тому
HAPA MWALIMU DANIEL MWANKEMWA AKIENDELEA KUELEZEA UMUHIMU WA KUUHESHIMU UTATU MTAKATIFU NA MADHARA YA MTU ASIYEHESHIMU UTATU MTAKATIFU
USTADHI DANIEL MWANKEMWA ATOFAUTIANA NA MCH. NDACHA KWENYE FUNDISHO LA UTATU MTAKATIFU
Переглядів 1,2 тис.9 годин тому
MWENDELEZO DANIEL MWANKEMWA AKITOA HOJA KUTETEA UTATU MTAKATIFU NA JINSI UNAVYOFANYA KAZI KWA PAMOJA NA KUSABABISHA BABA, MWANA NA ROHO MTAKATIFU KUWA PAMOJA
SHEIK KONDOBUNGO AWAFUNDISHA DANIEL MWANKEMWA NA MCH. NDACHA TOFAUTI YA NAFSI, ROHO, AKILI NA MOYO
Переглядів 3,3 тис.12 годин тому
TUMEPATA KUONGEA SHEIK KONDOBUNGO AKITUFUNDISHA KUHUSU UTOFAUTI WA VITU VILIVYOUMBWA NA MWENYENZI MUNGU AMBAVYO NI NAFSI, ROHO, AKILI NA MOYO NA JINSI VINAVYOFANYA KAZI PAMOJA
PART 2: USTADHI DANIEL MWANKEMWA AKIMFUNDISHA MCH. NDACHA JINSI YA KUSOMA BIBLIA KISA UTATU MTAKATIF
Переглядів 1,7 тис.12 годин тому
Mwendelezo wa USTADHI DANIEL MWANKEMWA akizungumzia mchungaji Ndacha kuyatafsiri maandiko ya Mungu vile anavyotaka yeye na siyo kama yalivyoandikwa
PART 1. DANIEL MWANKEMWA AJIBU HOJA ZA MCH. NDACHA KUHUSU UTATU MTAKATIFU
Переглядів 3 тис.14 годин тому
TULIPATA NAFASI YA KUZUNGUMZA NA MWALIMU DANIEL MWANKEMWA ILI KUPATA SOMO LA UTAFSIRI KUHUSIANA NA UTATU MTAKATIFU
MARIAM, MAMA WA YESU NDIO MWANAMKE PEKEE ALIYETAJWA KWA JINA KWENYE QURAN DR SULLE
Переглядів 1,2 тис.16 годин тому
HUYU HAPA DR SULLE AKIONGELEA UMUHIMU WA WANAWAKE KWENYE JAMII NA JINSI ILIVYO MUHIMU KWENDA KUONYESHA UWENZO WAO WA KUSOMA QURAN TUKUFU
MCH. HANANJA AMUUMBUA KIBOKO YA WACHAWI NA WACHUNGAJI WA MAFUTA YA UPAKO
Переглядів 11 тис.16 годин тому
MCHUNGAJI RICHARD HANANJA AMETOA SOMO KUHUSU GHALAMA AMBAZO MUUMINI INATAKIWA AZIBEBE KAMA SEHEMU YA MCHANGO WAKO KWA IMANI NA ZILE AMBAZO NI ZA UONGO
MCH. NDACHA AMTOLEA UVIVU DANIEL MWANKEMWA; FUNDISHO LA UTATU MTAKATIFU NI FUNDISHO LA SHETANI
Переглядів 12 тис.19 годин тому
KUHUSIANA NA IMANI YA UTATU MTAKATIFU HAPA NDACHA AMETOFAUTIANA NA DANIEL MWANKEMWA NA KUDAI KWAMBA UTATU NI FUNDISHO LA USHETANI NDANI YAKE
MANENO MAZITO YA MCH NDACHA KWENDA KWA USTADHI SHAFII, namtaka tena ulingoni, asijifiche kwa kichaka
Переглядів 2,7 тис.19 годин тому
MANENO MAZITO YA MCH NDACHA KWENDA KWA USTADHI SHAFII, namtaka tena ulingoni, asijifiche kwa kichaka
DR SULLE AFUNGUKA MAZITO KUHUSU WANAMZIKI WANAOCHEZA UCHI, AWATAJA SNURA MUSHI RAY C
Переглядів 1,2 тис.21 годину тому
DR SULLE AFUNGUKA MAZITO KUHUSU WANAMZIKI WANAOCHEZA UCHI, AWATAJA SNURA MUSHI RAY C
SHARIFF FIRDAUS AMPIGIA SALUTE MCH. NDACHA, AWAPONGEZA MA-USTADHI SHAFII, KINYOGORI, BAKOZI
Переглядів 8 тис.21 годину тому
SHARIFF FIRDAUS AMPIGIA SALUTE MCH. NDACHA, AWAPONGEZA MA-USTADHI SHAFII, KINYOGORI, BAKOZI
TAMATI; MCH. NDACHA NA USTADHI SHAFII WAKUTANA JUKWAANI, HOJA ZA KILA UPANDE ZALINDIMA, JIFUNZE
Переглядів 3,2 тис.День тому
TAMATI; MCH. NDACHA NA USTADHI SHAFII WAKUTANA JUKWAANI, HOJA ZA KILA UPANDE ZALINDIMA, JIFUNZE
USO KWA USO MCH. NDACHA NA USTADHI SHAFII WATUPIANA LAWAMA BAADA YA MDAHALO WA WAKRISTO NA WAISLAMU
Переглядів 8 тис.День тому
USO KWA USO MCH. NDACHA NA USTADHI SHAFII WATUPIANA LAWAMA BAADA YA MDAHALO WA WAKRISTO NA WAISLAMU
USTADHI SHAFII AMFUNDISHA UJANJA MYAHUDI, BAKOZI AMPA SWALI KIGONGO CH. NDACHA, MAJIBU HAYA HAPA
Переглядів 8 тис.День тому
USTADHI SHAFII AMFUNDISHA UJANJA MYAHUDI, BAKOZI AMPA SWALI KIGONGO CH. NDACHA, MAJIBU HAYA HAPA
SHEIK KINYOGORI NA MYAHUDI WALIUZA MASWALI VIGONGO, MZEE CHIKAWE NA MAULANA WAPIGANA KUJIBU
Переглядів 9 тис.День тому
SHEIK KINYOGORI NA MYAHUDI WALIUZA MASWALI VIGONGO, MZEE CHIKAWE NA MAULANA WAPIGANA KUJIBU
MCH. NDACHA AWAKABA KOO WAHADHIRI WA KIISLAMU, UST SHAFII, BAKOZI, KINYOGORI
Переглядів 16 тис.День тому
MCH. NDACHA AWAKABA KOO WAHADHIRI WA KIISLAMU, UST SHAFII, BAKOZI, KINYOGORI
SHEIK KINYOGORI AKIPANGUA HOJA ZA MCH. NDACHA; KATI YA YESU NA MUHAMMAD NANI TUMFUATE?
Переглядів 27 тис.День тому
SHEIK KINYOGORI AKIPANGUA HOJA ZA MCH. NDACHA; KATI YA YESU NA MUHAMMAD NANI TUMFUATE?
MCH. NDACHA, ASHINDILIA MSUMARI, TUMFUATE YESU AU MTUME MUHAMMAD? UST SHAFII, KINYOGORI, BAKOZI
Переглядів 4,2 тис.День тому
MCH. NDACHA, ASHINDILIA MSUMARI, TUMFUATE YESU AU MTUME MUHAMMAD? UST SHAFII, KINYOGORI, BAKOZI
IPI NI NAFASI YA YESU KWA MUNGU? NI MWANA AU MUNGU? UST. BAKOZI, SHAFII VS MCH. NDACHA, MWL DANIEL
Переглядів 6 тис.День тому
IPI NI NAFASI YA YESU KWA MUNGU? NI MWANA AU MUNGU? UST. BAKOZI, SHAFII VS MCH. NDACHA, MWL DANIEL
YESU NI MUNGU AU MWANA? MYAHUDI, UST. SHAFII NA MAULANA WAKIFAFANUA MAADA
Переглядів 7 тис.День тому
YESU NI MUNGU AU MWANA? MYAHUDI, UST. SHAFII NA MAULANA WAKIFAFANUA MAADA
UST. MAZINGE AWABANA WAKRISTO KWA VIFUNGU VYA BIBLE, MYAUDI NA UST DANIE WASHUSHA NONDO, MCH.NDACHA
Переглядів 6 тис.День тому
UST. MAZINGE AWABANA WAKRISTO KWA VIFUNGU VYA BIBLE, MYAUDI NA UST DANIE WASHUSHA NONDO, MCH.NDACHA
UST. SHAFII NA MCH NDACHA WAKUTANA JUKWAANI KWENYE MDAHALO "KAMA YESU NI MUNGU, NA SISI NI MUNGU"
Переглядів 11 тис.День тому
UST. SHAFII NA MCH NDACHA WAKUTANA JUKWAANI KWENYE MDAHALO "KAMA YESU NI MUNGU, NA SISI NI MUNGU"
MCH. NDACHA ALIVYOMCHACHAFYA USTADHI SHAFII LIVE JUKWAANI AKIJIBU SWALI LA MWL. BAKOZI
Переглядів 5 тис.День тому
MCH. NDACHA ALIVYOMCHACHAFYA USTADHI SHAFII LIVE JUKWAANI AKIJIBU SWALI LA MWL. BAKOZI

КОМЕНТАРІ

  • @maprosokelly2986
    @maprosokelly2986 16 хвилин тому

    Nimekuelewa mtumishi mungu azidi kukupa Maisha marefu

  • @EmmanuelKhisaz
    @EmmanuelKhisaz 31 хвилина тому

    𝑻𝒉𝒂𝒏𝒌 𝒚𝒐𝒖 𝒅𝒓 𝒏𝒂𝒐𝒎𝒃𝒂 𝒌𝒖𝒌𝒖𝒐𝒏𝒂 𝒋𝒂𝒎𝒆𝒏𝒊

  • @jamalmanishi7282
    @jamalmanishi7282 Годину тому

    Asante askofu ngonyani kwa ufafanizi mfupi lkn wenye tija nafikili kunashida yawatu wasikuhizi kumuelewa mtu lkn umeeleweka sana

  • @Suluhu-re5je
    @Suluhu-re5je Годину тому

    Ndacha kwa Shafee umuwezi

  • @RamadhaniKilobo
    @RamadhaniKilobo 3 години тому

    Iy muvi Tamu ila bibie Kazingua kucheka cheka2 mwamb katixh kweny muv

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 3 години тому

    Hako kaandishi umekakomoa ndacha maana nikaislamu we ndacha tunakushuhudia unajua

  • @user-xh6mt8xj9d
    @user-xh6mt8xj9d 3 години тому

    Umeongea kweli sadakta

  • @saijize
    @saijize 3 години тому

    Yesu Yu hai anatusikia mtume yupo kabulini hatusikii yesu atakuja Tena mtume usitegemee kuja tena je nani wa kumfuuta hapo

  • @salmaghalib5474
    @salmaghalib5474 4 години тому

    Naomba tuwekee kutafsiri ndoto

  • @user-no2ut7yd3e
    @user-no2ut7yd3e 5 годин тому

    Jpili 2,jmmamosi 1,j3 3 jnne 4

  • @cosmassisa5256
    @cosmassisa5256 7 годин тому

    Soma Waebrania 4:1-13 mtaelewa vizuri

  • @RamadhanMgoloz
    @RamadhanMgoloz 8 годин тому

    Sabato ya Sasa ni ipi sasa

  • @user-ic5yl7mz4d
    @user-ic5yl7mz4d 12 годин тому

    Hawa waislam hawana lolote kabisa😂😂😂😂😂😂

  • @trikayoh3684
    @trikayoh3684 13 годин тому

    Twataka video mingi za sheikh Jumaa naskiza kutoka Kenya shukraan

  • @samsonmabula
    @samsonmabula 14 годин тому

    Danieli 7:25 Naye atanena maneno kinyume chake Aliye juu, naye atawadhoofisha watakatifu wake Aliye juu; naye ataazimu kubadili majira na sheria; nao watatiwa mikononi mwake kwa wakati, na nyakati mbili, na nusu wakati.

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 14 годин тому

    Yesu ni mwana wa pekee wa Mungu jamani

  • @user-fm5md9xn5g
    @user-fm5md9xn5g 14 годин тому

    😢waislamu mnazingua kwa hiyo Muhammad atawapeleka watu wake

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 14 годин тому

    Mjinga utmjua tu mijamaa inacheka kama mibwege maana wamefungwa na shetani

  • @fredymbilinyi6323
    @fredymbilinyi6323 14 годин тому

    Warumi 14

  • @morrisabdon7881
    @morrisabdon7881 15 годин тому

    Ndacha, mimi siamini katika sabato ya siku, Alieikamilisha ni Yesu mwenyewe, Soma thiolojia.

  • @wazirisaid8326
    @wazirisaid8326 15 годин тому

    Daniel ni wapi Mungu amesema Sasa mnaweza kula nguruwe?

  • @estakenia
    @estakenia 16 годин тому

    😂😂 mazinge ni mźee aliechangakinyiwa tangu alipoasi kanisa na kuingia katika upotovu. Ole wake 😢😢. Kupotosha maandiko ya biblia ya biblia. Lakini yote ujibiwa bila shida, na mwalimu Ndacha.

  • @DaudiMwangati-id1tk
    @DaudiMwangati-id1tk 16 годин тому

    Ndasha nakikosi Chalo imara Sana Mungu awabariki Sana jamaa walizidiwa Sana.

  • @JordanRichard-s2d
    @JordanRichard-s2d 16 годин тому

    Ndacha una mafunio mazuri good job 👍

  • @WatchdaAbdillah
    @WatchdaAbdillah 17 годин тому

    msiojua achenii kuongea vtu ambvyo amvielew kukaa kmy n bora kwenu hzo kaxhfa zenu aznafaida yyte

  • @RahimaAlly-fi7uv
    @RahimaAlly-fi7uv 17 годин тому

    Najivunia kuwa muislm

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 17 годин тому

    Ndacha wewe ni kiboko Wala hawatakuelewa ,maana maandiko Yana sema mna macho lkn hamuoni,MASIKIO lkn hamtasikia, waislamu wanamioyo migumu

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 18 годин тому

    Achana na ndacha huyo ni msomi kuliko wewe

  • @ElsantosElMashallah
    @ElsantosElMashallah 18 годин тому

    Ndacha ww. Ninoma

  • @RahimaAlly-fi7uv
    @RahimaAlly-fi7uv 18 годин тому

    Mashallah

  • @mkanotimmass4691
    @mkanotimmass4691 18 годин тому

    Well said the Man of God. Mungu akuweke mtumishi ili uokoe jamii iliyopotoka na manabii na watumishi wasio sahihi.

  • @DavidMatata
    @DavidMatata 19 годин тому

    Mtumishi Mimi nakuomba unifahamishe kuhusu kwenye ubatizo,je tubatizwe vipi?Kwa Sababu kwenye matayo, 28:19 inasema kuhusu utatu,na wewe unasema kwamba huo ni Ushetani!!!Sasa nakuomba unifahamishe tubatizwe vipi? Thanks... Ubarikiwe!!

  • @Last403
    @Last403 19 годин тому

    Hapo ndacha umetetea dhehebu lako la sabato badala ya kusimama katika maandiko huwa nakukubali ila hapa hatupo pamoja😅

  • @Last403
    @Last403 20 годин тому

    Siku ya saba haikuwahi kutajwa kuwa ni siku ipi.isipokuwa Mungu anasema katika Biblia kuwa alifanya kazi ya uumbaji wa Dunia kwa siku 6 na siku saba ndio sabato yenyewe na alipumzika, sasa hakuwahi kutaja siku ipi.Swali langu siku ya jumamosi imetajwa wapi kuwa ni siku ya saba naomba andiko ktk Biblia.

  • @melvoLedin-cs6mr
    @melvoLedin-cs6mr 20 годин тому

    Mtume gani haliyerogwa katika bibilia

  • @melvoLedin-cs6mr
    @melvoLedin-cs6mr 21 годину тому

    Mtume wenu anangojea vile hatakavyo fanywa

  • @DanielmeshackiShabani
    @DanielmeshackiShabani 21 годину тому

    Kweli mchungaji nikimeo

  • @melvoLedin-cs6mr
    @melvoLedin-cs6mr 21 годину тому

    Barikiwa sana ndacha hulinifanya nikaokoka juma from kenya

  • @gabrielsaelie8091
    @gabrielsaelie8091 21 годину тому

    Mwakemwa kuwa mkweli na usikubali shetani akutumie kuelezea huu uwongo mkuu alioasisi shetani wa fundisho la Utatu. Fundisho la utatu lililoletwa na shetani kupitia kanisa katoliki la roma mwaka 325 AD ni uwongo na la kishetani. Ni fundisho la kumtukuza shetani ili aabundiwe kama Mungu baba na Kristo Yesu. Hawa ndio pekee wanaostahili kuabundiwa. Shetani hastahili hata kidogo kuabudiwa. (Ezekiel 28: 1-19) Ni kweli kabisa kuna tafsiri ya kiswahili isiyo sahihi katika Tito 2:13. ukilinganisha ilivyoandikwa kwa kingereza katika KJV. Kwenye bibilia za kiswahili inasomeka hivi: [13]tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu; Kingereza katika KJV inasomeka hivi: Looking for that blessed hope, and the glorious appearing of the great God and our Saviour Jesus Christ; Kimsingi Tafsiri sahihi hapo ni kwamba hapa anatajwa Mungu Mkuu yaana Mungu Baba na Yesu Kristo Mwokozi wetu.

  • @piussimtala5111
    @piussimtala5111 22 години тому

    siku nyingine za nani ndacha?

  • @Mapenzi2635
    @Mapenzi2635 23 години тому

    Pastor Ndacha you're an intellectual

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 23 години тому

    Nitumie namba ya huyu shehe!

  • @gabrielsaelie8091
    @gabrielsaelie8091 День тому

    Fundisho la utatu la kanisa katoliki ni fundisho lililoasisiwa na shetani na ni la uwongo mkuu wa shetani. Ni fundisho la kumwinua shetani (lusfer) ili aabudiwe kama Mungu wa Mbinguni na na Mwana wake Yesu Kristo mpakwa mafuta. Tukiangalia Ezekeil 28: 1-19 tunaona lusfer ameuweka moyo (nia) wake kama moyo wa Mungu na anatamani aabudiwe kama Mungu. Lakini Mungu anamwambia kuwa kwa nia yake hiyo ya kutaka kuabudiwa kama Mungu, atashushwa chini mpaka kizimu maana hustahila hata kidogo kuabudiwa kama Mungu wa Mbinguni. Sasa imani ya utatu iliyoasisiwa na yeye shetani kupitia Kànisa Katoliki la Roma kuumwinua shetani kama nafsi ya tatu ya Mungu yaana Mungu Roho mtakatifu ni udanganifu wa kutimiza nia ili ovu ya shetani ya kutaka aabudiwe. Kiukweli Mungu roho mtakatifu ni Lusfer na katika imani hii ya nafsi tatu za Mungu, lusfer anaabudiwa pamoja na Mungu Baba na Yesu Kristo katika makanisa mingi (babeli). Huu ni ushirikina na ni hatari kubwa ya UKWELI WA MUNGU.

  • @SeifHatibu-mo4wt
    @SeifHatibu-mo4wt День тому

    Tatizo tamaa

  • @thomangwanyama7122
    @thomangwanyama7122 День тому

    Sasa nyinyi wakristo musichoelewa hapo nini mbona jibu munalo sema munalazimisha Naona moto munaulazimisha aya bana tuonane mbinguni

  • @machoguhameri7757
    @machoguhameri7757 День тому

    Pole sana shekhe Shafii

  • @SamhhIlo-ib4ij
    @SamhhIlo-ib4ij День тому

    Mwanzo 1:26 inakiri Mungu ni mmja ila sio nafsi moja labda mkifute kitabu cha mwanzo🙏🏿

  • @user-gq4km3qe3s
    @user-gq4km3qe3s День тому

    Ukute mmesex ndomkapiga pic puuu

  • @gabrielsaelie8091
    @gabrielsaelie8091 День тому

    Huyo Daniel anatetea uwongo wa kanisa lake katoliki lanalofundindi utatu wa Mungu. Uwongo huo hautetewi kwa neno la Mungu kupitia biblia. Kanisa katoliki linashindwa kuthibitisha utatu kwa maandiko ndio maana linafundisha kuwa UTATU NI FUMBO. Wakiwa na maana hulichunguziki. Fundisho la utatu ni la uwongo na ni fundisho la shetani.

  • @isayaogola8733
    @isayaogola8733 День тому

    Mungu akubariki Ndacha ukweli ubakie ukweli