MCH HANANJA ALIVYO IBUA MJADALA BAADA YA KUINGIA MSIKITINI, ONA MAJIBU YAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 147

  • @DawsonKiwia-qt6zf
    @DawsonKiwia-qt6zf Рік тому +1

    Safi sana mchungaji ukiwa borne town unakuwa mwerevu zaidi wa shamba hawatakuelewa. Umeongea vizuri inategemea watu wameudhuria kwenye dhehebu lingine wamefuata nini pia umehimiza watu kulima, kufanya kazi watanzania wengi wanapenda kudeka wanakwepa kuwajibika hayati Magufuli aliliona hilo akawapeleka msobe msobe vijana wengi wanapenda kujiremba na kutunzwa usichoke mwalimu.

  • @dullyjabri8393
    @dullyjabri8393 Рік тому +8

    Nakukubali sana mzee wangu una Hekima Sana full respect

  • @abasingaruka1872
    @abasingaruka1872 Рік тому

    Hongera mchungaji uyasemayo Ni sahihi, , na wachache wanaoelewa hayo, ,baadhi ya waislamu wahamisjha ugomvi sio Amani,

  • @Mtukazi98
    @Mtukazi98 Рік тому +8

    Allah akuoneshe haki mzee hananja, ukweli uko vizuri sana mzee wangu

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 Рік тому

      Haki na uzima WA milele ni Kwa Yesu kristo alipo huyo mchungaji njoo kwenye kweli na uzima WA milele

    • @BenjaNetanyahu
      @BenjaNetanyahu Рік тому

      Uslamu ni njia ya haki, na UKRISTO ni njia ya kweli,, kazi kwako kupambana haki na kweli.

    • @AdamDaudy
      @AdamDaudy Рік тому

      Uislamu ni dini ya HAKI na yeyote atakae amua kufuata Dini isiyokua Uislamu aelewe kua Dini hiyo haitokubaliwa siku ya malipo .Nasaha zangu kwa ndugu zangu Wakristo SILIMUNI ili mpate SALAMA siku ya hukumu

    • @BenjaNetanyahu
      @BenjaNetanyahu Рік тому

      @@AdamDaudy je! Ukweli, na haki, ni kipi kisichoweza kupotezwa na wanadamu?

    • @fredrickgitonga1972
      @fredrickgitonga1972 Рік тому

      Uko uwakika gani bila uislamu akuna salama siku ya kihama

  • @abdallahkikungulu9141
    @abdallahkikungulu9141 Рік тому +3

    Mungu akupe maisha malefu sana mchungaji

  • @yusuphibrahim2850
    @yusuphibrahim2850 Рік тому +1

    Mchungaji upo vzr mungu amekipa uwezo mkubwa mungu akubariki

  • @ShamimMsofe
    @ShamimMsofe Рік тому

    Mzee wangu una busara sana mzee wangu Allah akujalie .

  • @ZaituniLaizer
    @ZaituniLaizer 5 місяців тому

    Nakukubali sana mchungaji una busara 🎉😊

  • @SaidSalum-p5h
    @SaidSalum-p5h 11 місяців тому

    Mchungaji Hananja Mungu akupe afya na nguvu na maarifa zaidi.
    Ukweli nikua unaongea ukweli.
    Tuko pamoja!!

  • @MusaPeterMatogoloWalaga
    @MusaPeterMatogoloWalaga 5 місяців тому

    Barikiwa sana mchungaji

  • @KhadijaKipua-dw7yz
    @KhadijaKipua-dw7yz Рік тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂 Huyo ndio Hananja bwana unanikosa sana babaangu wewe Mungu akubariki sana

  • @habibmohamed4728
    @habibmohamed4728 Рік тому +3

    Majibu mazuri mtumishi wa Mungu ingawa anajaribu kukuchallenge hakupati Tena

  • @hemedsimbaathwar
    @hemedsimbaathwar 11 місяців тому

    Mashallah mi n muislam ktk kenya , huyu mzee ana busara xna

  • @africaonechannel1289
    @africaonechannel1289 Рік тому +2

    Huyu Mzee ANA AKILI!!!!!!!
    And Generally Speaking These Old Boys nitafauti sana na This New Generation!!!!.

  • @Bakari-i8w
    @Bakari-i8w Місяць тому

    Mwamba mzee nakukubari paka bas

  • @JaffarsibaAbdulqadir
    @JaffarsibaAbdulqadir Місяць тому

    Kama mm ni muislam Allah amwelekeze kwenye haki

  • @hilaliusjohn8386
    @hilaliusjohn8386 Рік тому

    Mimi ni mkristo lakini Nakubali kabisa Hananja alifanya vizuri Sana kuitika mwaliko

  • @martinlema7328
    @martinlema7328 Рік тому +1

    Amina... Namwomba Mungu akupatie hitaji la moyo wako.😊

  • @omarmohamed312
    @omarmohamed312 Рік тому +17

    mzee hananja ni mtu wa busara sana na ni mtu anaesema ukweli sana. sisi waislamu wengi tumetokea kumkubali na tunamuombea Allah amfungue zaidi aone haki ipo wapi. hachukii uislamu.

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul Рік тому

      Amini

    • @fredrickgitonga1972
      @fredrickgitonga1972 Рік тому +1

      Haki iko kw YESU KRISTO tu, Wala kwingine apana

    • @omarmohamed312
      @omarmohamed312 Рік тому +1

      @@fredrickgitonga1972 nendeni na wakati someni kitabu chenu. mitaona munakoelekea.

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul Рік тому +2

      @@fredrickgitonga1972 ....
      Ni kweli haki ipo kwa Yesu ila sio kumuabudu,
      Yesu mwenyewe alikuwa anaabudu, leo watu wanamuabudu yesu....😂😂

    • @zainabzanzibar1518
      @zainabzanzibar1518 6 місяців тому

      ​@@RamadanPaulna wemekwenda mbali zaidi kwa sasa hawamuabudu yesu bali wanamuabudu yele mcheza filam wanasema ndio yesu

  • @rajabrwambow9660
    @rajabrwambow9660 Рік тому +2

    Hongera sana mchungaji❤❤❤

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 Рік тому

    Leo umependeza mtoto wangu na hicho kilemba 💕💕

  • @Rommie002
    @Rommie002 Рік тому +1

    Hananja ni Genius anaelewka sana🎉

  • @KHAMISRASHEED1796
    @KHAMISRASHEED1796 11 місяців тому

    يَأَيُّهَا النَّاسُ إِنَّا خَلَقْنَاكُم مِّن ذَكَرٍ وَأُنثَى وَجَعَلْنَاكُمْ شُعُوبًا وَقَبَائِلَ لِتَعَارَفُوا إِنَّ أَكْرَمَكُمْ عِندَ اللَّهِ أَنْقَنَكُمْ إِنَّ اللَّهَ عَلِيمٌ خَبِيرٌ
    Enyi watu! Hakika tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke, na tumekufanyeni watu na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi miongoni mwenu mbele ya Mwenyezi Mungu ni yule aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi na Mwenye khabari

  • @JumaMkiji
    @JumaMkiji Рік тому +1

    Uko vizuli sana mchungaji unaufaamu mkubwa sana mungu akubaliki sana

  • @StephanoPaulo-x2e
    @StephanoPaulo-x2e 3 місяці тому

    Kwl ww unajua vitu vingi

  • @IsmailOmary-b8n
    @IsmailOmary-b8n 19 годин тому

    Munagombania maini ng'ombeajachinjwa je mwenye ng'ombe akigaili?

  • @ISSAAbdillah-z3i
    @ISSAAbdillah-z3i Рік тому

    Heshima yako bradha👏

  • @IsackTheonest
    @IsackTheonest 11 місяців тому

    Uko vzr mchg, ss sote ni wamoja

  • @giftami7792
    @giftami7792 5 місяців тому

    Ubarikiwe

  • @IssufoCassimo-c4r
    @IssufoCassimo-c4r Рік тому +1

    Nakukubali baba❤❤❤❤

  • @dullah_fitness
    @dullah_fitness 8 місяців тому

    Mashallh 🙏🏽☝🏽

  • @rahmahersi6584
    @rahmahersi6584 Рік тому

    Hongera Mchungaji.....

  • @abubakarymaulidy5681
    @abubakarymaulidy5681 Рік тому +1

    Akili nyingi sana mzee nakibali

  • @ibrahimally8073
    @ibrahimally8073 Рік тому +1

    Mashallah.. maneno Yako yapo sahihi...

  • @ramadhanihafidh7732
    @ramadhanihafidh7732 Рік тому +2

    😂 6:55 wewe ni mtu wa hekima kama najash wa Ethiopia

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 Рік тому

    UMEONGEA VZR SANA NA HUYU DADA ATAFANYA KAZI NZR SANA YAANI MUANDISHI WA HABARI

  • @AbdallaMsendele
    @AbdallaMsendele Рік тому

    Apana ,Mtumishi uko katika kweli.
    Mtu awezi kukataa mwalimo,pili Dini zote anaye juwa ni Mungu.
    Zidi ya yote, Dini mbaya ni ile yenye kuhuwa na kuaribu.

  • @jumaomari3842
    @jumaomari3842 5 місяців тому

    Wewe kweli ni mtumishi nakusikiliza sana Yani una nimalizia bando

  • @nassormohamed6520
    @nassormohamed6520 Рік тому

    Nmekuelewa sana mchungajii

  • @SaidWawa-y9d
    @SaidWawa-y9d Рік тому +1

    Safi sana wewe mzee ni mwamba sana aisee

  • @maskatifakii7107
    @maskatifakii7107 Рік тому

    Safi sana..Hawana..Elimu!!!

  • @kingdullah7843
    @kingdullah7843 Рік тому

    nakuelewa sana mzee wang

  • @joshuamunisi8461
    @joshuamunisi8461 Рік тому

    Fact mzee upo vizuli

  • @border2bordercuisine168
    @border2bordercuisine168 11 місяців тому

    Hawa ndio viongozi wa dini tunaowahitaji Tanzania

  • @NoahNjeje-n1w
    @NoahNjeje-n1w Рік тому

    Naombeni namba ya huyu mzee

  • @elmes09
    @elmes09 9 місяців тому

    Una baya 🙏🏻

  • @allyfutto8763
    @allyfutto8763 Рік тому

    Somo zuri kuhusu utumishi wa Mungu 🕌⛪️☝🏿

  • @mwinyimwinyimkadam9948
    @mwinyimwinyimkadam9948 Рік тому

    Upo vzr Mzee

  • @loner_wolf
    @loner_wolf Рік тому

    Mzee ningekuwa Mwandishi hapo ningekuuliza hiv " kati ya mchungaji na wazazi ,nani anaweza kukubariki " ?

    • @zamdanamwenje9415
      @zamdanamwenje9415 Рік тому +2

      Alishawahi kujibu kuwa ni wazazi tafuta clip clip za miaka mingi

  • @RamadanPaul
    @RamadanPaul Рік тому

    Hananja tunakupenda sana waislam....

  • @allychongowe2025
    @allychongowe2025 3 місяці тому

    Mzee hananja na Mzee wa upako ni wasema ukweli hawana chuki na uislam

  • @sostentulian9462
    @sostentulian9462 Рік тому +1

    Natamani ningekuwa na ubongo ka mzee hananja

  • @abuubakar7594
    @abuubakar7594 Рік тому +3

    Kweli wata wa zamani walikua na masuria na c vibaya wake wa4 kafundixa mtume muhammad (SAW) alivyopewa Quran mathnaa wa thulatha warubaa

    • @jpmanotaofficial639
      @jpmanotaofficial639 Рік тому

      Muhamad kaingiaje hapo anaongelea mfalme sulemani au muhamad nae alikuwa mfalme duh!

    • @abuubakar7594
      @abuubakar7594 Рік тому

      @@jpmanotaofficial639 Muhammad (SAW) unamjua kwanza?

  • @jastinmkoba
    @jastinmkoba Рік тому

    Anazeeka vibaya sana wazee wenzie wanabusara🤷

  • @HatibuAbdalla
    @HatibuAbdalla 4 місяці тому

    Sio sahihi mungu anasema hawatakuwa hawatakuwa radhi mayahudi na wakirsto mpaka mfuate Mila yao.hiyo sio hoja ya utanzania tatzo hao maimamu hawapo sahihi katka naamuzi ktk dini.sio tatzo elimu tatzo kuwa na ustiqama jee! angekuwepo mtume angekubali kufanya.tatzo la maimamu be wetu wamenunuliwa na viongozi was dunia

    • @TatuShakha
      @TatuShakha 4 місяці тому

      Umerudia kusoma ulichoandika ?

  • @NicomedShishimbi
    @NicomedShishimbi 3 місяці тому

    Sawa baba umefanya kwa upe ndo

  • @EffortEffort-c7r
    @EffortEffort-c7r Рік тому

    Nice

  • @Swaahib-i7n
    @Swaahib-i7n Рік тому

    Ni Bakwata jamani msimlaum mzee hananja

  • @KABIBIPETER
    @KABIBIPETER 6 місяців тому

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @RonnieBertin-f7f
    @RonnieBertin-f7f 8 місяців тому

    HUYU BABA ANA MADINI ADIMU SANA

  • @HAMZALUHANGA
    @HAMZALUHANGA 11 місяців тому

    Mchungaji yupo sahihi, binafsi naamini imani zote zinazo fundisha utii, waaminifu, upendo, na kumtii Mungu zipo sawa.

  • @rashid3562
    @rashid3562 Рік тому

    Genius

  • @kinyuwaJr
    @kinyuwaJr Рік тому

    Uko sahihi mchungaji

  • @MwanaidMagasa
    @MwanaidMagasa Рік тому +1

    Mungu akulipe maneno yako ukweli kabisa

  • @jumasungula8510
    @jumasungula8510 Рік тому +1

    Mzee unaakili sana

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 Рік тому

    🎉una upeo saana baba mtumishi

  • @rayisadesigns2646
    @rayisadesigns2646 Рік тому +3

    HONGERA MTUMUSHI, AKILI KUBWA SANA. ILA HATA WAISLAM NAO WANAAMINI SULEIMAN NI NABII LAKINI PIA NI MFALME. KWA HIYO KWENYE UFALME WAISLAM NA WAKRISTO KWA MUJIBU WA MFUNDISHO YA VITABU VYAO WOTE WANAAMINI SAWA KUWA SULEIMAN ALIKUWA MFALME.

  • @faudhiasaidi3669
    @faudhiasaidi3669 11 місяців тому

    Uyu mchungaji anahekma sana

  • @ibrahimsaad617
    @ibrahimsaad617 Рік тому

    Mwamba ❤Unajua

  • @francoulanga
    @francoulanga Рік тому

    ❤❤

  • @ramadhanihafidh7732
    @ramadhanihafidh7732 Рік тому

    Wewe ni mtu wa haki unaekubalika na kila mwenye akili na imani ya uwepo wa MWENYEZI MUNGU mtukufu

  • @VeronicaRugoyi
    @VeronicaRugoyi Рік тому

    Baba umetisha❤❤

  • @alzawahirabdallah2299
    @alzawahirabdallah2299 Рік тому +1

    Kesho kutwa wakristo wenzake watamkata

  • @jumaomari3842
    @jumaomari3842 5 місяців тому

    Ananja wewe ni kiumbe unae tumia kichwa chako vizuri

  • @HellenMendard
    @HellenMendard Рік тому +1

    Uko vizuri baba!

  • @abdul-azeezmagram4973
    @abdul-azeezmagram4973 Рік тому

    Mtangazaji kuwa makini na maswali yako yanalenga uchonganishi kwenye imani za watu usije ukajutia maswali yako

  • @kasimkassam9565
    @kasimkassam9565 Рік тому +1

    Babu kamaliza wanao penda udini mnapigania pepo je niyakwenu ua kama hakuna pepe je mmeuwaniya nini😮

    • @maalimhamad1297
      @maalimhamad1297 Рік тому

      Huyo nawewe akilizenu nyote sawa

    • @BenjaNetanyahu
      @BenjaNetanyahu Рік тому +1

      ​@@maalimhamad1297kwani baba Ako aliwahi kufika peponi? Hebu mwambie atume kwene status tuone peponi pakoje.

  • @farajifundi1160
    @farajifundi1160 Рік тому

    Saf sana mzee

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 Рік тому

    IMANI ZA KISHOGA KUFUNGA NDOA👀👀😂😂😂

    • @jpmanotaofficial639
      @jpmanotaofficial639 Рік тому

      utafungaje ndoa wakati unaowa owa hovyo wake wa nne4 utamvisha pete nani umuhache nani
      Kwahiyo ndugu zetu waislamu mambo ya ndoa mtaangalia kwa mbali kama balamwezi 😂

    • @natafutamatatizo4382
      @natafutamatatizo4382 Рік тому

      @@jpmanotaofficial639 Tutawabarikimashoga kufunga ndo kanisani🤣🤣🤣👀

  • @kasimkassam9565
    @kasimkassam9565 Рік тому +1

    Huyu mzee akili nyingi sanaaa

  • @EvodiusbarakaMtundu
    @EvodiusbarakaMtundu 9 місяців тому

    Mzee wabusala

  • @denismugisha2
    @denismugisha2 Рік тому

    Mchungaji Hananja usiongee sana ukapitiliza, wewe ni mchungaji mtu wa imani unasemaje pengine mbingu haipo?? Siku nyingine utawaambia watu habari za kwenda mbinguni wakuelewe?? Acha ukomedi ktk kila jambo

    • @alleyd.alleyd
      @alleyd.alleyd Рік тому +1

      Don't pretend like you know too much.

  • @umazisalim8070
    @umazisalim8070 Рік тому

    Baba nakupenda buri

  • @JumaBakir
    @JumaBakir Рік тому

    Mzee maneno yako mazito yanaitaji yachukuliwe nawatu wote

  • @Christina-n6b
    @Christina-n6b 5 місяців тому

    Nakukubal

  • @SaidiYahya-t1c
    @SaidiYahya-t1c Рік тому

    Mama Samia pambana na rushwa tunakuomba mama rushwa imezidi nchii hii

  • @seynabhaji8035
    @seynabhaji8035 Рік тому

    Busara imetawala hapa

  • @gooleserviceyoutubescandar3450

    Masha Allah Amiiin.

  • @SmilingPlanets-yx9rm
    @SmilingPlanets-yx9rm Рік тому

    On point

  • @yohanampangule8817
    @yohanampangule8817 Рік тому +3

    Sahihi kualikana ,Ila Ni lazima Uwaeleze UKWELI kuwa YESU NDIYE NJIA YA KWELI ,NA HUKO KWENYE UISLAMU WAMEPOTEA ,,,...LAKINI NAONA MCHUNGAJI HUNA USHUHUDA KABISA KABISA. Humjui Allah ,UNASEMA ,unamshukuru.....ALLAH SIO JEHOVA BABA ,,,,HAPA LEO NIMEJUA WEWE BADO SANA..

    • @carterjordan4216
      @carterjordan4216 Рік тому +5

      Allah, Jehova, Mungu, God, ni lugha hizo mkuu. Siyo imani.

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 Рік тому +1

      ###Yohana Kwani wewe lugha yako ya kijijini huyo muumba mbingu na ardhi huwa mnamuitaje?
      Maana kwa uhakika wewe si mswahili wa mjini, una lugha yako ya kijijini, hivi Yehova huwa mnamwitaje?

    • @SaidiRashid-yc3rc
      @SaidiRashid-yc3rc Рік тому +2

      Hujuwi ulitendalo usamehewe

    • @rahimukayela297
      @rahimukayela297 Рік тому +3

      Jamaa ni empty knowledge ALLAH, JEHOVAH, BUDDHA, JAH, GOD, izo ni lugha tu za watu kw Kiswahili ndo MWENYEZI MUNGU.

    • @emmanuellwinga5686
      @emmanuellwinga5686 Рік тому

      Bomu lingine hili linaweza tulipukia

  • @loner_wolf
    @loner_wolf Рік тому

    Naungezaliwa uchawini.....?
    Tafuta haki acha kurithi mzee. Otherwise nakukubali na kukuthamini sana .

  • @idrisandaka2198
    @idrisandaka2198 Рік тому

    Na traffic waache rushwa

  • @SudiSheikh
    @SudiSheikh Рік тому

    Wewe mzee,acha uongo, MUHAMMAD alienda usiku mmoja na akarudi,akaeleza kila kitu paka jinsi kulivyo huko mbinguni.na alikutana na Mola wa viumbe wote.kasome!!!

    • @youngrappertz1735
      @youngrappertz1735 Рік тому +1

      Prove

    • @SudiSheikh
      @SudiSheikh Рік тому

      U want a prove,how do u want aprove n I can't believe!,go n read in Islam it's there very open.

    • @SudiSheikh
      @SudiSheikh Рік тому

      U can't believe,there is an interesting story abt Muhammad sw wen he went to heaven.ucan even Google on ua phone

    • @jpmanotaofficial639
      @jpmanotaofficial639 Рік тому +1

      Muhamad gani alie kufa kwa sumu au kunamwingine alie mbaka haisha au unamuongelea muhamad sala mchezaji wa Egypt 🇪🇬 🤔

    • @SudiSheikh
      @SudiSheikh Рік тому

      @@jpmanotaofficial639 sawa iko siku utakuja juta,utatamani dunia ianze upya lakini majuto yako siku hiyo hayatakufaa kitu.endelea kupinga eti mnaona mnaudhi waislamu.kila mtu atalipwa sawa na vitendo vyake,kumbuka hayo unayoyasema pia ni katika vitendo vyako.utalipwa tu.endelea kucheza

  • @abdulhamidisiraja4930
    @abdulhamidisiraja4930 11 місяців тому

    Yupovizurisana

  • @stanleyjohn2929
    @stanleyjohn2929 Рік тому

    Kabisa

  • @fortyyellu9971
    @fortyyellu9971 Рік тому

    😂😂😂

  • @MOHAMEDJUMA-x1i
    @MOHAMEDJUMA-x1i Рік тому

    point wewe ni mtu makini

  • @Philipoupdates
    @Philipoupdates Рік тому

    Mbego nina mkasa nitafute