Mungu hawabariki saaaaana AIC CHANGOMBE HUU wimbo mzuri i cant go a day without listening to it . I will fly to Tanzania because of you guys.God bless you.
Although I don't understand the language I love your songs and watch your videos almost always God bless you all. I'm from Ghana living in the United States 🇺🇸
Mbarikiwe Wana choire wa Changombe. Have replayed this song many times till my neighbors knew about it. Siri yangu mungu pekee aijuwa. I would wish to visit them soon.
Kweli biblia inamaandiko mengi sana.. kwa hiyo inanyimbo nyingii sana. Na maandiko ni mazuri sana kutumika katika nyimbo kuliko maneno ya kuuungaungaa .
Aliiiiiiiiiii Yesu Ni bwana. Na barikiwa sana hapa Nairobi. Soloist on point. Instrumentalists sharp kabisa. I see Rose Fewer and Mr James . Pongezi sana
I really like the arrangements of your songs team,am really blessed anytime I listen to your songs. soloists mmeweza .be blessed,listening from Nairobi-kenya
I have been listening to their song since2010 and this one surely is the best one yet for me thanks brother for the powerfully message.God bless aic.chang'ombe
Thank you for sharing this beautiful song,It has meaning for all persons. Keep them coming. I enjoy them all. May God bless and expand your Teritories.
Duuh mungu awapeleke kwenye viwango zaid ya hapa to be honest guys mnaimba iyo sauti ya kaka anae imba solo ni Atari ata shetani anakimbia anavyo isikia MUNGU AWABARIKI
I like your style, you always seem to be moving forward. What has interested me in this song is to see a MAN SOLOING. You have maintained your unbeatability in gospel songs, it might not be out of bias to conclude that YOU ARE THE BEST IN TANZANIA. Let OUR HEAVENLY FATHER EXALT you further and further.
Mtu wa guitar🎸 jameni ❤❤... Nimependa vile anapiga 🇰🇪
Ee mwenyezi Mungu tunaomba tuwe na matendo mema yatakayo kupendeza wewe,maana wewe ndiye unaye jua Siri zetu ,
Here 2024 wimbo Bora kwangu. Mungu nisaidie niwe na kitu hata kimoja Cha wewe kujivunia kwangu 😢😢
Sijawahi choka kusikiliza wimbo huu Mungu awabariki sana
Nairudia hii nyimbo mala mbili mbili natafuta kitu ambacho Mungu atajivunia kwangu sikioni Eeeee Mungu nipe matendo mema
Mimi nimevalikiwa mpaka nahamu ya kupata number za sim .tena baziomba sana kwa hamu
God bless this choir i'm blessed living in kenya
Hongela kaka, sauti imenolewa na damu ya yesu nailewa sana hadi wimbo nauelewa 🙋🙋mubalikiwe ninyi nyote
I❤ your songs am listening from Kenya your music is well arranged instruments and good vocals
Barikiweni sana kwa wimbo na mdundo mzuri sana unahoendana na densi yake . mchezeeni Mungu wetu wapendwa.
My favourite Bahati meshackGod bless you
I am a Catholic but I like these people so much❤❤
Be blessed
Asante sana mungu awabariki waimbaji
Huu wimbo lazima utaenda mbinguni maana umemgusa kila mtu
Mungu hawabariki saaaaana AIC CHANGOMBE HUU wimbo mzuri i cant go a day without listening to it . I will fly to Tanzania because of you guys.God bless you.
I love ❤love this choir lord help me one day to visit the church.
God will open the door for you soon
Ooooooh my goodness what a song, yaani kila wimbo wa CVC unanibariki I love this song , tamu zaidi ya Asali,
Nami pia nabarikiwa
Big up saut imetulia mungu awainue viwango vya juu ameimbisha vizur sana
Although I don't understand the language I love your songs and watch your videos almost always God bless you all. I'm from Ghana living in the United States 🇺🇸
Nlisubir sana huu wimbo mungu awabariki
Matendo mema Ni manukato kwake . Nawapenda Sana watumishi wa mungu nabarikiwa kwa nyimbo zenu zote
My people you've never disappointed, let Almighty God continue using you as vessels of honour.
Mungu hujipatia sifa na utukufu kupitia kwa watu.. hallelujah
I love you so much good song ❤
My favorite choir,may God bless you abundantly
Mungu ainue vipaji vyenu juu zaidi
The song makes me read the book of Job over and over again. It's a blessing to me. The anointing in this is in another level. More grace to this choir
Amen
Wapendwa mnanibariki sana kwa nyimbo zenu baba yetu awabariki sana mtalipwa msipozimia roho
Mungu azidi kuwabari saana kila siku I wish siku moja nitakuwa miongoni mwenu, napenda mnavyoimba saana..........
Waaah the way the songs are played and planned is Soo amazing..
Our role models ....
We love you guys
#CVC
GOD BLESS YOU CVC... Kazi yenu ni zuri kabisa. You are my favourite!! ❤️
Hongera Dany praise wewe umeinuliwa na Yesu kaza buti endelea kunyenyekea kwa Mungu wetu,,,
CVC mmeinuliwa juuu Sana .....
Nawapenda cvc
Kazi nzuri sana mdogo wangu danny 👏👏👏👏🙏
Naomba number ya huyo kaka
Ninawapenda sanaaa MUNGU AENDELEEE KUIINUA HUDUMA YENU
Oooh Mungu awazidishie nguvu ya Kumutumikia, Nyimbo zenu zimebeba Ujumbe mzito❤
Mbarikiwe sana kwa nyimbo zenu, always your songs are meaningful. Keep it up.
Kazi nzuriiii kakaaa Mungu awainue na awatumie Kwa viwango vingine vya juu mbarikiwe sanaaaa
Is this guy a DAWASA employee
Jameni mwenyezi Mungu awabariki sana kwa wimbo huu mtoto kwelii kwelii
Huu wimbo nimeupenda mara mia,umenibariki sana
Mbarikiwe Wana choire wa Changombe. Have replayed this song many times till my neighbors knew about it.
Siri yangu mungu pekee aijuwa. I would wish to visit them soon.
Huu wimbo niliupenda kipindi nikiwa mjamzito na ulinipa nguvu sana mbarikiwe sana watumishi
Hi wimbo ni injili nairudia kusikiza. Ni mwekiti @cherubim paradise singers ❤ changombe cvc
This is a master piece of its kind.Kudos CVC
Kweli biblia inamaandiko mengi sana.. kwa hiyo inanyimbo nyingii sana. Na maandiko ni mazuri sana kutumika katika nyimbo kuliko maneno ya kuuungaungaa .
Nimebarikiwa sana,Hamjawahi kukosea,,Mungu azidi kuwainua
Aliiiiiiiiiii Yesu Ni bwana. Na barikiwa sana hapa Nairobi. Soloist on point. Instrumentalists sharp kabisa. I see Rose Fewer and Mr James .
Pongezi sana
Sorry l meant to say Rose Gewe
Mbarikiwe watumishi wa MUNGU ♥️♥️♥️
I really like the arrangements of your songs team,am really blessed anytime I listen to your songs. soloists mmeweza .be blessed,listening from Nairobi-kenya
Ameeen mbarikiwe saana mnanibarikigi saaana nanyimbo zenu
Imenibarik sana wimbo huu naomba tu niwe wakujivuniwa na Mungu
Amen nabarikiwa sana na nyimbo zenu
I have been listening to their song since2010 and this one surely is the best one yet for me thanks brother for the powerfully message.God bless aic.chang'ombe
Mie ata sisemi Sana ila aliye yote awabariki Sana watumishi wa mungu
Unakitu gani ambacho Bwana Mungu ataringia kwako
Swali muhimu sana
Mbarikiwe sana watumishi
Nabarikiwa sana kuptia huu wimbo mungu awatangurie 🙏🙏
You bless me so much....continue soaring higher for GOD'S GLORY
Thank you for sharing this beautiful song,It has meaning for all persons. Keep them coming. I enjoy them all.
May God bless and expand your Teritories.
Katika kwaya ninazo zipenda ni CVC mpo vizuri San mbarikiwee sanaa
Mungu awabariki sana na mbarikiwe zaidi nyimbu nzuli zote
Huu wimbo unanibariki Sana na kunijenga Sana kweli siri yako na Mungu unajua mwenyewe
Ujumbe wa kipekee sana Mungu awabariki 💕💕
Ujumbe mzito Sana ..Siri yako. Mungu atusaidiie
🙏🙏🙏🙏 asant kwa wimbo nzuri Mungu awabariki sana
Huu wimbo nimeishi kuusikia kwa redio ya jirani na nikaupenda, ilinibidi kuutafuta
Ni wenye baraka tele
🙏🏿 🙏🏿 🙏🏿 🙏🏿 🙏🏿 🙏🏿 🙏🏿
I was waiting eagerly Now its out,
May the Almighty God continue to bless you in your Ministries.
Amen..
Solo wa kiume umefanya vizuri sana, saiti isiyo na mambwembwe mengi lakini yenye mvuto sana.
Feeling blessed at Kenya. Mungu azidi kuwainua.
I'm blessed to be Christian, God bless this choir.
AICT are real pro. I have been listening to their songs since 2008! And this one is so smooth, I even don't want it to end.
Sure even me i don't want to end
Ttheh
Always nabarikiwa na nyimbo zenu
Hongera sana watumishi wa mungu kwa kazi nzuri ya kueneza injili ya bwana.
CVC Mungu awainue zaidi, mnanibariki watumishi wa Bwana. Siri yako mwenyewe wajua
AIC YOUR AMIZING HAKI HUWA NAPENDA KILA NYIMBO MUNAYO TOA ........I WISH TO JOIN YOU GUYS PLEASE
Hakika ni siri ya mtu binafsi....nazidi kujipeleleza mwenendo wangu mbele za Mungu.Mbarikiwe na Mungu 🙏
Wow!may the holy name God be gloryfied,i am blesed by these heavenly team.Aic Chang'ombe.
Duuh mungu awapeleke kwenye viwango zaid ya hapa to be honest guys mnaimba iyo sauti ya kaka anae imba solo ni Atari ata shetani anakimbia anavyo isikia MUNGU AWABARIKI
🥰🥰🥰🥰🥰🥰 naipenda sanaaaaa jaman mpaka najisikiaga furaha tu
Mubarkiw
Mungu nisaidi niwe na kitu ambacho utajivunia kwangu, bonge la wimbo huchoki kusikiliza
This song has really inspired me,,,😇😇😇😇
I really like the song,,the dance itself is amazing
This is master piece 👌 wah!!!!God bless choir..
I love you guys you always bless me with your songs
Harmonization ya vyombo na sauti inanitia wazimu... Hongera sana. Soloist Naye! Acha tu
Mungu awabariki sana.mko vizuri
Mwimbo huu umenibariki Sana Mungu awainue kwa viwango vya juu zaidi
Powerful
Safiiiiii hii ndio maana ya choir.
Narudia mara mbili mbili barikiwa sana
I like your style, you always seem to be moving forward. What has interested me in this song is to see a MAN SOLOING. You have maintained your unbeatability in gospel songs, it might not be out of bias to conclude that YOU ARE THE BEST IN TANZANIA. Let OUR HEAVENLY FATHER EXALT you further and further.
Mmeimba.kikubwa mno big up
Wimbo umenibariki sana
God bless you guys nice song
Amen wimbo huwa unanibariki sana mbarikiwe na bwana wahimbaji
Nikitu gani Mungu anajivunia kwetu🙏🙏
Uaminfu ni manukato kwake. Nafurahia mafundisho ya huu wimbo.
Aic God bless alot,,,this is great song
I like all songs from the first album kep it up and may God B l Ess
barikiwa sana man soloist you are talented indeed.God bless you
your songs minister to me greatly,mungu azidi kuwainua
Rhumba flow wow kuna raha kwa yesu
Hahaha ni kweli ni siri yangu ila Mungu anisaidie kushindwa kwangu.
Wow, mbarikiwe sana!
Mbarikiwe watoto wa Mungu tumieni vipaji mlivyo navyo maana mmepewa bure toeni bure