nafsi yangu imechoka sana na maisha yangu yamekosa mwelekeo, sitajizuia na kuugua kwangu mimi, nitanena kwa uchungu, kwa roho yangu nitamwambia MUNGU wangu... usinihukumie makosa yangu, Nioneshe sababu ya kukosana nawe..... WIMBO HUU KWANGU NI IBAADA.... MUNGU wa mbinguni aendeleee kuwatumia kuihubiri injili yake kwa watu wote AMINA...
Kama hapa duniania ndio hvii Je huko kwa mbinguni patakuaje sipati picha siku hiyo.... Mungu awabariki Roho Mtakatifu akazidi kuwa ndani yenu awalinde.
Wakenya Lets show Love to these Blessed brothers and sisters. Nikisikiya Nyinyi zenu huwa najihisi nimesonga Karina na Mungu. May God bless you. Nawapenda Sana all the way from Mombasa Kenya.
Huu wimbo unanikumbusha kunyenyekea na kutubu mana maisha yetu yamechorwa kiganjani pake na ni neno toka kwake linaweza jenga au kuua......mungu ni mwema
Kutoka Kenya. Alivyoifanya mbingu Mungu, Akatutwika vipawa tuvitumie kwa Majira yaliyomo. Nimebarikiwa na nyimbo zenu, Soloists. Ooooh, What a gem 💎 you are. Kutoka, Yatendeeni, Ufalme, Mungu kwetu sisi, Wastahili, Nyenyekeeni, Kila mwenye Pumzi, Haudaiwi hata Usikate tawi..... . Sasa huu wa Nafsi yangu na Wasamehe kweli mwatesa ajabu. Mmelea vipawa na CVC iendelee. Mwalimu Styles,barikiwa. Mcheza keyboard, ooooh Baraka.
Watching you from Kenya 🇰🇪, my family and I have been really blessed by CVC songs since the one titled "Gusa" may God use you as the instrumentals in preaching His word. God bless you CVC. We Love you. 🙏
Kikundi hiki cha waimbaji wanibariki sana. Nyimbo zao huwa zinatoka kwenye maandiko matakatifu katika Biblia. Mwenyezi Mungu awabariki sana. Endeleeni kuhubiri injili kupitia nyimbo zenu za kuinua mioyo ya watu dunia kote. Nampenda sana huyu soloist....
Niwa shukuru wenzangu wana muziki wote wa kwaya kuu hii kwa utaratibu na ufundi mukubwa mulivyo utunga kwa wimbo huu na nyimbo zingine nime wasikiliza na ku wafurahia. Mimi pia ni mwana muziki kutoka mashariki drc butembo
Tunawapenda sana aict chang'ombe choir mnaimba vizuri sana mungu awabariki sana sisi pia tuko kijijini tunapenda sana kumwimbia mungu lakin tumepungukiwa vifaa vya music sana sana kinanda tunaomba mchango wenu wa hali na mali kias chochote mtakacho tuwezesha tutashukuru sana tunaomba mtusaidie tunataman sana kumwimbia Mungu amen mbarikiwe sana
Mungu wetu mwenye nguvu awabariki sana katika huduma hii ya uimbaji kwani watu wenye kweli rohoni wanafarijika na wengine wengi wanaokolewa kwa huduma hii.
Kuna jambo la kipekee nimekuja kuelewa,Mama Diana anaposolo wimbo uwa na mnato sana tena uwepo mwingi wa Mungu. Itoshe kusema ni mwombaji japo simjui ki roho lkn ninahisi n Mwana Mama mwenye unyenyekevu mno na msikivu...Mungu azidi kumpa miaka mingi azidi kutumika hekalauni mwake. 🙏🙏
Just what i needed... my mom just sent me a link to this song, I've been feeling low lately... thank you for the message.... My heavenly father continue reaching out to bless you people.
What a blessing to the world from this Annoited choir!! For sure,,,,Siku za mwanadamu sio nyingi,,,, mbarikiwe Sana Wana Chang'ombe mnapoiendeleza huduma hii Kwa njia ya uimbaji!!!
all the songs i have watched from the new ALBUM JIWE zote ni nyimbo nzuri sana zimenibariki mno, HONGERA CVC kwa kazi safi sana ya kumtukuza Mungu. Kenya Tunapenda kazi yenu
Yaaani ninaendelea kuhudumiwa na huu wimbo Mimi niliyevunjika Sana roho yangu. Watoto wangu waliponitharau na kunisimanga dhiki imenijaa na huzuni nyingi ...Lakini nitakuwa sawa . Usiniwache nipotee Bwana..Mungu niondolee hii mapito na unifute machozi....
Be blessed CVC Nafsi yangu imechoka sana na maisha yangu yamekosa Mwelekeo Usinihukumie makosa yangu ee Mungu, nionyeshe sababu ya kukosana nawe ili nitubu............ Nipokee Bwana Mungu usiniache nipoteeeee Bwana, Nitetee Bwana Mungu usiniache niangamie mimi.......HALELUYAAAAAAAAAAAAAAAAA
Who else is being blessed by CVC , NAFSI YANGU, ama ni mimi pekee? Good Work watumishi wa Mungu , i cant have enough of this song I HAVE PLAYED OVER 100 times again and again. asanteni sana
Nice CVC.. Hongereni kwa utume..! Waimbishaji wapya wenye vipaji vikubwa vya sauti vya sauti.. Nimeipenda hivyo..!! Sifa na utukufu vyote ni kwa Mungu...!
Hakika walio ndani ya Mungu yeye uwapea kung'aa kwa kweli, vocals, soloists, uniformity, kila kitu ni asilimia mia juu ya mia. Mungu awatumie zaidi kufikisha ujumbe duniani kote.
Of all your songs, this makes me feel worthless before the eyes of God please keep on preaching to the entire world to bless us very much may God bless u all
nafsi yangu imechoka sana na maisha yangu yamekosa mwelekeo, sitajizuia na kuugua kwangu mimi, nitanena kwa uchungu, kwa roho yangu nitamwambia MUNGU wangu... usinihukumie makosa yangu, Nioneshe sababu ya kukosana nawe..... WIMBO HUU KWANGU NI IBAADA.... MUNGU wa mbinguni aendeleee kuwatumia kuihubiri injili yake kwa watu wote AMINA...
AMINA mtumishi na mteule wa MUNGU
@@thaimouraaloyce9515
Hakika!
Kabisa, Mungu awatunze
@@chibudeh543 u
Mko sawa! Ila muwe macho Adui hana mchezo! Mkishangaa shangaa .................!!!
Kama hapa duniania ndio hvii Je huko kwa mbinguni patakuaje sipati picha siku hiyo.... Mungu awabariki Roho Mtakatifu akazidi kuwa ndani yenu awalinde.
Nabarikiwa sana. Na huu wimbo
Dada uliyeanzshaa kuimbishaa nakupendaa bureee😘😘
Hunizidi mimi natamani siku moja nikasali pale kanisani kwao
Daaaah kweli mungu amewatumia vzr hasa Hawa wanaombia daaaah mungu awainue zaidi jamani
AIC CHANG'OMBE i realy like your songs. you are a blessing to me ...
My favourite song. Your songs are unique and amazing. Be blessed AIC Chang'ombe.sichoki kuweka nyimbo zenu kila siku. Joyce from Kenya
Wakenya Lets show Love to these Blessed brothers and sisters. Nikisikiya Nyinyi zenu huwa najihisi nimesonga Karina na Mungu. May God bless you. Nawapenda Sana all the way from Mombasa Kenya.
Mungu azidi kuwainua
🙏🙏🙏
Amen
Mnaimba vizuri mnavutia sana
@@rhodapyuza7465 a as
Naupenda sana huu wimbo,, Dada Diana Mungu akupe maisha marefu. 😍mbarikiwe wote
Huu wimbo unanikumbusha kunyenyekea na kutubu mana maisha yetu yamechorwa kiganjani pake na ni neno toka kwake linaweza jenga au kuua......mungu ni mwema
Mungu nipe kibar siku moja nikaabudu hili kanisa niwaone hawa watumishi wa mungu wananibariki❤
Kutoka Kenya. Alivyoifanya mbingu Mungu, Akatutwika vipawa tuvitumie kwa Majira yaliyomo. Nimebarikiwa na nyimbo zenu, Soloists. Ooooh, What a gem 💎 you are. Kutoka, Yatendeeni, Ufalme, Mungu kwetu sisi, Wastahili, Nyenyekeeni, Kila mwenye Pumzi, Haudaiwi hata Usikate tawi..... . Sasa huu wa Nafsi yangu na Wasamehe kweli mwatesa ajabu. Mmelea vipawa na CVC iendelee. Mwalimu Styles,barikiwa. Mcheza keyboard, ooooh Baraka.
Diana na mpenda
Huyu Mama (Diana) .... Amekua Baraka Kwangu Mungu amuinue katika viwango vya juu kabisa....
Mama Diana ni huyu mweusi au maana mie nampenda sana uimbaji wake
Ndiye huyo ss...mama asiye na makuu.Mungu kambariki kweli na sauti
Mungu awabaroki sana .Mr.A mbasha.toka Moshi Kilimanjaro
Watching you from Kenya 🇰🇪, my family and I have been really blessed by CVC songs since the one titled "Gusa" may God use you as the instrumentals in preaching His word.
God bless you CVC. We Love you. 🙏
The song leader is young all times since I knew her at my 7 years old,Grace is always at your life,I love your ministration.
Mubarikiwe xana kwa uinjilishaji wa neno la MUNGU,,nyimbo zetu Zina nibariki Xana xana ,,Mungu avitunze vipaji vyenu muendelee kumtukuza MUNGU,,,,
Kikundi hiki cha waimbaji wanibariki sana. Nyimbo zao huwa zinatoka kwenye maandiko matakatifu katika Biblia. Mwenyezi Mungu awabariki sana. Endeleeni kuhubiri injili kupitia nyimbo zenu za kuinua mioyo ya watu dunia kote.
Nampenda sana huyu soloist....
Cvc nawapenda sana huu wimbo umegusa mioyo za watu na kubarikiwa amen mungu awe nanyi siku zote nafsi yangu ....huchoki kusikiliza
Niwa shukuru wenzangu wana muziki wote wa kwaya kuu hii kwa utaratibu na ufundi mukubwa mulivyo utunga kwa wimbo huu na nyimbo zingine nime wasikiliza na ku wafurahia. Mimi pia ni mwana muziki kutoka mashariki drc butembo
Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu ,msaada utakaoonekana wakati wa mateso .Glory be to God
Amen sitachoka kutenda mema ee Mungu anitetee barikiweni wapendwa kwetu ni Mbinguni tulazen mwendo
Yaaaaan sister Diana uishiiii miaaka bukuuu
Mtunzi wa huu wimbo...nakuombea baraka tele jumla na waimbaji wote wa AIC Changombe,,,,,,Bibilia nayo mmeisoma
God bless you cha'ngombe choir for serving God and mankind, it always quite edifying the souls of the listeners.
Tunawapenda sana aict chang'ombe choir mnaimba vizuri sana mungu awabariki sana sisi pia tuko kijijini tunapenda sana kumwimbia mungu lakin tumepungukiwa vifaa vya music sana sana kinanda tunaomba mchango wenu wa hali na mali kias chochote mtakacho tuwezesha tutashukuru sana tunaomba mtusaidie tunataman sana kumwimbia Mungu amen mbarikiwe sana
Mungu wetu mwenye nguvu awabariki sana katika huduma hii ya uimbaji kwani watu wenye kweli rohoni wanafarijika na wengine wengi wanaokolewa kwa huduma hii.
hii kwaya inamfanya mtu atamani kuimba kwaya kwakweli mbarikiwe sana jamani🙏🙏🙏🙏
Nimeupenda huu wimbo umekuwa faraja kwangu, natamani niimbe kama wewe soro wa kwanza Mungu aendelee kukutunza na kukutumia
Ole ole wake yule ashindanae na Mungu alie juu mwenye kuponya.
My favourite soloist; I could listen to her sing the whole day and not get tired. God bless you mama!
Mungu awabarki
Nampenda sana❤
@@rizikilukumay6807 qm
I love this...Inanifunza niombe Kila siku nimwambie mungu usinihukumu makosa nionyesha sababu yangu
Hawa masololists nashimdwa kuwasemea,, zaid nasema mungu aendeleee kuwabariki sana na sana tens,,
Nawatamani Sana Hawa masoro na me Ni solorist lkn kila nikiwaona Hawa najiona siwezi kabisa
May God bless you all
Jamani sijui niseme nini juu yenu!! Zaidi ya kusema mbarikiwe zaidi na zaidi hakika nyimbo zinakuweka katika utukufu wa Mungu kabisa kabisa.
Mbarikiwe sana CVC kwa wimbo huu mzuri....nabarikiwa mnoo!
From Kenya, aki mnanibariki Sanaa this is my favorite choir ever, my God bless you so much
From Kenya always ....i love this choir.
Good work mm napedezwa na uimbaji wenu kwanza ile vol ya nenda na uzima wako inanibamba sana mungu azidi kuwabariki
Nabarikiwa sana na wimbo huu, tunamuomba Mwenyezi Mungu aendelee kuwatumia kiwango hadi kiwango
Nawapenda Sana nahudumahii yauwimbaji.kwakweli napowasikiliza pindi mkitowasautizenu kumtukuzamungu huwanatamani kuwakiumbe kipya
Mungu isamehe nafisi yangu 😢😢😢😢
Mungu aibariki kwaya hii nyinyi ni chombo mliyotumwa na mkakubali kutumika kutangaza injili ya yesu
Dada aliyeanza nafsi yanguhuwa naguswa na kubarikiwa Sana na huduma yako Mungu aendelee kukutumia
E
Mbarikiwa sana
Mnanibariki mungo azid kuwatunza ,nanyi mfanye kazi hii bila kuchka
Kuna jambo la kipekee nimekuja kuelewa,Mama Diana anaposolo wimbo uwa na mnato sana tena uwepo mwingi wa Mungu. Itoshe kusema ni mwombaji japo simjui ki roho lkn ninahisi n Mwana Mama mwenye unyenyekevu mno na msikivu...Mungu azidi kumpa miaka mingi azidi kutumika hekalauni mwake. 🙏🙏
NAWAPENDAAAAAAAAA SANAAAAA AICT CVC NABARIKIWA NA UIMBAJI WENU ,NILISUBILI KWA HAMU ALBAM YENU ,MUNGU AWABARIKI HAKIKA AMINAAA
Mungu aendelee kuwatumia ili wazidi kulitangaza jina lake. Mbalikiwe sana kwa kukonga nyoyo za watakatifu wa Mungu.
I just love the soloists of Chang'ombe choir you have awesome voices huwa mnanibariki way since the Gusa in the 2000s
Mbarikiwe sana nyimbo zeu zinanibariki sana
Hii kwaya nimeijua juzi 2020, lakini ule wimbo wa gusa niliujua muda murefu nikiwa kijijini Katavi. Jamani tunatoka mbali. Kula hakuna radio kabisa.
Just what i needed... my mom just sent me a link to this song, I've been feeling low lately... thank you for the message.... My heavenly father continue reaching out to bless you people.
Amen 🙏
What a blessing to the world from this Annoited choir!! For sure,,,,Siku za mwanadamu sio nyingi,,,, mbarikiwe Sana Wana Chang'ombe mnapoiendeleza huduma hii Kwa njia ya uimbaji!!!
Tamu sana.....Diz time round mko chonjo.....kuna taji baada ya kazi..Glory b to God...sauti nazo?You r really blessed...
Hakika Mungu wa Bwana wetu Yesu aikumbuke kazi yenu njema
Huu wimboo ni Historia tosha ya huyo kijana kwenye huo wimbo ni mkoja wa classmate wangu and now nj mchungaji am so happy
all the songs i have watched from the new ALBUM JIWE zote ni nyimbo nzuri sana zimenibariki mno, HONGERA CVC kwa kazi safi sana ya kumtukuza Mungu. Kenya Tunapenda kazi yenu
Pamoja sana. My fellow Kenyan. In my heart...I have a dream to invite them to Kenya for a concert. May God help me.
@@favouropande1065 they were suppose to have a meeting in nakuru Last April but COVID 19 , its possible with good planning
Yaaani ninaendelea kuhudumiwa na huu wimbo Mimi niliyevunjika Sana roho yangu. Watoto wangu waliponitharau na kunisimanga dhiki imenijaa na huzuni nyingi ...Lakini nitakuwa sawa . Usiniwache nipotee Bwana..Mungu niondolee hii mapito na unifute machozi....
Huyu mama sololist huwa anajua sana Mungu akuinue zaid kwenye uimbaji be blessed
Hakika huwa nabarikiwa sana jamani na hii kwaya barikiwa sn
Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu nyimbo nzuri sana zinabariki
hawa ni kipenzi changu. napenda sana nyimbo za vikundi. mungu awabariki
Huu ndyo wimbo wangu ninao uangalia kila cku. Mungu awabariki sana.
Ubarikiwe sana
Nice nimependa sn kwa ujumbe mungu awabariki
Be blessed CVC
Nafsi yangu imechoka sana na maisha yangu yamekosa Mwelekeo
Usinihukumie makosa yangu ee Mungu, nionyeshe sababu ya kukosana nawe ili nitubu............
Nipokee Bwana Mungu usiniache nipoteeeee Bwana,
Nitetee Bwana Mungu usiniache niangamie mimi.......HALELUYAAAAAAAAAAAAAAAAA
This choir is blessed.
I love this song so much, I worked somewhere & my boss could tell me to keep playing this song & she could sing along with them
Mpom vizuri sana mbarikiwe na uimbaji,tangu enzi hizo za Gusa,usiku wa manane na zingine zote sasa mmenipa Jiwe kuu la Pembeni ,tunawapenda sana
Be blessed mmekuwa wasomi wa bibilia that's why mnaimba vizuri,pongezi
Mungu awabaliki awape maisha malefu huwanajisikia Aman nikisikia nyimbo zenu
Nyimbo nzuri sana ,mungu amibariki....un cantique merveilleux, puisse Dieu vous bênir !!!
Who else is being blessed by CVC , NAFSI YANGU, ama ni mimi pekee? Good Work watumishi wa Mungu , i cant have enough of this song I HAVE PLAYED OVER 100 times again and again. asanteni sana
Cvc mbarikiwe sana na hii song tangu nilipoisikia mpaka leo naibariki sana
What a blessing,, every time I listen to changombe I feel am in another world..may God give you more strength to be a blessing to us
From Kenya 🇰🇪, you are a blessing.
The vocals, dressing code, hair and everything is just dope👌👌👌👌👌👌🙌🙌🙌🙌🙌🙌😍😍😍
I love their songs sana, natamani kwenda TZ
Alice Mumo toroka uje jirani 😊🙏🏾🇹🇿
Blessing voice soloist mama love
Mungu akubariki dada diana kila ninapo skiliza hu wimbo nahs uwepo wa Mungu kabla sjasali uck lazma niskilize kwanzo
Nice CVC.. Hongereni kwa utume..!
Waimbishaji wapya wenye vipaji vikubwa vya sauti vya sauti.. Nimeipenda hivyo..!! Sifa na utukufu vyote ni kwa Mungu...!
This is fantastic! Keep up the good work. GS Tz Mennonite Church.
Wimbo nauangalia Kila Mara hapo mwanzo vyombo vimetulia mziki umetulia Sana Mungu. Awabariki
Hakika wimbo una mafundisho makubwa. Hongerani sana.
Jamani jamani dada huyu ananifanya nijihisi Niko mbinguni! Ubarikiwe sana dada nakupenda mnooooo!!!!!!!
Jaman huyu dada kweli anaupako wa kipekee barikiwa sana cvc Mungu amewainua tunawapenda tunamuona Mungu kwenu
Wimbo Mzuri sana Solo sauti yako ni Tamu sana
Mnakosha moyo kwa uimbaji wenu. Mungu awabariki sana AICT
Ni moja kati ya kanda zenu nzuri sana. mungu awabariki sana wanachoir wenzangu
Watch from Saudi Arabia like this song💋💋💋💋🙏🙏🙏🙏🙏
Mm huw mnanikoshatu na nyimbo zenu nzur zinaujumbe mzur sana mungu awabariki nyote
Mungu awabariki sana,mpokee❤kutoka Kenya.
Hongereni kwa kudumu hata Leo hii bado tunawasikia mkitubariki ni neema ya Mungu
jaman uyu solist wa kwanza aimba vizuri jaman kila wimbo mam mungu akubarik san mungu atakutetea kwel
Mungu azidi kubariki kipaji chenu hiki cha uimbaji. Naupenda sana sana huu wimbo
i cant just get enough of this song @AICT CHANG'OMBE CHOIR MUNGU AWABARIKI MNO , this is my current favorite song i am in love with this song
Nabarikiwa sana na uimbaji wenu,umekuwa baraka kwangu mi binafsi
Amina Amina
Nawapenda mno sichoki kuwasikiliza!, Mungu awakumbuke katika ufalme wake!.
AIC chang'ombe ni Moto wa kuotea Mbali mungu azidi kuwainua zaidi na zaid
Mungu awatie nguvu huu wimbo hunifariji sana
hamjawahi kuniangusha hata kidg,,, being blessed,,
Mama yangu umri wako unakwenda sana lakini, sauti yako inayomtukuza Mungu ni kama ndo kwanza inaanza. Ubarikiwe sana
Kwa mungu hakuna umri ote watoto ty
@@agnesgervas8070 Nabarikiwa nawe sana kwa uimbaji wako mama yangu
@@sonjoprimaryschool8186 Amina mungu azdi kukupa moyo wakusliza ili ubarikiw zaid
@@agnesgervas8070 Amina mama.. Performance ya wimbo JINSI ZILIVYO super sana kwangu
@@sonjoprimaryschool8186 amina God bless you
Baraka tele... Mungu azidi kuwainua nawapenda tu bure
Huyu Mama Dorcas ni baraka kwa hii kwaya,kanisa na ulimwengu changombe you are blessed
Mama mwenye upako wa tofauti sana. Mimi nampenda sana ...ukim angalia sana...utajua huyu mama haimbii tuu kwa kupenda ila ni mtumishi wa Mungu
Yes na anaonekana ni mnyenyekevu Sana ndio Siri kubwa ya huduma ya utume abarikiwe sana
Mama Diana not Dorcas
Huwa nampenda Sana, Kibali anacho
More blessings up on all of you ninawatamani sana mnavyotumika ,utukufu na heshima ni kwa Mungu aliye juu sana
Nyimbo tamu mavazi nadhifu yaani bwana anapendezwa nanyi,mbarikiwe sana.
Jamani barikiweni kwa uimbaji wenu mzuri tena mko smart mtu hachoki kusiliza ujumbe wenu
My favorite choir.Mungu azidi kuwabariki
Hakika mungu ameweka kitu kwa watumish hawa muendelee kuitenda kaz ya bwana wenu john furaha kotoka kilimahewa ushirombo geita
Nyimbo zote nzuri MUNGU azidi kuwatumia kwa viwango vya juu sana sana
Nabarikiwa sana na kwaya hii Mungu awape nguvu na uwezo mkubwa zaidi katika kuhubiri injili yake kupitia nyimbo
Hakika kila wakati nawiwa kuusikiliza tuu huu wimba unanibariki sana,hongereni wote.
Yaani CVC ni Shida watu wa Mungu Mbarikiwe Sana nyote
Nawapenda Sana wimbo mzuri Sana katika maisha yetu ya kiroho
Hakika walio ndani ya Mungu yeye uwapea kung'aa kwa kweli, vocals, soloists, uniformity, kila kitu ni asilimia mia juu ya mia. Mungu awatumie zaidi kufikisha ujumbe duniani kote.
Hakika nyie Ni mfano wa kuigwa, Nawapenda sana, Mbarikiwe sn na Mungu azidi kuwatetea kwa kazi nzuri
When hear about cvc changomber choir I feel blessed everyday🙏🏽✨
Huwa naipenda sana hii Kwaya Mungu awabariki sana mfike anapo taka Mungu
I love how you people sing from the heart,,,may the Lord bless richly.
What a very powerful awesome song by this Choir ! Absolutely sensational and very inspiring ! Keep shining for Jesus ! Amen !
Of all your songs, this makes me feel worthless before the eyes of God please keep on preaching to the entire world to bless us very much may God bless u all