Ufunuo Choir - Maisha Yangu (Live Performance )
Вставка
- Опубліковано 1 лис 2023
- Stream And Download Ufunuo Choir Audios on all Platforms
Boomplay:www.boomplay.com/albums/80176...
Audiomack:audiomack.com/ufunuo-choir/al...
Sportify:open.spotify.com/album/4MLJ2e...
Deezer:deezer.page.link/zfpqMWGgsVrf...
Digital technician: / bendouble9
For Booking Contact Ufunuo Choir
Phone:+255684479638
Email: ufunuoc@gmail.com
Catch up with Ufunuo Choir on Social Media
Instagram: / ufunuo_gospel_choir
Tiktok:www.tiktok.com/@ufunuo_gospel...
ua-cam.com/video/GBiEtKT7-XQ/v-deo.htmlsi=LyH2SHpwBH2kIch4
Mbarikiwe sana jamani,Mungu ni mwema kwa watu wake
Kama umemkubali mzungu Kam mm gonga like Aki Ako na sauti mzuriii sanaa
Tulioangalia hii nyimbo zaidi ya mala 10 tujuane❤
Kuna siku nimeirudia mpaka mb zikaisha😅
Yangu ni kila siku
Glory to God, wako vzr sana watumishi hawa
Unatia faraja
nimependa sauti ya mzungu jamani anaimba sanaa japo wote wanaimba mungu awabariki
If you listened with tears in your eyes 😢😢let's gather here and clap for Jesus +254 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Amen amen
Kupitia wimbo huu naomba Mungu awaponye wagonjwa wote popote walipo Kwani bila Mungu hatuwezi Kwa lolote!hata madaktar na manes Mungu awatumie kama vyombo vya uponyaji na Kila haja za mioyo yetu Mungu akatujibu vile aonavyo Mungu wetu 🙏
This year has been a big one for me. God has been so faithful to me. I went through the worst periods in my life between August and December 2022. I got broken 💔 emotionally, physically and financially while in Kenya 🇰🇪. I trusted God and had faith in him to get me through it all. A year later, he was faithful enough. Wiped me all the tears and paid it all. Now in my third month in the UK 🇬🇧, I can only listen to it, look back and thank God. He's truly an amazing God. All Glory to Almighty God.
Hallelujah
Powerful testimony God bless you
Vyote nilovyonavyo ni Mungu amenibariki hata kuishi kwangu nineema ya Mungu Sina chakujisifu Ila ni Mungu tu ❤❤
Kupitia wimbo huu mdogo wangu atoke gerezani na dadaangu apokee uponyaji wa kansa pale ocean rod
Bwana akutendeee
Amina
Na ikawe kama ulivyoomba. Amen
Amen Amen
Amen
The melody, words,dance moves,uniform everything on point . Glory to God
Who is daily listening to this song like me❤❤
Hii choir kila mtu ni powerful soloist. Hatari sana❤
Sure
Ufunuo choir is a Sleeping Giant 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙏🏿👌🏽Mungu ana watu wake , na Tanzania 🇹🇿 tumebarikiwa kua miongoni mwa watu hao . …PIGENI KAZI WAPENDWA TAJI ZENU ZITANG’AA NYOTA MBINGUNI
Tanzania mna choir nzuri sana mbarikiwe jamani
Kila nikiamka nasali na kwaya hii kweli mungu awatuze na awape maisha marefu katka uimbaji wanaokoa watu katka ulimwengu huu
Ukitaka kushuhudia ufundi wa melody, pitch na umahiri wa soloists, basi kwaya hii ni moja ya kwaya zenye umahiri huu kwa viwango vya juu. Ni neema ya Mungu tu na wala si kwa uwezo wenu. Mungu aendelee kuwapa maono walimu wa kwaya hii. Tunabarikiwa sana na huduma yenu❤❤🎉🎉,, mzungu amenikosha sana kwenye ku-solo,, kumbe ana kipaji pia cha solo mbali na style. Mungu ni mwema sana❤❤
Amen 🙏
Bila shaka kwaya iko viwango vya kipekee
@simon....uko sahihi
Bila shaka ni Alois huyu maana ni Miaka sijamuona.
tuko pa1
Mzungu mungu amempa kila kitu style anakosha sauti anakosha ❤
I love how he does it. ❤❤
Well said❤❤
Yaan anaomba kwa hisia. Mungu amuinue Zaid🙏🙏
Hatari, amebarikiwa🤣
Ningetamani watakapo kuwa kwenye maandalizi ya kutowa wimbo nyingine wanihusishe na mimi niweke wangu muchango
Neema ya Mungu imenifukaa.... Mimi Sina chakudaii mbele za Mungu wangu
Tajisifu na nini? Ta jivuna na nini? Yote yangu ni kwa mapenzi ya Mungu. Sababu langu kubwa la kukuabudu Mungu. Alléluia 🙌
asante sana Mungu wetu maana ni mwema sn kwetu,unatutendea yaliyo mema mengi hata sisi tusiostahili,asante sn Ufunuo kwa kutukumbusha ukuu wa Mungu wetu tukiwa hapa duniani
I can't control my machozi 😭😭😭😭I'm so humbled...... I feel every word from God in this song..... It pierce my heart like a double edged sword 🙌🙌🙌🙌 much blessings servants of God 🙏🙏🙏🙏 mbarikiwe na mungu azidi kuwainua tena na tena
mtunzi wa wimbo ana maono makubwa sana,sichoki kuusikiliza umekuwa kama sala yangu ya asubuhi maana nausikiliza njia nzima mpaka ninapofika kazini uso wangu unakuwa umejaa machozi mengi nikitafakari maneno ya huu wimbo,,Mungu abariki huduma hii❤
Nina Nini Mimi Cha kujisifu❤ be blessed
The mzungu guy has everything to praise God
Nina Mimi Cha kujisifu Nina nini Mimi Cha kujivuna
Mungu amefanya Kwa mapenzi yake
zungu noma!!!!190%
Here is how am going to make sure that am rewarding them for a good worship song, I will watch this song over and over and over and allow ads to over and , never skipping , I know this is one way I get to promote their good work , plus I share and comment and like Nicholas from Nairobi Kenya, this such a powerful choir
Kwa wimbo huu Mungu amponye mume wangu,
Amen
Amen Naiwe hivyo Mungu atamponya kwa Imani🙏🙏
Mungu ni MPONYAJI mwaminifu
Amen 🙏🙌🙌
Nasikiliza wimbo huu ikiwa siku ya birthday yangu, nawashukuru kwa kunipa wimbo wa kumsifu Mungu kwa kipindi hiki, Maisha yangu yote ni Mungu tu
Mungu Baba Mwenyezi Awape Amani na Furaha katika maisha yenu. Amina
Hii kwaya imenikosha moyo wangu jamni mbarikiwe san san ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mimi sina cha kujivuna wala cha kujidai mbele za MUNGU wangu,mbarikiwe sana kwa maono haya ya wimbo
Nimewapenda bure watumishi wa jehova, mungu wa mbinguni awakumbuke
Wimbo huu umenifunza kunyenyekea kweli mimi ni bure bila Mungu... sina hata cha kujisifu😢..
Wait a minute yaani Kila mtu in this group can sing nicely like this waah respect.
Imagine 😮🙌🏾🙌🏾🙏🏿
Amaizing song.... glory to God. God bless Tanzania for such a wonderful revival
Hata kazi hii ni kwauwezo wa Mungu sina kitu cha kujivuna ni Mungu tyu🎉🎉
Your sound & meaningful message blessed me abundantly...barikiweni sana sana & thank you...🕊🕊
Hakika sina cha kujisifu mimi kila ninachopata ni kwa neema tuu,asante kwa ujumbe watumishi🎉
Ni nanini mimi cha kujisifu, nina nini mimi cha kujivuna🙏🙏🙌👐❤❤
MAOMBI YANGU KWA BWANA juu ya kwaya Hii. Ni kwamba Roho mtakatifu awape kushuka na kunyenyekea, Awape utulivu ndani yenu na kukubali yeye awe SUPER STAR adui yetu Ibilisi anajua moja kati ya kitu kinachomchukiza Mungu sana ni kiburi na kukosa unyenyekevu.
NINA AMINI MATAIFA YANABARIKIWA NANYI. Bakini chini wapendwa YESU atukuke zaidi kati yenu.
NAWAPENDA UFUNUO CHOIR
Hakika,Mungu amewatumia kutukumbusha kuwa tulivyo ni yeye amefanya.❤❤🎉
Mungu awatunze, napenda sana nyimbo zenu zinanibariki mno🙏
Hii kwaya ina neema kubwa sana ukisikiliza nyimbo zao lzm utokwe machozi kwa kutafakari ukuu wa Mungu wetu😢 Mungu awatunze kwa ajili ya Tanzania na mipaka ya Tanzania na duniani kote🙏 Nawapenda wote
Sure Manara wa hiii kwaya huwa unanifurahisha sana Mungu aendelee kukuinua
Mungu wa Binguni awalinde kutokana na mishale yoote na silaha zote inayotumwa kinyume cha woote wahudumuo kwa roho na kweli... Bwana awe Ngome yenu.... Awafiche kutokana na macho ya waovu na maneno yao...avunje ngome zoote na ibado zozote za uovu ili ibada yeenu kwa Mungu isizuilike... Nimesikiza hasa "usisahau hata kidogo napia huu wimbo... Ni dawa inayoingia kwa moyo,,, mawazo,,, mifupa na kila wkt nashuhudia uwepo wa Mungu mnapohudumu kupitia nyimbo.... Mimi ni mwanaibada kutoka Kenya,,,,ambaye Mungu ameniinua kupitia kwa ya AIC Unity(Naivasha).... Namtukuza Bwana Yesu kwa ajili yenu.... More Grace,,,
Kweli sinachakujivunia whatever I have God has given me I wonna say thank you Lord. Great job n great inspiration God bless you
Maisha yangu yote ni MUNGU tu anatenda,wala Sina kujivuna,walasina cha kujisifu..
Wow 😲😲 MUNGU AZIDI KUWAINUA NIKISIKILIZA NYIMBO ZENU NAHISI KUINULIWA❤❤
Maisha yangu ni Mungu ametenda ,sina cha kujivunia ,Glory to God ,wimbo unanibariki sana,mbarikiwe waimbaji wa kwaya ya ufunuo
This choir is such a powerful one. The voices, the organisation and the message. God bless you
Guys you quench my thirsty. You bring Heaven closer and remain anointed. You are the real God’s Generals
Wapokee kwabjina la Yesu. Pole endelea kumuamini
Yes na hii ndio maana halisi ya Ufunuo. Hakika mnatubariki kwa viwango vya juu.. Mungu wa mamlaka azidi kuwatumia kwa viwango vikuu 🙏🙏🙏🙏🙏.
Vitu vyote nimepewa na Mungu, Amen❤
Kazi mnayoifanya kwa kweli inabariki wengi nikiwa mmoja wapo katika taifa la kenya,nawaombea mudumu katika hisia hiyo na kuzidi,salamu za pekee zimwendee mzungu
Yaani wananibariki saaana Mungu awe pamoja nao
Ufunuo mungu awainue zaidi na zaidi nyimbo zenu zinanibariki ktk viwango vikubwa Sana
Another amazing song from Ufunuo. You never disappoint❤❤🎉🎉
Amen🙏
@@ufunuochoir ni kwaya ya kanisa gani?
Kupitiya hu wimbo Mungu aponye nduguzangu wadogo Wang kwa hali mbalimbali wanazoziishi
Mzungu yupo vinzuri sana mungu akutunze
nzuri sanaa
Naipenda sana kwaya
Hata akili niliyo nayo, ni mungu ameniiipa! Na nguvu nilizo nazo, ni yeye amenipa! amazing amazing worship!!
Nawapenda❤
👍👏♥️ Mungu aikuze huduma utukufu kwa Mungu nyimbo inabariki inaelezea wema wake kwetu yatupasa tumshukuru Mungu Kwa yote anayotutendea.
Namshukuru Mungu kwa ajili yenu, NAWAPENDA MUNGU AWABARIKI KTK UTUMISHI ❤❤❤
Huwa mnanibariki sana nyie watumishi wa Mungu jumbe zenu huwa zinaugusa sana moyo wangu😢
Kwaya bora kabisa yenye nguvu za Mungu ndani ya nyimbo zakey
Song’s content, melody, singers ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ñawapenda mnoo Mungu wa mbinguni awaepushe na Kila mabaya hakika Sina Cha kujisifu
Mubarikiwe sana wainbaji kwa winbo mzuri kabisa ina tu tiya kabisa nguvu na ku tu elekezeya mbele za mungu na kujuwa kumuchukuru Mungu Wetu kwa kila jambo
Kwakweli Mungu azidi kuwabariki maana mnanikosha sana jamani mmejaliwa sauti mnaimba vizuri ma sololist wote nawapa mauwa yenu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Nawapenda sana na Mungu awazidisie baraka zake najifunza vitu vng kwenu
😭😭😭😭😭😭😭🙌🙌🙌🙌🙌 sina chakujisifu...
Ahsante Sana Baba,
Ahsante Sana Mungu mwema,
Ahsante Messiah,
Ahsante
Ahsante
M-mbarikiwe mnoo....❤❤❤❤
AMEN AMEN WATUMISHI WA KRISTO. HAKIKA NI KWELI. MMBARIKIWE SANA SANA. MPO WAPI JAMANI
Binafsi kwa akili zangu uenda nisingekuwepo 🙏🙏🙏nimepita mapito mengi bt finaly God is so good siwezi kujisifu kwa neno lolote.
Vyote Mungu ndiye amenipa,, nice song
Mzungu 🎉🎉🎉 amazing amefanya wonderful mungu anaendele kuwapa nguvu na kwaya mzima Kwa ujumla❤
Amina..cna chochote watot ardhi Mali vyote ni vya Mungu
Nawapenda sana mnavyopokezana tu Hadi raha Mimi mwenyewe ni mwimbaji. kwenu Niko darasani
❤ vrmt napenda sana mubarikiwe sana batoto ya mungu aksanti
MUNGU awabariki Sana wote mnao..
Ujumbe mzuri Sana sana
Deus emmanueli 🤚🙏Mungu akuinue katika viwango vingine kifra na maarifa zaid
I love and i am blessed by this choir ,i prat they visit kenya 🇰🇪 one day
They visited S. Korea May 2023 by invitation
Mungu awwbariki kwa kutuhubiria kwa njia ya nyimbo tunabarikiwa sana🙏
Amen, nabarikiwa san na kwaya hii Mungu azidi kuwainua.
Nawapenda buree watu Hawa
Mungu aendelee kuwainua ninyi na huduma yenu
Ni nanini Mimi hakika wewe ni Mungu😢😢
Kweli kbs sina cha kujivuna
Mungu ni mwema kwa wakati wote,asante kwa wimbo🙏
Hii choir lazima wawe ni watu waombezi vizuri sana ndiposa Mungu anawapa kibali cha nyimbo tamutamu zenye ujumbe mtamu na mzito.
Oooooooh!!!! Hallelujah,mnajua kunibariki sana.....Mungu aendelee kuwa inuliwa vipawa vyenu na mkadumu katika kumsifu na kumwaabudi yeye aliye patakatifu pake Juu mbinguni. Vocal is fantastic,song arrangement is awesome. Amazing voices. Mimi nafikiri ndyo mtu anaangalia mara nyingi nyimbo hiii na WIMBO WANGU BORA NI.....USISAHAU KUMSHUKURU MUNGU. Niwaachie mibaraka tele. Amen. Siku moja nitakuja kusali ktk ibada yenu.
Glory to God..... Good Choir; Good people ; smart for everything....love you guys.
Mungu anawatu mno nabalikiwa nikiwa kigoma kasulu
Aloyce hajawahi niangusha Mungu azidi kukutumia sana kwa makuu
Namshukuru Sana MUNGU kwa ujumbe ulio ndan ya wimbo huu nimevuka
Manjosi yanatoka tu nilo Nalini mimi naomba msamaha mungu nihurumie barikiwa wapendwa sana
Amen
Barikiwa sana🙌🙌🙌
Mungu ni mkuu anavyo vipawa na ameweka kwa watu wake. Powerfull melody ❤❤❤
Eeeish....am in awe❤❤❤❤Such vocalist 💪💪.
The harmonisation is🔥.Such a beautiful song,truly a blessing all our life,all we have belongs to God.Glory&honour
Ri livhuwamudzimu nga this choir God bless you
I always find myself smiling when watching this wonderful choir ❤❤❤