Congo DRC 🇨🇩 TUKO ?wimbo huu jamn kiboko Christophe tunakukubali Congo njoo huku na mke wako tuta lipa kila kitu ❤❤ nyimbo zako zina tutiya nguvu sana.
Kuna nyimbo zingine unaposikiliza unaingia automatically Rohoni kama umebarikiwa na huu wimbo like hapa BWANA AENDELEE KUKUINUA NA KUSIMAMA NA WEWE MTUMISHI
Lakini watanzania n wachoyo,yaani ndugu Yao anatoa wimbo kama hii na hata comments hawako🤣🤣🤣🤣sisi wakenya kweli tuko n umoja,Kenya hoyeee let's support our brother this is soo encouraging🙏🙏🙏🙏
Am a kamba but I love this songs they are Soo encouraging and they have a good message 🧎🧎fanyika ngazi kwangu wapi likes za wakamba na anyone amefikiwa na hii message
huyu mtu wa MUNGU kaitwa kweli kwa njia ya kuimba Yan iviunajua anaimba kwa Roho mtakatifu kwel Mungu azidi kukuinua nabarikiwa ninapo ckiliza nyimbo zako amen amen.
Mimi Ni mkenya na kusema ukweli nampenda huyu mtumishi wa mungu Christopher mwahangila. sabubu ngoma zake sinatibu magonjwa yote, oooh Asante Sana my brother nataka siku moja nikutane na wewe.
My all time favorite song that really inspires me. Huu wimbo unanigusa moyo sana.Nilipoigundua niliusikiliza mara kumi na zaidi kwa vile ni kama maombi kwa Mungu.
Nashukuru sana Mtumishi wa Mungu kwa kutoa huu wimbo ni Mungu ndiyo amekuongoza Huu wimbo umenifungulia milango ya kupata pesa na mambo mengi sana nikisikiliza huu wimbo napata nguvu ya kuomba naomba ata masaa 3 na napokea miujiza kupitia huu wimbo Namshukuru Mungu kwaajili yako na familia yako nakuombea sana Mungu akupe maisha marefu
Nyimbo zako Baba zina Upako sana Mungu akulinde na akutunze popote uendako wewe na familia yako Neema ya Mungu ikuzingire popote ulipo Mtumishi wa Mungu
Wakenya jirani zetu tunawapenda sana tunaona mwenye cmment zenu jinsi mnavyopenda nyimbo za Mungu. Mungu awatunze Mungu azidishe amani katika nchi yenu. Mungu awapiganie. Amen
Nakosa neno zuri la kuandika hapa. Kifupi nikupe hongera nakumtukuza Mungu anaye fanya yote kwako Ili watu tupone kupitia nyimbo zako. Kwakua nyimbo zako ni uponyaji na faraja kwa watu wengi wanao pitia magumu,
This song come at a time am going through breakdown in my life right, left but hearing the massage am fully blessed 🙏🙏🙏🙌 thanks dear God for my battle's are in your hands 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ikiwa wimbo huu umekugusa kwa %100 toka USA naomba like hapa.
Huu wimbo kila muda nausikiliza...mpk nahic kulia 2025...naomba yeyote atakayeusikiliza mwaka wowote alike apate kunikumbusha kuusikiliza❤
Ur not in bed
Ur not sick
Ur not dead
Let us praise God more times and times praise God
SHOUT A BIG AMEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEN
Amen
Ameeeeeen
Ameeen
Amen🙏
As we're heading to 2025, Mungu asimame na kila mmoja tuuone mwaka mpya 🙏🙏
Wow powerful song,wakenya mko wapi kama mmabariwa n huduma yake pitieni n likes❤
Mungu wewe Ni kila kitu maishani mwangu... Ninakutegemea masia
Congo DRC 🇨🇩 TUKO ?wimbo huu jamn kiboko Christophe tunakukubali Congo njoo huku na mke wako tuta lipa kila kitu ❤❤ nyimbo zako zina tutiya nguvu sana.
Mungu simama nami kwamaisha yangu maana sitaweza bila wewe🙏🙏wakenya msipite bila kuweka likes hapa🇰🇪🇰🇪
Mungu nenda mbele yangu baba
From Kenya nipitie
❤❤❤❤❤
❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wow so touching simama nami baba❤ with my family
Kuna nyimbo zingine unaposikiliza unaingia automatically Rohoni kama umebarikiwa na huu wimbo like hapa
BWANA AENDELEE KUKUINUA NA KUSIMAMA NA WEWE MTUMISHI
😭😭😭
Roho yangu
😂❤🎉
Yaan😊
Lakini watanzania n wachoyo,yaani ndugu Yao anatoa wimbo kama hii na hata comments hawako🤣🤣🤣🤣sisi wakenya kweli tuko n umoja,Kenya hoyeee let's support our brother this is soo encouraging🙏🙏🙏🙏
Kabisa Mungu atusamehe jmn cjaona comment ata moja ya tz
Soon huyu tunamuiba awe Mkenya kirasmi,sisi ndio tunatambua dhamana yake🙏🥰🥰🥰❤️
Soo bad
One of this fine days
😂😂😂
Simama nami mungu
Kenya🇰🇪 wapenzi wa Mungu 2024 imeweza🎉❤
❤❤❤❤❤❤❤
Congo tupo saaaaaaana, Sisi tunajengwa zetu na nyimbo za baba huyu ❤ Mungu akubariki Sana
🎉🎉🎉🎉
Yeyote ausikie wimbo huu akiwa kwa hali ngumu, Mungu awe daraja letu na asimame nazi. Hivi punde tutarejea na ushuhuda.
Mungu simama nami baba
Amen
Amina🙏
In Jesus name 🙏
Ubarikiwe musanii mzuri sana Mungu akuzidishie musanii wako.kwa wimbo huu umeinua roho zenye masikitiko
🎉🎉❤❤usinyamanze mungu simama na mimi usiye shidwa🙆♀️😭😭😭😭🤲🤲🤲🙏🙏🙏🧎🧎🧎♀️
Ikiwa umeguswa na maneno ya wimbo huu wa kaka Christopher katika kujiimarisha, piga likes.
From Congo 🇨🇩
❤❤❤vraiment kuko présence ya MUNGU
Sio like tu bari na machozi . Kwa Yesu bazuri eeh niwekee kiu ya maombi ndani yngu 😢
Ametu Baliki sana kwa wimbo mzuli huu
Amen🙏🇹🇿
Z
😭😭😭hi ni maombi tupu . Mungu nikumbuke kweli..kuwa daraja univukishe eeh baba 😭
If you feel the presence of God through this Song just hit a thumbs up 👍,,,,,,l'm from kenya🇰🇪🇰🇪
Amen,His mercies endures forever
@@mutwirinathan6823 Amen🙏
Mungu yuko God bless you brother
Team kenya🇰🇪. Nipitieni
This man is anointed by God his songs are a blessing to my heart
Am a kamba but I love this songs they are Soo encouraging and they have a good message 🧎🧎fanyika ngazi kwangu wapi likes za wakamba na anyone amefikiwa na hii message
From kamba land,nimekua nikiimba nyimbo zake kama Ni personal prayer and surely I can testify av seen God thru
@@maggyngara6915 ooh glory
Let’s represent Kenya 🇰🇪 with our love ❤️ and likes here,we love you man of God
Team kenya nipitie
Je suis fortifié par cette que j'écoute tout le jours
❤❤❤❤❤
Nipeni likes zote duniani nzima , from Congo 🇨🇩
❤❤❤❤
Très profond cette chanson, depuis la RDC, soit béni homme de Dieu 🎉🎉🎉
Que Dieu soit loué
At this time of worship God ,SIMAMA NA ANNASTASIA MUKABWA kwa Jina La Yesu akiwa kwa matibabu pale India 🇮🇳
huyu mtu wa MUNGU kaitwa kweli kwa njia ya kuimba Yan iviunajua anaimba kwa Roho mtakatifu kwel Mungu azidi kukuinua nabarikiwa ninapo ckiliza nyimbo zako amen amen.
Amen
From Kenya this will be hit song 2024❤❤❤😂
Very true 💯 🙏🙏🙏
Just imagine, Tanzania wanapenda zile zingine
From Kenya nipitie
😂R❤❤❤😂@@karehat5241
Sichoki kuisikiliza 🇰🇪🇰🇪
What a prayer! Let me leave this comment here, i will come back with a testimony 🙏
Mimi Ni mkenya na kusema ukweli nampenda huyu mtumishi wa mungu Christopher mwahangila. sabubu ngoma zake sinatibu magonjwa yote, oooh Asante Sana my brother nataka siku moja nikutane na wewe.
Mungu akubariki sana wimbo mzuri sana naamini nyimbo zako zinabariki watu wengi na tunafunguliwa kupitia nyimbo zako
From TikTok landed safely ❤❤❤❤❤😭😭😭😭😭 simama NAMI BABA🙌🙌🙌
Infact si kungoja ata iishe and came here immediately to download
Nabarikiwa sn huu wimbo unanitoa machozi unatia nguvu kiimani brikiwa mtumishi na huduma yako
Wakenya likes zote hapa ,,,,,,,let's congratulate this man of God🎉🎉🎉
We love him so much 🇰🇪 more grace man of God
Wimbo wa ajabu sana unagusa Mtima wa Moyo abarikiwe mtumishi huyu wa Mungu kwa Mafuta haya
Asante sana nyimbo zsinitia nguvu barikiwa sana @@Josphine-t3q
Amen 🙏
Kabisaa anatubariki Sana nyimbo zake zinatutia Moyo kwa hii dunia🙏🙏❤️🥰
Kazi safiii babaa huku Kenya tu nakupenda Sana 🙏🙏😭😭😭🇰🇪🇰🇪🇰🇪
❤❤❤❤❤❤
Nampenda baba Mwahangila sauti yake nikiisikia nalia 😢. Que le seigneur Jésus-Christ vous bénisse vraiment. Kolwezi🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Congo
Welcome Tz this is the land Gospel singers
❤❤❤❤❤❤
Fanyika dalaja nami kwangu mungu wangu asante mtumishi wa mungu kwa ujumbe mzur
Wakenya 🇰🇪 tupi kwa sana congole cna mutumishi wa mungu 🔥🙏🔥 Amina 🌹🌹🌹🌹
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Lève toi le Dieu de l'impossible et que mes ennemis sachent que j'ai un Dieu puissant.simama mungu 😭😭🙇🙇🙇
❤❤❤❤❤
Kenyans let gather here the song is 🔥
Am here Nipitie
This song is touchable in my heart 😅😅 I remember those days. I was passing so many challenges in my life but God thank
For what you have done❤❤❤❤❤
Aaaaah nashindwa sijuwe niseme nini!!!!!! Mungu awabariki sana!!!!! 🙏🙏🙏🙏🙏 from Kolwezi(Congo) 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩.
❤❤❤❤❤
My all time favorite song that really inspires me.
Huu wimbo unanigusa moyo sana.Nilipoigundua niliusikiliza mara kumi na zaidi kwa vile ni kama maombi kwa Mungu.
❤❤❤❤❤😂
Fanyika dharaja kwangu yesu nipe nguvu ya kuvuka😢😢😢😢🙏🙏🙏🙌🙏🙏🙏🙌 amen amen 🙏🙏🙏🙏🙏 such a powerful touching song 😭😭😭 Barikiwa sana mtumishi wa Mungu 🙏🙌🙏🙌
Amen
Nabarikiwa sana na nyimbo zako Christopher Mungu akubariki zaidi na zaidi
Mungu wa Israel wakumbuke wanao.Kwa sababu umenitendea,nakuomba awatendee pia katika jina la Yesu kristo aliye mwokozi wa maisha yetu🙏.
Amen 🙏
This song has touched my heart.....simama nami mungu
Nyimbo kama hizi za kutuunganisha na Mungu tulizikosa.😢😢😢😢😢😢
Hakika zinatusogeza karibu
Nyimbo za mtumishi hunitia nguvu🙏🙏
Nashukuru sana Mtumishi wa Mungu kwa kutoa huu wimbo ni Mungu ndiyo amekuongoza
Huu wimbo umenifungulia milango ya kupata pesa na mambo mengi sana nikisikiliza huu wimbo napata nguvu ya kuomba naomba ata masaa 3 na napokea miujiza kupitia huu wimbo
Namshukuru Mungu kwaajili yako na familia yako nakuombea sana Mungu akupe maisha marefu
Nyimbo zako Baba zina Upako sana Mungu akulinde na akutunze popote uendako wewe na familia yako Neema ya Mungu ikuzingire popote ulipo Mtumishi wa Mungu
Amen Amen and Amen
Team kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 let's gather here Nipitieni
❤❤❤❤❤❤
Napenda nyimbo za huyu mtu saana zikona mafundisho
Wenye tumekuja uku direct from tiktok gonga like
Hakika yeye ndiye ansyetushindia ktk yote❤
Wakenya jirani zetu tunawapenda sana tunaona mwenye cmment zenu jinsi mnavyopenda nyimbo za Mungu. Mungu awatunze Mungu azidishe amani katika nchi yenu. Mungu awapiganie. Amen
Wewe ni chanzo cha maisha yangu😢 fanyika daraja kwangu Mungu nipe nguvu ya kuvuka Mungu wanguu😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏
Warundi muliyo sikiya huu wimbo jameni nipe likes.
Mungu wanao tunakugemea kwa kila jambo, baba simama nasi... Hyu dada anafanya nashindwa kujizuia kulia...🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Me pia nimeliya ,afu nimeshausikiliza kama mara Tano .
Très profond , merçi Seigneur Jésus-Christ pour l'inspiration que tu donne à tes serviteurs ❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩
❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤from Congo every day nasikiliza nyimbo zako nazime change maisha yangu long life Christophe
Amen 🙏🙌 mungu asifiwe saana mutumishi tunagupenda saana from Rwanda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼💪💪💪💪
❤❤❤❤❤❤❤❤
Hongera sana kwa huduma nzuri na inaponya 🎉🎉🎉🎉🎉❤
Kenyans let's gather here 🎉
Team kenya nipitie pia
Complete messages 🍀
MUNGU akubariki sana mtumishi wa MUNGU, kweli wimbo huu umebeba maisha yetu kwa jumla, kweli MUNGU asimame kwetu sote.
Ohh God be with me,,,🙏🙏, hakikaa mtumishi wa Mungu hua unaimba kwa hissia sanaa ameeen unanifariji sanaa
From Kenya 🇰🇪 😍 😄 🙌 umenibariki sana
Burundi ❤❤sana warundi mlipo nip likes
Kwakweli Mungu amulide naamuzidishiye kipawa cake cauimbaji amenigusa kwakweli
Hii wimbo nimekuwa nikiimba kila time mungu simama nani ni ww tu natengemea niondolee vita ni shindanie mungu😢😢
Mungu Wangu simama Na Mimi nakuhitaji.Watoto wako wana aibika..jidhihirishe kwetu eh Bwana...tunakuomba
❤❤❤❤❤ nakupenda sana mimi ndoshabiki wako🎉🎉❤
I know God is aware of every situation l pass through in my life he will be there to stand for me
Ihad loose hope but through this song inanipa nguvu katika nchii zaa waarabuu 😢😢😢🙏🙏🙏
Yeyote anaskiza huu mwimbo akiwa anapitia magumu Mungu asimame na yy wote 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Amen
❤❤❤❤❤
Wow powerful song ❤
Your songs always give me strength at my hand times ,simama na me🙏🙏 wa kenya tupite na likes zetu hapa
Mungu simama nami siku zote za maisha yangu in mighty Name of Jesus 🙏🙏🙏🙏
Hionikweli kabisa niwunge mukono gupitia gusambaza wimbo à santé bilagusahau laiks
Huyu Dada aliye imba naomba humu Mungu ambariki sana ameimba
Iko kiroho sn paka NAMI nikajikuta kuwa karibu na Mungu . Ieo ndo kusikiya uyu wimbo . 2024/06
Tena hadi upako umemshukia
Mungu akubariki nakupenda from Rwanda 🇷🇼 ❤❤❤
Amen such a powerful song mungu simama na Mimi siwezi peke yangu 😔😔
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 usinyamanz Mungu kuja kuniteteya,bila ww sitobaki salama , simama nami Mungu ❤
❤❤❤❤❤❤
Simama kwa hali zangu zote...
Simama mwenyewe bwana...
Amen 🙏🙌
Huu wimbo ni wa baraka....
Mungu.azidi kukupa maisha marefu.kwa uimbaji wako wa nyimbo.zakufariji watu tena ni.tiba.kubwa.amina
Uinuliwe Yesu !!Mungu wa yasiyowezekana aa!
May I receive good news this month 🙏it has not been easy but I believe utasimama na mimi bwana maana hakuna kinacho kushinda☝️
From Kenyaaaa🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪...
❤❤❤❤❤❤❤❤
nyimbo nzur sana tonaomba audio kaka jaman, ❤❤❤
Powerful song 🔥
Simama nami baba Mungu usiyeshindwa🙏🙏
God bless you mtumish
Na amini ni kweli anaweza yote, amina❤❤
Waaaaw❤. Hongera sana tena sana. Mwenzako muimbaji kutoka Rwanda. Mungu azidi kukulinda na kukuinuwa. Ummm wimbo mtamkabisa❤❤❤🎉🎉🎉
Msanii wang bora wa nyimbo za injili Kwa mwaka 2024
Barikiwa sana Mtu wa Mungu umefurahisha moyo wangu Nakupenda sana nakuthamini nakujali nakuombea Mtu wa Mungu
Nakosa neno zuri la kuandika hapa. Kifupi nikupe hongera nakumtukuza Mungu anaye fanya yote kwako Ili watu tupone kupitia nyimbo zako. Kwakua nyimbo zako ni uponyaji na faraja kwa watu wengi wanao pitia magumu,
Aneyetupa kushinda katikati ya adui.........🎉🎉🎉🎉
Haya ni maombi kwa njia ya wimbo from kenya
simama nami baba siwezi bila wewe🙏🙏
From Kenya, I really pray that God to protect you so you continue blessing us with your songs🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
This man never disappoint..he delivery what God says
Amen hakika wewe ndio chanzo unzima wangu na baraka yangu
🎉🎉🔥🔥🔥🔥
Amen barikiwa sana
Mungu akubariki sana mtumishi kwa huduma nzurii❤❤❤
HAKIKA ASILI YANGU NI MUNGU KUWA HAPA NILIPO
Kazin nzur bro Mungu mwema endelea mbele na injili brother kaka
This song come at a time am going through breakdown in my life right, left but hearing the massage am fully blessed 🙏🙏🙏🙌 thanks dear God for my battle's are in your hands 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
From Kenya nipitie
Sure he's a mighty man of war
Ubarikiwe sansa muimbaji nakusikiliza toka drc
All the way from TikTok be blessed man of God 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏
From Kenya nipitie
❤🎉 Blessed man of God 🎉.
❤❤❤❤❤
@Mgg❤❤❤❤❤iecharleskui
Moi je suis du Togo je ne comprends pas la langue . Mais tes chansons me vont vraiment du bien
Jésus-Christ règne à jamais