@@AICTChangombeChoir_ shukran kwa kumfahamm ananibariki sana jinsi anavo solo karibia nyimbo zote anazo solo nazipenda sana mimi ni upcoming music producer napenda music production kw hyo uimbaji wenu na jinsi mnavyo compose beats naupenda sana mbalikiwe i hope sku moja nipate nafasi niwatembelee
Kazu nzuri sana. You never disappoint. I think here in Kenya we love your music more than your fellow Tanzanians😂😂. Keep it up Chang'ombe. You are a blessing to us.
Waoh wana CVC, mie hata nimeshindwa nitaanza na lipi manake kwote mwaonekana sawa, si masoloist, si vyombo, si sare, si maeneo.... Nina hakika Mungu anatabasamu kwa kueneza injili ipasavyo. Bravo wana CVC Mungu azidi kuwainua kwa viwango vya juu zaidi
Have just been following since Gusa.Every albub has been inspirational but hii ya Nafsi yangu with new upcoming soloits ni moto sana.How do you bring up soloists..?.Ndugu wa solo guitor,the 3 solo ladies usually make my day in all the albub.God bless you.
Sina maneno sana nipo nabarikiwa, kiukweli nawapenda hadi najishangaa .Jiwe jiwe jiwe hakika ujumbe umefika vema. Mmekamilika kila angle Mungu azidi kuwainua
Kwa kweli songi zuri......jiwe lililokataliwa na waashi ndio linashikilia nyumba....waimbaji mbarikiwe na mtunzi wa huu wimbo ni kipawa cha Mungu ndani yake.
Soloists wako sawa sana haswa Mama Diana nakupenda bure kwa kuikubali ii huduma, Upako wa Mungu ulio nao kwa hiki kikundi ni wa ajabu na unazidi kugusa roho za wengi...🙏🙏
Jamani naombeni like zenu waohhh nimeipenda hiyoooo
Me too i love it
Dada Rachel unataka kuzipeleka wapi!!! 😂😂🤣🤣
Toa kwanza ndio tukupe!😜
@@samedward4211 embu nitafute plz we unanifaa
@@rachelelias6522 sasa nakutafutia wapi mama?!!!
Nipe link nitakuja kwa upepo wa kisulisuli...😂
@@rachelelias6522 uko wapi
Nime barikiwa sana kwa hi nyimbo nzuri
Wimbo huu huwa unanibariiki sana, tena wanipa himizo. Ya juu saana! Barikiweni wapendwa
Ahsanteni Kwa nyimbo nzuri hakika nimebarikiwa🙏🙏🙏🙏
Nyimbo nzuri Sana Mbarikiwe.... ila kama kuna aliyeona Media Offline anipe like yangu niende nayo ibadani....
My favorite chair in Tanzania nawapenda sana wana wa Mungu mbarikiwe sana mtalipwa na Mungu kwa kazi nzuri mnayoyifanya.
Naitaji hii mziki nitapata aje niko Kenya 🇰🇪
Nakupenda solo wa kwanz buree ❤❤❤❤
Anaitwa nani?
Yeye anakupenda na pesa 🤣🤣🤣
Nawakubali sana mnajua kuimba nikiskiaga huyo solo aliesolo mwanzo dah hua nafeel good sana #anaitwa nani?
@@AICTChangombeChoir_ shukran kwa kumfahamm ananibariki sana jinsi anavo solo karibia nyimbo zote anazo solo nazipenda sana mimi ni upcoming music producer napenda music production kw hyo uimbaji wenu na jinsi mnavyo compose beats naupenda sana mbalikiwe i hope sku moja nipate nafasi niwatembelee
Kazu nzuri sana. You never disappoint.
I think here in Kenya we love your music more than your fellow Tanzanians😂😂.
Keep it up Chang'ombe. You are a blessing to us.
Waoh wana CVC, mie hata nimeshindwa nitaanza na lipi manake kwote mwaonekana sawa, si masoloist, si vyombo, si sare, si maeneo.... Nina hakika Mungu anatabasamu kwa kueneza injili ipasavyo. Bravo wana CVC Mungu azidi kuwainua kwa viwango vya juu zaidi
Utunzi mzuri,uimbaji mzuri,ujumbe mzuri Mungu awabariki sana kutoka AICT SONGEA
Cheers 🍻 to 1M viewers ❤
Mungu awabariki binafisi nimebalikiwa
You are never a let down. I have been following you from Kenya for very many years. God bless you 🙏
Pppp00000oooppp08h
Dada solo uko sawa nakupenda sana
My best song
Nasikiliza nimejikuta najawa na chozi la amani daa mungu awalipe mema...mbalikiwe hii vidio ujumbe na location...ni..mzuri mnooooo amen👏👏👏
Jiwe .wimbo naupenda sana..Na dada Bahati na mwenzake nawapenda saaana mungu azidi kuwabariki.
Beauriful song❤
Kweli MUNGU ni jiwe kuu ktk Ulimwengun bila yeye hakuna kinachowezekana chn ya jua mbarikiwe kwa nyimb nzuri♥️
Jamani jamani MUNGU anavyombo sio Siri na Mimi Ni solorist lkn nikiwaangaliaga Hawa masolorist huwa najiona sijui kabisa
Nawapendeni bure🥰
Nyimbo nzuri mungu awabariki 🙏🙏🙏🙏🥀🥀🥀
Hiii kwaya ni ya TAIFA JAMANI hawakoseii wanatunga wanapiga nk vizuri
Mungu azidi kuwalinda wanakwaya wa CVC mzidi kutulisha neno la Mungu namna hii👏👏🙏
I love this choir , AIC you are the best choir ever , nawapendaaa sana hizo sauti
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏 ❤
Mungu awabariki kwa ujumbe mzuri. Tunabarikiwa sana..
Waoh the soloists nice voice👍
Have just been following since Gusa.Every albub has been inspirational but hii ya Nafsi yangu with new upcoming soloits ni moto sana.How do you bring up soloists..?.Ndugu wa solo guitor,the 3 solo ladies usually make my day in all the albub.God bless you.
Kazi yenu ni njema Mungu azidi kuwainua viwango na viwango
Hakika nyumba bila jiwe la msingi hundondoka
Safi sana kazi Nzuri hadi ukristo unaonekana wa maana
I Love this song so much ❤❤❤❤❤God bless you🙏🙏
From Rorya CH,,tunawapata vizur nice songs let's be blessed all
Mungu awabariki sana huwa nafarijika sana kwa nyimbo zenu nzuri
Bwana YESU awalinde AIC chang'ombe kwa Habari njema hata Jerusalem
AIC Chang'ombe you never disappoint am blessed by your songs may you be richly blessed
The song has blessed me ,healed me for I suffered from the spirit of rejection. May God bless you as you spread the gospel
Hamjawahi kukosea, solo list mko safi mno hongrn👏
Jiwe ni Yesu ..i love your songs from Nairobi
ooooo my God Jiwe Kuu La Pembeni the best song i have listened to in the recent past. CVC Changombe Mungu awabariki kwa kazi nzuri.
hongeren sana bahat nakupend san
Huyu solo 2:15 anaitwa nan ana punch kali ya vocal ase namkubali tangu kitambo i wish one day nije niwatembelee hapo church nimwone.
Bahati meshack...ana jisauti zito mno ..💪💪
My favourite song,Jiwe la pembeni Mungu awabarik sana CVC
One among my best choir....... congratulations for your good job
Mungu atawalipa juu ya bidii.... let's work for Our almighty God......
Our boss has
The number I have repeated the song ooh Lord😘😘yani wacha tu,God bless the choir
Mbarikiwe sana wapendwa kwa huduma njema ya nyimbo. Nyimbo zenye upako. From Kenya zatubariki sana.
kweli, jiwe ni yesu,love your songs they bless my soul,may Almighty God bless the entire choir
Kazi nzuri wapendwa.God bless you millions jamani love you so much
Sijawahi choka kuisikilizaaaaa❤❤❤❤
*_Jiwe_* I just heard this song from my boyfriend phone it is ringtone and loved it from there bless you guys*_
Naomba namba ya mwenyekit au Katibu wa Kwaya tafadhali
Beautiful song, inanitia nguvu
The best song among the gospel songs, I personally love this choir, it's one of the best choirs in our continent.
@@AICTChangombeChoir_ amisi
@@AICTChangombeChoir_ amisi
Ronald frm ngci nrb mungu awabaliki sana
Kwakweli nimewakubali mbarikiwe na bwana.
What a tuneful and inspirational song! Let our Lord Jesus be praise exponentially.....🙏🙏🙏
6bet 0u
Nyimbo nzuri mno mno haipiti siku bila kuisikiliza, hongera mno hapa muliupiga mwingi sana
I like the soloist
Nawapenda sana
Its ablessing song keep it up aic chang'ombe We are getting it from Kenya
My all time preachers.i love you my choir
Je suis béni par vos chansons, que Dieu vous Bénisse abondamment
Leo nimewasikia via Clouds..yaani mnazidi kua bora kila siku.
Nawapenda sana.
Nzuri zaidiii❤
254 watching
Amkosegi hongereni aic Chang'ombe
Nice song Mungu awabariki mnooo
Peter nzwilindo mubarikiwe kwaya kwa ujumbe wenu wamungu kupitia nyimbo nzuri
Blessing choir,mungu Glory to God ,Ronald from nrb Kenya
Have missed your new hits ,am blessed.
Sina maneno sana nipo nabarikiwa, kiukweli nawapenda hadi najishangaa .Jiwe jiwe jiwe hakika ujumbe umefika vema. Mmekamilika kila angle Mungu azidi kuwainua
kazi njema wanacvc Mungu akazidi kuwainua mkimtumikia na akawabariki
Hongera sana.....Jiwe walilokataa waashi sasa ni jiwe la pembeni
Kwa kweli songi zuri......jiwe lililokataliwa na waashi ndio linashikilia nyumba....waimbaji mbarikiwe na mtunzi wa huu wimbo ni kipawa cha Mungu ndani yake.
Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 nimebarkiwa Sana na huu wimbo
Mwenye alitunga anatakiwa kupewa something
Hongelen jaman yaan utufu kwakwenda mbele🥰🥰🥰
Solo wa pili your voice 😭😭
Yaan nampendaa
hongereni sana wimbo umenibariki sana
Congratulations guys u really bless me so much am proud of u guys watching frm 🇰🇪
Mungu awabariki sana jaman nawapenda bure
Love you more my preachers of the word of God muundelee kutumika hakika kumtumikia Mungu kunafaida 💞💞💯
Nakupenda Solo wa nguo ya bluuuu saut yko nzr mnoooo
Hakika nyimbo zuri mungu awabaliki sana na huduma hi yauwimbaji
Mbarikiwe sana watumishi nimeupenda sana huu wimbo
Kazi nzuri.. Mungu awabariki na kuwastawisha. Amen
tunawapenda kwa kipawa mlicho nacho Mungu aendelee kuwatumia ,Jiwe Kuu imetisha ,waashi waliliacha safi sana
Jaman aict nawapenda sana wish na mimi nije niimbe kwenye kwaya yenu Mbarikiwe sana jaman
Aim higher and higher Changombe choir. Blessing to many.🙏
0:23 jiwe hiloooo kweli limekuwa jiwe kuu la pembeni.
Ujenzi ukawa bora na imara
Woow nicee napenda sana mkitoa video mnakua mmejipanga kwa kila kitu sare nzuri sanaa
I ❤ this song
Soloists wako sawa sana haswa Mama Diana nakupenda bure kwa kuikubali ii huduma, Upako wa Mungu ulio nao kwa hiki kikundi ni wa ajabu na unazidi kugusa roho za wengi...🙏🙏
Hakika, nampenda piaa
Mama diana anaitwaje jina lake kamili?
kazi nzuri love you❤
wow nzuli sana
Amazing song, Your the best choir in Tanzania.
Ameen Mahubiri yaliyojitoshereza kabsaa, Album please
I love this song my favorite
Nyimbo imepangika vizuri sana,from trumpet, dancers,solonist en others,much blessed 🇰🇪🇰🇪
Nikiangalia hii kwaya nasikia roho ikinambia nimwimbie mungu wangu
Waaah great song! May God bless you ...
Masolo wa kongwe hongera zenu mama zangu hakika mnazitumia vema nafasi zunu....
Feel blessed by the song🇰🇪
Barikiwa sana AIC chang'ombe choir, kipaji cha kuimba mmepewa hakika
Noma sanaaaaaa nawakubali mno