Wakati mwingine nakata tamaa kwa changamoto ninazokutana nazo hasa za kugeukwa na watu uliowasaidia, lakini nikisikilizaga huu wimbo na ule Wa songa mbele, nafarijika Sana! Bwana awabariki sana watumishi Wa mungu chang'ombe.
AIC Changombe Choir. May the Mighty Lord God, creator of the world and the universe bless you. For lose to 15 years, I have been listening to your songs. They are masterpieces, sublime message of the Lord. Very sound doctrinal artistic stuff. Your latest song, Maneno Saba Ya Yesu is the icing of the cake. Mwenyezi Mungu akipenda, nitasafiri kutoka Nairobi to join you in Corporate church service, one of these fine days. I also thank the Mighty Lord that you did a song in the spirit of East Africa brotherhood, mkitusihi sisi Wakenya kutokata tawi kama tunaikalia. Mungu awabariki kwelikweli. Sometimes we Kenyans take the experimenting with disaster joke too far. Nivyema mlituonya. Last but not least, may the Fod of Abraham, Isaac and Jacob bless you, fill you with wisdom and good health. I LOVE YOU ALL.
That's a wonderful comment and God bless you. Though I would like to ask you to correct the word Fod to God. Sehemu inayoongelea the Fod of Abraham, Isaac and Jacob; I believe you meant the God of Abraham, Isaac and Jacob.
Napenda wimbo huu sana unabariki roh yangu, Asante Kwa sauti nzuri namna hii, ujumbe safi kabisa mbalikiwe mandugu wote in Jesus name
This choir has some special anointing
Napenda sana uimbaji usio na mbwembwe nyiiiingi sana nadhani katika hilo mmefaulu saaana
Hongera kwa mwalimu anajuwa kuwapanga hawa masolo 3 wakongwe kila solo nafasi anayo solo humpendeza sana. Napenda sana hiyo. Mungu awabariki.
My favourite choir🙏🙏be blessed alot
AMINA KUBWA. Duh huyu mama solo maua yake jamani
im telling you golden voice
❤my favourite in 2025 here in kenya
I love huyu Soloist..very humble
Nyimbo hizi zenu hunibariki sana moyoni ninapo zisikiza, Mungu awabariki na awainui katika kumtumikia
Huu wimbo naupenda sana unanifariji sana sisi binadamu tumejaa usaliti mpaka hata ndugu unacheka nao kumbe wakuombea mabaya
❤❤ The touching song 💖💖💖.May God bless you 🙏.
Jamani huu wimbo naupenda sana. Bwana awabariki. Really it is a spiritual song.
Wakati mwingine nakata tamaa kwa changamoto ninazokutana nazo hasa za kugeukwa na watu uliowasaidia, lakini nikisikilizaga huu wimbo na ule Wa songa mbele, nafarijika Sana! Bwana awabariki sana watumishi Wa mungu chang'ombe.
Mama ana sauti kutoka kwa mungu ubarikiwe sana
Amen🙏🙏
Wee mama wewe. Duh haleluya sana
Yaani huyu Mama soloist hana maringo hapendeza hila jina silijui but be blessed Dada
Anaitwa diana
Wasamehe hawajui lile wanalilitenda ooh!yesu nabarikiwa sana nanyimbo zenu nikiwa kyela
Kwakwel nikiangalia au kusikiliza nyimbo zenuuu naponywa moyo wangu sana mungu awabariki sana katika kuifanya kazi ya mungu nawapendaaa sana
Yesu nisaidie niweze kusamehe. Wimbo.mzuri.sana. Mungu naomba uendelee kuibariki hii kwaya..
Huu wimbo naurudiaga mara mbili mbili jmn unanijaza amani yamoyo sana
Huu wimbo inanibariki sana, Asante wanachang'ombe
( Mungu)awe nanyi daima
Pongezi kwenu AIC chang'ombe hua mnanifariji sana baraka zimiminike kwenu
Ae
Mbarikiwe sana kwa mahubiri kwa njia ya uimbaji mnanifariji sana!!!
Asante tunawapenda sasa kutoka Goma, DR Congo, Mungu awabariki sana
Yesu anaupendo wa kweli binadamu hatuwezi
Nawapenda wte❤
Nakupenda sana we mama mungu akubariki kwa uimbaji wako
Hongera mtunzi pamoja na waimbaji kwa ujumla,wimbo huu umenipa funzo katika maisha yangu,mbarikiwe sana
Upendo wa Yesu jamani
Sauti tamu tamu na uchezaji wa kupendeza. Upendo wa Yesu ni mkuu. Atatusamehe kweli. Be blessed na Mendeleev vivyo hivyo.
Im still banging this golden hit in Kenya.. thanks to whoever share on their fb post and got me loving it ......Asanteni
❤❤❤ wimbo huu inafunza sana🇰🇪
Naupenda sana huu wimbo 🔥🔥❤❤❤❤🙏
Mbarikiw
AIC Changombe Choir. May the Mighty Lord God, creator of the world and the universe bless you.
For lose to 15 years, I have been listening to your songs. They are masterpieces, sublime message of the Lord. Very sound doctrinal artistic stuff.
Your latest song, Maneno Saba Ya Yesu is the icing of the cake.
Mwenyezi Mungu akipenda, nitasafiri kutoka Nairobi to join you in Corporate church service, one of these fine days.
I also thank the Mighty Lord that you did a song in the spirit of East Africa brotherhood, mkitusihi sisi Wakenya kutokata tawi kama tunaikalia.
Mungu awabariki kwelikweli.
Sometimes we Kenyans take the experimenting with disaster joke too far. Nivyema mlituonya.
Last but not least, may the Fod of Abraham, Isaac and Jacob bless you, fill you with wisdom and good health.
I LOVE YOU ALL.
That's a wonderful comment and God bless you. Though I would like to ask you to correct the word Fod to God. Sehemu inayoongelea the Fod of Abraham, Isaac and Jacob; I believe you meant the God of Abraham, Isaac and Jacob.
23
Thank you for good songs god bless you
Asante Sana watu wa mungu kwa nyimbo nzur Kama hii nimebarikiwa Sana Amin🙏🙏
Nakupenda sana wewe mama soro hiyo sauti ningekuwa nayo mimi wasukuma mko vzr
Nikwwli wasamehe nami baba niwe wa kwanza kusamehewa najuwa ninamkosa mengi nimekukosea yesu wangu
Mungu azidi kuibariki sana hii kwaya nawapenda sana
Siku hizi mmepoa leteni vitu chang"ombe tunawapenda
Ni ujumbe mzuri samehe hata baba yetu aliembinguni atatusamehe
Tunabarikiwa sana na nyimbo zenu
nyimbo zimabariki naomba mjue marembo ni dhambi kwa ivyo nawashauri mjitenge nayo kwa sababu ya ufalme wa mbingu
Mungu anabariki wenye moyo safii sio mapambo unaweza usijirembe kumbe wewe niubahili na roho mbaya
Nakoshwa na style zenu penda saana AIC chang'ombe
Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu
My gospel truck ever!!!,,,big up Chang'ombe choir
Upendo wa YESU unashangaza saaana
AIC chang'ombe haijawahi kuacha mtu bila kumbariki
Cool soft gospel music. God bless you 🙏
Upendo wa yesu unashangaza hongera
May Almighty God bless you for the good song, much love from kenya 🇰🇪
Wow! Asante sanaaa 🥰🥰
Mungu ibariki sana hii kwaya
Thank you for your songs ,lm so blessed
Love this choir so much ,it's my best choir ever,just continue with the same spirit of singing and God will bless you abundantly
A
Naipenda Sana changombe mungu awabark
Zinaishi!
Your songs do bless me for real 🙏 ..May God continue blessing you more
Mnanibariki sana watumishi wa Mungu.
Wimbo unaujumbe mzuri mno
🎉🎉🎉🎉naipenda ❤❤❤❤
Blessed my sister
Mungu awabarik sanaaaa, kaz nzur sanaaaa
Nabarikiwa na nyimbo zenu mno asanten Mungu awabariki
Barikiwaa sanaa
Hakika upendo wake unashangaza sana
Mungu awabariki Sana kwakazi nzuri mnayoifanya.Nawapenda
I love this so much you really blessing to many God bless you Chang'ombe
It's a blessing song
It's touching,I love this🔥
Wimbo mzuri
Barikiwa sn
Wimbo huu mpya kila wakati
Nampenda huyu mama mwimbaji bure
Oh Yesu.😘🙏
God bless you for this beautiful song.
Asante mungu
Napenda sana wimbo huu
Mungu awabariki
J'aime vraiment ce chant, mais malheureusement je comprends pas les paroles ! C'est très profond.
Powerful
Good touching song
Watu wang wa nguv
MUNGU AWABARIKI SANA
Amen and Amen
❤️❤️❤️
Touching song...
TUJIFUNZE KUSAMEHE
Nimeipenda San najifunza kutoludisha kiti Bali kusamehe
Jambo njema kusamehe hawajui lile wanalolitenda
Can some one translate this song in ENGLISH pleasr.
Kwaya inayo jielewa
Kweli hakuna ukabila
Wasamehe
Nice
Yes nifundishe kusamehe
Iimbe
Barikiweni sana