Alhamdulirah rabb, mashekhe wetu wanapambana sana katika kutangaza dini ya mungu.ila kwanilivyo fatilia sisi wenyewe waislam hatuwasapoti kwa wanacho kifanya.allah atufungulie ufahamu wetu inshallah
Ya Rabbih mpe umri mrefu Shekh wetu Mazinge aweze kuwafundisha hawa makafiri waje kwenye dini yako ya haki Hakika Rabbih umesema 'Pindi litakapokuja Nusra ya mwenyezi mungu na ushindi utaona watu wanaingia kwenye dini ya haki makundi kwa makundi wakimsabih mwenyezi mungu na kumtaka msamaha halika ya allah ni mwingi wa rehma mwenye kurehem
Maze i cant stop wathing this video walai mjadala niliwatch live na until today i cant stop watching this apart mazinge bhanaa Allah akupe maisha marefu kidume yaani unanifanya najivunia kuwa muslim walai
May Allah preserve our shaikh mazinge and all of our duat making effort day and night. Walahi I love you all for the sake of Allah. Such charismatic and eloquent speaker. It's a shame he's not an English speaker the west would be in awe. Nevertheless, dini Islam ina endelea Alhamdulilah!!
Ujue kupata Ukweli na namna sahihi ya kumcha Mungu ni vema kumtegemea Roho Mtakatifu kinyume na hapo hayo mengine yote hapo ni kuendeleza Ubishi na mambo ambayo haimpendezi Mcha Mungu kutenda...sasa wengi wenu hapo naona ushabiki na umejaa zaidi sasa Ya Mungu mwachieni Mungu...msije mkapoteana...
Naomba nimrekebishe Mzee Mazinge hv "Ukristo (Christianity) na Uyahudi (Jews) ndio Dini 2 Pekee ambazo zimeanzishwa na Mwenyezi Mungu,,, lkn Uislaam ni Dini ambayo imeanzishwa na Mtume Muhammad na huo ni Ukweli asilimia 💯✍️....✅
Ni kweli Lakini na Iwe kwa Pande zote Kwa WAISLAMU na WAKRISTO pia Maana Wao kila Siku Utasikia UISLAMU Dini ya Majini na Mashetani Au MUHAMMAD kapewa Utume na SHETANI mara Mkewake na kanisa Catholic mara WALEVI 😃😃😃 yaani Hata huwwliwi Uamini Lipi
Kuwaita wachristo kafiri sababu ya kuabudu kwao sio vyema Sisi sote tunamuomba mungu mmoja ila mnamuabudu Kwa njia tofauti kila mtu amuabudu Kwa njia zake tukisonga mbele tufunze watu kuwa wema Amina
Watu wawili hawawezi tembea pamoja bila kukubaliana.... uislamu na ukristo hakuna siku zitaingiana. Dini haipeleki mtu mbinguni kwani ni njia za wanadamu Biblia imenukuu na Yesu mwenyewe alisema "...mimi ndiye njia na uzima wa milele, hakuna awezaye kuenda kwa Mungu Baba isipokuwa kupitia kwake ..." Mazinge alitarajia hilo andiko pia liwe kwa quran? Na kuhusu msikiti tafuta maana ya hekalu ....kukosa maarifa ya Mungu ndiyo yanayowaangamiza watu, shetani mwerevu na ujanja aliuanza tangu mwanzo Mazinge si wa kwanza
6:125 Quran Na dini hii ya uislam ndyo njia ya mola wako iliyonyooka 3:19 Quran Bila shaka dini ya haki mbele ya mwenyezi Mungu Ni uislam 3:84 Quran Tunaamini manabii wote wa Mungu hatutofautishi ata mmoja Ukisema yesu njia kwaiyo wew dini yako yesu ? Huo Ukristo umeupata wapi ? Luka 21:21 Yesu alipo sema yeye Ni njia alimanisha anaefundisha njia ya Mungu ya kweli , Hiyo njia ndyo utoe Aya Sasa wepi Ukristo Ni dini?
@@husseinkiruta1712 nani amesema yesu ni dini? Nimeandika wapi Dini haipeleki mtu mbinguni , mbinguni hakuna dini ....hata shetani mwenyewe ana dini yake Imani na ufahamu wa ukombozi katika Yesu ndio itakayotoa mtu katika njia ya jehanamu, mambo ya mtume wenu ni mkora na yesu alisema anayekuja na mlango wa mbele huyo ni mwizi na mkora. Asiyemuamini yeye kama mwana wa Mungu na mkombozi ashahukumiwa na yeye tayari yupo kuzimu , sasa ina maana wote pamoja na mtume wenu ambao walitangulia wapo kuzimu tayari hukumuni. Unaweza sema Mungu hakuzaa, fahamu Mungu ni Mungu na vyote kaviumba yeye na ana uwezo wowote wakumuita yeyote mwanawe , na kama huamini basi haja gani kuomba na kusali? Alisema hakuna mtu atakayeona ufalme wa Mungu pasipo kumuamini yeye. Matendo ya mitume 4:12 Wokovu unapatikana kwake tu; kwa maana hakuna jina jingine duniani ambalo wamepewa wanadamu kuwaokoa ila jina la Yesu, na ni kwa jina hilo peke yake tunaweza kuokolewa!
ustadh mazinge anatoa maandiko wasabato wanacheka wakidhani ni jokes na maandiko yapo wazi..íla siku ya mwishó mtu atakuja kujua kilicho mtoa kanga manyoya
2 wakorintho 9:7 Kila mtu atoe kulingana na anakusudia moyoni mwake, na wala sikwa kilazimishwa, kwa maana Mungu humpenda atoaye kwa moyo mkunjufu. Mazinge haya ndio hiyo kutoka kwa bibilia. Mungu anatuambia tutoe sadaka kulingana na kusudi la mioyo yetu wala sikwa kilazimishwa. Kuna sadaka ya upatanisho, ya shukurani, amani etc.
It is because you have not read the Bible well, Christianity is the best religion my brother. It has everything, the problem is the preachers of sadaka and tithes because their aim is to get wealth not to teach the truth, sad!
Masha Allah tunamuomba Allah akupe umri mrefu wenye manufaa na afya njema shekh mazunge ili uzidi kuifundisha dini ya haki na watu wote waielewe na kuifata
@@juliusmsangi6849 mbwembwe asizitoe wakati anaeleza ukweli kasome hiyo bibilia kwanza uijue ndo uje urefushe vidole vyako kuandika usichokijua hyo mazinge alikuwa kwenye ukafiri kama ww lakini kasilim sasa ni mtu swaaaaafi
Uyu ndacha saizi yuko kenya akizunguka akitangaza usabato yuko yutube live kila siku na namfuatilia tu vizuri walai uyu jamaaa mnafiki mada zake za juzi na jana ni ukristo sio dini na jana ametangaza yesu sio mungu
Ma Shaa Allah
Allah aendelee kuihifadhi memory ya ubongo wako sheikh wetu hakika,hii ni neema kutoka Kwa Allah
Alhamdulirah rabb, mashekhe wetu wanapambana sana katika kutangaza dini ya mungu.ila kwanilivyo fatilia sisi wenyewe waislam hatuwasapoti kwa wanacho kifanya.allah atufungulie ufahamu wetu inshallah
Mazinge ni kiumbe wa sayar nyingine aisee Allah akuweke ili tuendelee kujivunia matunda yako
Swadakta
Aameen Rabill allameen 🤲
Ameen insha'Allah
Ya Rabbih mpe umri mrefu Shekh wetu Mazinge aweze kuwafundisha hawa makafiri waje kwenye dini yako ya haki Hakika Rabbih umesema 'Pindi litakapokuja Nusra ya mwenyezi mungu na ushindi utaona watu wanaingia kwenye dini ya haki makundi kwa makundi wakimsabih mwenyezi mungu na kumtaka msamaha halika ya allah ni mwingi wa rehma mwenye kurehem
Uislam sio dini ya mungu ni dini ya Muhammad sikiliza maandiko hapo
Maa asha Allah , Mazinge nakupenda kwa ajili ya Allah , na Allah akuongoze na akupe umri mrefu na afya njema , ili tujivunie matunda yako nasi
Allahumma aamin
Masha Allah eu espero que deus te protege ate a morte
Allah akupe umri mkubwa na mrefu sheikh wetu mazinge hakika unalolifanya unauhami uislam vikali wew ni neema kubwa sana kwetu waislamu
Maze i cant stop wathing this video walai mjadala niliwatch live na until today i cant stop watching this apart mazinge bhanaa Allah akupe maisha marefu kidume yaani unanifanya najivunia kuwa muslim walai
Alhamdulilah najivunia kua muislam Asante sana Mungu 🙏🙏
Allhamdulillahi Mola akujaalie umri mrefu Alhabib Mazinge
Nuru ya Africa nzima Mungu akupe afya na baraka na mwisho ulio kuwa mwema respect DD (Doctor of Divinity)
Sheikh wetu Allah akupe afya njema na umri mrefu uzidi kupambana na hawa makafiri
HE IS A PROFESSOR MASHAALLAH TABARAKAALLAH, ALLAH AKUPE AFYA NA UMRI MREFU.
Hhhhhhhh ananipaka raha mazinge
@@husseinmongolare3417Lwp CA W. Seen I'm
So do high l
Hana anachokijua anawadanganya tu
Hajui kitu comedian uyo
Habibi mazinge allah akupe umuri murefu kwa kazi ya allah unachapa injili kweli inatufaidisha sana
💖
Mashaallah shekhe wetu Allah akupe afya njema
MwenyeziMungi azidi kukuweka sheikh wetu ipo waz ukristo sio Dini bali ni wabishani 2
We are watching you from Lusaka zambia professor Mazinge,true you are blessed with theological knowledge, no doubt about it
watowe nahi ninjiya ya mola wako iliyo potoka watowe hivyo tuuuu
Allaah mazinge akupe umrimref Isha allaah
Allahumma aamin
Wa lahi mazinge ni legend siku ukiondoka moyo utaniuma Sana nataman mungu akupe maisha malefu
Allah akbar. Allah awape afya na umri mzidi kuaonyesha wakristo njia ya khaki. Wasabato hao niwa gum makafir hao
Ustadh Mazinge KIDUME CHA MBEGU, Mungu amuongoze yeye na Ustadh Said Mwaipopo
Unajua Mzee Mazinge bado hajaelewa na hataki kuelewa kuwa Ukristo ndio Dini ya Ukweli na Uzima wa Milele.... Tumsifu Yesu Kristo 🙏🙏🙏🙏
Umechanganyikiwa ww sasa mungu wenu yesu alitahiriwa na bado uko tu acha kubeba imani bila akili
Professor mungu akupe umri refu nakupnda kwa ajili ya Allah
Mungu akuzidishie shekh mazinge
Mashallah shekh mazinge MUNGU akupe umri mrefu
Allah akumpe umri mrefu shekhe wetu uzidi kuwazindua maana ni mtihani sana
mashallah mashallah mashallah mashallah shekhe allah akujalie kila kher Katika maisha yako inshallah uzid kuitangaza dini yetu inshallah
IMPOSSIBLE...Sheikh Mazinge Hiyo Kali. Maa Shaa ALLAH, Tabaraka
Mashaa. Allah. Mazinge. Nikisikiliza. Mharawako. Nijisikiafurahasana. Allah. Akupe. Umri. Mrefufu. Nakulipe. Mwisho. Mwem. Na. Akulinde. Na. Maadui. Wanaokuzunguka
Mashallah mashekh wetu mungu awalindie
Uislam raha yaani mazinge anajiamini mashallah
Raha gani munaabudu mashetani
Allah bless you my professor mazinge
Alhabib mazinge upo vzr inshallah Mungu akuzidishie kila la kher
Mashaallh shekhe mazinge mungu akujaalie pepo
Mungu akupe umrii mrefu akuepushe nashari
Mazinge umenifurahisha sana eti acharoho mbaya allah akuhifathi
Allahu Akbar, Maa Shaa Allah, Shukran sana Sheikh.
May Allah preserve our shaikh mazinge and all of our duat making effort day and night. Walahi I love you all for the sake of Allah. Such charismatic and eloquent speaker. It's a shame he's not an English speaker the west would be in awe. Nevertheless, dini Islam ina endelea Alhamdulilah!!
Mashallah
Wacheni matusi kamauweziku Commente fadhali mtu Atulie . Maaha allahy Ustadh mazinge mungu akupenguvu Ameen ameen
Allahumma aamin
Hajui kitu labda awe comedian
Mazinge Allah akujalie umri mrefu kwa hii dunia
Mungu akubari sana akupandishe viwango vwajuu sana
Mashaallah jazakumllah kheir amiin yarabalialamiin,nakutakien kila lakheir
Yaaa allah mpe umri mazinge na athibiti katika kuifahamisha haki nasi pamoja naye
Allah akuhifadhi na akulinde na fitna za makafiri
Najivunia wislam ni raha sn asant mazige allah azidi kukuongoza inshaallah
ماشاء بارك الله فيك 🤗لله أكبر
Aisee pr. Mazinge ulkuwa mbishi cana ila Mungu ni mkuu
Amekuokoa ubarkiww😊
Profeser mazinge Allah akulinde uwendele kutetea uislamu hakika Allah atakulinda kwa kile unachokifanya 🙏🙏
Allah akupe maisha marefu uzidi kutoa elimu kwa vizazi na vizazi
Allahumma aamin
Professor hawakuwezi hao mpaka mwisho wa kiyama
Ujue kupata Ukweli na namna sahihi ya kumcha Mungu ni vema kumtegemea Roho Mtakatifu kinyume na hapo hayo mengine yote hapo ni kuendeleza Ubishi na mambo ambayo haimpendezi Mcha Mungu kutenda...sasa wengi wenu hapo naona ushabiki na umejaa zaidi sasa Ya Mungu mwachieni Mungu...msije mkapoteana...
Ubishi kama wakristo kazi yao kupindisha maandiko tu
Inshala bwana mungu akutie peponi ameen
Ameen sote tuloamini
Mashaallah shekhe allah akupe umri n wengine uwasilimishe ammin
Mashaallah 💓💓💕💖💖 Allah akbar
Mungu akupe mwisho mwema
Mashlh mungu atupe mwisho mwema
Allah akujaalie kheri Sana masheikhe wetu
May Allah give you Mazinge good end
Naomba nimrekebishe Mzee Mazinge hv "Ukristo (Christianity) na Uyahudi (Jews) ndio Dini 2 Pekee ambazo zimeanzishwa na Mwenyezi Mungu,,, lkn Uislaam ni Dini ambayo imeanzishwa na Mtume Muhammad na huo ni Ukweli asilimia 💯✍️....✅
Yani mzee mazinge kushika mambo ni ngumu nkma kuwenda kwa shamba bla jembe
lete andiko ilo kam lip acha porojo
Nimeshanga,sana,kusikia,shekhe,mazinge,ameshindwa,kujibu,amebatizwa,uisilam,juu,takibiir,
Emwenyezi Mungu mjalie shehe wetu umri mrefu aendelee kuwaelimisha Hawa makafir maana ni wabishi
Mashaallah shekhe mazinge
Allah tes guides mon frère nous sommes en RDC nous voulons que tu puisse nous rendre visite frere
Allah akbar yaan Uislamu ndio dini ya haki
Kweli mtupu
Naam swahihi😘
kabisa
Ni vizuri kuhubiri maneno ya Mungu kuliko kutafuta ubaya mapungufu ya yeyote maaana imeandikwa usihukumu na hukumu ni kazi ya Mungu tu
Ni kweli Lakini na Iwe kwa Pande zote Kwa WAISLAMU na WAKRISTO pia Maana Wao kila Siku Utasikia UISLAMU Dini ya Majini na Mashetani Au MUHAMMAD kapewa Utume na SHETANI mara Mkewake na kanisa Catholic mara WALEVI 😃😃😃 yaani Hata huwwliwi Uamini Lipi
Poster ndacha God bless you more Grace
Allah awalinde masheihk wetu yaarab
Mazinge ni noma
Nakupenda buree matambo yako mzinge alla akulipa kher
Kuwaita wachristo kafiri sababu ya kuabudu kwao sio vyema Sisi sote tunamuomba mungu mmoja ila mnamuabudu Kwa njia tofauti kila mtu amuabudu Kwa njia zake tukisonga mbele tufunze watu kuwa wema Amina
Ukisikia mkristo anaitwa kafili usikasilike maana ya kafili ni mpingaji sio tusi wala sio kashfa
Watu wawili hawawezi tembea pamoja bila kukubaliana.... uislamu na ukristo hakuna siku zitaingiana.
Dini haipeleki mtu mbinguni kwani ni njia za wanadamu
Biblia imenukuu na Yesu mwenyewe alisema
"...mimi ndiye njia na uzima wa milele, hakuna awezaye kuenda kwa Mungu Baba isipokuwa kupitia kwake ..."
Mazinge alitarajia hilo andiko pia liwe kwa quran?
Na kuhusu msikiti tafuta maana ya hekalu ....kukosa maarifa ya Mungu ndiyo yanayowaangamiza watu, shetani mwerevu na ujanja aliuanza tangu mwanzo Mazinge si wa kwanza
6:125 Quran
Na dini hii ya uislam ndyo njia ya mola wako iliyonyooka
3:19 Quran
Bila shaka dini ya haki mbele ya mwenyezi Mungu Ni uislam
3:84 Quran
Tunaamini manabii wote wa Mungu hatutofautishi ata mmoja
Ukisema yesu njia kwaiyo wew dini yako yesu ? Huo Ukristo umeupata wapi ?
Luka 21:21
Yesu alipo sema yeye Ni njia alimanisha anaefundisha njia ya Mungu ya kweli ,
Hiyo njia ndyo utoe Aya Sasa wepi Ukristo Ni dini?
@@husseinkiruta1712 nani amesema yesu ni dini? Nimeandika wapi
Dini haipeleki mtu mbinguni , mbinguni hakuna dini ....hata shetani mwenyewe ana dini yake
Imani na ufahamu wa ukombozi katika Yesu ndio itakayotoa mtu katika njia ya jehanamu, mambo ya mtume wenu ni mkora na yesu alisema anayekuja na mlango wa mbele huyo ni mwizi na mkora.
Asiyemuamini yeye kama mwana wa Mungu na mkombozi ashahukumiwa na yeye tayari yupo kuzimu , sasa ina maana wote pamoja na mtume wenu ambao walitangulia wapo kuzimu tayari hukumuni.
Unaweza sema Mungu hakuzaa, fahamu Mungu ni Mungu na vyote kaviumba yeye na ana uwezo wowote wakumuita yeyote mwanawe , na kama huamini basi haja gani kuomba na kusali?
Alisema hakuna mtu atakayeona ufalme wa Mungu pasipo kumuamini yeye.
Matendo ya mitume 4:12
Wokovu unapatikana kwake tu; kwa maana hakuna jina jingine duniani ambalo wamepewa wanadamu kuwaokoa ila jina la Yesu, na ni kwa jina hilo peke yake tunaweza kuokolewa!
Kwa akili yak fup
Yesu fungua ufaham wa waisilam waweze kukujua watu wangu waangamia kwa kukosa maharifa
@@jestymoresimon7576 karibu ktk uislamu wewe
Mazinge.. ni umeme
Mungu,akupe,Manisha,marefu,,nawenzako,unaandamana,nao, insha'Allah
Moto wakuotea mbali Ahmed dedaat wa Africa professor mazinge
Mazinge ni mchekeshaji mzuri
Ndacha mazinge amekuchemsha ulimtaka mwenyewe na ujajipanga haya mazinge ashakutiya maji Kaa utuliye
Allah akbr
ustadh mazinge anatoa maandiko wasabato wanacheka wakidhani ni jokes na maandiko yapo wazi..íla siku ya mwishó mtu atakuja kujua kilicho mtoa kanga manyoya
Hicho chuma ukipenya hapo weeeee peponi moja kwa moja 😄 afuuu ukiona humuwezi kuna vyuma vingine kma Dr Sulley ukitoka salama mshukuru mungu
Wakristo wanaweweseka
2 wakorintho 9:7
Kila mtu atoe kulingana na anakusudia moyoni mwake, na wala sikwa kilazimishwa, kwa maana Mungu humpenda atoaye kwa moyo mkunjufu.
Mazinge haya ndio hiyo kutoka kwa bibilia.
Mungu anatuambia tutoe sadaka kulingana na kusudi la mioyo yetu wala sikwa kilazimishwa.
Kuna sadaka ya upatanisho, ya shukurani, amani etc.
Mazinge hauna tofauti wenda wazimu
Mazingue frofessa
Mazinge kiboko yao takbir...
Mashallhaaa shekhe
Ni ngumu Sana kuutetea ukristo maana hauna ushahid wa maandiko....
It is because you have not read the Bible well, Christianity is the best religion my brother. It has everything, the problem is the preachers of sadaka and tithes because their aim is to get wealth not to teach the truth, sad!
Masha Allah tunamuomba Allah akupe umri mrefu wenye manufaa na afya njema shekh mazunge ili uzidi kuifundisha dini ya haki na watu wote waielewe na kuifata
True kweli
Unaumwa
Yaani mazingeeee...wasomeshe hao wasabato mpaka kieleweke...Allah hafidh
Soma Quran 2:65
@@johnmaiko1113 ww ndio soma...wacristo munapotea kwa sbabu hamujui maandiko
😅😅😅Iyo ndoprofesa mazinga anavimbaaaa
🤣🤣🤣
Masha Allah
Mnakufuru sana waislam you only think nyi ndio wasafi
Mashalla she wetu
Ya Allah hakika dini sahihi ni uislaam na Quran ni kitabu kitakatifu walinde wale wote wanaoupa heshma uislaam
Alhabib mazinge swadacta
Profesor kweli
Ndacha hero
Mashaallah❤❤❤
Kweli kabisa mazinge ni professor bila Shaka
Yarabi mpe umri mazinge wetu tegemeo letu la kuwafamisha Hawa makafiri nao pia waongoke kuifuata dini ya hakki
Allahumma aamin
Amen!
Nyie ndio makafir wa kutupwa! Majini hawaongoki!
Mtu wa Mungu hawi na mbwebwe za kijinga kama kafir Mazinge!
@@juliusmsangi6849 mbwembwe asizitoe wakati anaeleza ukweli kasome hiyo bibilia kwanza uijue ndo uje urefushe vidole vyako kuandika usichokijua hyo mazinge alikuwa kwenye ukafiri kama ww lakini kasilim sasa ni mtu swaaaaafi
Uyu ndacha saizi yuko kenya akizunguka akitangaza usabato yuko yutube live kila siku na namfuatilia tu vizuri walai uyu jamaaa mnafiki mada zake za juzi na jana ni ukristo sio dini na jana ametangaza yesu sio mungu
Mashaallah
Naipataje full video
Insala