MUNGU akuzidishie umri wako si kwa matakwa yao Bali kwa mpango wa MUNGU you are a hero my brother Lisu,wengine tayari Mungu amawahukumu wamekufa😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Tumwombe Mungu atujalie uwe rais wa Tanzania. Inaonesha mmekulia kwenye maadili meme na mna ushirikiano mzito. Kama mnavyoshirikiana ndivyo tungetamani taifa letu lisshirikiane. Inafaa kuwa kiongozi Bora kwa kuwa umekulia kwenye maadili ya upendo, HAKI, nidhamu na maadili mema. Mungu akubariki sana wewe na ukoo wako na hatimaye akufanye chaguo lake kwa Watanzania.
Ni utamaduni mzuri ktk maisha ya kiafrika, hata Mimi na familia yangu tunafanya hivyo, mungu akupe umri mrefu wenye manufaa Kwa watanzania wote na watu wote wanaopenda haki duniani
Mnaweza kujifunza jambo hapa. Huu ukoo n mkubwa. Ukoo mkubwa n ulinzi na mafanikio makubwa...vijana oeni msiogope kutunza familia.kwan Babu zetu waliwezaje na sisi tunashindwaje?
Mungu wetu wa ajabu, anampenda sana Lisu, kamtendea mambo makuu. Huwezi amini baada ya kumiminiwa risasi zote hizo akamjalia uhai hiki ni kutu cha ajabu, naamini ana jambo kubwa naye. Tunakushukuru Mungu wetu,mjalie Maisha marefu
Mungu ni mwema aliyebariki jambo Hilo mungu ameshamuhukumu mheshimiwa lisu aliyepigwa risasi 16 bado anadunda kwani hamjiulizi walinzi waliondolewa na nani ?pia hamjiulizi kamela ziliondolewa nanani?na kwa idhini ya nani?mtawalaumu polisi kutofanya upelelezi lakini wao pia wanafuata maelekezo hakuna binadamu anaependa kulaumiwa cha msingi tukubali yaishe maana mungu alishachukua hatua ndio maana .mheshimiwa lisu Yuko hai lakini mheshimiwa?????mungu alishachukua hatua
Kweli bwana mungu ni mwema amemuokoa na mauti mtetezi ,,msemaji wa wanyonge na waoga wa taifa letu la Tanganyika mungu akutie nguvu na sisi watanganyika tunaojitambua tuko pamoja AMINNA
Nnahakika serikali inajua Kila kitu kuhusiana na Mpango dharimu wa kuondosha maisha ya Mh. TL hata wanapoyaskia haya wanaona aibu. Hii dhambi haitawaacha huru au nchi hii haitatawaliwa kwa utulivu lazma ccm na ukoo wenu wote mtapitia moto daima pamoja na kumiliki Kila kitu mtakula na kuishi kwa taabu kwa dhuluma zenu halaf mbaya zaidi bado mnahangaika kumchafua Mh Lissu mtakufa vibaya kama walivyotamgulia mamia ya viongozi waandamizi tangu baada ya mlichomtendea Mh. Lissu
MWIGULU NCHEMBA NDIE ANAEWAJUA WALIOMSHAMBULIA LISSU, MAANA MWIGULU NDIE ALIEKUA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI NA NDIE ALIYEAMRISHA ULINZI KUONDOLEWA KTK BUNGE!
Kweli gari hilo lenye risasi zilizolenga kuondoa uhai wa Kamanda Tundu Lissu lazima libaki kumbukumbu kwa vizazi na vizazi kuwa uovu haulipi na daima watu wema wasiruhusu uovu ulipe.
Yaani siku lissu akifa Tanzania aitokaa atokee mtu shujaa kama lissu na mwana siasa nguli kama uyu sijawai ona mtu makini kama lissu kwanza ametufundisha mambo mengi ktk taifa hili siku zote ccm na serikali nzima nikusema uongo tuu .Tumuombe Mungu lissu awe Raisi wetu
Zidaiwe Footage za mitaa na majengo ndo upererezi uanzie hapo kama zilifichwa na mtu basi awajibishwe, na pia itabidi sasa serikali inayotawala iweke cctv cameras mitaani kwa ajiri ya usalama maana wanao miliki silaa mtaani ni wachache na wengi wao ni watu wa serikali ambao Raia atuna imani nao kwasababu nchi aiko huru kwa sasa matukio ni mengi.
Kwani ujui ni Sheree ya ukoo wewe unae oji kuusu kunywa ila wewe ata ukifiwa kwenye ukoo awaji wakina wanskuja choka mbaya ambao Awana kazi acha ujinga uyo anaeshimika na anadhaminiwa na ni ukoo wa Erimu wameelimika nisawa na Nyerere butiku ona walioba jaji
Wakili Msomi Tundu Lisu, Sadaka yako ni kubwa Mbele za Bwana..Mtegemee Mungu wako kwa kila jambo. HADI KUFIKA HAPO NI MUNGU KASIMAMA NA WEWE. HAUTAKUFA , BALI UTAISHI ILK USIMULIE MATENDO MAKUU YA BWANA
Hongereni sana watu wa familia ya lisu mungu andeleze mshikamano wenu ni jambo jema lakuigwa na wale wote wenye akili
Pole sana ndugu yangu mwenyezi Mungu alionyesha kwamba you were Inocent na hukuhitaji ulipwe kifo kwa kutetea haki zaWatanzania na watu wako
Mungu akulinde na akupe maisha marefu Tundu Lisu
MUNGU akuzidishie umri wako si kwa matakwa yao Bali kwa mpango wa MUNGU you are a hero my brother Lisu,wengine tayari Mungu amawahukumu wamekufa😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Tumwombe Mungu atujalie uwe rais wa Tanzania. Inaonesha mmekulia kwenye maadili meme na mna ushirikiano mzito. Kama mnavyoshirikiana ndivyo tungetamani taifa letu lisshirikiane. Inafaa kuwa kiongozi Bora kwa kuwa umekulia kwenye maadili ya upendo, HAKI, nidhamu na maadili mema. Mungu akubariki sana wewe na ukoo wako na hatimaye akufanye chaguo lake kwa Watanzania.
SIFA ZA KUWA RAIS WA NCHI HANA
SABABU NI MLEMAVU
SIO KWA TANZANIA BALI NI DUNIANI KOOOTE
Umeongea pumba futa haraka sana haraka futa
Wewe mwenyewe ni mlemavu ni huruma za Mungu tu zinakulinda ndiyo maana unapata nguvu zakuropoka
mlemavu mwenyewe muombe mungu msamaha hujui uliongealo unaishi kwa neema2 kesho yako huijui
@@elimringimoshi590kama yeye ni Kwa neema anaishi, wewe unaishi Kwa pmbu za Mzee wako?
Ni utamaduni mzuri ktk maisha ya kiafrika, hata Mimi na familia yangu tunafanya hivyo, mungu akupe umri mrefu wenye manufaa Kwa watanzania wote na watu wote wanaopenda haki duniani
Mungu ni mwema kwa kweli
Taifa letu litasimama na ww lisu
Na 2025 Tutakutawaza kuwa Rais na Utatuondolea dhuluma ktk nchi hihi
Mungu akubariki
Pole sana ndugu yangu mwenyezi Mungu alionyesha kwamba you were Inocent hukuhitaji malipo ya kifo kwa kutetea Nchi na watu wako Damu ya YESU ikufunike
Wajifia myampaa Alutree,mughwai, Allah akuhifadhi na mdogo,ntundu L mghwai,
Hongereni san wazee wetu
Familia la kisomi sana hongera sana FAMILIA. YA LISU.
Wamefanana Hadi sauti aiseeee 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Sana wamefanya mpaka sauti
Good family❤❤❤
Jamaa wanafanana. Hata kwa kuongea
Kweli
Yaan afu anaongea kwa busara
Wakenya tunawakubali sana pambaneni msiongozwe na mwanamke
Unaonekana n ukoo wa walevi😂
😂😂😂😂 kabisa upuuzi mtupu
Inakuhusu hau unawashaa
Wamefanana sura mpaka sauti mashaAllah
Safi san
Amazing family 🎉
Nimeipenda sana wazee wameshikilia vinywaji wanawaka
Waone watu hawa walivyofanana hadi sauti. Kaka yake ana busara nyingi sana❤❤❤❤
Kweli mungu yupo jamani ❤
No doubt about it
Mungu.ni mkuu. Kwakilajambo. Mubarikiwe sana
Mungu anakupigania mwenyewe, wala haina haja ya kukimbizana nao hata sasa walisha shindwa na Mungu anakupa hii nchi.Amina.
Mungu ni mkuu na mwema kwa mja wake
Asanteni sana Lissu family. MUNGI aendelee kuwa nanyi
Mungu wa Israel ni Mungu wetu. Hatutakufa bali tutaishi na kuyasimulia matendo ya makuu siku zote.
Hivi tundu lisu nguo za chadema unatoaga kwel
Atatoaje na yy ndo chadema
Chadema
Zinauzwa
Kwaiyo mzee anakes maliasili😢 ya kuua simba
Pole Lisu
Mungu akulinde lissu❤
Mnaweza kujifunza jambo hapa.
Huu ukoo n mkubwa.
Ukoo mkubwa n ulinzi na mafanikio makubwa...vijana oeni msiogope kutunza familia.kwan Babu zetu waliwezaje na sisi tunashindwaje?
Amina' Kaka....
alafu mababu zetu waliowa wake wengi sisi mmoja tu noma
We jamaa hao zamani walkuwa wanalima chakula kilo kuwepo cha kutosha sahv Kila ktu ni hela
Amina
Wamefanana adi kuongeaa😂
kaka ake lisu mzuri
Pole sanaa bwana tundulisu na ongera sanaaa shujaaa
Naipenda sana hii Familie
Hakika mbarikiwe sana
Hawa jamaa hatari lakini salama🤣🤣🤣🤣
Hakika mzee Alute Wakili Mungu ni mwema na ni vyema kumshukuru.
Mungu wetu wa ajabu, anampenda sana Lisu, kamtendea mambo makuu. Huwezi amini baada ya kumiminiwa risasi zote hizo akamjalia uhai hiki ni kutu cha ajabu, naamini ana jambo kubwa naye. Tunakushukuru Mungu wetu,mjalie Maisha marefu
Polesana bro lissu
Polen sana tunaumia lakin hatuna namuna lissu baba yeti tunampenda na mung anampenda ndo maana yupo anaishi mung aendelee kumpa neema zaid
Mbona wanakunywa bia sana 😂😂😂
Wanasherehekea sikukuu ya kukutana na ndugu yao, pigeni bia mpaka kieleweke, natamani kuzaliwa ktk ukoo huu❤❤❤❤❤❤❤❤
Hizo bia sasaa?
Mzee Alute inaonekana umekunywa mma.
😅😅😅😅
Naona wazee wananyonya kirauri tarrrrrratu😂
Huyu Ni Mwamba Kwelilweli. Mungu Aendelee Kumtunza
Mungu ni mwema aliyebariki jambo Hilo mungu ameshamuhukumu mheshimiwa lisu aliyepigwa risasi 16 bado anadunda kwani hamjiulizi walinzi waliondolewa na nani ?pia hamjiulizi kamela ziliondolewa nanani?na kwa idhini ya nani?mtawalaumu polisi kutofanya upelelezi lakini wao pia wanafuata maelekezo hakuna binadamu anaependa kulaumiwa cha msingi tukubali yaishe maana mungu alishachukua hatua ndio maana .mheshimiwa lisu Yuko hai lakini mheshimiwa?????mungu alishachukua hatua
Mzee advocate Alute.
Kiukweli wanyaturu tunaoipenda pombe huwa tukiipata hatufanyagi ajizi tunaipa za uso live
😂😂😂😂😂
Ukoo Bora Sanaa na Makini Hakika Mungu Amewabariki
Mnafanana sauti Sana kaka mtu
Kweli bwana mungu ni mwema amemuokoa na mauti mtetezi ,,msemaji wa wanyonge na waoga wa taifa letu la Tanganyika mungu akutie nguvu na sisi watanganyika tunaojitambua tuko pamoja AMINNA
Kamanda umesha shinda fita mpaka hapo tuombe uzima
Baba anapiga kill beer 🍻
Lissu njoo Ccm. Huko chadema wanakunyanyasa. Ukiludi Ccm chukua Jimbo lako bungeni.
Ila ujumbe umefika....
Mungu ndiye mfariji na mtetezi mkuu
👊✌👍.
Mungu Alisha lips zamani alietenda hicho kitendo Alisha tangulia
Miaka ming itapita kumpata mtu kama lisu nchi yetu Mungu amethibisha hili
Polenii
Huijui Tanganyika.wewe
Nnahakika serikali inajua Kila kitu kuhusiana na Mpango dharimu wa kuondosha maisha ya Mh. TL hata wanapoyaskia haya wanaona aibu. Hii dhambi haitawaacha huru au nchi hii haitatawaliwa kwa utulivu lazma ccm na ukoo wenu wote mtapitia moto daima pamoja na kumiliki Kila kitu mtakula na kuishi kwa taabu kwa dhuluma zenu halaf mbaya zaidi bado mnahangaika kumchafua Mh Lissu mtakufa vibaya kama walivyotamgulia mamia ya viongozi waandamizi tangu baada ya mlichomtendea Mh. Lissu
Watanzania wengii hawaaminiii kujenga nyumbaniiii
Hakika utukufu wa Mungu unaotembea kupitia MH Lisu Mungu ndiye muweza wa yooote ktk maisha ya mh Lisu
MWIGULU NCHEMBA NDIE ANAEWAJUA WALIOMSHAMBULIA LISSU, MAANA MWIGULU NDIE ALIEKUA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI NA NDIE ALIYEAMRISHA ULINZI KUONDOLEWA KTK BUNGE!
ALIYEKUWA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI KIPINDI LISSU ANAPIGWA RISASI NI KANGE LUGOLA
Kaka alikuwa Cirro sio kangi logola alikuwa saimon Cirro na kumteka MO ALIKUWA HUYO HUYO CIRRO NDUGU YANGU.. NA ALITOLEWA NA MAMA KUMPELEKA UBALOZI
Hongeren Sana mungu awatunze muishi miaka 10000 na risu akiwa rais tz
Unaona na unajua anaitwa LISSU bado unakuja kuandika Risu....Vilaza wengi sana
Kweli gari hilo lenye risasi zilizolenga kuondoa uhai wa Kamanda Tundu Lissu lazima libaki kumbukumbu kwa vizazi na vizazi kuwa uovu haulipi na daima watu wema wasiruhusu uovu ulipe.
Advocate kweli anaongea ki uanasheria.
Ila mzee muwae wake watatu😂😂😂😂
Wanafanana sana
Mbalikiwe kuwawamoja mungu awabaki san muwe naupendo uwouwo
Wapo wanakula vitu
Kawsida sana.wacha watu wale vyitu maisha mfupi mno
Kabisa Hilo Gari lijengewe makubusho. Na itangozwe siku ya tundu lissu day.
Napenda sana hoja za chadema ilah kaka mtu ameupiga mwingi
MWENYEZI MUNGU MTUKUFU AWABARIKI WOTE...FAMILIA YOTE NA UKOO WA COMRADE LISSU.
Mbeba maono hafi mpaka maono lyale yatimie
Heeee wanafanana hadi sauti
Lisu ni Maasai?
Kufananaje huko
Usinge mpa pole tu
Yaani siku lissu akifa Tanzania aitokaa atokee mtu shujaa kama lissu na mwana siasa nguli kama uyu sijawai ona mtu makini kama lissu kwanza ametufundisha mambo mengi ktk taifa hili siku zote ccm na serikali nzima nikusema uongo tuu .Tumuombe Mungu lissu awe Raisi wetu
Ingekuwa kubwa
Kama mapacha
Anasauti kama ya lisu
Lisu hyo chuma usiiache tengeneza v8 hyo mazeee
Nakama polis wako makin upelezi nimiaka mingi atakama walizuiliwa kiongozi mkubwa saiz wakamatwe hao ila kwakua ccm inamfumo mmoja shida
Zidaiwe Footage za mitaa na majengo ndo upererezi uanzie hapo kama zilifichwa na mtu basi awajibishwe, na pia itabidi sasa serikali inayotawala iweke cctv cameras mitaani kwa ajiri ya usalama maana wanao miliki silaa mtaani ni wachache na wengi wao ni watu wa serikali ambao Raia atuna imani nao kwasababu nchi aiko huru kwa sasa matukio ni mengi.
Familia ibalikiwe
Familia kubwa yenye baraka tele tena kumbe tunashea BABU yaani MURO
Kila k2 ni lisu m2pu
Tundu ni mdogo sana lkn ndiye anayeunganisha huu ukoo
Mwamba anapiga kilimanjaro taratiiiibuuu
Jembe letu bad lunadunda
Natamani huyu bwana arudi bungeni akawachangamshe watu wamelala
Na wanaxhuxhia ka kuli safiiii
HI KWA FAMILIA 📘📘🇹🇿🇹🇿😭😭👁️👁️👁️👁️👁️👁️
Kwani ujui ni Sheree ya ukoo wewe unae oji kuusu kunywa ila wewe ata ukifiwa kwenye ukoo awaji wakina wanskuja choka mbaya ambao Awana kazi acha ujinga uyo anaeshimika na anadhaminiwa na ni ukoo wa Erimu wameelimika nisawa na Nyerere butiku ona walioba jaji
Tundu lisseu unakunywa Nini hapo ?. Naona Kuna kitu unakunywa kwenye kikombe
Hivyo vikopo