Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Naishiwa maneno mwenzenu Mungu hyu anajua kufarij watu wske,,asante Mungu kutuletea magufur kwa njia nyingne😢😢😢Makonda Mungu aendelee kukutunza baba kwa ajil ya wananchi wanyonge,,nchi hii bila kupata kiongozi mfatiliaji nchi inageuka kuwa shamba la miwa😢😢🙏
To me, Mr Makonda was not demoted, instead, he was promoted from being Mwenezi Taifa to be the RC. Look at what the glorious job and services he is delivering to the people of Tanzania. Hata kama anakosea au atakosea mahali fulani, lakini tuzingatie lengo lake. Lengo lake ni lengo la Tanzania na Kiongozi Mkuu wa Nchi yetu. Again, VIVA Makonda and VIVA our lovely president!
Kwa sisi wapiga kura Yani watu wa Hali ya chini tunataka viongozi kama hawa naomba ile sheria ya mgombea binafs ikaziwe ili 2025 makonda agombee hata mgombea binafs kama atakosa nafasi kwenye chama kwa sabbu kila anapowekwa anafiti na moto ni ule ule
Makonda respect to you Nchi inakuhitaji sana kuliko kitu kingine nchi zetu za Africa zinataka viongozi wenye msimamo kama wewe na wenye kuthubutu mungu akulinde kiongozi..Viongozi wengi wababaishaji na rushwa tu wabane wote wezi tu
Mweshimiwa makonda mimi binafsi naupenda sana uongozi wako, japo tunajua unakutana na changamoto nyingi na wengine watakuchukia ila mungu atakupigania sana.
Ewe mola wetu mlezi nakuomba kwa dhati kabisa umlinde mja wako Rais Samia na kijana wake Makonda na uwape maisha marefu na uwezo wa kutatua shida za raia wa nchi hii na uwezo wa kupambana na rushwa kwani ndio kikwazo kikubwa kinacho wanyima haki zao wananchi wanyonge wa nchi hii insha Allah ❤❤❤
Makonda mungu akujalie kwa kutenda kazi yko mungu aliokubaliki nayo naimani kila aliedhulumiwa atapata haki yake mungu amsimamie makonda na umbaliki sana hii ni kazi ngumu ya kufichuwa madudu ya viongozi wanaodhulumu mali za watu bila kuwa na woga na wala off ya mungu makonda piga kazi mungu yupo nawe
Asante Mheshimiwa Makonda kwa maamusi ya haki Tansania nzima imejaa Rushwa katika Nchi za Maendeleo hakuna Rushwa sababu Rushwa ni Ugonchwa usiokuwa na Dawa Asante
Mama naendelea kusema nakupenda sana mama Mh Ras wangu , sina cha kusema Mungu akulinde akutie nguvu.kila iitwapo leo as, lazma nakuombea . Kaz iiendelee.
Mungu akubariki na akuepushe na hatari zote za roho na za mwili Kila ulimi utakao nyanyuka juu yako utaesabiwa kuwa mkosa hakika mungu amewasha mwanga mpya kwa wanyonge
Mhe. Makonda nakupongeza sana kwa kazi nzuri sana. Ningekuwa mimi huyo Mtu wa Ardhi ningemchukulia hatua kali sana. Jambo liko wazi kwamba watu wa Ardhi ni wababaishaji sana.
Safi sana mh makonda watu wanazurumiwa haki zao na uwo mchezo unaanziaga ngazi ya kijiji. Wenyeviti ndio watu wanaoanza kushilikiana na viongozi wa juu adi kutaifisha rasilimali za watu kama ardhi. Natamani ungekuwepo Tanga wanamchi wa kata ya maweni kange wangepata haki yao. Maana wamezurumiwa mashamba yao yalioopo kiwanda cha wachina Rhino kilichopo kange. Walipambana wakaambiwa watalipwa na picha wakapgwa tangu mwaka juzi lakn adi leo awajalipwa na hata wakifuatilia wanazungushwa . Hakuna cha maana adi leo sijui watapaza sauti wapi.
All in all..Makonda is very wise...you gotta be on your best behavior...huyu mtendaji reminds me of my brother ...deed of rectification n blah,blah,blah....kama kweli umesoma na elimu imekufungua macho then utaweza kutumia lugha am bayo yeyote nje ya hiyo field anaelewa na circle inaendelea...ndio zao mikwala ya misamiati...Viva Makonda
Watumishi wengi wa serikali hawafanyi kaz, hawaendi field ni watu wa ofisini tu as opposed na private sector. Huyo chalii unaweza Kuta vyet ni vzr ma GPA nn ila hawez hta jieleza na anaonekana hna experience na kaz yake,
Kuna watu mkuu hawajui namna Jinsi maisha yanavyo tegemeana mungu akusaidie na aiokoe Tanzania yote nchi yetu nzuri ipate uongozi unajua maumivu ya Watanzania hasta wakati wa kuililia Hali.
🌍🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕 ⭐🌟 ✍️ Jamani kama hapa duniani haki ina thamani kiasi hiki kiukweli sijui huko twendako mbele ya MUNGU itakuwa na thamani kiasi gani... ✍️ Ila mimi kutoka kwetu Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Nimeipenda Kazi ya 🇹🇿 MAKONDA na Nimeipenda Kazi ya 🇹🇿 Mama SAMIA Na Mungu Awalinde popote walipo...
Kwa kweli huyu mtu angeulizia kwanza kwasababu Mh.Makonda ana uwezo mkubwa sana na technic za hali ya juu kuwabana hawa watendaji wasio na utu kabisa kazi yao kula tu! Kuna jambo kubwa Mungu atamtendea Makonda zaidi baadae
Kiukweli makonda naichukia ccm ila kupitia ww naanza kuipenda!! Broo mungu wang wa mbingun naomba ajibu maombi uwe rais wa nchi hii nadhan utaipua meng kama mzee magufuli!! Hakika una ujasiri wa kuendexha nchi hii mungu naomba ujibu maombi yang nkiwa hai amen!
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Duuh
@@godfreyjuliusmollel5218adadadeaaaaaaaaadadkka
À@@godfreyjuliusmollel5218
Kama na wewe umefurahishwa na Makonda hadi ukakosa cha kuandika basi like tu hapa aone tupo wangapi.
Asante Mungu kuturudishia Maguful kwa kutumia mwili wa Makonda 🙏🙏🤲
Naishiwa maneno mwenzenu Mungu hyu anajua kufarij watu wske,,asante Mungu kutuletea magufur kwa njia nyingne😢😢😢Makonda Mungu aendelee kukutunza baba kwa ajil ya wananchi wanyonge,,nchi hii bila kupata kiongozi mfatiliaji nchi inageuka kuwa shamba la miwa😢😢🙏
Makonda nafuatilia ziara zako mungu akupe maisha marefu aameen
Uso wa Bwana uende nawe Makonda.
To me, Mr Makonda was not demoted, instead, he was promoted from being Mwenezi Taifa to be the RC. Look at what the glorious job and services he is delivering to the people of Tanzania. Hata kama anakosea au atakosea mahali fulani, lakini tuzingatie lengo lake. Lengo lake ni lengo la Tanzania na Kiongozi Mkuu wa Nchi yetu. Again, VIVA Makonda and VIVA our lovely president!
Makonda tunakuombea mno💋🇹🇿 Mungu akutunze kila mchawi wa moyo wako naafe kwajina la yesu kristo wa nazaleti
AMINA
Jamani namuona magufuli Mungu asante namuona mpendwa wetu magufuli ndani ya makonda
Kwakweli
Arusha tuna bahati kumpata kiongozi kama huyu 👏👏👏👏👏🙏🙏🙏
Makonda respect Sanaa moyo ulikufaa baada yakufa magu sasa unaanza kupumua kupitia ww ningekua nauwezo ningekupa nchi 🙏🙏🙏🙏💯💯💯
Anafaaaa
Ni kweli kabisa ndg
Kwa sisi wapiga kura Yani watu wa Hali ya chini tunataka viongozi kama hawa naomba ile sheria ya mgombea binafs ikaziwe ili 2025 makonda agombee hata mgombea binafs kama atakosa nafasi kwenye chama kwa sabbu kila anapowekwa anafiti na moto ni ule ule
Anafaa sana Mungu asikilize maombi yetu Makonda anafaa sana
Sana makonda anaofu ya Allah baro mwaka 2030 apewe uraisi
Kwa kweli katika hili Mh Makonda umenyoosha mstari kama kiongozi na Mtenda haki. Hongera sana hakika.
Nakupenda bure Mh makonda maana haujawahi kumkana Yesu, Ilove your tshirts and cap.🎉
Ahsante sana M/mungu Kwa kutupa magufuri wa pili hongera sanaaa makonda mungu akupe maisha marefu 🌹🎁
Makonda respect to you
Nchi inakuhitaji sana kuliko kitu kingine nchi zetu za Africa zinataka viongozi wenye msimamo kama wewe na wenye kuthubutu mungu akulinde kiongozi..Viongozi wengi wababaishaji na rushwa tu wabane wote wezi tu
Nimekuelewa sana
Mweshimiwa makonda mimi binafsi naupenda sana uongozi wako, japo tunajua unakutana na changamoto nyingi na wengine watakuchukia ila mungu atakupigania sana.
Mungu aendelee kukupa kibari na akuzidishie maono Mr Makonda
Unanibariki sana..mzee wakulete kigoma huku uiinue hii mkoa aise
Mungu anabariki sana tanzania, kwaiyo Magufuli ameludi kwakili ya Makonda. Ongera wanainchi wote. Ni naomba muthuche Makonda.
MUNGU mlinde huyu baba Paulo Makonda mtetezi Wa wanyonge hakika ni mtu sahihi kwa Tanzania yetu si mkoa tu,Yani mimi hapa nacheka tuu❤❤❤❤
Mungu akulinde wewe una roho ya magufuli ndani yako
Yan hapa ukiteleza maelezo kidogo umekwisha😂 hongera Makonda
❤❤❤❤❤❤ makonda
MUNGU akupe ngazi ya mwisho ya maamuzi namanisha urasi.❤❤❤
Naona Mh Makonda awe Mkuu wa mkoa wa kuhamahama. Yani kila mwaka ahamie mkoa mwingine. Maana kazi yake ni konkii konkilist.
POINT NA NUSUUUUU
Sahihi kabisa
Aende morogoro,Musoma na mwanza
Na atasaidia sana katika kutokomeza rushwa.
Nimeunga mkono hoja
Makonda mwamba nirikuwacjakuerewa lkn ss nimekuerewa asante sana
Mzee Uwe Unaulizia Kwanza😂😂😂Makonda We love uuu❤❤😂
Ni kwere😂 kanikumbusha kitu ila skisemi 😂😂😂
😂😂😂😂
Kachimbiwa biti mwenyewe kaomba msamaha 😂😂😂😂😂
Mzee uwe unaulizia utakuja kunya kiazi cha moto
@@isaackgabriel9536😂😂😂
Makonda is abest lohoyamngu❤❤❤❤ moyommoja awapenda wanaichi
Makonda juu juu juu ningekua na uwezo kiti cha urais ni chako baba ❤
Salute Mh:Paul Makonda, najikuta nkipiga makofi ucku nikiskza Ziara zako
makonda popote ulipo shikamoo nakukubali sana mungu akujalie mema saidi 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu akupe maisha marefu kamanda wetu 🤝
X🎉🎉🎉 maua yako kiongozi,,,mngekuwa watano Kama wewe sijui ingekuwaje,,ubarkiwe sana.
Makonda oyeeeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 nakupenda sana ❤❤
Kweli mheshimiwa makonda anatenda haki kwa wananchi mungu ampe maisha marefu
Mungu aendelee kukubariki Mtoto wa Mungu Makonda.
Makonda Mungu akukumbuke alinde uzao wako katika jina la Yesu
Nimegundua wanaotufelisha sio viongozi wa juu ila ni watendaji wadogo na ndio Wala rushwa...hongera Paul MAKONDA nakukubali jembe letu
Big broo..Makonda baba lao🏆
Makonda is the best leader in Tanzania especially in solving problems of the people mimi nakuombea sana Mh ,mungu you nawe kwa kweli
Mungu akulinde zaidi❤❤❤
Mungu azidi kukupa Hekima Rafiki makonda Mungu akubariki sana
Ewe mola wetu mlezi nakuomba kwa dhati kabisa umlinde mja wako Rais Samia na kijana wake Makonda na uwape maisha marefu na uwezo wa kutatua shida za raia wa nchi hii na uwezo wa kupambana na rushwa kwani ndio kikwazo kikubwa kinacho wanyima haki zao wananchi wanyonge wa nchi hii insha Allah ❤❤❤
Yes mh. Makonda wewe jembe hauna tofauti na rais wangu kipnz😢😢 jpm tunakuomba ata mkoa wetu wa kagera.
Mungu akulinde San makonda na azidi kukupandisha Veo had Veo na mungu asikuache
Daaaaah Mungu tulindie Makonda
Good job RC! Mungu akubariki mkuu! 👏🏾👏🏾👏🏾🥰🙏🏾🙏🏾✌🏾
Makonda mungu akujalie kwa kutenda kazi yko mungu aliokubaliki nayo naimani kila aliedhulumiwa atapata haki yake mungu amsimamie makonda na umbaliki sana hii ni kazi ngumu ya kufichuwa madudu ya viongozi wanaodhulumu mali za watu bila kuwa na woga na wala off ya mungu makonda piga kazi mungu yupo nawe
Mh makonda nakuomba uwe na microphone yako peke yako jinunulie yako peke yako usipewe na mtu wewe ndiwe raisi wetu atakaekuja🙏❤
Asante Mheshimiwa Makonda kwa maamusi ya haki Tansania nzima imejaa Rushwa katika Nchi za Maendeleo hakuna Rushwa sababu Rushwa ni Ugonchwa usiokuwa na Dawa Asante
Mtetez wa wanyonge kaziiendeleeeeeeee 🙏🙏🙏🙏
Hongera Dana mkuu was mkoa,kweli unatetea wananchi wako
Tunamwona magufuli ndani ya makonda God protect you u are excellency keep going,
Mama naendelea kusema nakupenda sana mama Mh Ras wangu , sina cha kusema Mungu akulinde akutie nguvu.kila iitwapo leo as, lazma nakuombea . Kaz iiendelee.
🙏🙏🙏.makonda wakupe Inchi 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿. Ise
Mungu akubariki na akuepushe na hatari zote za roho na za mwili Kila ulimi utakao nyanyuka juu yako utaesabiwa kuwa mkosa hakika mungu amewasha mwanga mpya kwa wanyonge
😂😂😂 Duuu MH.Makonda pole sana kwakazi kubwa uliyonayo uyo jamaa kimaelezo kajikomiti bila kujijua siku zamwizi 40 fala wewe
Mana kwanza ncheke mana watu wanabwabwaja mbaya mbovu. Nakukubali Makonda , wababaishaji hawana majibu. God bless u all the day Mr RC
Mh makonda mungu akutangulie akutangulie akuepushe na kila shari za maadui mama aisha arusha
Akili kubwa sana hii, Mungu endelea kumlinda mh. Makonda
Wajanja:Ole Gunnar Solskjaer..fans ;all is forgiven..Hongera bro Makonda
Unapohojiwa na Makonda unatakiwa uwe smart Sana kichwani,na uwe na kumbukumbu on what u have said before
Mhe. Makonda nakupongeza sana kwa kazi nzuri sana. Ningekuwa mimi huyo Mtu wa Ardhi ningemchukulia hatua kali sana. Jambo liko wazi kwamba watu wa Ardhi ni wababaishaji sana.
🤣😂🤣😂mzee kimemramba makonda hana mchezo❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Makonda oyeeee ... uko vizuri sana
Safi sana mh makonda watu wanazurumiwa haki zao na uwo mchezo unaanziaga ngazi ya kijiji. Wenyeviti ndio watu wanaoanza kushilikiana na viongozi wa juu adi kutaifisha rasilimali za watu kama ardhi. Natamani ungekuwepo Tanga wanamchi wa kata ya maweni kange wangepata haki yao. Maana wamezurumiwa mashamba yao yalioopo kiwanda cha wachina Rhino kilichopo kange. Walipambana wakaambiwa watalipwa na picha wakapgwa tangu mwaka juzi lakn adi leo awajalipwa na hata wakifuatilia wanazungushwa . Hakuna cha maana adi leo sijui watapaza sauti wapi.
Jamaa ni wezi sana aisee
Brother makonda kazi unayo hapo duuuh hawa ndo viongoz nchi nzima walivyo hivyo daaah🙌🙌🙌
All in all..Makonda is very wise...you gotta be on your best behavior...huyu mtendaji reminds me of my brother ...deed of rectification n blah,blah,blah....kama kweli umesoma na elimu imekufungua macho then utaweza kutumia lugha am bayo yeyote nje ya hiyo field anaelewa na circle inaendelea...ndio zao mikwala ya misamiati...Viva Makonda
Baba Megan Mungu akutangulie katika maisha yako upate umri mrefu na familia yako
Tick Jesus damn that's powerful
Kama kaweza kushupaza shingo kwa makonda he kwa wananchi huyu tutamuweza au kuendelea kunyanyasika tu
Makonde hongera Sana baba kwa kazi unazofanya nikubwa Sana mungu akuzidishie umri na uwezo wakuwa saidia wanyonge ww ni baba wawanyonge
Mungu amlinde makonda ni kiongozi shupavu
Mungu ambariki sana mh
Watumishi wengi wa serikali hawafanyi kaz, hawaendi field ni watu wa ofisini tu as opposed na private sector. Huyo chalii unaweza Kuta vyet ni vzr ma GPA nn ila hawez hta jieleza na anaonekana hna experience na kaz yake,
UKIKUTANA NA BWANA MAKONDA JUA UMEKUTANA NA KIJANA MWELEVU MNOOOOOOOOOO, zingatia neno mwelevu📌
Kabisa mkuu
Sanaaaaa Aissse
Kabisa kabisa 😂😂❤❤❤
Kuna watu mkuu hawajui namna Jinsi maisha yanavyo tegemeana mungu akusaidie na aiokoe Tanzania yote nchi yetu nzuri ipate uongozi unajua maumivu ya Watanzania hasta wakati wa kuililia Hali.
SHIKAMOO MAKONDA.
ILOVE❤ MAKONDO
ACHA WAKUPOPOE KUNA UNACHO WAZIDI.
MWAMBIE MUNGUU WEEE ASANDE.KUNIPA CHAZIYADA
Good focusing,from this guy,big up❤❤❤❤❤❤❤❤
Makonda mungu akulinde sana nchi inakuhitaji sana
🌍🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕 ⭐🌟
✍️ Jamani kama hapa duniani haki ina thamani kiasi hiki kiukweli sijui huko twendako mbele ya MUNGU itakuwa na thamani kiasi gani...
✍️ Ila mimi kutoka kwetu Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Nimeipenda Kazi ya 🇹🇿 MAKONDA na Nimeipenda Kazi ya 🇹🇿 Mama SAMIA Na Mungu Awalinde popote walipo...
Aaa, wee Samia hafai bora Makonda
Wakuu wa mikoa mingine Tanzania wakula bata,hawajui wajibu wao, viva makonda,
Uongozi ni kipaji
🎉🎉🎉@@baloz8974
Waige mfano wa makonda
Jamani waige mfano wa Makonda, Mungu akulinde Sana Makonda ❤️
Makonda iposiku utakuwa rahisi makonda kweli mm nasema endelea usikatetama saidia watu💚💚💚💚
😂😂😂😂😂😂😂😂Mh Makonda ana akili kuliko mnavyofikiri wengi
Makonda mkuu wa mkoa wa Arusha yetu nakuombea sana Mungu wetu akujaze nguvu na ujasiri kwenye kazi yako,
Halooo kaumbuka,
Ubarikiwe Makonda mheshimiwa
Mheshimiwa makonda ww ni noma kwelikweli 😂😂😂😂😂🇹🇿🇹🇿
Hongera sana mkuu wa mkoa
Uyu jama anapatikana kweny chanel ip kweny tv mh makonda, naomba msaada wenu
Kwa kweli huyu mtu angeulizia kwanza kwasababu Mh.Makonda ana uwezo mkubwa sana na technic za hali ya juu kuwabana hawa watendaji wasio na utu kabisa kazi yao kula tu! Kuna jambo kubwa Mungu atamtendea Makonda zaidi baadae
Uwiiiii Arusha hakuna watendaji,,, nani wanawapa ajira hawa watu jaman
Madonna mwenyezi mungu akuweke sana update kumaliza hawa mafisadi
Mungu akulinde hakuepushe na mabaya yote
The man so confidence
Jama anahakili kumudanganya hapa kabisa. Piga kazi mkuu🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮💪💪💪💪🫶🫶🫶
Ila makonda we mwamba nakuamini sana 🤏🤏🤏🤏🙏🙏🙏
Swaga ndani hilo chizi hatari sana Mh Makonda tena anaisalilisha serikali yetu makini du!
Big 5 kwak mkuuh ✊ shenz zot piga chini
Respect my president, respect Makonda nawapenda sanaaaa
nimejifunza kutunza document nikitu muhimu sana ✍️ inasaidia siku kama hizi 😢
Mungu akulinde makonda nakuombea.
Mungu Akubariki sana kiongozi mkuu wa mkoa
Kiukweli makonda naichukia ccm ila kupitia ww naanza kuipenda!! Broo mungu wang wa mbingun naomba ajibu maombi uwe rais wa nchi hii nadhan utaipua meng kama mzee magufuli!! Hakika una ujasiri wa kuendexha nchi hii mungu naomba ujibu maombi yang nkiwa hai amen!
TANZANIAAA , WONDER SHALL NOT END.😮
Not only in Tanzania in all of Africa
Oyaaaaaaaaa 😂😂😂🙌
Imebidi nitranslate kwa kiswahili,,,!
Oyaaa 😅