'Sikutoroka' - Dereva wa Lissu aiambia DW
Вставка
- Опубліковано 10 лют 2025
- Adam Mohamed Bakari, mtu anayefikiriwa kuwa shahidi muhimu kwenye mkasa wa kushambuliwa kwa Mbunge wa Singida Mashariki nchini Tanzania, Tundu Lissu, amekuwa kimya tangu Septemba 2017 hadi alipozungumza na DW kwa mara ya kwanza akiwa nchini Ubelgiji, zaidi ya mwaka mmoja na nusu tangu kutokea kwa mashambulizi hayo.
Pole sana dreva Mohmed kwa hali ngumu hiyo ww ukiwa km dreva kweli ulipata msongo wa mawazo na utendaji pia, Mungu alisimama kwa kuwa karibu sana nanyi na awalinde zaidi nyie ni mbegu ya Mungu msihofu lolote !!
Mungu ni mkuu sana ni mlinzi wa maisha yetu anatupigania
Adam mpe Yesu maisha yako umeokoka kwenye tundu la simba okoka YESU atawale maisha yk
Mungu ni mwema.
Yesu yupi iyo ?
@@huyu1993unasemaje?
Poleni Sana tufungeni siku mtu mungu atajibu
Naomba ahojiwe vzuri atakuwa anajuwa kwann. Hakumwambia boss wake mapema ili atoe taarifa police anasubiri mpaka avamiwe hapo naona kuna alama ya kuuliza hatakama sijasoma
Kwanini walitoa Camera
Polis gani tena ushaambiwa walitoa taarifa mapema saan na hakuna kilichofanyikaa
Dereva anahusika kwanini. Ashuke wakati aliona hatari? Na kwanini asimwambie boss kuna watu wanatuatilia? Ili achukue tahadhari? Akafanya siri kisha akashuka ili risasi zisimpate? Hao waliofanya kitendo hicho ni wafuasi wa chadema wameona tundu lisu kimbelembele hataki wenzake washike nafasi ya urais maana mbowe alitaka awe rais Dr silaa Sharif hamad na pro lipumba wote walitaka wagombee sasa jamaa kagoma hapo ukawa na ukuta ikafa hivyo ni visasi vyao tu na dereva anajua yote lakini mjue kikulacho kinguoni mwako
Kabisa kwanin yeye hajapata majeruhi
Hawa wanasinema wazur sana, huyu jamaa nafsi yake inamambo mengi juu ya hili..... Ni serikali ya wapi itumie mateja au walevi kufanya ambush kama hiyo? Maana mtu aliyempiga hizo bastola za kupigia njiwa pori anaonekana kbsa ni kilaza tu, mm naamini asingetoka mtu hapo, 32 bullets 🙄🙄🙄. CCTV gn kwan mtu akisema umeng'oa kigingi hata kama hakikuwepo mdomo wake utabambika?
hivi dakika zote hizo mnashangaa lile gari na hadi linageuza mmeshindwaje kuchukua namba za gari? plate no.? dakika 10 mmeshindwa kuchukua hata picha? hata kupiga simu kwa ndugu wa karibu?
Wakati ukishka unashtiwa mzee😅
Pole sana sisi wote tume zaliwa na mwanamke bibilia ina sema mwanadamu alie zaliwa na mwanamke sikuzake zakuishi sii nyingi mambo yote tuna mwachia mungu
inauma sana,damu hi ikawe laana kwa wamwagaji wote
Ameni, mmoja ishalipwa magu
Pole sana dereva na hongera kwa kushiriki kumnusuru Tndu Lissu. Mungu akusaidie ili siku moja uwe dereva wa rais Tundu Lissu
Kiuhakisia izo risasi zingemjeruhi na yeye picha LA kihindi ili😂😂😂
acha ukuma wewe, mbn ushangai walinzi wa hapo walikuwa wap!!!???
@@bennymochiwa4800Asanteee benny
Hiyo hotuba ya RAIS WETU INAITWAJE UA-cam, ALIYOTAMKA MANENO HAYO ILI TUSIKIE ACHENI KUTUFANYA MAZOBA
Pole sana uliweza kumuokoa Mwamba wetu Lisu mungu akulinde huko uliko Lisu tunae
Pole sana kaka Lisu tunakupenda Mungu wako yupo hai.
Jipe moyo
Waliopotea tu inatosha kutohowa nakupata Lugha kamili yawalio husika.Mungu ndie muweza wayote hakuna atakaeishi milele.Mungu atukuzwe kwakuwaponya.
Tf brtteyy
We love you dear
La pole mwenye ,zmungu akulinde zaid
Njoo ukajibu mashitaka na Lissu wako ili ukweli ujulikane.Swala kubwa lissu hataki ukweli ujulikane kwa sababu anatumia risasi kama sera kupata ubunge😢
Ulitakiwa na police kwa nn umegoma kuja
Unaielewa vizur selikal ya tz au unaropoka
Huyu jamaa si mnzima!
Ww bro me kuna kitu unanitisha mbona lisu anasema ulimwambia mapema kuwa kuna watu wanawafatilia? Na lisu anasema kuwa ww ilipopigwa risasi ya kwanz ww ndo ulimwinamisha gafla?! Ww umesema had unafika area D lisu alikuwa hajui kitu ? Lkn lisu anasema ulimwambia mapema
Jamaa yangu mungu akuongezee siku za kuishi pamoja na familia yako
Adam Asante kwa
wako ukweli na Mungu atakuhifadhini wewe na Muhishimiwa Ameen
Ukweli aupeleke police kesi ianze waache mambo ya kihuni huyu ni shahidi number moja
Adam aje tz mbona lisu kalud ajeahojiwe napols muuaj skatangulia
@@pundatr8103 lissu si victim aende akafungue mashtaka alafu aje na huyo Adam atoe ushahidi lissu mwenyewe hata hana uhakika kwa sasa nani alimfanyia tukio
Kuna clip ulisema ulilaza kiti ndio. Maana risasi hazikumpata hapa unasema ulilaza kwenye kiti chako
Very smart and honest guy👏
How? wewe watu wakifuata ,utawapeleka mpka kwako na na kusubili nje?
@@AD-qi3wb6:11inawezekana ukihisi kitu why not mimi naweza kusubiri nikihisi
Huyu Adam ni mwongo amekaririshwa maneno ya kuongea na tundu kwanini tundu karudi ye hataki kurudi? Inafikirisha sana
Kama Lisu hakufariki bado ni shahidi siyo akomaliwe dereva tu hii ni move ya kucreat
Mungu mwema na ndio mana kawanusuru hamkuwa na hatia tunawaombea sana
Shida ipo kwenye kuumia mguu wa kulia alihari umekaa upande wa kushoto ya mungu mengi
Kwahiyo amejipiga risasi au??? Wewe unaweza?
Kawaida ya risasi ukipigwa kushoto hutokea kulia.
nyinyi mnayetaka dereva arudi ahojiwe na polisi, kwa nin kwanza msiwaulize hao polisi cctv camera zimeenda wapi? ukiangalia nature ya tukio lazma mtu ukimbie
Unauhakika zilikuwwpo au unakalilishwa
Kwann halud ? Mbona chba kalud
Utungaji.
Jina jingine ufahamu
Siasa nimchezo mchafu sana mtajuana wenyewe huko siasa nikama ugonjwa
uuni mpango wa risu mwenyewe kwanini haukupiga sm police umeona unafatatiliwa haukupiga sm
Jackson Joakim wakati mwengine unapo toa maoni yako tambua kwanza unacho taka kuongea ama kusema
@@danielichuwa3747 kwani kakosea Nini ndyo alipaswa kupiga c
@@roseesospeter1792 kasema kajipiga mwenyewe au umesoma ya sm tuu🤔
Mungu anakuona
Mmmmm, acha nipite nisije kukufuru bure , huyu dereva na maongezi ya Lisu yanapishana ni bora hata asingeongea maana wanapozidi kujichanganya mnapoteza hata maana .
babyee Da love hawana utofauti wowote ila siasa tu ndo zinazowatoa roho kwa iyo ht mukiambiwa mutasema uongo
@@abdulkareemseif667 yes ni kweli
Maelezo yao yapo sawa kabisa ila wewe ndio chenga
Asante kwa kuokoa maisha ya lissu Mungu atakulipa
🙏
Pole pole ila YESU anaokoa Yesu aliwaokoa wewe na bosi wako mpeni Yesu maisha yenu mmeongezewa siku
Nimashaka wakati unaona watu wanafatilia nyuma kwanini haukumwambia naye akajiwekatayari aidha kuitaji msaada wa rafiki au majirani kuwa tunafutiliwa nyuma kitakachotokea mjue kuna watu.
Sababu ya kuwa watu wawili nini sasa kama boss wako hautaki kuongea naye pale penye mashaka.
Unayoongea yote umepangwa uongee hayo unayoongea lakin sisi tunayo mambo unayopaswa kuongea. Kwanini ulitoroka baada ya tukio?
Imma Mlowe nawe unajuwa kama kafundichwa urikuwepo kwenye kumfundisha au uritaka asemeje?
Imma wewe ni zaidi ya chizi
Watu jamani ebu tuelize vile alitakiwa kuongea
Yes shahd wa kwanza huyu hapa haiewezekan risas zmepigwa kushoto lkn majeraha ya Lisu yapo kulia
Kwani dereva anayetorokaga car ni huyu2 au mlimtaka na yy afe
Daah gari ulikuwa nyuma ya gari yao kisha wanapigwa na risasi tokea nyuma ya gari inampiga mshambuliwa kwenye paja hii kali
Haujasikiliza maelezo vzri ndugu,gari ilirudi reverse na kwa Kasi ilipofika usawa wa gari lao wakashambuliwa risasi.
@@alexvenas2699watu wengine wanasikiliza lakini wanajitia ukiziwi kwa kutaka kujifanya wanajua zaidi wakati huyu alifungua mlango akalala chini nje ndio pona yake .Na wauaji nadhani walifokas kumlenga Lisu pia walikua waoga hata wao hawakujiamini walipokuwa wanatenda lile tukio
Tukumbuke hata Sativa alilengwa hapa na hapa lakini Mungu alimuokoa maana walengaji pia wanakiwewe cha dhambi mpaka hawakutimiza dhulma zao
Mungu anawaona wtz mnaye amini dereva alihusika lakini amini nawaambieni lisu ni mtu ambaye Mungu amempa Karama ya kuongoza watu yote hiyo mlitaka afe Mungu kuzuia kajiinua mumjue mungu hakika naamini kwa kilicho tokea kwa tundu lisu Mungu atatufundisha na hatuta amini lakini tutaelewa kuwa Mungu alisimama kwa ajiri ya taifa la Tanzania sio kila magumu tunasema shetani amejiinua mungu anaruhusu tujifunze watanzania yatakapo timia lisu atakumbukwa na watanzania wote asante .
Huyo chiba mpiga dili jibo lilimshinda amuongoze nan
Mission impossible....Mungu mwema
Dereva. Ausik .kwaniangeshindwa kumalZ. WEWENIMTUMUNGU NAMUNGUAKULIND UWENAMOYO UWO UW
Kwa mtu mwenye akili timamu ukisikiliza tu maelezo ya dreva inatosha kuonyesha kuwa dreva alijua shambulizi 100% believe me
Mimi nadhani yeye aliwaona na aliwajuwa ila anashindwa kutaja hadharani ni vyema vyombo vya usalama kukaa nae na kuongea nae vizuri
Uyu jamaa maelezo yake duh nina was2
Dereva alinunuliwa huyo
Alijua na ndo maana Lisu alipona
Wote walijua kuwa wanafuatiliwa hata kuna wkt Lissu aliomba ulonzi je wote wanapaswa kutiwa hatiani kutokana na tukio hilo? Na kama risasi zilipigwa kutokea nje ya gari je alishuka mtu katiyao kupiga risasi? Na vipi risasi zisichunguzwe kujua in bunduki gani inamilikiwa na nani.....
Huyu ni mwislam Lissu ni mkristo angalia walivyokuwa wakiishi vizuri tunatakiwa tuwe hivo kulikoni shetani aliyepanga mauaji naye Mungu akawanusuru wote wawili Mungu ni mkubwa
Mungu. Ndiye mueza ya yote nakumbuka lisu alisema kabisa kwenye vyombo vya habari anafaatiliwa mjitahidi sana kuangalia taarifa kesho yake ndio akapigwa risasi
Dah huyu dereva kaonesha uzembe kabisa angeona wanavofuatiliwa angetoa taarifa polisi au wangerudi bungeni 🤔
Polisi wa wapi hao wenu wanaibeba ccm khhaa usichafuwe hali ya hewa hapa
Gari imetobolewa mala 32 lisu risasi 16 wewe ujaguswa hata kidogo ww ni zaidi ya malaika .....pili risas zmepigwa upande wako wa kushoto lisu amepigwa mguu wa kulia hizo zilizompiga lisu kulia zilitoka wapi na ww ulikua kulia hukuguswa kabisa tatu Kama risas zilipigwa kiholela ilikuwaje zilenge mguu tu ...kk tunaomba uhojiwe ilitupate majibu yaliyonyooka
Kabisa hatamimi wananichanganya
Bigappu sana kijana Mungu atakuripa
Dreva wa lissu sio shaidi wa serikali hawa wanamtaka ili kumwuwa kupoteza ushahidi awana jambo jingine
1. Tumeanza kufuatiliwa toka tunatoka bungeni.. kila tukipiga kona magari mawili yanatufuatilia, ila sikumuambia bosi.
2. Tunaingia getini gari moja inaingia na sisi na kupaki nyuma yetu, namuambia bosi asishuke ila kwa dakika zaidi ya kumi hata hatupigi simu kuomba msaada kwa kuhisi hatari.
3. Gari inageuzwa kuelekea ilipoingilia (getini) anashuka mtu wanaongea tena kwa dakika kadhaa kisha gari inarudishwa rivasi na kupaki nyuma ya gari yetu.
4. Zinapigwa risasi upande wa abiria (bosi) inamaana kushoto kwake lakini anajeruhiwa mguu wa kulia.
5. Anasema hakupaniki kabisa aliposikia mlio wa bunduki maana ni muda walishajua wanafuatiliwa. (MLIO WA SMG!!!??)
Mungu endelea kutulinda sisi na nchi yetu!!!
Honestly speaking These something somewhere Hardin, how come a drive who drives such a Big person like Mr Lisu, Umehona Gari zimekufata Na umekaha kimia Bila kumuhusisha boss wako? Second je Ahukufanya advance driving?
nnnnmnnnnnmjjkjjk¹nnn
Mungu anajua zaidi
Huko Ubelgiji kuna nini Mbona hata waasi wa Burundi na Congo mnakimbilia huko
Si kuna barozi yuko muulize!
Huko Ubeligiji kuna jambo tuwe makini sana na mgombea wao waliomtuma,,,,juzi juzi wameomba msamaha Congo kwa mabaya waliyofanya,,,sasa wa tunao na wana ajenda nzito,,watu wanashangilia maafa yajayo kwa kutokujua...Mungu ibariki Tanzania
Pole kaka
Mimi siandamani tena
P0le
Taratibu kisheria mtu wa kwanza kumhoji Ni Yule aliyekuopo kwenye tukio ndipo upelelez mwngn unaendelea sasa ninyi wote mko ulaya sasa nani atafungua kesi nani atatoa maelezo ili kusaidia police. Leo naamin wana macho lkn hawaon wana masikio hawasikii.
Brother we umeongea kitu chamsingi sana
Moo Roma walitekwa na mpaka Leo unataarifa gan maana wao walitwa polis na wakahojiwa hebu tupe mwendelezo wa ni kwanini walitekwa
Christopher Jimmy wangekufa je?
@@jonijojoss9181 we ni ndezi kweli
Wangekufa wote miili yao ingefanyiwa uchunguzi.
YAANI KAMA UNGEMUACHIA ASHUKE ANGEPIGWA ZA KICHWA DOH! UMEMSEVU KUMUAMBIA ASISHUKE
Hilal Alhabsi Ungepata faida gani Kama angepigwa za kichwa? Acha ujinga wewe unashabikia upumbavu
Sasa naamini kuwa huyu dereva ni wa mhimu ktk sakata hili.Hebu tuangalie kwa pamoja, dereva kwa taratibu za kupaki gari huwa ni kushoto kwake,akiiacha nafasi ya mpitaji mwingine Julia kwake.Kwa maelezo yake,gari LA washambuliaji, ghafla lilirudi reverse na kuwashambulia kwa ubavuni.Hapa mhanga wa kwanza alipaswa kuwa yeye.Wataalam wakimpata huyu bwana, ukweli utapatikana kiurahisi.
Uposahihi kabisa bado hawajasema me niliomba tu wawe nahofu ya mungu ndipo watasema ukweli
Wee ada watu wasyojulika na hawakuku pga nahawakuwa nampanngo nawewe wao walimtaka chiba kinachokufanya uish uhamishon nn ?
Huyu dereva, nimeyasikiliza maelezo yake kwa umakini sana ... kuna haja kubwa sana ya kuhojiwa na Idara ya Upelelezi ya Jeshi la Polisi. Jeshi letu la Polisi halina utaratibu wa kwenda kuwahoji washukiwa nje ya nchi, wewe kama Mtanzania ulitakiwa kuhitikia wito wa Jeshi la Polisi kuja kuhojiwa Tanzania. Ulikaidi, na hata sasa hutaki kurudi Tanzania.
Mwenye akili za kupembua anaona kabisa kuna siri nzito zimefichwa! Wahusika wanazidi kujificha kwa kuelekeza lawama serikalini ili wasifikiriwe! Njoo uhojiwe!!
Kikulacho kinguoni mwako, ipo siku MUNGU Mwenyezi atawafunulia Wana-CHADEMA. Jiulizeni ... kwanini kila anaeinuka kuwania Uwenyekiti wa CHADEMA lazima ashambuliwe au kufa kabisa, au kunyang'anywa uwanachama kabisa?! Huyu Top kwanini yeye haya hayamkuti?? !!! CHADEMA fikirieni mara nyingine tena! Mzua pembe ndo mzika pembe!!
Kweli kabisa mbowe ndo anaewamalizaa
Inakuhitaji uwe na uwezo mdogo sana wa akili kuamini upuuzi na propaganda za ccccm
Ukweli ni kwamba Kipindi Lisu anapigwa Risasi alikuwa anapiga Kauli ya Rais kutaka kupima mchanga ambao walipopima mara ya kwanza alisema nchi ya Tz itashitakiwa alipoona majibu ya pili yametoka na wenye migodi wanahitaji mapatano na kulipa ndio tunaona kapigwa Risasi hivyo alijua kabisa watu wote watajua ni Serikali imempiga ila
Serikali impige wakati walichokuwa wanapigania wamekipata ?
Kuna mtu alitumia hii fursa akampiga mwenzie ili macho yawe kwa Raisi ila ameishashindwa icho kitendo kitamtafuna mpaka atakili alikifanya
Suba na Julieth hapa mmenena kabisaaa.. tatizo watanzania hatutaki kufikiri hivyo tunafuata tu upepo.
Pole kmnd tuko pamoja nawe
Ulikuwa wapi siku zote hizo Leo unatoa maelezo
NAKUSHUKURU SANA MUNGU TUNDULISSU AMEPONA.HATIMAYE ALIYETAKA UFE AMEKUFA YEYE NA WEWE NDIYE ULIYEIAMBIA DUNIA KUHUSU UGONJWA WAKE
Hawa watu mlianza kuwatilia mashaka umbali mrefu hivyo hadi wasiwasi uliendelea hadi nyumbani ulikuwa na sababu gani kuendelea unashangaa wakati ulishaona hakuna walinzi. Pili wakati mashambulizi hayo yanaendelea kwanini hukuomba msaada kwa majirani. Naomba Watanzania tuwe makini
Yaan ulipiga mlango ukatoka. Afu nani akaufunga? Maana umesema uliufungua tena ukakuta bos wako ameumizwa baada ya tukio. Huon kama unadanganya waziwaz?
Wewe ni mpumbavu polis nani aliwatoa au unajisahaulisha serikali kama hawajampiga wao waseme polisi ambao huwa wanalinda masaa 24 siku zote walitolewa na nani
HAHAAAAAA! ANAFIKIRIA WOTE TULIZIMIA SIKU HIYO, KUMBE ALIZIMIA BOSS WAKE KIMAWAZO? TUNAWACHEKIIII TU😳( steven), SWALI LAKO ni Babu KUBWAAAAA. HUYU DEREVAAA WA LISU HUYUUUU🤣🤣🤣🤐🤐🤐🤐🤐
Eee ndugu hakuna asiejua risasi zile ilikuwa mkono wa serikali. Sasa unapojaribu kusema dereva ni mjinga, unazidi kumpaka mavi Magufuli. Maana masaa mawili kabla ya risasi alitoa tishio la kumuua Lissu. Na hiyo hutuba imo youtube hadi leo
Acheni usanii wewe dereva na huyo tindulisu wako,kama risasi ni wewe ndie ulie mpiga huyo bwana wako,,tena kwa kuona mtaumbuka mkambilia huko ubeligiji,
@@muhdsseif5785 mwenyezi mungu alimuonesha magufuli uwezo wake WA kiungu ili ajitambue kibri chake hakiseidii kitu hao wanaosema sijui dereva sijui nani wote wanajuwa mpango WA kumuuwa lissu ni amri ya magufuli na mpangaji mkuu ni makonda alikueko Dodoma kisiri waliompiga risasi ni walinzi WA Rais na usalama WA taifa simu ya makonda mawasiliano walivokuwa wakipanga yako alipoekewa vikwazo na amerika sababu ni utekaji na utesaji
POLISI WA TANZANIA NENDENI SHULE MKAJIFUNZE UPELELEZI. KAZI YENU ILIKUWA TAYARI IMEKWISHA KAMA MSINGEIBA MASHINE ZA CCTV. MUMETUMA WATU WAFUNGUE MASHINE ZA CCTV MKIJUA USHAHIDI UMEPOTEA. JESHI LA POLISI NI JESHI LA KIHUNI LINALOFANYA KAZI CHINI YA CCM.
Umesema haukustuka kwamaana uligungua mapema mnafatiliwa,.Sasa hayo matibabu yamshituko yalitokana nann wakati haukustuka?
Hahaha ety kumbe amevunjika kila kitu, ningepata nafas ya kukuliza maswali nahisi ungeishia kulia tu usnge jibu hata moja ila any way hapo mnapiga story wala hujaulizwa maswali.
kwani we nani
unadhani kuna swali ambalo halizaulizwa duniani??? kwamba wewe genius sana sio??? mfyuuuuu acha dharau wewe mpuuzi
Ujinga na ujinga huzaa upumbavu ila ujinga na uelewa humtesa mpumbavu
Binahadam bhana ivi mnais amfi syo nataman palapanda lilie Leo tukajionee mazambi yetu pesa mwanahalam sana
nimependa sana iyo comment
Ilikuaje.wewe.upunguze.mwendo.haliunajua.kunamagari.²yankufuàtilia,nausimwambie.Boss.mpakatukio.limetokea.
Askari wa Tz, wanaweza kuua hadi watu 3 kwa risasi moja tu. Inakuwaje lisu apigwe risasi 16 na bado asiuawe? Huyu alipigwa na watu waliopangwa au washamba kabisa wa matumizi ya silaha. Tusidanganyane huo ni mpango wa kutafuta kura za huruma tu.
Pole saana
Risasi zinapigwa eti mala baada ya kumaliza ukakimbilia kufungua mlango?
Pole sana lissu wote waliohusika kukupiga lisasi watakufa watakuacha naamini
🙏
Mbona gari imeshambuliwa kushoto mguu wakulia ndio unavyuma..dereva ulikua upande gani
Kwahiyo we unaona ni mazingaumbwe au?kwenye hatari hasa risasi inaweza kulenga popote hasa mtu anapojigeuzageuza kwa kukwepa au kuugulia majeraha .kwani mguu wa kulia si sehemu ya mwili?au Lisu ni gogo na huwa hajigusi hata kwenye hatari?comment yako haina mashiko. Au kusema hivyo yaweza ashiria ulikuwa na washambuliaji na mnajua risasi mlikoelekeza na pengine hamkupanga kulenga mguu wa kulia..Kasaidie polis na wewe
Ww acha ushamba magar za serikali V8 zinakua na Sterling Kushoto
Ili kuwezesha kutembea nchi yoyote
@@midumbiojijo8126 umesikiliza vizuri maelezo ya dereva? Anasema alikuwa upande wa kulia wa Lisu. Ona gari lilivyo shambuliwa - Risasi kutoka kushoto zilipiga kona? Mbowe alisema ni bunduki ya SMG ilitumika - sikiliza video yake mara tu baada ya tukio, na sijui alijuaje!!
@@neemajohn754 Mbowe alisema ni bunduki ya SMG ilitumika - sikiliza video yake mara tu baada ya tukio, na sijui alijuaje!! Risasi hazipindi kona - research ukweli
Hapa kuna kitu ambacho kinafichwa kwanini utoroke baada ya tukio? Je huko uliko ndiyo watakusaidia? Acheni kutumwa kuichafua nchi kwa maslahi yenu Mungu atawaumbua siku moja Tanzania inasonga na itaendelea kusonga Mungu ibariki Tanzania
Acha ujingavww alitoroka kivip sasa
Hata hivyo Mungu ni mwema 17 March alitenda.
Dereva unasoma mazingira dhidi ya serikali. Katikati ya mji anaona magari yanakufuata. V8 ikapaki, Nissani ikawa nanyi. Gari ikarudi reverse kwa Kasi na kuanza kusikia risasi na kusikia milio ya Boss. Risasi zikitoka nikalaza kiti. Huyu dereva ana Kasi zaidi ya risasi. Moyo wa dereva haukushtuka kwani alikuwa anajua anafuatiliwa. Risasi zilipigwa umbali wa hatua nne, lazima ushtuke. Huyu ndiye dereva wa Lissu.
labda wew dereva usirudi tanzania, ukirudi ukweli utapatikana risasi mguu wa kulia alafu wew upone? maajabu ya musa
Mbna ni rahis tu.. Inategemea miguu imekaaje
Huyu dereva anatafutwa ili wamue asipate kutoa ushahidi tumebaini hiloo
Huyu ndie atakuwa shahid wa tundu lissu
Huyu yuko wapi mpaka sasa
Aise inasikitisha sana
ila Mngu Ni mwema
Poleni mungu atajibu
Wewe linda tu Nyumba huyo bosi wako atarudi tu kwani Urais hawezi kupata nani atampa kuwadi wa Mabeberu na Ushoga akapige pasi tu
Hata wewe kuwadi ndio maana umemjua kuwadi mwenzio punda wewe
Mtazamo finyu
Ww ni muongo sana huo ni mchezo
Police lisu alijipiga mwenyee nyie fanyeni kazi zingine upuuzi hatutaki Sisi wasitufanye wajinga hao
nadhani mbugila lilianzia kwenu
nadhani mbugila lilianzia kwenu
Nikwer kabisa hatamie hua ninamashaka makubwa sana juu ya lisu kupigwa lisasi kwa hivi wangekua ni jambazi kabisa kwann walishindwa kushot la kwenye moyo? Mie nahisi ni njama zake tu ili ajizolee umalufu😏😏😏🤣🤣
Memory yako nahisi haifanction very well
@@rahmaoman5122 kwa haya mawazo yako tanzania tuna safari ndefu
Ulikuwa nimupango wamagufurinandugainawashirika wait waccm sasamajibu tayari mungu kakuokoa lissu mapambano bado!!!!
Uko poa bro
Ungekuwa ni ww umedhuriwa familia Yako Leo ingekuwa na Hali gani kweli nimeona wew ni Moja ya watu muhimu kwenye hili tukio wewe unamwambia mwisho ungemshirikisha mapema angeweza kukushauri either msifike home au vinginevyo
Tundu lisu anasema gari ilioingia na nyie ni Mitsubish, wewe unasema ni Nissan, mkanganyiko tayari😟
Baada ya kuona mnafuatiliwa kwa nini hukumwambia boss wako??? kwa nini hukuendesha gari kwenda polisi kwa usalama???
Hukumu ya watu waliofanya tukio la kiharamu wote hawataishi . Poleni sana wanatoa cctv camera a kweli ni hujuma .
Mbona upotee usiende kwenye vombo vya usalama, nakwanini uende arusha kulala huko wakati tukio lometokea Dom?
Lisen before you judge alikuwa anaenda Nairobi kupitia Arusha
Hawa walikuwa wakisubiria ashuke I li wammalizie kabisa mungu mwema ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga.
Kudadadeki dereva unavyosimulia utafikiri we ndio ulikuwa mbunge, kwanza angalia ulivyonenepa na kupendeza huko ubelgiji dizain km huna hata wasiwasi na hilo tukio
Dereva anasiri nyingi kwanza kwanini hukumwambua Lisu kua mnafatiliwa kwa mara ya kwanza, pili kwanini haukupeleka gari police pindi ulipo jua mnafatiliwa, tatu kwanini ulipo ona gari inasogea na kugeuzwa na washambuliaji wanashuka kwanini usiondoe gari eneo la Tukio kabla ya shambulizi/?
Maswali ya muhimu hawaulizi..Mfano...
(1)We dereva ,Ni kwanini Hujawahi kuripoti kituo chochote cha Polisi baada ya kupata Matatizo makubwa kama hayo ya mashambulizi..na..Ni kwa nini Hujawahi kuitikia wito wa Polisi mara tu baada ya kusikia unatafutwa na Polisi.
(2)Je.!,Wakati washambulizi wameanza kuwashambulia ..wewe ulikua ndani ya gari na gari iliokua nyuma yenu mlishaitilia shaka..ni kwanini hujaondoa Gari mara tu baada ya kuanza kushambuliwa au baada ya kuona gari ya wahalifu inakuja upande wenu.??
(3)Ni kwanini hukumjulisha Boss wako kuwa mnafuatiliwa mara tu ulipogundua mnafuatiliwa..?Tangu umeanza kufuatiliwa mpaka mnashambuliwa wewe hujachukua hatua yeyote ya maana kunusuru Maisha ya Boss wako maana inashangaza kwamba umeshindwa hata kukimbia wakati maadui mnaangaliana tu zaidi ya dk10 nzima..???
◇◇Ahsante..◇◇
●Naomba ifahamike kuwa ..maswali hayo nimeuliza kwa nia njema na sio lengo langu kumkera mtu yeyote.
Maswali ya kijinga kabisa hayo ww ungeuliza kwa nn like gari lilipota gatini bila ya kukaguliwa pili kwann walizitoa 📷 zilizoona tukio maswali yako yangepata majibu
Mimi mwenye akili ya kutafakari jambo kwa kina kiukweli nimeishapata majibu siku nyiiingi Sana..bado nasisitiza Serikali kama Serikali na kwa ilivyopewa nguvu na Mungu mwenyewe..kiukweli haiwezi kufanya mchezo wa kitoto namna hiyo...kwani marehemu Tomboya wa Kenya alipigwa pale Anatoka Dukani Risasi ngapi?..Waziri wa mambo ya nje wa Kenya Bwana Robert Ouko ilikuaje?..Jenerali wa jeshi la Rwanda aliuwawa South Africa kivipi..?Rais wa Misri Bwana Gammal-Abdul-Nassa..alipigwa Risasi ngapi?na wengineo wengi..hii nimewaonyesha ni jinsi gani Serikali haiwezi kufanya ujinga huo...hivyo huyo Tundu Lisu ...na akina Mbowe na Chadema yao ni wao wenyewe tu ndio wanaujua ukweli...hivyo vijana mnaaminishwa uongo tu.mimi mtu mzima sidanganyiki kabisa.
Unataka abakie wamuue tumia akili kufikiri
@@hassanmfaume4522 wewe ndugu yangu unajibu maswali kama unagombana..mi nimeuliza swali ya kiuchunguz..tujifunze kujadili mambo kwa busara..angalia mijadala ya wenzetu marekan..
mbona namba za gari hazitajwi?
Mlisema gari la Lisu lilipotoka nje ya bunge gari ikaanza kuwafata ulipofika pale round about kwanini ukurudi bungeni ambako kuna ulinzi ?pili ukurudi bungeni kwanini ukupeleka gari Polisi angalau tuone juhudi zako?na kwanini ulipotea ghafla tukaona picha uko Nirobi hotel?ulikuwa unaficha nini?
Huyu Dereva hajahojiwa juu ya kwanini boss wake kaumizwa zaidi mguu wa kulia kuliko uwande wa wa kushoto wa mguu ambapo alikaa abiria
We ndo ulimpiga risasi maana unaonekana unajua
Yaani huyu ni shida
Bosi wako ktk ziara zake katamka ya kuwa kuna gari zilikuwa zinawafuata tangu mlipotoka bungeni.
Na amedhihilisha kuwa mlikuwa kwenye hali ya tahadhali.
Wewe unasema ya kuwa mlipotoka bungeni mlikuwa mnafuatiliwa na magari mawili,ukapunguza mwendo,baadae ukaongeza mwendo,na kipindi unafanya hivyo hukumwambia boss wako.
Hapo ni kauli mbili tata.
Kwa maoni yangu
Dereva aliamua kuto kumweleza boss wake ili apate fulsa ya kumseti ilii washambulizi watimize lengo lao.
Dereva anajua kila kitu
Umekwisha broo
Hujui kusikiliza vizuri . Au unasikiliza kwa upendeleo bias listening unachagua ya kusikiliza au unapenda kusikiliza unayoyataka . Walipofika nyumbani pale lissu alitaka kushuka kwenye gari lakin alimwambia usishuke kwanza kuna hayo magari yametufatilia toka tuko bungeni. Mwanzo hakumwambia wakati wanaenda lakin walipofika alimkataza kushuka walikaaa km dk 10 hizi ndo alimwambia so Lissu nae akajua kumbe walifuatiliwa tangu bungeni .
Maelezo yanautata
Yeyote aliyehusika iwe ni Chadema,Serikali au yeyote Yule unyama aliofanyiwa Lissu haukubaliki ni vizuri wananchi wakaambiwa ukweli
Ukiangalia kwa undani zaidi unaona kabisa hii ilikuwa ni tamthilia kabisa! Hizi zilikuwa Kiki za siasa kutaka kuivuruga serikali! Kama uliona Kuna dalili hizo za mwanzo za kufuatiliwa kwa nn hamkupiga cm polisi kabla hata hamjafika sehemu ya nyumbani? Huyu dereva bhana alikuwa anajua kinachoendelea muda wote alishindwa kutoa taarifa kwenye vyombo vya usalama? Na kwa nn hakumwambia bosi wake muda wote huo huenda angemshauri kuwa toa taarifa popote! Hii ilikuwa move tu!
Wewe dereva umehusika Na hela umepewa.Lissu Kaja Tz Na hakuipeleka kesi hii mahakamani.Kwanini mwenye kesi mwenyewe hajachukua hatua hadi leo.Matokeo anabwata bwata tu
Ulikuwa unajua kila kitu wew acha kudanganya
Ila kuna ukweli unafichwa mbona ww haukupata madhara yeyote?
Swali Kubwa ni hili . Mguu ambao Tundu Lissu alijeruhiwa kwa risasi ni mguu wa Kuria upande wa Dereva . Je inakuwaje Lissu Aumizwe sana upande wake na Dereva halafu Dereva mwenyewe asipate hata mchubuo wowote kwenye mwili wake?
Amesema alichunika na vioo
Mbona bunduki zimeelekea upande wa kushoto wa gari na tundulisu kaumia upande wa kulia?
wewe ni mpumbavu akili yako haifanyi kazi!!! unakosa akili ya hata ya kujiongeza!!!! wewe mtu amemvutia upande wa dereva na amegeuka unadhani ni mguu gani utaathirika uwe na akili ya kujiongeza bwegeeee weweeeeeee!
Kapime akili
Sijawahi ona mpumbavu humu you tube zaidi yako,
@@jamesminja3273 kwann dereva hakupigwa risasi na washambuliaji walishambulia upande wake yy dereva
Uyu jamaa mbabaishaji si alijuwa mwenyew kwamba anafuatiliwa ambapo akaja kumjulisha lisu pale walipo simama na kumwambia lisu asishuke kuna watu wanamfatilia afu hapa mwishoni anakwambia kuwa walijuwa wote kwamba wanafatiliwa akati alijuwa dereva tu peke yake.🙄🙄
Pole sana
Mnaviziwa hata kuwapigia walinzi wenu duh?