Watu kama Hawa kuwaongelea vibaya hata nafasi zetu zitusute hakuna mtu atakaye weza kujitoa na kupoteza muda na malizake kwaajili ya taifa hili kama Freeman Mbowe huyu mzee anauchungu na hii nchi Tumuombee sanaa watanzania wote Tuna den juu ya huyu mwamba aiseee ❤❤❤
Mbowe na mwalim Nyerere Wana historia kubwa sana baba wa mbowe alikuwa rafiki mkubwa sana wa mwalim Nyerere mbowe Kwa mwalim ni mtoto wake mana ni mtt wa rafiki nyerere
Mzee Aikaeli Mbowe Mzee wetu pendwa sana alimpenda Mungu sana na alijitahidi sana enzi zake kumjengea Mungu kabisa...namkumbuka sana kipindi hicho nikiwa mtoto anaejitambua zamani hizo harusi za watoto wa Aikaeli Mbowe zilikuwa pambe😂😂😂Kijiji kizima tulikuwa tunaalikwa kwenda kula....❤❤❤
Daaaah ndo nimejua leo baba wa ubatizo kumbe jk nyerere basi sina mengi zaidi ya hapo 😊😊😊😊 hajaachwa vibaya huyu jamaa sasa respect kwake tusherekew siku yake ya kuzaliwa 🎉🎉🎉🎉🎉
Ni yeye anae stahili ku rithi urais 2025... mahana mahadili yake nia Nyerere, kuongea kwake na madili yake nia Kinyerere.... Nice mtu nimpendae sana na JOHN Mnyika.
Nimeipenda sana historia ya huyu mheshimiwa Mbowe.Mungu na azidi kumbariki,kumlinda na kumpa maisha marefu sana.kumbe kwenye siasa hakufuata pesa na wala hakuwa na njaa bali alifuata kuwapigania na kuwakomboa watanzania na kumbe utajiri wake aliupata kabla ya uhuru.sasa wale watu akiwemo Msigwa mjinga anayesema Chadema ni saccos ya Mbowe kumbe anamkosea sana Mh.Mbowe.
Angekuwa CCM sijui nani angekuwa kama yeye kwa utajiri hadi ss hivi kama sio figisu figisu tu hizi bado hakuna anae mkuta kwa utajiri wa mali kutoka CCM
Mtangazaji hongera kwa Habari mzuri
Watu kama Hawa kuwaongelea vibaya hata nafasi zetu zitusute hakuna mtu atakaye weza kujitoa na kupoteza muda na malizake kwaajili ya taifa hili kama Freeman Mbowe huyu mzee anauchungu na hii nchi Tumuombee sanaa watanzania wote Tuna den juu ya huyu mwamba aiseee ❤❤❤
Hakika
Deni kwa nani we izo mali zake umepewa mgao au kuna siku umeenda hospital ukatibiwa Bure ebu acheni ushabiki na unafiki wakati mwingine
HATA YESU ALIACHA UFALME WA BABA YAKE AKAJA DUNIANI KUTUKOMBOA. HONGERA FREEMAN AIKAELI MBOWE 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
Yesu hawezi fanana na mbowe acha uchafu
@@HamisMussa-j5k NILITOA MFANO TUU SIJASEMA YEYE NI YESU.
Siyo aliacha aliezaliwa na mariamu alitumwa na Allah awe mtume kwa wana wa Israel ati aliacha alikaa lini mbinguni 😅
@@Kabeya410 🤣🤣🤣🤣
Kwaiyo maria ndio mungu mwanamke au
Safi sana inatutia moyo kusika habari za Ndungu zetu walioendelea hivi. Waendelee kuchapa kazi naMungu awalinde na kuwapigania.
Mungu ampatie kibali zaidi kuimaliza kazi ngumu aliyo nayo na alinde na mabaya yote Amen
Hongera sana Mbowe. Umefanya kazi iliyotumika,mpinzani wa kweli.
Mbowe na mwalim Nyerere Wana historia kubwa sana baba wa mbowe alikuwa rafiki mkubwa sana wa mwalim Nyerere mbowe Kwa mwalim ni mtoto wake mana ni mtt wa rafiki nyerere
Marehemu Mzee Haikaeli Mbowe alikua ni rafiki wa baba yangu. Indeed Freeman alilelewa kitajiri haswa. Hajui umaskini ni kitu gani.....
Very inspiring story, Mungu amlinde
Mzee Aikaeli Mbowe Mzee wetu pendwa sana alimpenda Mungu sana na alijitahidi sana enzi zake kumjengea Mungu kabisa...namkumbuka sana kipindi hicho nikiwa mtoto anaejitambua zamani hizo harusi za watoto wa Aikaeli Mbowe zilikuwa pambe😂😂😂Kijiji kizima tulikuwa tunaalikwa kwenda kula....❤❤❤
Mzee Mbowe alikuwa tajiri wa heshima ndugu zetu wachaga wanaakili za maendeleo sana
@@samwelingasa1638 SURE 👏🏼👏🏼👏🏼
❤❤❤❤hii story imependeza nae atajivunia sana kabla hajafa imekaa powa sana 🎉🎉ishi sana mbowe Rais wetu✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️
Viva mbowe chombo ya hari ya juu sana kama chombo ya NASA mwamba mungu akupe maisha marefu
Hii story ni uwongo mtupu. Wanatumia jina la Nyerere vibays
Ndugu mtangazaji mbona hatujakusikia
Muda sasa
Very happy to hear your voice.
A TRUE MEANING OF A LEADER. 💪💪💪💪👑👑👑👑👑👑👑 MANGI
All these are false
Not bad because they are your thoughts, 😉
Daaaah ndo nimejua leo baba wa ubatizo kumbe jk nyerere basi sina mengi zaidi ya hapo 😊😊😊😊 hajaachwa vibaya huyu jamaa sasa respect kwake tusherekew siku yake ya kuzaliwa 🎉🎉🎉🎉🎉
Uwongo mtupu. Ni kujikuza ki siasa tu
UWONGO
@@mdl6463 Yes sio wa hali ya chini kama sisi
Chadema for life,
Respect mzee wetu mbowe🙏
Hongera mboye🎉🎉🎉🎉
Hongra saana mhe mbowe
Baba yake alimsaidia sana mwl Nyerere kudai uhuru wa Tanganyika
Na almsaliti nyerere
Waliosaidia Uhuru wa Nchi hii Ni maelfu, kila mtu alitoa mchango kipindi hicho
@@ndukulusudikucho_ na yeye mmojawapo
@@ndukulusudikucho_kila mtu?
Waanzilishi wa AA,TAA,TANU akuna Sykes ndo walikuwa wanamsupport
Mh Aikaeli Freeman Mbowe Mungu akutunze mzee wetu.
Mbowe chukua maua yako we ni fighter mzee😂😂🎉🎉🎉
Mungu azidi kukuweka mzee Mbowe
Duh hongera san baba yetu mbowe Mungu akulinde Mungu akupe k8bar kuwa Rais wa Tanzania
Uthubutu wa kuacha kazi na kujiajiri nimependa hilo siku moja na mm ntafanya hivyo Mungu anisaidie
Tuache bana huku serikalini njaa tu
Tuache bana huku serikalini njaa tu
Amin
Ila fanya research vya kutosha, nilifanya hivyo matokeo hayakua mazuri
Oya baba yake aliacha pesa
Nice story🙏
Kumbe mzee wetu mboe anamchango mkubwa katika taifa letu 🎉🎉
Mchango upi zaidi ya kujilimbikizia Mali na Nyerere kumtupa pembeni
Acha wivu wewe choko
@@AhmedHassan-vl5zfna wewe si ukajilimbikizie mali kama unaweza fala wewe acha wivu alibarikiwa kabarikiwa acha wivu mjinga wewe.
Jasiri wa kutukana@@victoriajoachim7271
Akina mbowe walikuwa na pesa hata kabla ya uhuru, nauli ya kwenda UN kudai uhuru Nyerere alikuwa anachangiwa na akina Mbowe
Hongera makamanda wetu has Mbowe unatetea wanyonge mungu akupe maisha marefu yenye baraka
Very nice story
Duh kumbe mzee Mbowe alikiwa na maokoto
Baba yke ndo alimnunuliaga nyerere gari kipindi nyerere anatafuta uhuru ndo maana baada ya uhuru baba yke mbowe alipewa maeneo mengi posta
Ni yeye anae stahili ku rithi urais 2025... mahana mahadili yake nia Nyerere, kuongea kwake na madili yake nia Kinyerere.... Nice mtu nimpendae sana na JOHN Mnyika.
Binadamu hawana shukurani wanaommbeza tamaa zinawasumbua binafsi ❤
Sio mchezo
Mungu akubariki
Mungu akupe maisha marefu mpendwa
Salute free man
Mbowe is not what is told here more than a political con man
@@gracemima5234 salute
Maashallah honger sana
Mungu amlinde namabay atimize lengo lake
Mungu azidi kumbariki sana hon. Mbowe hakika ana historia kubwa katika nchi hii
Mwenyezi Mungu aendelee kumlinda na kumtunza zaidi 🎉🎉🎉
Nimeipenda sana historia ya huyu mheshimiwa Mbowe.Mungu na azidi kumbariki,kumlinda na kumpa maisha marefu sana.kumbe kwenye siasa hakufuata pesa na wala hakuwa na njaa bali alifuata kuwapigania na kuwakomboa watanzania na kumbe utajiri wake aliupata kabla ya uhuru.sasa wale watu akiwemo Msigwa mjinga anayesema Chadema ni saccos ya Mbowe kumbe anamkosea sana Mh.Mbowe.
Usikubali yote kwenye story hii. Ina uongo mwingi sana. Watu wanalitumia jina la Nyerere vibaya
@@gracemima5234ww utakua malaya si bure
DUHHHH SI MCHEZO ❤❤❤❤ NDIO MAANA HUWA NAMUELEWA SANA.
Mungu Baba Mwenyezi Akutunze kijana wetu na Akuongezee hekima, busara na maarifa. Endelea kuutafuta uso wa Mungu kwa bidii. Amina
Jamani Leo anaitwa gaidi na mazuzu tu
@@NixonJohnson-zn8nkkaeli Mbowe ni gaidi. Si ajsbu hats mauwaji ya sasa anahusika
Happy birthday Mr Mbowe
Very interesting story 🎉🎉, keep on moving mbowe
Do not believe. Full of lies
Kwa maelezo haya huyu mwamba ,,,angekuwa na tamaa ya cheo angekuwa na cheo kikubwa sana serikalini
Tr u e
Angekuwa CCM sijui nani angekuwa kama yeye kwa utajiri hadi ss hivi kama sio figisu figisu tu hizi bado hakuna anae mkuta kwa utajiri wa mali kutoka CCM
Big up Freeman.Wewe ni mtu mpenda haki kama Jina lako 🎉
Hongeraaa kamandaaaaa Mbowe
Huyu ni mtaji mkubwa kwa nchi kama atakuwa na fursa ya kutimiza ndoto zake.....Hongera sana Mbowe
Kazi nzuri sana 🎉
Mtangazaji leo umenifrahisha sana ❤❤❤
Very interesting story
Mwamba huyu 😊
Mnaemsikiliza mchungia tumbo mmeyasikia hayoo!! Familia ya Mbowe inamchango mkubwa tuu ya Uhuru wa hili Taifa.
Mwandishi uko vizuri
Freeman mbowe,wew ni kwamba kweli kweli,Mungu akutunze
Kwanzia sasa nimekueshimu mbowe nilizani Nakuelewa sana kumbe bado
Ahsante san pasco mwakyoma
Baba ake alikua very smart..... akiongea watu wote walikua wanamsikiliza....
Mikutano ya KNCU
Mungu azidi kukulinda kamanda mbowe
Kwa mali alizokuwa nazo kapambana sana kuzipata na hajala hela za serekali ni jasho lake🎉
Mbowe mtu makini sana hekima busara zilizozidi
Hongera muandishi mzuri 🎉🎉🎉❤❤
You deserve to be a president
DAAAH!! NIMEJIFUNZA KITU KIKUBWA SANA kutoka Kwa FREEMAN mbowe aisee
Naiona historia ikisomwa zaidi 2025 baada ya uchaguzi mkuu❤❤❤
😜😜🙏🙏
Dah mwamba ni Genius sn
Inspired
Kamanda wa hanga Free Man Mbowe
Mtu kazi! Hongera Mbowe!
Ayo tv leo mmjikaza sana kulete habari hii
😅
😂😂😂😂
Kwa kweli wamejikaza maana......
Duh baba wa wengi kwenye siasa jmn!
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
Mbowe MUNGU akutunzeeee
Historia nzuri ya mzalendo FM. Happy birthday to you.
AISEE HAPA Leo nimejifunza Kitu kikubwa sana sijawahi kujifunza aisee mbowe sio mtu wa kawaida ni MTU WA KUIGWA sanaaa lazima NITAKUA kama YEYE!!🙏🙏🙏
Harafu hapa kuna Zezeta tu katoka kushiba viazi hivi utalisikia mbowe ananjaa na hera2 za ruzuku huwa anauza kura, 😂😂😂😂
Sahihi, et chama ni saccos yake, wakat Mbowe hana njaa
Kwa sababu wamezoea CCM huwa wanaenda kwa ajili ya kufuata ulaji
😅😅
Viazi na maharage 😂
Viva mboe viva
Mbowe mungu akulinde sana
Ishi maisha marefu mh: mbowe
Hongera Sana mh mbowe tuko pamoja
Mungu bariki wapiga nia haki wote tz
Hii imekaa pouwa Sana , hata kama Kuna uongo popote nmeukubali
Umetishhaa sana Millard ayo
Msimuliaji umeupiga mwingi
YANI HUYU JAMAA ANGEKUA CCM ALAFU AKATUMIA NAFASI YAKE HIYO YA baba Ake UbatiZo KUwa Nyerere angekuwa Amefika Mbali sanaaa duuuh!!
Wanasem ni baba yake kabisa
Hongera sana mwamba
bowe noma kweli kanifudisha kujitoa
utajitoa sasa
Huu ndio uzalendo Ayo sasa umekomaa kwenye tasnia hii Mungu akulinde ufike mbali zaidi.
SINA HARAKA SANA MWENYEZI MUNGU NIANGALIE 🙏🏾🙏🏾
Hakika stori hiii imevutia sana
nawakumbusha tu! 2011, Arusha .chadema Mungu ailinde idumu
Nyerere angekuwa hai angejilaumu sana.
Genius mbowe
Mungu ni mwema sana
Makini sana mbowe
Mungu akija uzma
AYO AYO AYO nimekuita mara 3 umejikaza sana kutoa hii habari Ahsante
Ahahahaha❤❤❤
Bila D mbili hawaelewiii😂😂😂
Man of God❤
Chademaaa😢
Nakupenda Millard nitafte please ❤ me pia legend
Tuvushe baba tuvushe freeman baba tunakuombea baraka nyingi na afya njema mungu akusimamie zaidi na zaidi
You need to be involved. Fear ndio inawacost. Wamewekwa ndani and no one bothered to protest against it
Ongera sana bro