JOHN HECHE AKINUKISHA TARIME AWATAKA WANANCHI KUTBUWA WAJIBU WAO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 січ 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz Місяць тому +13

    Huyu mheshimiwa John Heche mimi namkubali sana.Ni aina ya kiongozi bora sana.

  • @EliaKilima-w9j
    @EliaKilima-w9j Місяць тому +10

    Tume kumis ssna sana defense minister wetu, kipenzi chetu John Heche....

  • @manuelkimario4027
    @manuelkimario4027 26 днів тому +5

    Mh.
    Heche umeongea ukweli mpaka naona aibu

  • @EzekielChalomhola
    @EzekielChalomhola Місяць тому +5

    Heche Kwa kweli unaongea maneno mazito sana kiongozi. Kama wananch wangeelewa tafisiri ya maneno hayo Hali ya Mungu watalia na kwamba mwaka kesho kingeelewaka

  • @qonquererqanquerer1781
    @qonquererqanquerer1781 Місяць тому +2

    Ahsante Kwa Haya Madini Adimu Sana Kamanda Heche.

  • @danielkusongwa3981
    @danielkusongwa3981 Місяць тому +7

    Leo nimekuona John, Moyo wangu umekuwa na amani sana. hujaoonekana kwa muda kaka, nadhani nimepata nafuu sasa

    • @usembiphonedar5632
      @usembiphonedar5632 Місяць тому

      @@danielkusongwa3981 Hiyo ni clip yake ya muda mrefu!

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz Місяць тому +1

      Huyu jamaa hata mimi nikimuona nafarijika sana na nafurahi sana.

    • @charlzmboya
      @charlzmboya Місяць тому +3

      🎉yaah ni moja kati ya majembe Bora sana ya CHADEMA +++;ila Hawa wakina john hawaa!!! Ni noma sana hapo CHADEMA yaani namaanisha John heche' john mnyika , john pambalu ' john mrema nawengne weeengi ni noma sanaaa🎉😊

  • @ShaphyJamaly
    @ShaphyJamaly 27 днів тому +1

    Huyu jamaa apewe uwenyekiti kabisa anamaono sera safi

  • @NestoKipila
    @NestoKipila 29 днів тому +1

    Dah inauma sana raia tupo kama makamongo kwenye nchi yenye kr kitu. Duh

  • @GideonMwalusamba
    @GideonMwalusamba Місяць тому

    Nimefuarh sn kukuona mwamba nakukubali sana Heche mungu akupe afya.

  • @sethkivuyo3342
    @sethkivuyo3342 Місяць тому +2

    Mungu tuondolee Rais samia ktk nchi afe

    • @JohnBenedict123
      @JohnBenedict123 29 днів тому +1

      Tatizo siyo rais Samia ndugu yangu. Tatizo ni system ya CCM. Yaani akiondoka Samia akaja mwingine, maadam ni CCM hii hii, mambo yatakuwa ni yale yale

    • @huyu1993
      @huyu1993 4 дні тому

      Utakufa wewe kwanza ndio atafuatia yeye mchenzi mmoja wewe tena mpuuzi mkubwa wewe,atakufa baba ako na mama ako kwanza,mshenzi mkubwa wewe

  • @Simulizitulivuu
    @Simulizitulivuu Місяць тому +3

    Heche deserve to be a chairman of CHADEMA

  • @tataLil-i3v
    @tataLil-i3v 29 днів тому +1

    Maanake hapo kwanza nicheke🤣🤣🤣🤣😬😬

  • @tataLil-i3v
    @tataLil-i3v 29 днів тому +1

    Sema baba usiogope,Moshi kama Tarime hatutaki mkoloni mweusii 😅

  • @peterkichochi7510
    @peterkichochi7510 Місяць тому +2

    Wazungu wana semaga Watanzania ni Mapumbu😅😅😅😅

  • @lucaschisamalo2852
    @lucaschisamalo2852 Місяць тому +2

    Bado hata mama kabla ya uchaguzi hayupo

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 Місяць тому +2

    Chadema mwenye akili ni ww peke yako mh Heche ww ni hazina kwa Taifa letu

  • @ryobanchagwa2499
    @ryobanchagwa2499 28 днів тому

    Heche juuuuuuuuuu sana

  • @brysonmandari5694
    @brysonmandari5694 Місяць тому +2

    Alieiloga Tz alishakufa! Sasa tunaongozwa na machawa

  • @hadijasufiani6167
    @hadijasufiani6167 Місяць тому

    Mpo vizuri chadema hongera mheshimiwa heche unachosema nikweli wabunge wote machawa kasoro mpina

  • @nusrakatabazi4256
    @nusrakatabazi4256 29 днів тому

    Inasikitisha sana Baba angu

  • @ZiggysebahZiggysebah
    @ZiggysebahZiggysebah Місяць тому +2

    Chadema kuna vichwa jamani, acheni

  • @godwinkasaizi882
    @godwinkasaizi882 Місяць тому

    Nimefurahi sana kukuona Mh. Heche nilihofia kwamba upo wapi.

  • @fredrickandrew798
    @fredrickandrew798 23 дні тому

    Elimu ni sahihi, sasa mtuletee sera, lakini kwanza katiba mpya, ile ya rasimu ya Jaji Warioba.

  • @justardzelphine6526
    @justardzelphine6526 Місяць тому +1

    ccm hawana ujasiri

  • @JosephineKabuka
    @JosephineKabuka Місяць тому

    Tumekumiss sana kamandaaa uko wapi???

  • @lucaschisamalo2852
    @lucaschisamalo2852 Місяць тому

    Kaka ulikuwa wapi samahani naomba namba yako naomba

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv Місяць тому +2

    Msimtaje mbowe yule ni mangi hana njaa ni royal family anapigania democras muishi vizuri hana shida

  • @zidatv1122
    @zidatv1122 Місяць тому +1

    Wanaichi wengi ikama wamerogwa wakitoka hapo hawaelewi chochote

  • @SamweliNyaruba-xp3pb
    @SamweliNyaruba-xp3pb 24 дні тому

    Mm muke wangu alibeba mimba akasema .......nikafukuza

  • @crisantisindani3830
    @crisantisindani3830 Місяць тому +2

    Ndiyo maana mnaondolewa matusi pumbavu 🥺

    • @Mussaphanuel-p1q
      @Mussaphanuel-p1q Місяць тому

      Pumbavu mwenyewe.hauna Akiri chizi.unamtukana Heche.kafie huko.Njoo Mara tukufile

    • @RutinikiGosbert
      @RutinikiGosbert Місяць тому

      Hujui ulisemalo mungu akusaidie usijilinganishe na kichwa cha mwamba Heche

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 Місяць тому

      Mjinga wewe

  • @LutenganoCharles-d7t
    @LutenganoCharles-d7t Місяць тому

    Daaaah heche ulikua wapi mbna ulikua haupo mzee

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 Місяць тому

    GOOD ATANGULIE HUKO MBELE ZA HAKI

  • @chefmustafaiddi406
    @chefmustafaiddi406 25 днів тому

    For sure

  • @samsonipaul4068
    @samsonipaul4068 Місяць тому

    Heche tumekumc sanaa

  • @BrotherKaka-j4z
    @BrotherKaka-j4z Місяць тому

    Sadiki na chitemo ndio elim yetu

  • @godfreymasabwida4064
    @godfreymasabwida4064 22 дні тому

    Mshikaji hana adabu afu mnamchagua aje sukumani kama atapata ata kura 1 sisi hatuchaguagi wakorofi.

  • @RoseKatale
    @RoseKatale Місяць тому +1

    Kwel zngumza Baba hawa manyau wanatutesaaa

  • @philimonmtweve4522
    @philimonmtweve4522 Місяць тому +1

    Umeonge vitu vyenye uhalisia

  • @HARMONITZ
    @HARMONITZ Місяць тому +1

    Yaani wewe ukipewa nafas ugombee elf25 nitakuchagua upinzani nakukubali wewe tuuuu..........

  • @SylvesterMakenzie
    @SylvesterMakenzie Місяць тому +1

    Hii ni ya zamani

  • @DodomaSentar
    @DodomaSentar 7 днів тому

    Hotuba ya Eche yamkosha M/kiti wa AAFP wilaya ya Dodoma Mjini ndugu Exsavery Adiriano Mapunda

  • @RICHARDMBUKWA-r9e
    @RICHARDMBUKWA-r9e Місяць тому

    Nafurahi kuwaona makamanda wa mwaya , mgudeni, mang'ula na stend ya Kona, safisana hamjaniangusha .

  • @mtewelemtewele0260
    @mtewelemtewele0260 Місяць тому

    Viongoz chadema tuambien Heche yukoap

  • @NicksonSanga-eq3xg
    @NicksonSanga-eq3xg 26 днів тому

    Kwani ukitoka ww abaki mama hawezi kuendeleza acha upuuzi

  • @IsackRulamunuga-gy3zd
    @IsackRulamunuga-gy3zd 27 днів тому

    Hakika mkuu

  • @mzeerajab9154
    @mzeerajab9154 Місяць тому

    Kumbe hivyo vyote kapeleka Heche.

  • @BoayHotay
    @BoayHotay Місяць тому

    Heche endelea Kuwafungua lock

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya Місяць тому

    Big up

  • @ChristerKok
    @ChristerKok Місяць тому

    Heche uko wapi? Hii ni siku nyingi.

  • @TallTallmysha-v3u
    @TallTallmysha-v3u Місяць тому

    Hhhhhhhhh huyu m2 na nusu

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 Місяць тому +1

    chadema hawana ushawishi kweli wananchi hawana morari

  • @mnyakiog
    @mnyakiog Місяць тому

    Mbona mnokoteza bi crip tiktok

  • @StephanoKalamu
    @StephanoKalamu Місяць тому

    Bila viongozi wa chadema taarifa za namna hii hatuwezi kuzipata,

  • @michaelmaziku991
    @michaelmaziku991 Місяць тому

    Mh.tatizo letu watanzania ni hilo ulilosema elimu yetu ya panzi ana miguu mingapi ndio linalotutesa .

  • @MichaelMwamanda
    @MichaelMwamanda Місяць тому

    Huyu bwana yuko wapi Tena??

  • @BabaNasritz
    @BabaNasritz Місяць тому

    🎉🎉🎉🎉

  • @dennissamora729
    @dennissamora729 Місяць тому

    Chadema John Heche yupo wapi? Mbona mnaua chama nyie?

  • @BraviusBenedicto-l7o
    @BraviusBenedicto-l7o Місяць тому

    Sema baba

  • @magongwematinde5773
    @magongwematinde5773 9 днів тому

    Haikuwa tarime ni ifakara

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv Місяць тому

    Juma na rozaa hahaaaa

  • @WorshippersofGodarmy-ot1mk
    @WorshippersofGodarmy-ot1mk Місяць тому

    Wewe jamaa one day utakuwa rais wa nchi hii, huu ni unabii wangu, apostle Alfred asanwisye mwankotwa, nchi hii itakuwa tamu, utaleta asari njema ktk nchi hii, anza kufanya mchakato

  • @issataslima9846
    @issataslima9846 Місяць тому

    hii sio yaleo tafadhali

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Місяць тому

    ✌️👊👍.

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 Місяць тому

    Tungekuwa na akili nzuri watanzania,leoleo tungewakataa ccm,kiukweli elimu yetu ni ya kipuuzi,

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 Місяць тому

    Heche yuko wapi mbona sijamuona kwenye kampeni. Hii cripu Miya zamani

  • @QwakuHangu
    @QwakuHangu Місяць тому

    Huyu msenge

    • @kazimotomaswi9700
      @kazimotomaswi9700 Місяць тому

      Wewe sio tu msenge bali usenge ni tunu ya familia yenu.

  • @ulomirabiel6980
    @ulomirabiel6980 Місяць тому

    Heche ulikaa kimya mpaka tukaogopa. Piga kazi kaka.acha wezi wa kura waendelee. Muda utasema.

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 Місяць тому

      Hii ni ya zamani huyu jama ni rafiki mkubwa wa Msigwa

  • @denisnjaila2182
    @denisnjaila2182 Місяць тому

    Hii ndio kichwa sasa

  • @noelmwalwange
    @noelmwalwange Місяць тому

    Watanzania inatupasa kuchukua hatua

  • @jamesteras4643
    @jamesteras4643 Місяць тому

    Anatoa madini kweli kweli

  • @hubertbango1428
    @hubertbango1428 Місяць тому

    Mbona mnaweka video ya muda mrefu, shida nn

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 Місяць тому

    Hizi kampeni za kila siku
    Maguguli, Makonda, Magufuli Makonda, Magufuli Makonda mara 100000
    Jamani njooni na sera sio magufuli kila wakati yule Mze kesha pumzika hayupo tena ila alama alizoacha hamuwezi kuzifuta kamwe kazi zake zinaongea zenyewe

  • @juliussabure7429
    @juliussabure7429 Місяць тому

    Hakika ww ni kiongozi unae ona mbali

  • @SAULMSIGWA-sv9zj
    @SAULMSIGWA-sv9zj Місяць тому

    Aisee nihatar nanusu uelewa hatuna au tunasifubili tu kutetea kibarua

  • @SameerDony-j3g
    @SameerDony-j3g Місяць тому

    Katiba hio

  • @jairoshamisi3266
    @jairoshamisi3266 Місяць тому

    Tatizo watz walalamikaji tu,hawachukui hatua,mijitu inaongeaongea tu lakini ata kupiga kura hayaendi yapo tu,mabadiliko yanakujaje

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x Місяць тому

    Hiki kichwa halafu eti aibiwe kura daaaah

  • @HaroldTarimo-g6f
    @HaroldTarimo-g6f Місяць тому

    Tatizo ni ujinga wa watanzania walio wengi na viongozi wasomi machawa

  • @FrankMwakatundu-cu6bd
    @FrankMwakatundu-cu6bd Місяць тому

    Mpaka sasa sijaamini kama clip hii ni ya karibuni nikithibitishiwa kuwa ni ya karibuni nitafurahi sana kwani sijamsikia KAMANDA WETU HECHE KWA MUDA MREFU SASA NAJIULIZA SANA YUKO WAPI!!!? NAIKUMBUKA CLIP HII NI SIKU NYINGI SI YA KARIBUNI!!!

  • @tobiaspaul9203
    @tobiaspaul9203 Місяць тому

    Hii vidio ya lini maana heche hajafanya mkutano

  • @AnnoyedFlowerPot-mr2ps
    @AnnoyedFlowerPot-mr2ps Місяць тому

    Mnachekelea ujinga huo hata we utakufa je wakuseme

  • @GeorgeMakoye-l1n
    @GeorgeMakoye-l1n Місяць тому

    Hata ww unayeropoka hapo, huwa unabwatuka kwa mbowe" mwamba tuvushe " na chadema woootee mnaimba hivyo! Je, akiingilia ikulu mtaimbaje?

  • @EmmanuelMlowe-u1v
    @EmmanuelMlowe-u1v Місяць тому

    Mtavuna matusi

  • @Suleiman-e6i
    @Suleiman-e6i Місяць тому

    Hebu kuna mambo mengine msiyazungumze kama sio taaruma zenu Kwa mie baharia Una nidanganya nawapa pole sana hao wanao kusikiliza Kwa kuwa hawajui maskini hayo mengine sina Shaka nayo

  • @MichaelmotikaLaiser-dl6wm
    @MichaelmotikaLaiser-dl6wm Місяць тому

    Anapakwa makuta kwa mgongo wa chupa

  • @nicolauslema88
    @nicolauslema88 Місяць тому

    Bado na bado sana mpaka 2040.

  • @knight6757
    @knight6757 Місяць тому

    😂

  • @HamzaMohamed-k7o
    @HamzaMohamed-k7o 26 днів тому

    Mpumbavu ww,mjinga mwenyewe

  • @yosephatMasanyiwa-oh1rl
    @yosephatMasanyiwa-oh1rl Місяць тому +1

    Kila siku nilikuwa nawaza Heche yuko wapi, Leo roho imeshiba

  • @SaidShabani-s4o
    @SaidShabani-s4o Місяць тому

    Hakuna Mtu mpumbavu Kama huyu yani anaongea upumbavu mtupu acha uongo Mtu mzima hovyo kitabu gani hicho kimeandikwa panzi na uongo wako

    • @joshuaswai8203
      @joshuaswai8203 Місяць тому

      Kwa hiyo wewe ndo mjanja Heche ni mpumbavu wewe una Akili ya choo ndugu acha kumtukana Heçhe

  • @deogratiusdonald5123
    @deogratiusdonald5123 Місяць тому

    Hii clip yazamani sana hii. Leteni clip kama yupo tungemuona kwenye kampeni za serikali za mitaa. Ukimya wa john Heche lazima kuna shida fulani Chadema.

  • @SaidBagoo-g2s
    @SaidBagoo-g2s Місяць тому

    Juzi kun wajinga walishangilia kisa mama kawapa wachezaji ml700 km hao zmewafkia wamesahau kwmb zle kodi zao wanafaidishw watu wachache kun watu wanakufa hospital ksa hawana ela y kukidh matibabu hospital

  • @GeorgeMakoye-l1n
    @GeorgeMakoye-l1n Місяць тому

    Je, mbowe hamumlishi? Acha unafiki ww

    • @PrinceHendry-hp8vv
      @PrinceHendry-hp8vv Місяць тому

      We mbowe ni tajiri hata akiacha siasa hatumlishi itakua hujui history mpk baba wa taifa alivuta mshiko kwa baba wa mbowe kutafuta uhuru

  • @bensonkaduvage9549
    @bensonkaduvage9549 Місяць тому

    Ni kweli, Tanzania ni Taifa la watu wanao ishi kwenye Giza kwa sababu ya Ujinga wetu!!!

  • @TimotheoNtibayaga
    @TimotheoNtibayaga Місяць тому +3

    Acheni kulalamika kila siku chukueni action mda mwingne wanachama wenu tumesha choka na ngonjera zenu

  • @gaudencekondo3794
    @gaudencekondo3794 Місяць тому

    Kwani wewe ukipata ubunge utatupa nini? Wee fagilia ugali wako
    Kwani wewe umesoma wapi, acha uu
    .😂😂😂😂

  • @stevenjackson4985
    @stevenjackson4985 Місяць тому

    Lakini hivyo vitu visivyopatikana mnamlaumu raisi.

  • @hawakazimoto2949
    @hawakazimoto2949 Місяць тому

    Kufurahia kifo cha mtu ni dhambi KUBWA sanaa. KILA mtu atakufa TU.

    • @EmmaNkuba
      @EmmaNkuba 29 днів тому

      Waisrael walifurahia kifo cha Goliath

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v Місяць тому

    Mh kz ipo yn hapo umebugi si mlimuuwa magufuli?mlitaka ajenge nani?senge sana

    • @mballaJR25
      @mballaJR25 Місяць тому

      Nyie ndo mashahidi wa kifo Cha magufuli muisaidie polisi😮

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar5632 Місяць тому +1

    Heche yuko wapi!!!??? Mbona kimya cha muda mrefu!!!
    Hii ni clip ya siku nyingi!
    Heche yuko wapi????!!!!😂😂😂😂😂😂😂

    • @josephatkajange-zx2tl
      @josephatkajange-zx2tl Місяць тому

      Ebwana ee mi mwenyewe nimemmis sana mwamba huyu!

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Місяць тому

      ​@@josephatkajange-zx2tlsana sijui yupo wapi?

    • @usembiphonedar5632
      @usembiphonedar5632 Місяць тому +1

      @ALLBONGOSERIESTV Naomba Mungu amguse huko alipo apone kwa uwezo wa Mungu, AMEEENI.

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Місяць тому

      @@usembiphonedar5632 Amen

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Місяць тому

      @ALLBONGOSERIESTV Mungu amsimamie