BILA UWOGA TUNDU LISSU, AKOSOA KAULI YA RAIS SAMIA KUHUSU SIASA YA MARIDHIANO/SIPENDI UONGO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 68

  • @Peterchipemba
    @Peterchipemba 3 дні тому +10

    Lissu maneno yako huwa nayafuatilia sana,,maneno yako huwa yana unabii,,nakukubali mwamba,,wewe mi nabii

  • @w4058
    @w4058 3 дні тому +8

    Kwenda huko na maridhiano ya uwongo toka lini CCM wakaridhia kweli kweli Hongera Lissu

  • @InnocentBakengesa
    @InnocentBakengesa 3 дні тому +5

    Sisi makamanda tunaojitambua na kungamua mambo tuna kukubali tundu lisu

  • @yaronaWilliam
    @yaronaWilliam 3 дні тому +6

    Uko sahihi Lissu!

  • @abelmghana2843
    @abelmghana2843 3 дні тому +4

    lisu mungu akulinde sasa ili watanzania wapate elimu yako wengi wanafata mkumbo tu uwe na maisha marefu ili wajionee

  • @AllyMwambilinge
    @AllyMwambilinge 3 дні тому +4

    Upo vizur kamanda

  • @maximillianmagesa6585
    @maximillianmagesa6585 3 дні тому +4

    Napenda ujasiri wako

  • @EmmanueliBaltazari
    @EmmanueliBaltazari 2 дні тому +3

    Leo tume elewa ukweli. Kumbe wewe ulitoa tamko la kipaumbele kwanza, kuhusu uhai wa wanachama wa upinzani. Na haki zao

  • @Gaynor1234
    @Gaynor1234 3 дні тому +3

    HUYO MAMA NI MUONGO SANA. Kuwaambia Waarabu njooni huku niwape mali yote ili akisha wakabidhi akimbilie kwao Zanzibar au Waarabu wenzie.

  • @AsteriaMasika-st5pk
    @AsteriaMasika-st5pk 2 дні тому +1

    Huyu mheshimiwa namfuatilia sana,ni mtu wa haki tangu akiwa sec, hapendi uonefu hapendi zuluma, bg up bos,

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t 3 дні тому +5

    OOH MAMA TANZANIA....NCHI IMEPASUKA....CHUKI KUBWA KATI YA WATANZANIA NA WATANZANIA KWA SABABU YA VIONGOZI WA CCM NA SERIKALI YAKE KUJIONA 'MIUNGU WATU'.

    • @issakazi2758
      @issakazi2758 3 дні тому

      @@MiriamAziz-z5t hapana ikulu inataka kuingiliwa na vibaka wa chadema

    • @gadielmungure9711
      @gadielmungure9711 2 дні тому

      ​@@issakazi2758chadema inaingiliaje lkulu?

  • @Mussaphanuel-p1q
    @Mussaphanuel-p1q 3 дні тому +3

    Lisu tunakutegemea.na tunaimani na wewe.hao wandishi wa habali.waoga sana.ndo maana wanauliza maswali ya kuwatetea selikali.kwani wao hawaoni kama Demokrasia imebakwa?

  • @johansonmonyo3898
    @johansonmonyo3898 3 дні тому +5

    Jambo la msingi ni katiba mpya tuu,

  • @willymgaya7618
    @willymgaya7618 3 дні тому +3

    MH. LISU, UKO SAHIHI KABISA. MFUMO MBOVU WA NCHI NDIO UNAOSABABISHA NCHI KUTOKWENDA VIZURI.

  • @AsteriaMasika-st5pk
    @AsteriaMasika-st5pk 2 дні тому +1

    Jamani huyu mheshimiwa anaona mbali, bg up mkuu

  • @HassanKibwana-h3w
    @HassanKibwana-h3w 2 дні тому +1

    Ccm inatumia nguvu nyingi bila kariba mpya kuitoa ishu

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 3 дні тому +1

    One of the politician never fear deeth in Tanzania national out of been shoot 16 bullet move with the bullet on body but tundundulisu never fear has been continue crush reality underground consern ccm leadership that why ccm need nigoshoting with the chadema not crush chadema doing that is to let chadema grow every single day this is what ccm dasnt know behind curtains

  • @EmmanueliBaltazari
    @EmmanueliBaltazari 2 дні тому +1

    Kina kinana kumbe ndiyo wanalipeleka hilitaifa kubaya kwakuwa wao wamesha zeeka 🤔

  • @w4058
    @w4058 3 дні тому +2

    Kweli maridhiano ni kupamba keki tu kwa icing sugar

  • @johansonmonyo3898
    @johansonmonyo3898 3 дні тому +4

    Ni wakati wa kuwa makini na viongozi wasio Aminika,Samia haaminiki na hatakaa aaminike,

    • @yassinnabwera4273
      @yassinnabwera4273 3 дні тому +1

      Uko sahihi

    • @issakazi2758
      @issakazi2758 3 дні тому

      Hawa wahuni na walevi wa chadema ndo wanaweza kuongoza nchi? chadema ni genge la vibaka na mataperi wa kisiasa

  • @Maria-cx4kn
    @Maria-cx4kn 3 дні тому +1

    Mliyataka wenyewe. Maridhiano ya kufanya mikuano? Kweli?
    Kwani mikutano siyo haki yenu ya kikatiba?

  • @malackedson7706
    @malackedson7706 3 дні тому +2

    Mwamba huyuu

  • @joanitamedard5105
    @joanitamedard5105 3 дні тому +1

    Mwandishi umetumwa?? Maridhiano for who's benefits

  • @NgendandumweAlouise
    @NgendandumweAlouise 3 дні тому

    Aipeleke kwao zanzibar au yumbani kwake kwani samia ananguvu kushida syria subutu

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 дні тому +2

    👊👍✌️.

  • @tobiaspaul9203
    @tobiaspaul9203 3 дні тому +1

    Kunakucha

  • @mpendamema3694
    @mpendamema3694 3 дні тому

    Maridhiano haukuwa utashi wa mtu mmoja mlikubaliana kama chama 😂 nimeona clip

  • @kelvinmasungakilunguja7539
    @kelvinmasungakilunguja7539 2 дні тому

    Nyie yenu yakubaliwe tu ya kwetu yaskubaliwe napenda hoja zako lkn hiyo hapana sizan kama yote yakikataa nyie mnataka upande wenu tu faten na yetu MUNGU ibarik Tanzania aman itawale

  • @omarramadhan5111
    @omarramadhan5111 3 дні тому

    Mlinyamazishwa musieke kelele watu waendelee kuwatawala kimabavu

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 День тому

    Mpumbavu. Mama yako. Acha tusikilize .akili kubwa

  • @mussasaidi7369
    @mussasaidi7369 2 дні тому

    Bowe

  • @adammlonganile7921
    @adammlonganile7921 3 дні тому

    Pambafu tu veve

  • @issakazi2758
    @issakazi2758 3 дні тому

    Lissu acha ujinga wewe huna lolote la maana

    • @MukhutarAbdulshakur
      @MukhutarAbdulshakur 3 дні тому

      We kikojozi ndio fala

    • @issakazi2758
      @issakazi2758 3 дні тому

      @MukhutarAbdulshakur mnaimani kidogo ikulu haiwezi kuingiza wahuni na wauza madawa ya kulevya wa chadema

  • @JamesSichimata
    @JamesSichimata 3 дні тому

    Mama piga kazi hatutishwi na hao

    • @shabanadam4476
      @shabanadam4476 3 дні тому

      One day tutafika tu brother

    • @HassanAthuman
      @HassanAthuman 3 дні тому

      Lisu wewe mwenyewe mdanganyifu

    • @ceciliamagalabajimmy4391
      @ceciliamagalabajimmy4391 3 дні тому

      Huwezi kutishwa si wewe una mama mzazi sii sawa na watoto wa kambo.

    • @gadielmungure9711
      @gadielmungure9711 2 дні тому

      Neno hatutishwi na hao" ni uchochezi huo. Machafuko yakitokea tz utafaidika Nini? Kusikiliza watu ndio uongozi utawala Bora.

  • @YahayaMgaza
    @YahayaMgaza 3 дні тому

    Wewe rudi kwa mashoga zako ulaya hupati nchi hata kwa nini

  • @maase2023
    @maase2023 3 дні тому

    Na nani atakae maridhiano na nyie ambao hata viti bumgeni hamna??? Mbn mnajidanganya nyie

    • @yassinnabwera4273
      @yassinnabwera4273 3 дні тому +2

      Kwani wewe ni nani nchi hii?Huo uelewa wako mdogo una faida gani kwenye hii nchi?

    • @maase2023
      @maase2023 3 дні тому

      @yassinnabwera4273 tuna faida kubwa na ya maana mno ndani ya nchi yetu! Kila kukicha maneno maneno tu yanachosha

    • @NiazonBukoke
      @NiazonBukoke 3 дні тому

      Mbona unaonekana mpumbavu sana wewe ??

    • @MukhutarAbdulshakur
      @MukhutarAbdulshakur 3 дні тому

      Chizi wew​@@maase2023

    • @maase2023
      @maase2023 3 дні тому

      @NiazonBukoke nani afanye maridhiano na chama kisicho na viti bungeni nyie??? Hivi mnajua siasa ya maridhiano ikoje au mnadhania kama mpira tu??? Chama kisicho na viti bumgeni maridhiano hayapo dunia nzima inatambua hivo