Isue ya LISU MIPANGO YA MBOWE NA AKINA MDEE ILIFANYIKIA PALE CHAKONI CHAKO USIKU NDIO LILIKUWA CHIMBO LAO,NA NDIO MAAANA SERIKALI ILIOAFUNGA KWA MUDA ,,
lakini kaka yetu mbona watu wanapotea na hakuna anaechukua hatua? waliopotea ina maana wanaowapoteza wanatokea Kenya? ni kama watanzania wakiona ndugu zao wanapotea wanyamaze. kama inaleta shiida kwa royal tour ya Rais wetu basi watu wasipotee. Mie nimeona hawa CHADEMA ni watu waungwana sana. hawanaga shida na mtu yte. wao ufate tuu sheria bas!!
Hata nyinyi wenyewe hakuna Cha Wana,harakati mmetengenezwa,hizo pesa mlizo,kula kwakusema uongo Hakika Mwenyezi MUNGU atawa,azibu vibaya mno,hizo,rushwa mlizokula,zitawatoka,puani.
Wewe ni mjina sana tena sauna akiri hata kidogo mboe hana jeshi watu. Hii yote ni kutokana na umamluki wa uhuru.wakristo wameuhalibu sana uhuru wa nchi hii
Sasa Kama Kuna ushahidi wore huo kwanini hawakamatwi?Naona wanakamatwa kwa vitu vyenye haki na msingi ivyo vya kihaini polisi wamekwama wapi wapijamani?
Sasa haya mazwazwa yana tunga polojo na juzi juzi tumemsikia katibu wa mkoa wa ccm mikoa ya kanda ya ziwa anatishia watu na kusema tusishangae watu wakipotea kama tukiendelea kumkejeli na kumdhihaki rais Mitandaoni Sasa haya Mazombi yametoka WAPI.
Kama kweli unayoyasema kwanini usiisaidie polisi?nakama umeaamua kusema uongo utalipwa Hadi kizazi chako Cha nne.hata ukapata cheo Cha namna gani kumbuka Kuna siku ya mwisho,mpaka hapo njaa mbaya
Sasa kama mnyika anahusika katika swala la utekekaji au chadema kama wanahusika,hiyo intelligencia ya polisi iko wapi siku zote,mbona hakunataarifa zozote za kipolisi juu ya watuhumiwa au hata kushukiwa tu,vinginevyo naona kama kauli zako hazina mashiko yoyote
Dah! Tanzania tuna safari ndefu sana kujikomboa kifikra! Tuna janga! Nashindwa kujua hawa jamaa wanaongea na waandishi wa habari au wanapiga story kijiweni?
Nafikiri hamjui Mungu Mungu si dhalimu acheni kucheza na Mungu ...Mungu haingeki na Mungu sio mwongo ....msimchanganye Mungu na udhalimu ukila ukishiba tulia so
Njaa mbaya sana ivi mungu anatajwa kwenye upumbavi huo acheni uchawa
Tumbo mungu alituweza.. unajifanya chawa wa mtu kuongea ujinga
😢😢😢😢 KUMBE NA MACHADEMA N MAHUN KIAS HIKI DUH SIRUDII KUWAAMIN KAMA NDO HIVI MNA MAMBO YA KIHUN SANA
Eeeh machawa wapo wengi lipumba me mumaliza mnataka mumalize na chadema
Hongela Sana baba sema wala usiogope tumekishtukia chamachao chadema
Ccm mnaonekana hamlali usingizi kisa Chadema
Kaka njaa itakuzalilisha utageuzwa hoo haya umehaidiwa pesa au maana hadi huruma
Mimi mwenyewe nilikua nashangaa yani raisi akae eti amfikirie mtu wa Twitter amteke aaai 😂😂wanajipa makoti na umaarufu. Assanteni kwa kutoa ukweli.
Sijakuelewa
Wataka kutuambia bowe anawazidi police
Mwehu ww
Wewe unaroboka 2
Wewe ndie mtekaji sio mboye
Kweli binadam ni wabaya sana. Yan huyu analipwa kwajili ya kuzubaisha watanzania
Mbona unatekwa na Chadema huripoti polisi mzalendo?
Asante baba tuokoe na hili janga la kulaumiwa wasiohusika
Hii ningombe kabisa yaan kwaakilizake anajua sisi ning'ombe kama yeye sasahivi watanzania tunajielewa kupita maelezo
Damu ya mtu Inamalipizi angalia na unachokisema lazima iwagharimu
Duuuh huyu nae ni mtanzania ?
Hawa wanapambania uteuzi angalau wateuliwe kuwa wakuu wa wilaya
Ina maana serikali insjua haya bila kuchukua hatua?
Hongera sana kaka tunataka Amani na upendo Allah Atukubali
Apambaene hatujaona kinachofanyika
Acha uwogo
Acha kudanganya umma si mmkamate mbowe sasa
Wewe takatakawewe falawewe
Hii imetengenezwa inajirudiarudia
Unatumika vibaya hadi aibu. Mtu mzima ovyoo
Lazma wablock mtu mjinga kama .....
Wametumwa hawa kuwachafua Chadema
Tunapotoa maelezo, tusiwe na jaziba.Tuwe wakweli!
Kumbe unaushahidi mzima polis ushahidi huo
Natamani itokee siku nikuone, Asante Kwa kuwaelimisha wananchi
Pumbavu sana
Umesema ukweli mtanzania halisi
Ni kweli kaaabisa
Lisu aliwai kukili kwa kinywa chake mwenyewe ushonga ni sera yake ya faragha
Wemwenyew muhun unaonekan unatak natas kwamm naupati
Acheni ufwala bwana!
Isue ya LISU MIPANGO YA MBOWE NA AKINA MDEE ILIFANYIKIA PALE CHAKONI CHAKO USIKU NDIO LILIKUWA CHIMBO LAO,NA NDIO MAAANA SERIKALI ILIOAFUNGA KWA MUDA ,,
Yaani ww mzee unaakili kweli ww kama mbowe ni mtekaji kwann asikamatwe atiwe ndani acha kudanganya watu
Safi sana nashukuru kwa kunifumbua macho,nilikuwa na shangaa sana wahuni wanatamba bila mtu kuwajibu Nakushukuru kwa wewe kujitokeza kuweka sawa mambo
Nafasi zakupewa nyie chawa zimekwisha.
Hata asiye na D mbili,hawezi kukubaliana na porojo hizi
Amechangia vurugu tuu
Unafiki tu huo kaka
hakuna anao wasikiliza hata mmoja,mapimbi tuuu na uchawa wenu ila kijani mnajitahiidi sana.
lakini kaka yetu mbona watu wanapotea na hakuna anaechukua hatua? waliopotea ina maana wanaowapoteza wanatokea Kenya? ni kama watanzania wakiona ndugu zao wanapotea wanyamaze. kama inaleta shiida kwa royal tour ya Rais wetu basi watu wasipotee. Mie nimeona hawa CHADEMA ni watu waungwana sana. hawanaga shida na mtu yte. wao ufate tuu sheria bas!!
Chagadema ni wauwaji tu wewe unakataa nini sasa?
Hakika Tz bado sana.
Wewe nimpumbavu tu hujuwi unacho ongea
Nahisi kuvurugwa tu
Hovyooooo watu wazima mnaongea uongo
Daaaaa
Asante
Kwa kutujuza
Afadhali umetutoa tongotongo
NJAA,!?NKAA!!! NJAAA!!! UCHAEWA!!
Watu wazima mnasema uongo na mnamshirikisha Mungu. Mandamano yalikua ni ya polisi acha uchawa
@@Grace-s3z Tulia dawa iingie nyumbu ww
Eti lipumba, machawa yanafanya walichotumwa
Hivi yote unatumika kupotezea uchunguzi wa Ally Kibao hizi damu zinasema na ninyi ; Mungu hadhihakiwi mjue
Safi sana
Police mkamateni huyu maana anaongea anamjua mtekaji atuambie kama ni siasa asifanyie siasa maisha ya watu vipo barabar mbove na mengine
Hivi mtu haoni aibu kusema uongo.
Hayupo mwandishi hata mmoja hapo mnajitepu wenyewe
Huyo jamaa ndio mtekaji
Matako nyinyi
Sheta i yupo tanzania na pombe mpya ya kulewa mpira bila kujitambua
Mnatumalizia bando
Hata nyinyi wenyewe hakuna Cha Wana,harakati mmetengenezwa,hizo pesa mlizo,kula kwakusema uongo Hakika Mwenyezi MUNGU atawa,azibu vibaya mno,hizo,rushwa mlizokula,zitawatoka,puani.
Pumbavu 2
Kaka hongera kwa kutupa ukwel
Machawa
Mbona mnyika yupo uraini. Mkashike kwa sababu taharifa sahiii unayo ww
Wewe kichaaa Cha mbwa anahitaji kula dampo sio kuongellea maisha ya wenye akili timamu
Asante sana!! Mkazane kusambaza kweli hizi muhimu huyu 'mwamba' ametuchosha!!!!
Utapewa cheo
Ni kweli bro
Daaaa! Yaaani majitu kama haya
Sasa mbona munajichanganya Kabisa munajuwa Watekaji hamuwachukurii hatua Hapa nimegundua kumbe Jeshi lapolisi Kazi Yenu hamuna Mbinu kamateni Hao watu
Tafuteni uteuzi watu wakubwa mmeshapangwa muongee Ila ukitokea hapo maisha yako yatakuwa alepale!!! Alafu Tanzania hii mnatamani magaidi kweli??!!
Mmepewa mchongo kuisafisha serikali wapuuzi 2
Wewe ni mjina sana tena sauna akiri hata kidogo mboe hana jeshi watu. Hii yote ni kutokana na umamluki wa uhuru.wakristo wameuhalibu sana uhuru wa nchi hii
Unatuelaza sisi tukusaidie nini wakati kuna vyomba sahihi ,polisi mahakama na vingine vingi si uwafungulie mashitaka.
Hawa ni nani vichaa
Sasa Kama Kuna ushahidi wore huo kwanini hawakamatwi?Naona wanakamatwa kwa vitu vyenye haki na msingi ivyo vya kihaini polisi wamekwama wapi wapijamani?
Acha uwongo na umbea huna jopya tunaakili sana ww tafuta cheo Kwa njia nyingine chadema haina jeshi ww ni kichaa usitunge umbea
Pelekeni ushahidi kwenye vyombo vya dola kama hayo mnayodai ni kweli
Hata mimi Tundu Lissu ali ni block
Sasa haya mazwazwa yana tunga polojo na juzi juzi tumemsikia katibu wa mkoa wa ccm mikoa ya kanda ya ziwa anatishia watu na kusema tusishangae watu wakipotea kama tukiendelea kumkejeli na kumdhihaki rais Mitandaoni Sasa haya Mazombi yametoka WAPI.
UONGO UMETUMWA WEWE CHAWA TU
Uongo.
Chadema kushika dora ni ndoto, mandamano aibu🤣🤣🤣🤣🇹🇿🇹🇿👋👋
Njie.waongo.sanaa
upuuz.i ni uchunguzi upi uliofanwa kubaini huo ujinga unaouongea hapo
Hivi Mama Samia hujawaona hawa jamaa uwape hata u DC?wameongea mnoo!😢
Watanzania tunajielewa usidhani ni mazuzu
Kama kweli unayoyasema kwanini usiisaidie polisi?nakama umeaamua kusema uongo utalipwa Hadi kizazi chako Cha nne.hata ukapata cheo Cha namna gani kumbuka Kuna siku ya mwisho,mpaka hapo njaa mbaya
Sasa kama mnyika anahusika katika swala la utekekaji au chadema kama wanahusika,hiyo intelligencia ya polisi iko wapi siku zote,mbona hakunataarifa zozote za kipolisi juu ya watuhumiwa au hata kushukiwa tu,vinginevyo naona kama kauli zako hazina mashiko yoyote
Hivi mnashindwa kumfikisha huyu mahakamani
Safi mmeeleweka sana
Dah! Tanzania tuna safari ndefu sana kujikomboa kifikra! Tuna janga! Nashindwa kujua hawa jamaa wanaongea na waandishi wa habari au wanapiga story kijiweni?
Nafikiri hamjui Mungu Mungu si dhalimu acheni kucheza na Mungu ...Mungu haingeki na Mungu sio mwongo ....msimchanganye Mungu na udhalimu ukila ukishiba tulia so
Acha uongo wew hyo sio kweli je ccm inafanyaje