Sabaya alikuwa kiongozi kabisa , japo kila mwanadamu anamapungufu yake, ila alifanya kazi kubwa sana kwa kuokoa watanzania wenzake, Sabaya verry smarty
Tumezaliwa vijijin tumekuta madaktar weng wanamna hii na ndo waliotutibu mana hospital ilikua klomita40 usafir hakuna unazan nan angetutibu mpaka leo tupo huyu sabaya mm kiukwel acha apate alichostahili
Kaz nzuri ubarikiwe muwepo weng kama wew
Viongozi wapiga kazi kweli hawatakiwi kwny nchi hii lla wezi na mazwazwa ndy wanapewa nafas
Sabaya alikuwa kiongozi kabisa , japo kila mwanadamu anamapungufu yake,
ila alifanya kazi kubwa sana kwa kuokoa watanzania wenzake, Sabaya verry smarty
Ubarikiwe Muheshimiwa
Ulikua vizur Sana Ila umealibu padogo sana
Sabaya mungu akubariki 🤲ulikuwa mchapa kazi ila watendaji walikuzunguka😮😮
Napenda sana viongozi wanao chukua hatua hizi
Napenda Tanzania sana , kazi nzuri iyo, hii Kenya yetu hakuna utenda kazi, madaktari feki ni wengi mno
Sabay nakupend san my kk mungu atakusimamia
Hivyo ndivyo mtu Kama huyo Malika hamtaki kumbe mwenye kutenda haki hafai Tanzania.
Shelia ifate mkondowake haondowanae tuwawakidai wanatafuta kipato kumbewanaghalim maishayawatu
Jamni mungu akubariki baba
Sabaya ulikuwa makini sana ila bd mungu yupo na wew
Sabaya mungu akulinde sana
Hongera mkuu wa wilaya
Bwana Yesu nii nini hicho??!!!???Mungu tusaidiye
Noma sana.
Ukweli utumeke jamani
Wapo wengi sana hata huku dar wamejaa wengi
Hahaha sina dawa ingine😄😄😄🤣🤣🔥
Uyo wamemchomea tu wapo wengi sana mtaani madaktal feki
Ni heri ningesaliwa Tanzania
Wauwaji hao
Kichaa kaludi sabayaaaa uwe rais
Huyu sabaya Naona ana bidii ya kazi
Anasaidiawatu osipitali galamakubwa sana
Pigeni Nazi wapo wengi makatili kama anasaidia watu ajifiche
Uyu Doki angekuwa Kenya sa hii angekuwa analilia choo
Duuh !! TATIZO ILO !!
Waje ndonyo kuna vituko
Amepotea kwa kweli aisee kama yeye ni Daktari si angefuata sheria na vibali husika
Kwa kweli ni hatariiiii
Sabaya alikua jembe sana, tunamuombea dua arudi kwenye form tena.
Arafu eti ana kutoa kwenye hiyo nafac mmmmmh
Ett hii songesha au
Nawapongeza sana
huyu jamaa ni mbabe lakini bonge moja la kiongozi
Thats very bad achukuliwe hatua kwakweli.
Huyu jamaa leo hii ndie anaetuhumia nimhuhalif kwer?
Sasa hizi dawa wanapata wapi? Wakati tunaambiwa dawa hakuna ?
Makosa ni yenu. Mnapeleka watu shule hajira hamtoi mbwa wakubwa
Kiongozi kama huyu wangemsaidia sana rais samia kupambana na haya majambazi ya hii awamu ya sita,
Sabaya ni Nelson mandela ajaye from tanzania
Ndio washa mfunga sasa
Nelson wa Nani kafie mbbali huko
Unasoma kusaidia ama kuuwa
Duh!🥺
Sabaya was smart katika suala la uzalendo
Njoo kenya
Hiyo yote Ni kujitetea tu
Huo ndio unaitwa unyanyasaji, najuta kuzaliwa Tanzania
Usitetee mabaya ramagwe
Huyu MAMA mungu anamuona daaaah
Tumezaliwa vijijin tumekuta madaktar weng wanamna hii na ndo waliotutibu mana hospital ilikua klomita40 usafir hakuna unazan nan angetutibu mpaka leo tupo huyu sabaya mm kiukwel acha apate alichostahili
Sabaya saiz zamu yako ahahaha atakama ulikua unajifanya mwema
Duuh sehemu yenyewe chafu 🤮🤮
Jl mwnuka online tv
mujiulize vifaa hivyo kavipata wapi watu wa hospital nao wanashangia kutoa vitu ovyo
Usituingize watu WA hospital humo..hivyo vitu vinauzwa pharmacy Kila Kona ndugu
mdogo wangu utatoka TU wa
Mama Samia upo wap? Kijana wa kazi huyu hapa mtumie atakuheshimisha... makonda mwingine huyu
Namm natamani kuranyoka nikipata mwarimu
Sabaya rudi tena serikalini
Daaah pole bro. Najua unavojisikia hapo
Sabaya aludishwe kazini
Songesha
Maskin ndo kazi za mwisho mwisho za sa mbovu kabla hajadakwa
Hizo dawa ananunulia wapi? Na kwakibali gani mpaka anauziwa dawa zote hizo?
Side
S
🤔🤔🤔🤔🙇🏽♂️🙇🏽♂️🙇🏽♂️
Rais samia mrudishe sabaya madarakani
Songesha
Kwakweli hii hatari
.
Du🤣🤣🤣
Jamani mh sabaya mungu atakutetea kwahiyo haya unayo komesha serikali aioni umeitetea maisha ya watu.hii ndiyo Tanzania kweli.
Duuh !! TATIZO ILO !!
Wauwaji hao