Safi sana. Huu utaratibubni mzuri natumaini uko nchi nzima. Nashauri kama hakuna mpango wa kutembelea taasisi na taasisi za elimu, utaratibu ufanywe kazi hii iwe endelevu na ikiwezekana hata ngazi ya kata na mitaa. Hongereni sana Jeshi la Polisi.
Nadhani sio mpole. Anatumia taaluma ya kumfanya asikilizwe na wengi na kumuelewa. Ukali mara nyingi sio njia nzuri ya kumuelewesha mtu. Ukali una mahali pake.
Mungu akubariki utende haki sio kama wale police wengine wanaotumia mamlaka yao kufunga watu kisa wanakula mchana na hawaamini miungu yao kinyume kabisa cha katiba
Sijawahi Kuna kamanda kama wewe barikiwa San. Wengi wao ni makatili San. Hawajui DUNIA tunapita.Maafande WOOTE chukuen mfano Kwa huyu msione DUNIA ni yakwenu. Dada afande wew ni muungwana sana.
dah nimaaskali wachache sana wakike wenye vyeo halafu wapo kawaida2 kama hyu afande nywele zake ziko kawaida2 huyu hata luchwa anakula kwa tabu kidog ana hofu ya mungu mama wawatu
Wewe utakuwa mchungaji miaka inayokuja nimekutabilia afande ,nakupigia salut
Barikiwa sana afande kwa maneno yako mazuri ya kutujenga....
Safi sana. Huu utaratibubni mzuri natumaini uko nchi nzima. Nashauri kama hakuna mpango wa kutembelea taasisi na taasisi za elimu, utaratibu ufanywe kazi hii iwe endelevu na ikiwezekana hata ngazi ya kata na mitaa. Hongereni sana Jeshi la Polisi.
Mungu akubariki sana kamanda❤❤❤❤
Your Part of Solutions!! Not part of Problems!! God Bless You!!!
Afande upo vizuri sana ila sasa unaonekana ni mpole sana, punguza upole Mama, kwakweli upo vizuri Mungu akubariki sana.
Nadhani sio mpole. Anatumia taaluma ya kumfanya asikilizwe na wengi na kumuelewa. Ukali mara nyingi sio njia nzuri ya kumuelewesha mtu. Ukali una mahali pake.
Wange msamehe tu ila siku nyingine asirudie arivyo fanya .mungu atusahe kwakukosea
Uko vizuri Te'o pista
Hongera kwa elimu nzuri kamanda
Hongera mama upo vizuri saana!
Yuko vizur hata songwe tulimfurahia sana
Afande nimekupenda bure katika ubora wako wa nywele za asili. Safi sana
Mungu akubariki utende haki sio kama wale police wengine wanaotumia mamlaka yao kufunga watu kisa wanakula mchana na hawaamini miungu yao kinyume kabisa cha katiba
jaman dada katulia mbona ulimi hauna mfupa
Afande MUNGU wetu Akubariki Akujaalie katika Majukumu yako. Sabato Ni ishara Kati ya MUNGU wetu na sisi Watu wake.ni Agano la Milele
Maneno ulio yatoa ktka nyumba ya mungu na ulchokifanya ktka jamii na jeshi kiujumla ufahii kbisa ktka jamii
Askari wa kubwa wengi wao niwastarabu Sana Ila huku chini mmh balaa
Mkuu wa Polisi Hongera Sana jamani Mama
Sijawahi Kuna kamanda kama wewe barikiwa San. Wengi wao ni makatili San. Hawajui DUNIA tunapita.Maafande WOOTE chukuen mfano Kwa huyu msione DUNIA ni yakwenu. Dada afande wew ni muungwana sana.
MUNGU AKUBARIKI SANA KWA KAZI YAKO IKO SIKU UTAPANDA ZAIDI
Afande uko vizuri
Huyu afande ana ofu ya mungu angekuwa traffic hata leseni unaweka nyumbani akikukama anakupa elimu kwanza kabla achukui rushwa
Safi sana kamanda mallya hakika tutaendelea kukuombea pongezi kwa mama samia tunae mtetezi wa watoto
Ukiongea kama mchungaji kweli lakni umemkosea sana yule binti wa buza
Kamanda nimekupenda bule maana uko rohoni Mungu akubariki na akupandishe viwango vya juu
Barikiwa
Asante kamanda
Kweli manka umeongea vizuri mambo haya mabaya hayakubaliki
Asante mama
😢😢😢😢😢😢
Kama unalijuwa hilo kwanini ulikuwa unatetea walawiti
Kila lakheri ktk majukumu yako kamanda. Inatakiwa hii iwekwe ktk redio zote kama kipindi maalumu hii hotuba ya kamanda
hahaaa aseee manka hakiamungu umenifulahisha kweli et,,,,,,,,
dah nimaaskali wachache sana wakike wenye vyeo halafu wapo kawaida2 kama hyu afande nywele zake ziko kawaida2 huyu hata luchwa anakula kwa tabu kidog ana hofu ya mungu mama wawatu
Sagi sana
Piga kazi dd yangu uko vinzur
Siku ya sabato ni jumamosi, na sio jumapli😊
Hogera kamanda kwa mahubiri mazuri tembelea Kila kanisa hasa huku kwetu manyari
SAFI MAMA WEWE NDIE NAE JITAMBUA SASA AFANDE IGP MUACHE SASA UYU MAMA FANYE KAZI TUME CHOKA DODOMA KILA SIKU MA RPC WAPYA TUME CHOKA HAAAAAAAAA
RPC Theopista una Hekima za kutosha, una sifa ya kiongozi bora ni mpole na mtaratibu.
Kamanda Nkuhungu tunateseka na makelele ufuska unafanyika kwenye baa 2 LAPATRONA NA NYINGINE IPO NJIA PANDA KWA SWAI TUNAOMBA MSAADA WENU.
Kumbe mnawatambua viongozi wa dini.
Hana kitu kichwani. Maji tu
Kuwa na heshima ww
Huyu alifaa kuwa IGP
Uyu sio yule kweli 😂😂😂😂
Tunataka maaskari kama huyu
Huyu askari anasali ndiyo maana mstaarabu
Huyu mama apewe maua yake.