MAENEO MANNE AMBAYO FEDHA IMEJIFICHA - JOEL NANAUKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2023
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

КОМЕНТАРІ • 55

  • @salomemrembo7482
    @salomemrembo7482 9 місяців тому +22

    Hallo Nauka. Yote hunayo shungumza ni hukweli...nilijaribu..biyashara..ya kuhuza nguo wengi akanipuzaa..sahii niko top..wale wale watu sahii wananiomba mawaitha kazi yoyote..hinaitaji..nidhamu..na kukomaa. Kwa kazi..nakumshirikisha..mungu kwa mapato yako..hili hupate maraka zake.mungu..ndiye hubariki kazi zetu..piya bidii

  • @fundivigaetzchannel1899
    @fundivigaetzchannel1899 9 місяців тому +7

    Ahsante kaka Joel Nanauka ubarikiwe sana MUNGU akutunze
    Kweli kwa unavyo tuelimisha MUNGU awezi kukuacha
    Mahana kunawatu wanafanikiwa kusikiliza cilip zako MUNGU akutunze
    By ERADIUS OSCAR from Mwanza nyegezi 🇹🇿

  • @jonfredkewe3451
    @jonfredkewe3451 9 місяців тому +2

    Joel nidude kubwa lenyeakili mlima barikiwa Sana baba.matatizo yanajitokeza nanung'unika kumbe nifursa ngo kesho nikinukishe

  • @user-yx3zh8ks2s
    @user-yx3zh8ks2s Місяць тому

    Usikate tamaa kaka, nakuona mwenye mawazo mapana sana. I appreciate, let God lift up your legs so that you get strengthened. Love you

  • @elishathepapaapeter
    @elishathepapaapeter 2 місяці тому

    naitwa elisha ryoba peter maarufu kama ELISHA"KUCHA ni mzaliwa wa mkoan mara wilaya ya bunda_musoma, mimi ni Mr kucha alieamua kupambana kwa bidii ili kufika mahala sku moja, kiukweli nakufatilia sana nataman sana nifike mahala kupitia ww uncle.... NAESHIM SANA MAWAZO YAKO TAFADHALI KA.A UKIWEZA NAOMBA HATA KUWASILIANA NAWW nipo tayr kukuskiliza na kukuzingatia zaid kiongoz wangu, MUNGU AKUBARILI SANA.

  • @dizzojozer6137
    @dizzojozer6137 8 місяців тому +1

    Mimi kipaji nilichonacho kuandika vitabu kuhusu maisha mitazamo ya maisha jinsi ya kuanza nakosa motivation na atua ya kwanza nifanye vipi msaada kidg joel

  • @user-iq3sw9ud2j
    @user-iq3sw9ud2j 9 місяців тому +1

    Habar kaka joel mim nipo oman nafanya kaz za ndan uku lakin nimepata wazo zuri sana kaka nataka nifanye biashara ya tissue nazitoa uku oman kuzileta tanzania maana tissue za uku ni tofaut sana na za kwetu tanzania yaan za uku zipo kwenye ubora mzur na packed nzur sana na pia nataka nizitangaze kwa ukubwa sana maana watu wengi sana awaongelei kuhusu hii biashara NAOMBA USHAUR WAKO kaka joel

  • @BennyPhilip-zq7vb
    @BennyPhilip-zq7vb 2 місяці тому

    Asante sana kaka Joel , umekuwa msaada mkubwa sana kwangu. Hapa nilipo kwenye huu mtaa niliopo kunamatatizo mengi sana ngoja niyageuze kuwa fursa

    • @DaenoPol
      @DaenoPol 2 місяці тому

      God bless you 🎉

  • @saidmwangasama
    @saidmwangasama Місяць тому

    Nanauka tunakupenda sana pokea smu zetu hatukupigii iri kukusumbuwa ss ni mavuno yako ulio panda iri uvune

  • @taramakimaty5902
    @taramakimaty5902 9 місяців тому

    Nashukuru nimeelewa vyema,ubarikiwe mnooo...

  • @NyalagiMalando-cj4jf
    @NyalagiMalando-cj4jf 4 місяці тому

    Asante sana joeli kwa kulikumbuka taifa lako kk

  • @ENOSOUND
    @ENOSOUND Місяць тому

    From Moonnight inn kaka nakupata hapa nimeelewa

  • @bernadetachari7648
    @bernadetachari7648 9 місяців тому +1

    Marazion nimenghi ,ila yatakiwa kwanza kabisa uwe na mtaji ndipo uwenze kuyatatuwa

    • @MOSHIMWOLOHA-fg1pf
      @MOSHIMWOLOHA-fg1pf 9 місяців тому

      Kitu cha kwanza ni kuwa na problem solving mindset ( akili tatuzi ya matatizo). Pesa hitaji mmojawapo lakini si namba moja wala la lazima.

  • @DavidNdosa-mj4ei
    @DavidNdosa-mj4ei 2 місяці тому

    Ww mtu inaonekana umesoma sana au umekaa sana ulaya au unasoma sana vitabu maana auchoshi kusikiliza

  • @mhandondahani2656
    @mhandondahani2656 9 місяців тому

    Ubarikiwe sana Mungu akupe maisha marefu

  • @EmmanuelGillux-uw1th
    @EmmanuelGillux-uw1th 9 місяців тому

    Nanauka mimi nimeapply kanuni zako na sahizi nipo vizuri

  • @zabrongermanus-co1jj
    @zabrongermanus-co1jj 9 місяців тому +1

    Unaakili nyingi sana

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 9 місяців тому +6

    Joel 😢video nikimaliza kusikiliza uwa na download na weka cm imejaa video zako Ubarikiwe sana 😢

    • @user-bk6ue5zl5t
      @user-bk6ue5zl5t 2 місяці тому

      😂😂😂 nikajua niko peke yangu nae download hizo video kumbe tuko wengi

    • @faudhiasalum7279
      @faudhiasalum7279 2 місяці тому

      @@user-bk6ue5zl5t kama zote nime badilika mimi kweny status zangu ukut vitu vya kijinga zaidi Ya video za.. Joel. Huy kaka 😭😘

    • @mayanishamila6349
      @mayanishamila6349 Місяць тому

      Tupo wengi

  • @ediphonceedwin1482
    @ediphonceedwin1482 2 місяці тому

    Asante, mungu akubariki

  • @EmmanuelGillux-uw1th
    @EmmanuelGillux-uw1th 9 місяців тому

    Joel Mimi giluli mwita nakushukur San nimeapply kanuni zako na nimefanikiwa

  • @KinanaLemaiba
    @KinanaLemaiba 8 місяців тому

    Mungu akuongoze

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 9 місяців тому

    Barikiwa zaidi kaka Joel

  • @johnbanda6601
    @johnbanda6601 9 місяців тому

    Marafiki kuwa wateja

  • @stanleysome8821
    @stanleysome8821 9 місяців тому +1

    Thank you so much Sir!

  • @user-bp6ue2sz8d
    @user-bp6ue2sz8d 9 місяців тому

    Mungu akubariki sana

  • @user-oi9hc6cs3m
    @user-oi9hc6cs3m 9 місяців тому

    God blessed through you

  • @FrancisGerold
    @FrancisGerold 9 місяців тому

    Following from songea

  • @amesalum3636
    @amesalum3636 9 місяців тому

    Big up broo❤

  • @NuratyAlly-lq7xc
    @NuratyAlly-lq7xc 9 місяців тому

    Baba ubarikiww

  • @mhandondahani2656
    @mhandondahani2656 9 місяців тому

    Mi nakipaji cha kupiga vyombo vya muziki lakini watu waniishia kunisifia tu kitu kinachoniingizia hela ni kazi nyingine ambazohuwa nazifanya hii imekaaje kiongozi

  • @RivaKilimo
    @RivaKilimo 2 місяці тому

    I like it

  • @user-jt3yw1gz2j
    @user-jt3yw1gz2j 2 місяці тому

    Me ninakipaji cha kuimba kaka joel ila mazingira yananiumiza sana kama kuna vita inainuka juu yangu kwa baadhi ya ndug wakisikia nataka kuimba wanaanza kuleta zogo nyungi kunipinga wanasema ni uhuni tu naomba ushauri

  • @BenisiaTitus
    @BenisiaTitus Місяць тому

    Asant kak

  • @MwanaishaHemed-xi6rj
    @MwanaishaHemed-xi6rj 9 місяців тому

    Asante sana

  • @niriacatering172
    @niriacatering172 9 місяців тому

    Shukrani

  • @user-xv5kb5pe8h
    @user-xv5kb5pe8h 9 місяців тому

    nimejifunza kitu hapo kaka

  • @user-bx5wg9nz8g
    @user-bx5wg9nz8g 4 місяці тому

    Mimi nina idea ya ufugaji wa kuku wa kienyeji naishi nalo wazonhili karibu miaka lakini cjalianza lakin imani yangu ipo hapo tu kua ufugaji wa kuku wa asili ndio utaonitoa kimaisha kwa sababu mmimi ni mwalim nina watu wengi wamenizunguka na naamini wanahitaji huduma hii lakin kila nikitaka kuanza nashindwa cjui wapi nakwama

  • @user-ty6qx5bp3x
    @user-ty6qx5bp3x 9 місяців тому

    🙏🙏🙏kaka

  • @aderiderkihupi7240
    @aderiderkihupi7240 9 місяців тому

    Asante

  • @simonmalegesi414
    @simonmalegesi414 9 місяців тому

    Nipo mwanza vitabu vyako vinapatikana wapi na kwa bei gani.

  • @sirleemally5314
    @sirleemally5314 9 місяців тому

    Matatizo yaliyo tuzunguka mtaani ni watu kukosa uamknifu 😮

  • @user-xv5kb5pe8h
    @user-xv5kb5pe8h 9 місяців тому

    5:51 nimejifunza point ya 4

  • @Paschalmachang
    @Paschalmachang 9 місяців тому

    Kwelikabisa unachokisema

  • @arriyamistamp4945
    @arriyamistamp4945 9 місяців тому

    Mimi nataka ushauri kama unahitaji mlango wa kufanyia biashara lakini bei ni kubwa ya kukodi kwa mwezi milioni moja na nusu lakini huna pesa yakutosha ukaamini nikipata nitaweza kufanikiwa ufanyeje?

    • @niriacatering172
      @niriacatering172 9 місяців тому +2

      Unaweza kuanzia hapo ulipo, nyumbani inategemea biashara unayotaka kodi kubwa inaweza kukusumbua Anza na kidgo ulicho nacho, tumia mitandao ya kijamii, Piga picha nzuri weka kwenye ukurasa wako, au wafuate watu Anza taratibu kwa kuwafuata WATEJA ukiwa muanifu, kauli nzuri na nidhamu kwa WATEJA unatoboa wengi tumeanzia nyumbani

    • @farijanibakari9018
      @farijanibakari9018 9 місяців тому

      Hapo ni kweli kabisa

  • @MIBWA
    @MIBWA 9 місяців тому

    😅😅😅