VITASA | Emmanuel Mwakyembe vs Said Bwanga | Pambano kali | NGOMA NZITO 24/02/2023

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 лют 2023
  • USIKU WA VITASA: Bonge moja la pambano likimkutanisha mkongwe Emmanuel Mwakyembe dhidi ya kijana mgeni kwenye ngumui za kulipwa… Said Bwanga. Zilikuwa ni raundi sita tamu, vitasa vikitembea kikamilifu lakini shughuli ikamalizika kwa sare.
    Ni #VitasaNight #NgumiImenyooka ndani ya #UbungoPlaza kuelekea pambano kuu kati ya Tony Rashid vs Sabelo Ngabinyana LIVE #AzamSports1HD
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 52

  • @josephmanyama9012
    @josephmanyama9012 Рік тому +3

    Yani mie sina cha kumdai BWANGA aiseeee tuna mabondia wazuri sana bado hawajapata promo jamaaaa ni mkali sana yani ngumi zake zinahamasisha kuangalia yuko vizuri sana well-done BWANGA

  • @abduryjumbe7447
    @abduryjumbe7447 Рік тому +2

    Champion Side bwanga umeshinda game kabisa umeonesha mashabiki zako ngumi zinachezwaje utafika mbali sana Kwa uwezo wa mwenyezimungu 💪

  • @dramadravany7251
    @dramadravany7251 Рік тому +1

    ❤ boy anajua kazi umetisha mwamba anacheza kwa hakili sana

  • @paulmwangoka
    @paulmwangoka Місяць тому +1

    dogo bwanga unatisha Sana pia hongela mwakyembe Kwa kuonyesha ukongwe wako

  • @mengiuswege3654
    @mengiuswege3654 Рік тому +2

    HII FIGHT IWE MAIN CARD KTK MARUDIANO ITAPENDEZA

  • @nicodemusmsemwa2040
    @nicodemusmsemwa2040 Рік тому

    Good fighter.. Emmanuel mwakyembe.. keep it up

  • @athumanimanzabay1894
    @athumanimanzabay1894 Рік тому +1

    Said bwanga ww ni boxer mzuri saana 👏

  • @collinndabi1914
    @collinndabi1914 Рік тому +1

    Bonge ya game bwanga uko vizuri sana

  • @EvalistTokwa-lw8hf
    @EvalistTokwa-lw8hf 10 місяців тому +1

    Dogo bwanga nimoto naona atawapa changamoto kubwa sana mabondia watz dogo ni🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪💪

  • @tahirnephessalum3678
    @tahirnephessalum3678 Рік тому +2

    huyu dogo angejiandaa kwa hili pambana mwakyembe alikuwa anakaa mapema sana

  • @kizz_kido
    @kizz_kido Рік тому +1

    Sideee maweee👊👊

  • @gwantadibusta
    @gwantadibusta Рік тому +1

    Said noma

  • @emmanuelmnyambugha4512
    @emmanuelmnyambugha4512 Рік тому +1

    Bwanga yupo vizuri sana

  • @denisimria3109
    @denisimria3109 Рік тому +1

    bwangaa🔥🔥

  • @adolphdamas3189
    @adolphdamas3189 Рік тому +1

    Bonge la fight...

  • @dominicrobert266
    @dominicrobert266 Рік тому

    Saidi atafika mbali ameonyesha ana uwezo,ujuzi,uvumilivu na mbinu, keep it up Saidi Bwanga.

  • @medsonmligo-vx9gk
    @medsonmligo-vx9gk Рік тому +1

    Bwanga the champion

  • @kamagaissa4561
    @kamagaissa4561 Рік тому

    Huyo dogo mpinzani W Mwakiembe yupo vzr sanaaa Kama inawezekana awezeshwe afikie ndoto Zake kwny ngumi na kutangaza Taifa pia

  • @dorineenock-by1ni
    @dorineenock-by1ni Рік тому +1

    Bwanga the king

  • @neemamangushi8187
    @neemamangushi8187 Рік тому

    Naomba serikali imlinde Hyu Bwanga ni🔥🔥

  • @samsonhenry3871
    @samsonhenry3871 Рік тому +1

    Oyaaa Uyu Bwanga ni Hazina Ya Taifa

  • @tentwice9291
    @tentwice9291 Рік тому +3

    TOKA NIANZE KUANGALIA VITASA ILI PAMBANO SIJAWAI ONA UYU BWANGA ATARI

    • @nuruworldinsight2957
      @nuruworldinsight2957 Рік тому

      Ana pambano lake lingn kamgonga kichizi Mchanjo. Mtafute HANA kazi mbaya DOGO anajua

  • @kidunapoletano3118
    @kidunapoletano3118 Рік тому +1

    Bwanga ni 🔥

  • @mikimkele9726
    @mikimkele9726 Рік тому +2

    Saf dogo

  • @coolruler6820
    @coolruler6820 Рік тому +1

    Ukiacha Mbwana Matumla na Rashidi enzi zao,,,Bwanga anapiga ngumi za kiwango, pambano bora la mwezi ni hili

  • @eddykatamba1008
    @eddykatamba1008 8 місяців тому +1

    bwanga yuko vizr lakin kwa mwakyembe ajipange

  • @nuruworldinsight2957
    @nuruworldinsight2957 Рік тому +4

    Kwa sisi tulio bahatika kumuona Rashidi Matumla eke SNAKE BOY wakati wa enzi zake
    Basi huyu mtoto Saidi Bwanga eke RING MASTER ni Snake boy 99 per cent.
    Na kama anatokea Mbagala bila shaka kapitia mikono ya gym ya Matumla .
    Mungu ampe mwendelezo mwema wa mwanzo wake.

  • @tysonking9675
    @tysonking9675 Рік тому +1

    Said kaza njanja we2 nakubali ipaishe mbangala mponda

  • @rickiefisher1085
    @rickiefisher1085 Рік тому +3

    tangu nimeanza kucheq ngumi sijawahi ona ngumi ambazo zimepigwa kimpangilio kama hizi

  • @nuruworldinsight2957
    @nuruworldinsight2957 Рік тому +2

    Huyo dogo BWANGA kama akiwa AMATEUR naziona MEDALI 🏅 Za DHAHABU MIKONONI MWAKE akiziletea TAIFA la TANZANIA
    (umri unamruhusu)

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 Рік тому

    Fight bora usiku huu

  • @yudaaraphati9673
    @yudaaraphati9673 Рік тому

    Said
    bwanga💪🖤

  • @jastinmsigwa4154
    @jastinmsigwa4154 Рік тому +1

    Ukiwekeza kwabwanga inabaki tuu kuvuna faida. Bonge labondia

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 Рік тому

    Huyu bwanga ni professional boxer hatari sn

  • @thobiasluanda224
    @thobiasluanda224 Рік тому

    Tanzania kuna mabindia wazuri sana hao kina kiduku sijui mwakinyo wamebakia majina tu

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 Рік тому

    Draw vipi tena wakati huyu alimwangusha mwenzie kwa konde zito. Hapo ndipo judges wa Bongo mnakoseaga.

  • @jumajumanne4997
    @jumajumanne4997 Рік тому

    Ongera mwakiembe zidisha mazoezi ila uyu dogo said bwanga akiwezeshwa atafka mbali mvumilivu sana

  • @agronomistamanikingu7340
    @agronomistamanikingu7340 Рік тому

    Bwanga ni hatari sana... Kiufupi wapate wafadhili watafika mbali sana

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 Рік тому

    Yeah, hawa vijana wanacheza na kupigana ngumi za ushindani. Wakiendelezwa watafika mbali.

  • @lamerckmsuya5513
    @lamerckmsuya5513 Рік тому

    Sema kitu nimeona,watangazaji wanafanya promo

  • @Abbasbakarsth
    @Abbasbakarsth Рік тому +2

    Azam jaribuni kuongea na hao majaji wenu wanazngua .. mchezo mzuri lakini mshindi kaonekana ni mwakyembe .. kila siku mapambano ushindi unatolewa kwa mikelele ya watu na si kanuni za boxing

    • @allymwachipanga2486
      @allymwachipanga2486 Рік тому

      nisawa lkn huenda wameangalia kummotisha bondia Mchanga ambaye wengi hawakumjua wala kumuona

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Рік тому +1

      SAIDI BWANGA MSHINDI WAMEMUONEA DOGO.

  • @mtengwadj9390
    @mtengwadj9390 Рік тому

    Ngumi Burudani

  • @dullahtechtz3422
    @dullahtechtz3422 11 місяців тому

    Bwanga ni hatari

  • @lutenganolukali2122
    @lutenganolukali2122 Рік тому +1

    Mwakywembe alishinda Hill pambano ngumi nyingi zilifika usoni kwa mpinzani wake hakuna dro hapo