VITASA | Ibrahim Class vs Said Chino | KAZI IPO 27/05/2023

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024
  • VITASA NIGHT: Hii ndiyo ilikuwa #mainCard katika Usiku wa Vitasa, Kazi Ipo ndani ya Where House, Masaki, Dar es Salaam, ikishuhudia Ibrahim Class akipata ushindi wa pointi dhidi ya ya rafiki yake wa utotoni, Said Chino.
    Tazama pambano lote kama ilivyokuwa na utoe maoni yako...
    #KaziIpo #Vitasa #IbraClass #SaidChino #VitasaNight

КОМЕНТАРІ • 264

  • @jaybee3429
    @jaybee3429 Рік тому +56

    IBRA CLASSIC ANA MCHEZO MZUR...HARD PUNCHING....JABU NYING...KAMA UMEELEWA WEKA LIKE

    • @alekasm
      @alekasm Рік тому

      ffgvvvvvvvfbvvffvfjghggfgfhggggggggggfggggggcvggvvfvbggvbhhgvbbvbjhvbgjfncgjhvgjghvbkgjvggfgvgvvcdrrrhfvggcgvdvvvggbbcvgcccvcfvcvggfbcvgvfhcjffhcvfjgffhgkgggiggfgggcgcgjfbvvjfcjgcgjgvvvfdddfffffvbhfffggfhdddfgfvcccvbrfjhrrgrfffnvfbvvvfgvfd

    • @YustoMlay-is8ed
      @YustoMlay-is8ed Рік тому +1

      Sana sana

  • @abdulburaheze9582
    @abdulburaheze9582 Рік тому +10

    ibrah anafurahisha jukwa kwa upiganaji mashabiki wa ibraha gonga like hapaaaa👊👊👊👊👊👊💪💪💪💪💪💪💪

  • @curleskennedy2218
    @curleskennedy2218 Рік тому +6

    Hili shindano ni la level mbili tofauti, Kuna vitu unaona Ibra anauelewa na anajielewa strength zake na anazitumia haswaa. Oponent nadhani aliambiwa una ngumi nzito then akaingia kwenye mchezo, Class ametengenezwa

  • @chuxdampa8664
    @chuxdampa8664 Рік тому +5

    class unajua xan chino kapigwa roundi zote Yan class anaamua afanye nin kw wakat gani.
    (Big up Ibrahim kazi nzuri)

    • @modestsharia7127
      @modestsharia7127 Рік тому

      Unajua kaka watu wengi hawajui ngumi huto class ni bondia wa kiwango cha juu sana huyo dogo bado atafute mwalimu mzuri

  • @vitalesmgenge9774
    @vitalesmgenge9774 Рік тому +3

    Huyu mbena wa iringa ni fundi sana Hana hasila Hana papala japo upinzani kauona kweli chino co wakubeza akiongeza juhud tz tutakua na bondia wengi sana wenye uwezo,hongela clas ww ni teachel kweli👏👏👏👏

  • @hafidhsuleiman804
    @hafidhsuleiman804 Рік тому +10

    Watu wengi wanasema Chino anarusha Makota..sio kweli! Chino anarusha ngumi zilizonyooka kabisa ila Ibrahim Class jamaa ni Class kweli...anashambulia na kutoka haraka hivyo ngumi za chini zinaonekana kulenga tofauti na alipo Class hivyo kudhaniwa ni makotakota!!! Kwa hakika Class ni The most skilled boxer in Tanzania...

  • @jusamsaid1746
    @jusamsaid1746 Рік тому +2

    Pambano zuri sana katika mashindano maneno ya majigambo muhimu Safi Sana Chino uko vizuri mno unless Ibra ni Next level uckate tamaa kikubwa kujituma

  • @KiongoziMwandamizi
    @KiongoziMwandamizi Рік тому +3

    Ibrahim Class ni professional boxer, round ya 10 ameonyesha yeye ni boss wa mchezo, big up sana Class, Wonderful boxer✓✓

  • @dicksonmswigebisile7676
    @dicksonmswigebisile7676 Рік тому +4

    Ibrahim Classic is CLASSIC.

    • @mawazochanya2081
      @mawazochanya2081 Рік тому

      he is indeed.He has very good defensive skills. He needs to up his punching power though

  • @jeniferjonas9348
    @jeniferjonas9348 Рік тому +2

    Ibrahim king class is next level uwezi faninisha na chino japo akipata mwalimu mzuri ni bondia mzuri anaweza kua bondia mzuri sana ila Kwa Sasa Ibrahim class is just like bush 🔥🔥🔥🔥

  • @nyemondagalla608
    @nyemondagalla608 Рік тому +5

    Ibra classic kama Bongani mchezo mzuri sana

  • @coolruler6820
    @coolruler6820 Рік тому +5

    Huyu Chino si bondia mbaya,,,dogo yuko vizuri sana, head movement, footwork yupo vizuri, mwili wake umechangamka kila mahali, tatizo hajapata kocha mzuri wa kumjuza mbinu sahihi za utupaji ngumi pamoja na namna sahihi ya kutupa ngumi pale anapokuwa anakwepa

  • @julianashani9408
    @julianashani9408 Рік тому

    Ibra unaweza Kaka Mungu akusmamie uwe salama tu ktk mashindano yako

  • @naimabdul1231
    @naimabdul1231 Рік тому +1

    Daah aliekupa hili jina ibra kakosea angekuita ibrahim quality unapiga ngumi za kwenye video kaka big up sana, side chino next time umeonyesha uvumilivu mkubwa bro pambano la kibabe sanaaaaaa

  • @mlekwa
    @mlekwa Рік тому +2

    Wameonyesha mchezo mzuri wote naeakubali💪🏿

  • @abdulrahmanmohamed6135
    @abdulrahmanmohamed6135 Рік тому +2

    Ibra yuko vizuri ila angelimaliza hili pambano mapema kama ange badilika na kupiga body punches ..otherwise future face of boxing in Tanzania ibra ❤❤

  • @abdallahkambangwa7215
    @abdallahkambangwa7215 Рік тому +2

    kwakweli ibra class ni bondia mzuri sana. ipo siku atafanya makubwa sana

  • @bakariathmanathman2187
    @bakariathmanathman2187 Рік тому +2

    Ibra yuko vizuri Kwa sisi wakenya tunge kua na bondia kama huyu tunge jivunia hongera ibra

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme Рік тому

      Yupo vizuri ni talent by nature ana akili ya ngumi

  • @SlayoThomas
    @SlayoThomas Рік тому +3

    Huyu mwamba kujiita class ni sawa kabisa. Anasababishu enjoy kuangalia ngumi.

  • @dicksonmswigebisile7676
    @dicksonmswigebisile7676 Рік тому +3

    Ibrahim Classic the Lennox Lewis of our age.

  • @mudriqhamidu871
    @mudriqhamidu871 Рік тому +2

    Kbra anapigana km Lenox lewis hatumi nguvu sn anatumia akili sn ktk kupìgana hii nimependa safi sn hawajakumbatiana hata mara 1 ❤❤

  • @jameschumbula7351
    @jameschumbula7351 Рік тому +2

    Ibra class ajawahi mwacha m2 salama🤗✌️

  • @maandaziimakavuu3790
    @maandaziimakavuu3790 Рік тому +1

    Ibrahim class uko vizuri sana una uzoefu wa kupigana umeshinda kialali!!!!

  • @ramadhanipadon3577
    @ramadhanipadon3577 Рік тому +2

    Ibrah class amestahili kushinda✨️

  • @abdulburaheze9582
    @abdulburaheze9582 Рік тому +1

    ibraah imenifurahisha sana piga mazoez sna pambano taaaaam sana

  • @petermabale4320
    @petermabale4320 Рік тому +3

    Hili ni pambano bora sana, hakuna kukumbatiana round zote

    • @mudriqhamidu871
      @mudriqhamidu871 Рік тому

      Inatembea punch t hpo vitendo vya mikono ni vingi sna mpk raha kuliangalia hili pambano

    • @nelsongabriel6324
      @nelsongabriel6324 Рік тому

      Kabisa hadi raha kuangalia

  • @ramakwio6480
    @ramakwio6480 Рік тому +2

    Ibra classic 🔥🔥🔥

  • @RajabuKimweri-i7l
    @RajabuKimweri-i7l Рік тому +3

    Azam tv waambie aidan n mwenzie wakiwa wanatoa tthimin waccimame upand mmoja

    • @samuelpaul5733
      @samuelpaul5733 Рік тому

      Point Aisee hii sio kitu kizr sikuzote huwa wanafanya hvo ibra ibra ibra ibra mwingne hasifiwi sio pow wakosea

  • @champtynasser7372
    @champtynasser7372 Рік тому +1

    Nyongezaa.....
    Naamini Rematch ikitokea kunaweza kuwa na matokeo tofauti thats why CHINO HAKUWA MDHAIFU SANA Alidhibitiwa tu game styles zake na IBRA

  • @kiya0910
    @kiya0910 Рік тому +1

    Hongera zao wote wako vizur kabisa

  • @asyahkimangale6785
    @asyahkimangale6785 Рік тому +1

    Fight ngumu sana IBRA anaspeed CHINO anapower na hicho ndo kimempa ushindi CLASS.ila wote wanajua.

  • @StanleyJuma-t5z
    @StanleyJuma-t5z Рік тому +3

    Naomba namba ya simu ya mlundwa,uyo alikua mwalimu wangu wa ngumi Kule mpanda mwaka 92 na 93 kwa bahati mbaya aliangukiwa na ukuta wa nyumba apo ndio ilikua mwisho wangu wa kucheza ngumi,kipindi hicho alikuwepo na omary yazidu,naomba Sana namba ya mlundwa

  • @thabitisimba1143
    @thabitisimba1143 Рік тому +3

    Chino kanisuplies ni mzuri sana ila sasa kakutana na Bondia mwenye akir nying class ongera sana maana kumpigia chino kwa point sio mchezo bondia asie na akir kwa chino aendi hata round 5

  • @chazp6436
    @chazp6436 Рік тому +4

    Chino naye bondia mzuri sana

  • @mohammedlipindula5415
    @mohammedlipindula5415 Рік тому +2

    Wachezaji wote mko vizuri

  • @SubiraKhalfan
    @SubiraKhalfan Рік тому +2

    Unyama mwng ibra yupo vzr sn namkubali sn mwamba huyu

  • @hafidhsuleiman804
    @hafidhsuleiman804 Рік тому +1

    Ibra outboxed Chino in every round!!!

  • @barakamgongolwa5137
    @barakamgongolwa5137 Рік тому +2

    Mm sijaona upendeleo wowote Ibrahim class amecheza vzurii tuachee uongoo

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 Рік тому +1

    kaz ya jab
    1- kumstopisha adui
    2- kumfanta adui ashndwe kukuingia
    3- kumfanya mpigaji apate nafas nzur ya kuamua
    lkn wote n wazuri sana tu
    Kwa kweli tunajifunia watz kuwa na mabondia wazur na imara kama hawa.

  • @SudiKama-ok9eh
    @SudiKama-ok9eh Рік тому +1

    One love class ❤❤❤❤

  • @abdimsagati9667
    @abdimsagati9667 Рік тому +1

    Ibra yupo vizuri

  • @MariamMassawe-b3w
    @MariamMassawe-b3w Рік тому +1

    🎉hamna kama class bongo tz

  • @denisclement4828
    @denisclement4828 Рік тому +1

    Classic bwana Yuko smart,namkubali_ Rahaa

  • @gbetter4713
    @gbetter4713 Рік тому +1

    Ibra noma sana anapigana ngumi ambazo hazina papara kabisa huyo jamaa mwengine inaonesha anafosi ushindi lkn Hamna kitu

  • @kassimsalum1479
    @kassimsalum1479 Рік тому

    Huwasichoki kuangalia hili pambano big up ibra kutoka 🇧🇷🇧🇷👍

  • @ezzepuritykamwene2121
    @ezzepuritykamwene2121 Рік тому

    Clss ni level kubwa sana,, mwenye namba yake anitumie nimpe hata ef 10 tu. Kishow love

  • @GerradKelvin
    @GerradKelvin Рік тому +1

    Kiukweli wote mko vizuri ila kwenye ushindani lazima apatikane mmoja bingwa ivyo saidi chino usikate tamaa

  • @duniayetutz4424
    @duniayetutz4424 Рік тому +2

    Kwa utaalm wangu wa mchezo Wa ngumi,Chino ni bondia mzuri Sema Hana balanc na ngumi zake yaan akitupa ngumi ikitokea amemkosa ibra bac a nakosa stamina, ibra anacheza kipro but hili pambano kwake halikua rahic hata kidogo ngumi zake hazna power tofaut na za Chino na kama angekua na ngumi kama za Chino hili pambano alikua anamaliza mapema

    • @alleyd.alleyd
      @alleyd.alleyd Рік тому +1

      BRO HONGERA SANA..UNAZIJUA NGUMI...

    • @lullebolle808
      @lullebolle808 Рік тому

      Alafu jamaa anasema kaonewa acha uongo umepigwa wewe chino

  • @noorululaatv8973
    @noorululaatv8973 Рік тому +2

    Watangazanji hapo mezani hamjitambui hata kama mna mapenzi lkn sio kwenye public space...
    Alafu Hawa kina Class husifiwa tu lkn kiukweli kabisa .. Mchanjo na Mchanja Hawa wanatakiwa wapongezwe sana Tena sana

    • @Tzn255
      @Tzn255 Рік тому

      Kweli kabisa

  • @DoriceDavid-l4t
    @DoriceDavid-l4t Рік тому +1

    One love ❤❤❤❤❤

  • @jumahashimu3647
    @jumahashimu3647 Рік тому

    Kukupenda tu munyarukolo vangu ibra nakukubali sn 💪💪

  • @DoriceDavid-l4t
    @DoriceDavid-l4t Рік тому

    Ibrahim nakupenda xana. 🎉 Mtoto tuuuu uyo ❤❤❤❤

  • @josephbundala-rs2cs
    @josephbundala-rs2cs Рік тому +1

    Ibra apewe pongezi
    ❤😂🎉😮😅

  • @fredrickkomba4449
    @fredrickkomba4449 Рік тому

    Ubora wa class; mwepesi sana, anatarget ya kupiga kwa point na anatembea

  • @iwishtv7907
    @iwishtv7907 Рік тому +2

    Hawa wachambuzi hawajui ngumi hasa huyu Nasib Ramadhani na Patrick Nyembera
    Walau huyu Mchambuzi mmoja kidogo Aana mwanga,
    Jab ni ngumi muhimu sana kwa ajili ya kutenganisha Umbali, kuset trap na kumvurugia mipango mpinzani wako lakini sio ngumi yenye points nyingi,
    Strong jab ndio huwa na points kidogo,
    Jab nyingi alizorusha Ibrahim Class zilikuwa hazifiki kwa Chino na sio effective ingawa bado Ibrahim Class ameshinda kihalali

  • @hallowkij5677
    @hallowkij5677 Рік тому +3

    ibrahim clasic

  • @tonyshineafrica8278
    @tonyshineafrica8278 Рік тому +1

    point mbona kama uongo hv chino
    Kazidiwa sana kuscore

  • @shaabanali4869
    @shaabanali4869 Рік тому

    Well played ibra class, big hand for you.

  • @BilobzBzee-ed5jy
    @BilobzBzee-ed5jy Рік тому

    Ibra classic Yuko vizuri Sana ngumi zake huwaga zimetulia Sana ataacheze na Nani? Kama atapigwa namaa atapiga huko vizuri na pia kulitazama binafsi napenda

  • @nikky4757
    @nikky4757 Рік тому +4

    KUNA WASHABIKI HUMU HAMNA KITU KWA PAMBANO LILIVYOENDA CHINO HAYUPO LEVEL YA CLASS NA UZURI CLASS NI PRO AKUTAKA KUBISHANA KWA MDOMO KABISHANA KWA MKONO NA WOTE TUMEONA

  • @ezzepuritykamwene2121
    @ezzepuritykamwene2121 Рік тому +3

    Sasa uongelee nn wakati mazingira ya kuongea yanaletwa na ibra, sasa huyo dogo utamuongelea kipi ikiwa anapigwa.

  • @Khery-hi7rg
    @Khery-hi7rg 7 місяців тому

    aise ni hatarii sana aise ibra Yuko vzr na anapiga ngumi za ufund

  • @pharidashabani-zg4qy
    @pharidashabani-zg4qy Рік тому +2

    Chino amejitahid sana pamoja na kua hakushonda

    • @masoudmasasi1801
      @masoudmasasi1801 Рік тому

      YES NI BONDIA MZURI SANA KAMPA UPINZANI MKUBWA IBRA

  • @wakembetajaphary6006
    @wakembetajaphary6006 Рік тому +1

    Round ya pili haiingii hz kauli za mashabiki kiko wap😂😂😂unaweza fia ulingon kisa mashabik, hongeren mabondia nyote mmefanya kaz ni ujuz tu kutofautiana

  • @EddyKatamba
    @EddyKatamba 3 місяці тому

    Ibra atabaki kutwa Kobra mwenye sumu Kali.....

  • @patrickmfundiri8669
    @patrickmfundiri8669 Рік тому +1

    Chino ibra kakupa jina kajipange nimeona fght mwanzo mwisho hongera kwa kufanikiwa umemaliza kwa maumivu ila haukumdondosha ibra ulikanyaga mguu

  • @mtausi6995
    @mtausi6995 Рік тому

    Ibrahim classic uko vzr sana

  • @atigeedee7766
    @atigeedee7766 Рік тому

    Ibra upo vizuriii

  • @eliamaguchi10
    @eliamaguchi10 Рік тому

    What a fight ❤❤ fantastic

  • @RICHARDDONARD-bh3ol
    @RICHARDDONARD-bh3ol Рік тому +1

    Namtakia Ibrahim classic ushindi

  • @saidkizota3595
    @saidkizota3595 Рік тому +1

    Watangaxaji machawa wa classic

  • @harunimfaume2121
    @harunimfaume2121 Рік тому +1

    IBRA CLASSIC APEWE MAUA YAKE YANI ANA HESABU NYINGI SAANA HALAFU WOOTE KWENYE UPANDE WA LEDE LEDEE WAMETOKA HAWASHIKANI KAMA WALE AKINA FLANI NGUMI ZIMENYOOKA 👊👊

  • @mtengwadj9390
    @mtengwadj9390 Рік тому

    Clasicc Nibondia Mzuri Afanyie Mazoezi Kubadilisha Miguu Na Nguvu Za Mikono Jifunze Kuficha sura kutumia mikono yako Speed imempunguzia Nguvu umefanya vizuri.....Na Kuhusu Chino ongeza Speed ya miguu mchanganyo wa ngumi zaidi ya tatu kuendelea fanya mazoezi yakukimbia huku unatupa ngumi hewa utakua bora zaidi Brother nimvumilivu unanguvu Bondia Mzuri ....Mchezo mzuri Nikilipoti Kutoka PWANI BAGAMOYO Mimi NIBONDIA WA UZITO WA JUU......

  • @rama-sa-4856
    @rama-sa-4856 Рік тому +1

    Class big class

  • @evansdecaprio8196
    @evansdecaprio8196 Рік тому

    Ibra ni noma sana

  • @muhandoally6501
    @muhandoally6501 Рік тому +2

    Ibrahim class bondia mzr sana anapigana ngumi za akili sana sio papara

  • @haidarkitwana6783
    @haidarkitwana6783 Рік тому +2

    Ibra anatumia mavimenti nyingiza muhamme ali chunguza

  • @hafidhdrogba3392
    @hafidhdrogba3392 Рік тому +2

    IBRAH Kaka ushauli wangu fanya km mwakinyo usipiganetena nawa tanzania wenzio lengolao kukushusha hapo ulipo.tumia akiliyako vizuli epuka mijitu yenye rohomba

    • @HassanMasasi-gg5rs
      @HassanMasasi-gg5rs Рік тому

      Nakubaliana na ww ibra asipigane tena na watanzania watamfelisha

  • @louizedes8509
    @louizedes8509 Рік тому

    IBRA CLASSIC international boxer

  • @omaryally5555
    @omaryally5555 Рік тому +6

    Huyu chino anatumia nguvu nyingi kuliko akili. Yani anaenda kupambana kinguruengurue

  • @ramermohamedy4344
    @ramermohamedy4344 Рік тому +3

    Watangazaji watangaza kishabiki ibra akipigwa wakaa kimya😂😂😂

  • @DullahMbonde-qw3zi
    @DullahMbonde-qw3zi Рік тому +1

    Chino umekua sasa nimekubal💪🏻

  • @RazakiMmalinda-rl3ej
    @RazakiMmalinda-rl3ej Рік тому +1

    Class mawe💪💪💪

  • @hamzamakame-fy6yp
    @hamzamakame-fy6yp 9 місяців тому

    Si tunapenda kusifia class yup sw zidi ya chino kweli hii fight kasulubiwa kweli halafu hana mbini hapa

  • @fundibombazanzbar5717
    @fundibombazanzbar5717 Рік тому +3

    Watangazaj mnaboa ni wapinzan amtakiwi kua upand mmoj

  • @barakamichael1487
    @barakamichael1487 Рік тому

    Ibrahim class Mawe 👏👏👏

  • @kibwanambelwa8352
    @kibwanambelwa8352 Рік тому +1

    Naungana na chino kwa sababu nae angeamua kukaa mbali basi isingekua box mchezo mtamu kama huo
    Ibra yuko vzr sn game ilikua tamu

  • @hafidhsuleiman804
    @hafidhsuleiman804 Рік тому

    The battle of power vs speed

  • @BahathKyando
    @BahathKyando Рік тому +1

    Ibra pongez kwa mchezo mzur

  • @박혜경-o8d
    @박혜경-o8d Рік тому

    Nice classic

  • @madollarmadollar7097
    @madollarmadollar7097 Рік тому

    Chino ni mzuri ibrah hakuna kitu ila nyinyi wabongo mnapenda kusifia vitu visivyo stahiki chino yuko makini

  • @NuruSanga-yo2sl
    @NuruSanga-yo2sl Рік тому

    Nakupenda mnyakukolo

  • @abdulrahmanramadhanabdul-wv1jb

    Nakukumba mwanangu chino

  • @mtindikoja8837
    @mtindikoja8837 Рік тому

    Ngumi Tami ngumi nzuri mwisho wayote lazima apatikane mshindi

  • @mohammeduseni2958
    @mohammeduseni2958 Рік тому

    Kaka pamoja umemfunga mdomo bwege 💪

  • @KhalfanSamir
    @KhalfanSamir Рік тому

    Chino Safi sana kweli nimeona maajabu yko Ila nilichojua ibrah class ni champion wa media Ila umempa shurbaa Yan kihaki ilikuwa ata sare

    • @seifmiraji43
      @seifmiraji43 Рік тому +3

      Hujui nhumi ngumi zote hizo alizo chezea alafu unasema Chino apewe hata sare😂😂😂

    • @selestinibatista6495
      @selestinibatista6495 Рік тому +3

      Away ndio mashabaki maandazi mtu kapigwa jabu 2000 right 200

    • @Stavanger-cr3ee
      @Stavanger-cr3ee Рік тому +1

      Mzee Baba, bondia wako akafanye Mazoezi sana. Kiufupi CHINO hatumii akili anategemea NGUVU. Na pindi atakapomaliza Mazoezi yake, atamkuta CLASS yupo UPPER CLASS 😂😂😂😂😂😂

  • @hamisngallawa681
    @hamisngallawa681 Рік тому +2

    NYIE COMMUNICATOR NIWACHAMBUZI AU MASHABIKI?

  • @dadimtipodadi2259
    @dadimtipodadi2259 Рік тому +2

    Wee nae mtangazaji chenga una upendeleo tu kwa Ibra ila chino yuko vizuri mno

    • @timotheothadeomgassa4929
      @timotheothadeomgassa4929 Рік тому

      Tatizo ni kutumia nguvu nyingi kuliko akili lkn chino ana ngumi nzito ila tatizo ni akili ya namna ya kuzitumia nguvu hizo katika ku score. Ikumbukwe boxing ni mchezo wa kutumia akili na nguvu kiasi ili uweze kujibalance katika kumaliza round za mchezo na ikitokea umemtwanga kisawasawa opponent wako either kwa knockout basi pambano linamalizikia hapo hapo. But all in all boxing ni akili zaidi ili uweze kuscore points za kukupa ushindi na sio kupigana pigana tu kikubwa ni points za ushindi. Ila kama wangeamua kupigania mtaani mtaani tu hapo sawa kule uchagui pakupiga wewe tu na nguvu zako baaaasi.

  • @shabanijuma2085
    @shabanijuma2085 Рік тому

    Mdogo wangu kweli umemfundisha ngumi mdogo wako JAB hailali.Chino kapigwa na jab tu.Sema nilipenda Sana utulivu wenu.Kunamuda nilikuwa namuona Naoya Inoue.

  • @RamadhaniKalom
    @RamadhaniKalom Рік тому +1

    AZAM inabd muangalie kwenye swala la macommentetor kubase upande mmoja