Loren Japhet Vs Juma Choki | VITASA | Mfalme Kwenye Ufalme Wake - 22/04/2023

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Tazama pambano lote la Loren Japhet dhidi ya Juma Choki, pambano ambalo Choki amemtandika kwa pointi Japhet kwenye pambano lao la raundi nane.

КОМЕНТАРІ • 51

  • @andrewmmassy5204
    @andrewmmassy5204 Рік тому +2

    Juma choki mi shabiki wako ila pambano hili umecheza chini ya kiwango nadhani ilitakiwa liwe draw mana limebalance
    Ningeomba pambano hili lirudiwe mapromota kazi kwenu.

  • @KAMBIAsso-pd3yl
    @KAMBIAsso-pd3yl 9 місяців тому

    Juma choki kaka unapigana ngumi tamu sana m/mung akuongoze katika kazi ya mikono yang big up kaka

  • @mwaramipawa
    @mwaramipawa 2 місяці тому

    Juma choki is the best fighter

  • @hassanmwachalika7525
    @hassanmwachalika7525 11 місяців тому +1

    Kiukweli sijapenda uamuzi wa majaji Lorene kacheza vizuri sana kuliko choki...😢

  • @muhandoally6501
    @muhandoally6501 Рік тому +1

    Loren ameonyesha mchezo mzr sana na natumai ndio mshindi

  • @m.r.kkiswahili1
    @m.r.kkiswahili1 Рік тому

    Kama kweli unajua ngumi huwezi sema choki kapigwa Bali wamepigana na Kila mmoja amefanya vizuri Kwa round zake round za Mwanzoni choki alipoteza ila za kati kacheza zaidi kuluko mpinzani amestahili kushinda ila wote The best boxing 🥊

  • @MakameJenje-bn3sg
    @MakameJenje-bn3sg Рік тому +2

    Yani uyu loreni majaji wanamuonea nimtu kwel

  • @eddykatamba1008
    @eddykatamba1008 Рік тому +1

    Rudien kuangalia huu mchezo chili ameshinda rolen Ni bondia mzuri lakn amepteza

  • @athumanimanzabay1894
    @athumanimanzabay1894 Рік тому +1

    Mm juma choki namkubali saana,lakn kwa game hii ni droo coz Loren amecheza vzuri saana so majaji wetu muwe mnatenda haki....,nmependa sana hii fight waboxer wote mpo vzuri never give up Mungu atawasimamia Insha'Allah 👏🙏🥊

    • @athumanimanzabay1894
      @athumanimanzabay1894 Рік тому

      Na pia Loren big up saana kwa team yko ya huko Ghana wamekuandaa vzuri sana aisee usikate tamaa coz umekuja tofauti hii inaonyesha ww ni professional boxer sio Amatuer👏🥊

  • @tukioonlinetv1261
    @tukioonlinetv1261 Рік тому

    Kazi nzuri sana

  • @user-ls1es8sd1s
    @user-ls1es8sd1s 8 місяців тому

    Wa mecheza. Vizuli sana kiu kweli Rakin Ali stairi kupewa Rorene mwamba Ana juA Askate tamah Na mwona mbali A endere. Kukaza2

  • @subzig8521
    @subzig8521 Рік тому

    Inaumiza Sana haki inapokua haitendeki,kwa mtu alie toa jasho,kwa,kupambania kitu,aiseeee,inauma Sana ,,Loren shujaaa,bana

  • @user-rg2ri5bs8q
    @user-rg2ri5bs8q Рік тому +1

    Mechi ni droo

  • @MaryLukindo-fq6wg
    @MaryLukindo-fq6wg Рік тому

    Loren is the best boxer ever

  • @dicksongodson4402
    @dicksongodson4402 Рік тому +1

    Game droo hiyo

  • @felistagilsonkeyela
    @felistagilsonkeyela Рік тому +1

    Pambano hili liludiwe

  • @IssaBaresa-ci5db
    @IssaBaresa-ci5db Рік тому +1

    Rolen japhet ameshinda bila ya kupepesa macho hayo mambo yakupigisha watu viongozi wa ngumi muache .hivi serikali bado hawajawashtukia tu unakuta refa nae ni kiongozi judges nao hivyo hivyo mfano mzuri huyo rajabu muhamila ni kocha hapo hapo tena ni referee.Azam wanatia pesa pamoja na makampuni mengine ila kikundi cha watu wachache wanaharibu ngumi za Tanzania

  • @marcomushi-nd8ku
    @marcomushi-nd8ku Рік тому +1

    Game droo jaribuni kuwa wakweli kwenye uwamuzi

  • @Basagamp4
    @Basagamp4 2 місяці тому

    Dah😢

  • @ChiefMkwetu
    @ChiefMkwetu Рік тому +1

    Choki Amepewa Live.... Maana Choki alipigwa kama Kuku anakamatwa Bandani. Juma Pewa not Juma Choki. Rolen Japhet ni Bondia hata Wamfanyie fitna Pado Rolen ni Hatari

    • @hamadeddymaclayz
      @hamadeddymaclayz 11 місяців тому

      Hujui kitu Juma Choki kascore sana Loren alikuwa anapiga sana body panch tu na point nyingi zipo kichwani

  • @emmanuelsichone4681
    @emmanuelsichone4681 Рік тому +1

    Loleni atakujakuua namtabilia hii itunwe

  • @apolinarychristian9325
    @apolinarychristian9325 Рік тому

    Another robbery to Japhet!!
    Mimi ni mshabiki wa ngumi nzuri na namkubali sana Choki but fairly leo kapigwa. Nliona Loren alishida clearly round 1-3 na round ya 7,8 round nyingine zilikuwa close sana zingeweza enda kwa yoyote kati yao, bora hata lingeamuliwa droo. Naomba Majaji tuwe makini vijana wanaweka maisha yao rehani inavunja moyo sana.

  • @BilalSalim-bx9ju
    @BilalSalim-bx9ju Рік тому +1

    Mnatupotezea muda wetu na uwo ujinga wenu amjifunzi Kwa tony rashidi nyie majage

  • @Tanzania_habari1
    @Tanzania_habari1 Рік тому

    Choki Kapigwa Sema Nilichogundua Nikwamba Mah Judge Walikua Wanasikiliza Sauti za Mashabiki Sana, Ndio Maana Wamemuonea Mshindi Kwenye Haki yake, Choki Namqubal Sana Anajua Kupigana, Ila Leo Kusema Kweli Alipigwa, Na Kama Angeonewa Huruma Basi Wangesema Droo Tu, Kuliko Kuvunja Nguvu za Vijana Wengi Wenye Ndoto zakuja Kua Ma Boxes, kwa Ushindi Wa Mchongo Kama Uo.!

  • @ramadhanisalum3898
    @ramadhanisalum3898 Рік тому

    ivi hawa majaji wanatumia vigezo gan

  • @chayomgonja3131
    @chayomgonja3131 2 місяці тому

    55 kwa 77 hilo lilikuwa Pambano
    gan 😂

  • @kulwagama3677
    @kulwagama3677 Рік тому

    Kwenye hii gem upendeleo umefanyika majaji hawako sawa

  • @suleimanhamad-rz4gn
    @suleimanhamad-rz4gn Рік тому +1

    Choki kapigwa

    • @abdullahahmedi9586
      @abdullahahmedi9586 Рік тому

      We hujui ngumi kabsaa,hufai kua mchambuz wangumi wala kua jaji

  • @abdulkadirmwalimu9070
    @abdulkadirmwalimu9070 Рік тому +1

    Choki kapigwa amebebwa tu

  • @HashimSeif-lr2ol
    @HashimSeif-lr2ol 3 місяці тому

    Hawa watangazaji wanaegemea upande mmoja

  • @yohanekopilato-wn3lo
    @yohanekopilato-wn3lo Рік тому

    Hakika ngumi zinatembeaa

  • @mustafaosman1838
    @mustafaosman1838 Рік тому

    Loren kapigwa taget nyingi

  • @mwendokasi90
    @mwendokasi90 Рік тому

    Game Droo!! Mi shabiki wa juma choki,, leo ushindi mwembamba.

  • @user-kj4nh4vf9b
    @user-kj4nh4vf9b 4 місяці тому

    Wawekewe wbo hawa

  • @user-kj4nh4vf9b
    @user-kj4nh4vf9b 3 місяці тому

    Wake waludie away wbo wanastahili

  • @BilalSalim-bx9ju
    @BilalSalim-bx9ju Рік тому

    Hao mabondia wenu wakienda nje hawatoboi tz Bado sana

  • @ramadhansesala4891
    @ramadhansesala4891 Рік тому

    Choki katepeta leo

  • @kareempreetboy5516
    @kareempreetboy5516 9 місяців тому

    Majaji awajatenda haki

  • @abdullahahmedi9586
    @abdullahahmedi9586 Рік тому

    Wamekutana wote wabish

  • @user-mb5cm6zq7q
    @user-mb5cm6zq7q Рік тому

    Ushindi wa mchongo